KANISA LA UONGO, Mch Mmbaga,

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 148

  • @philipomasatu-lr9hf
    @philipomasatu-lr9hf 4 หลายเดือนก่อน

    mungu aendelee kukutumia tuzidi kubarikiwa

  • @joycemugaka3039
    @joycemugaka3039 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu aKubariki muchungaji baada ya kusikiliza somo hili nimejifunza jambo jipya kirohomm ni mkenya na kufuatilia kutoka qatar neno la Mungu ni taa na kiongozi kwa maisha yangu

  • @clarencemushi7602
    @clarencemushi7602 3 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu akupe nguvu daima cku zote za maisha yako pastor kwa kuwa unatembea na roho mtakatifu kwa uaminivu

  • @mwakasamuelnyiro6559
    @mwakasamuelnyiro6559 5 ปีที่แล้ว +1

    Amina na Asante sana Mtumishi wa Mungu kwa haya MAFUNZO uliyotumwa na MUNGU kunena nami. Nimeguswa sana na nimebarikiwa.Nimefunzika na kuonyeka sana. Ni ombi langu,NEEMA YA MUNGU INITOSHE

  • @maureenjovial6237
    @maureenjovial6237 4 ปีที่แล้ว

    So powerful amen amen nabarikiwa sana kutoka Saudi Arabia God bless you mchungaji

  • @evaanthony8106
    @evaanthony8106 7 ปีที่แล้ว +7

    Pastor Mmbaga karibu sana Udom cive kwa mafundisho, maana ulinipa nguvu ya kumtumaini Bwana toka kipindi kile.... ( kuokolewa kwa neema)

  • @hezekiamhapa7395
    @hezekiamhapa7395 4 ปีที่แล้ว

    Kanisa la kweli la Mwenyezi MUNGU lipo tuyachunguze maandiko !! Asante mchungaji

  • @estharlovely6202
    @estharlovely6202 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mchungaji na Mwenzi MUNGU akulinde

  • @magnifiquentkrtmna320
    @magnifiquentkrtmna320 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante unanifundisha kbs wametufica sana. Kwanini hawasemi ukweri jmeni

  • @dadarehema
    @dadarehema 7 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atusaidie somo limeeleweka ipasavyo,Barikiwa mchungaji Mbaga!

  • @AminaMwachise
    @AminaMwachise 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa pastor

  • @masungasitta7470
    @masungasitta7470 7 ปีที่แล้ว +1

    Pastor mungu akubariki sana kwa mafundisho yako mazur niko kwenye pumziko Jema yaan sabato karibu tufurahie sabato njema

  • @mossesjoseph2202
    @mossesjoseph2202 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwa uwezo wa Roho Mtakatifu leo hii nimejifunza na kuelewa mambo mengi magumu kupitia mafundisho yako, hakika wewe ni mtumishi wa Mungu aliye hai.

  • @waryobanyansambo1977
    @waryobanyansambo1977 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyez mungu watie nguvu wale wasio jua wajue walete kwenye njia ya kwel

  • @Diana-qx5qf
    @Diana-qx5qf 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni rhoda niko saudia neno lako linanipa kufu god bless you pastor

  • @elimikasauti9tv247
    @elimikasauti9tv247 6 ปีที่แล้ว +1

    very interesting sermon
    ubarikiwe pastor,, Mungu akuhifadhi umalize jukumu alilokusudia la wewe kuumbwa ktk ulimwengu huu wa Dhambi

  • @mikeruwa3598
    @mikeruwa3598 5 ปีที่แล้ว

    Wewe si pastor wa kawaida....Ur annointed by God

  • @moseskayan3705
    @moseskayan3705 6 ปีที่แล้ว +5

    Hakika si wewe unaefundisha Bali mungu aliye ndani yako

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 6 ปีที่แล้ว

    Asante sana pastor, nimebarikiwa sana Mungu akubariki,Amina

  • @marysteven3543
    @marysteven3543 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akutangulie pasita,unatufundisha mambo mazito 🙏🙏🙏

  • @robinedson
    @robinedson 7 ปีที่แล้ว +34

    Wakati Fulani nikiwa katika mafunzo ya Kijeshi katika chuo cha Mafunzo ya Kijeshi katika Mkoa mmoja hapa Tanzania tulikua tukikusanyika wakati wa jioni kujifunza neno la Mungu pamoja na kutiana Moyo ili tuzidi kua wavumilivu wa kiroho na kimwili....nilikua na redio yangu ndogo ambayo Nlikua naweka memory card ambayo nilikua nimejaza mafundisho ya Roho na Unabii....wanafunzi wenzangu walikua wakisikia mahubiri haya walikua wakinisihi tujifunze zaidi kuelewa maana ya Unabii.....hakika Nlikua najiona mwenye furaha kwa sababu ya kueneza injili katika maeneo magumu kama pale tulipokua.... Changamoto kubwa tuliyokutana nayo ilikua ni kuzuiwa kufanya ibada siku ya Sabato pmj na kukutana kila siku jioni....mkuu wa mafunzo alitufata akatuonya huku tukiitwa watu wenye machafuko ya kidini....wachache walisimama na kukubali kuendelea kueneza neno...tulizidi kukutana chini ya miti tukilisifu neno la Mungu....wakati mwingine tulikua tukienda kwenye makanisa ya kipentekosti tukilihubiri neno kupitia nyimbo..... Namshukuru Mungu tulifanikiwa kumaliza mafunzo Salama..... Asante sana Mchungaji Mmbaga kwa mafundisho yako.... Amina

    • @lusanikaseke4117
      @lusanikaseke4117 3 ปีที่แล้ว

      Mungu anaweza yote hakika

    • @jeikary8767
      @jeikary8767 7 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🙏

  • @monniekevin9303
    @monniekevin9303 2 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi nimefahamika zaidi

  • @almabeatrice2082
    @almabeatrice2082 7 ปีที่แล้ว

    Oh Mungu wangu tuende wapi sisi tuangalie maana kimbilio letu ni wewe. Ubarikiwe sana mchungaji nimeguswa sana ... Eee bwana niangalie na mimi.

    • @alexamos9299
      @alexamos9299 7 ปีที่แล้ว

      .ubalikiw past umenia nguvu zaimani

  • @dorcasmkasiti5312
    @dorcasmkasiti5312 7 ปีที่แล้ว +3

    AMEN mchungaji ninawafuatilia sana nikiwa hapa Oman, nabarikiwa sana na haya mafundisho songambele mtu wa Mungu

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  7 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana. wasalimie watu wa Oman

    • @dorcasmkasiti5312
      @dorcasmkasiti5312 7 ปีที่แล้ว +1

      hapa Oman kinaeleweka lazima falme za warabu ziwe falme za mwanakondoo

    • @denismodest1540
      @denismodest1540 5 ปีที่แล้ว

      @@dorcasmkasiti5312 piga kazi ya Mungu huko oman

    • @yusuphkishegena596
      @yusuphkishegena596 4 ปีที่แล้ว

      Amina wasalimie huko oman

    • @barakamtabwigwa1726
      @barakamtabwigwa1726 3 ปีที่แล้ว

      @@MahubiriPrMmbaga mchungajii naomba namba zako

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 ปีที่แล้ว

    Amen ubarikiwa muchungaji

  • @mlebingechamcham9631
    @mlebingechamcham9631 7 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu maana unanibariki

  • @zacharianziku360
    @zacharianziku360 5 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa San juuu ya mafundisho yako naomba umiombee walau na mm niwe km wewe Maan Nina huduma hy mwalim na mch. Mmbaga

    • @ovidiokibuga1086
      @ovidiokibuga1086 5 ปีที่แล้ว

      Kuwa kama yeye haiwezekani ndg,hata kama utakuwa Mchungaji utafikia Edge yako na yeye PR atafikia kwenye edge yake

  • @princesegilolasamo2776
    @princesegilolasamo2776 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu nakukubari sana sana sema kuna tatizo! Na sina uhakika kama ujui kweli au la! unafanya makusudi, jua kwamba wewe ni mwalimu na unafundisha wengi sana karibia wasabato wa dunia nzima waelewa kiswahiri wanasikiliza mafundisho yako na hata ambao siyo wasabato wanatarajia ukweli tofauti na uongo waliowai usikia huko walipohukataa, sasa mwalimu unawafundisha watu kuhusu jehova na unawaombea kwa jina lake je, ni kweli ujui nini maana ya jina jehova? Au kwa sababu imeandikwa kwenye biblia basi na sisi tumtaje tu bila kuoji? Unawafundisha watu kuhusu yesu na mitume PAMOJA NA WANAFUNZI wake ni weupe je, ni kweli ujui kuhusu historia ya maraika 19 waliomuasi MUNGU na kuja kufanya machukizo hapa duniani? Ninamaswali mengi sana naitaji kukuhuliza mwalimu sema kwanza nilikuwa naomba unijibu aya machache tu kutokana naitaji ufahamu zaidi kuhusu hili. ......thxs

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  3 ปีที่แล้ว

      Pangilia maswali yako vizuri. Swali kwanza la pili na kuendelea ndipo nianze kujibu

  • @peterkinysi1843
    @peterkinysi1843 2 ปีที่แล้ว +2

    Hayo mafundisho nayaelewa vizuri kuhusu utabiri wa kinabii kuhusu mpinga kristo. Mimi ni muanglikana na history kuhusu makanisa naijua vizuri. Mimi nipo tofauti nkuulize swali, kwa imani yako, je wasio wasabato wataenda motoni, na walio wasabato ndio watakao enda peponi. Matendo yetu ndio yata hukumiwa dhehebu halitupeleki peponi au motoni. Kwhiyo ninyi ndo mpo safi.

    • @lugembezenzele6555
      @lugembezenzele6555 2 ปีที่แล้ว

      Ushajijibu mwenyewe,kuwa msabato sio ticket ya kwenda mbinguni

  • @magdaelisa1120
    @magdaelisa1120 3 ปีที่แล้ว

    vipaji tulivyo pewa tuvitumie. Mwenye

  • @deone728
    @deone728 7 ปีที่แล้ว +4

    Barikiwa Sana Pastor

  • @EmmaMzalendo
    @EmmaMzalendo 5 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @nezerinejuma5510
    @nezerinejuma5510 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🏾

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 9 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @moseskayan3705
    @moseskayan3705 6 ปีที่แล้ว +3

    nimelewa safi kabisa umenifanya nimjue jesu mpaka nalia nikiandika coment hii mungu akuongezee ujasiri

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  6 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki saaaana,uendelee kukua katika neema

    • @moseskayan3705
      @moseskayan3705 6 ปีที่แล้ว

      Amina na iwe hivyo kama mungu atakavyo yeye

  • @arogiusprosper7760
    @arogiusprosper7760 7 ปีที่แล้ว

    pastor nabarikiwa sana na mahubiri yako Mungu akutie nguvu

  • @miriamquite7665
    @miriamquite7665 5 ปีที่แล้ว +1

    Thank you pastor 🙏🙏

  • @winnieesther1423
    @winnieesther1423 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimfurai sana mchungaji ni siku yangu ya kwanza kukuskia ila nimebarikiwa,,,watching from Saudi Arabia 2019

    • @mathayofelix3235
      @mathayofelix3235 4 ปีที่แล้ว

      Winnie Esther barikiwa Sana

    • @barakamtabwigwa1726
      @barakamtabwigwa1726 3 ปีที่แล้ว

      @@mathayofelix3235 unaweza nipatia namba ya mchungajii mbaga

  • @agneskatuma3573
    @agneskatuma3573 6 ปีที่แล้ว

    hongera sana mchungaji uko na hekima sana

  • @amanimwidowe9408
    @amanimwidowe9408 6 ปีที่แล้ว

    Mbaga Mungu akupe umri mrefu uinue na walio lala amina

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 6 ปีที่แล้ว +3

    Kanisa hizo za kuabudu dhahabu zina wenyewe kina "(DEVI)" MAY GOD OPEN THEIR MIND IN JESUS NAME

  • @gracezunda8804
    @gracezunda8804 5 ปีที่แล้ว

    Njoo musoma uongoe waliorudi nyuma nawengine pia pastor please please njoo kanisa la pwani

  • @augustinokaguotv2245
    @augustinokaguotv2245 5 ปีที่แล้ว +1

    wewe kama huamini amri kumi za Mungu kwenu dhambi ni ruksa ufunuo 14:12 hapo ndipo penye subira ya watakatifu washikao amri za Mungu na imani ya yesu Ufunuo 12: 17; joka akamkasirikia mwanamke akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake washikao amri za Mungu na ushuhuda wa yesu naye akasimama juu ya mchanga wa bahari wewe shupaza shingo

  • @calebumanganyu7278
    @calebumanganyu7278 7 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa Sana'a na mahubiri haya

  • @hopeuwera2947
    @hopeuwera2947 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana

  • @medsonmgallah6760
    @medsonmgallah6760 6 ปีที่แล้ว

    mungu anaona mi mkatholiki pyua

  • @joshuamartin691
    @joshuamartin691 6 ปีที่แล้ว

    Amen
    By Peter Japheth Ngulu

  • @augustinokaguotv2245
    @augustinokaguotv2245 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa poster

  • @vitalesikagi3475
    @vitalesikagi3475 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe wewe na BWANA

  • @mapendoimani2462
    @mapendoimani2462 5 ปีที่แล้ว

    Salvation is more what is in your heart than what is your Head.

  • @JohnJoseph-my2zq
    @JohnJoseph-my2zq 7 ปีที่แล้ว

    hongera sana mchungaji

  • @osianamwambisi6467
    @osianamwambisi6467 6 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa mchungaji! Mi ndo msabato kwa sababu nakubali biblia yote ya ukweli amri kumi za MUNGU na imani ya Yesu kristo

  • @tumainvedasto
    @tumainvedasto 11 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli lakini watu vichwa havina nywele yaani akili

  • @mashishangahumbuyu5378
    @mashishangahumbuyu5378 6 ปีที่แล้ว

    Pr ubarikiwe sana

  • @jamessiwakwi4695
    @jamessiwakwi4695 7 ปีที่แล้ว +2

    Amina! Sana

  • @mapendoimani2462
    @mapendoimani2462 5 ปีที่แล้ว +1

    Bibilia ni moja tu Tafsiri ndiyo ipo tofauti kulingana na tamaduni na lugha iliyo tafsariwa na walio Tafsiri.sasa watu wengi sasa wanawasikiliza viongozi wao wa Dini kuliko kumsikiliza Roho Mtakatifu.

  • @jimmylukas1209
    @jimmylukas1209 7 ปีที่แล้ว

    nabarikiwa mno

  • @ibrahimthabit6187
    @ibrahimthabit6187 5 ปีที่แล้ว +4

    Paster nahitaji kubatizwa

  • @mjeshiayubu7858
    @mjeshiayubu7858 4 ปีที่แล้ว

    Nic iko poa

  • @davisrotich116
    @davisrotich116 5 ปีที่แล้ว

    somo limenijenga mno

  • @kisoimunyithya3893
    @kisoimunyithya3893 2 ปีที่แล้ว

    Pastor can you teach about the doctrine of trinity?

  • @japhetkabogo1610
    @japhetkabogo1610 6 ปีที่แล้ว +1

    Hizo DVD zinapatikana wapi kwa hapa mwanza

  • @laurentieliasi2496
    @laurentieliasi2496 4 ปีที่แล้ว

    Mchungaji kama utauona ujumbe huu tafadhali naomba unieleweshe au kama yeyote anafahamu naomba anijuze kuna tofauti gani kati ya zaka na fungu la kumi?

  • @MahubiriPrMmbaga
    @MahubiriPrMmbaga  7 ปีที่แล้ว +4

    lilikua linsemaje

  • @GuillaumeLumande-j3d
    @GuillaumeLumande-j3d ปีที่แล้ว

    👀🤔🙏

  • @sadickmponyamili7070
    @sadickmponyamili7070 7 ปีที่แล้ว

    KUNA SOMO NILILISIKIA JUZ KAMA TAREHE 25 AU 26 AGUST NILKUWA USINGIZINI KUTOKA REDIONI SIJUI NDIO HILI ILA SILKUMBUKI LKN NALPENDA SANA KM MKILIPATA NDG KTK KRISTO NAOMBENI KULPATA PIA
    #MUNGU ATUSAIDIE SANA WAPENDWA

  • @kelvinnyagah2494
    @kelvinnyagah2494 7 ปีที่แล้ว

    Be blessed Amen

  • @myself4128
    @myself4128 3 ปีที่แล้ว +2

    Hivi Nyie mnang'ang'ania mafundisho ya sheria zilizowahusu wayahudi mpaka lini???kabla.Yesu hajafa msalabani Tulikuwa tunaishi chini ya sheria lakini ALIPOFUFUKA HATUPO TENA CHINI YA SHERIA,SOMA WAGALATIA 3:24..Sheria ilikuwa ikituongoza kabla ya Yesu kuja, soma WARUMI(ROMANS) 6:14 FOR SIN HAS NO POWER OVER YOU,Hatupo tena chini ya sheria!!
    Biblia inasema mtu na asiwahukumu kwa SABATO(WAKOLOSAI 2:16) sikukuu wala mwandamo wa mwezi, Tumche Mungu kila siku tuishi kitakatifu kilasiku ila lazima tuwe na SIKU YA MAPUMZIKO WEEKEND!YESU NDIYE BWANA WA SABATO,BIBLIA INASEMA HAKUNA ANAYEWEZA KUHESABIWA HAKI MBELE ZA MUNGU KWA KUFUATA SHERIA HAKUNA!!!!!!!!!!!Wagalatia 3: 11 ni kwa imani Tu tutamwona Mungu!!!

    • @lusanikaseke4117
      @lusanikaseke4117 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akusaidie utambue kua Ufunuo pia ni kitabu cha agano jipya ba kilisimuliwa na kuandikwa na mtume na nabii yohana aliye kua mwanafunzi wa Yesu na pia ufunuo huo aliupokea kutoka kwa malaika ambae alipewa na Bwana wetu Yesu kristo ilitupate kutambua mambo yaliyopo sasa. Mafungu uliyosoma ni sahihi lakini Roho mtakatifu akufunulie uyaelewe kwa kina na kumbuka hili; Njia ni nyembamba nayo imesonga iendayo uzimani waionao ni wachache, lakini pia njia ni pana iendayo upotevuni waionao ni wengi.
      hivyo tafuta kuzishika sheria ukiwa na imani ya Yesu, isikuchanganye; hatuokolewi kwa sheria ila kwa neema.

    • @lusanikaseke4117
      @lusanikaseke4117 3 ปีที่แล้ว

      kama sabato yaani pumziko takatifu sio dhambi vp kuhusu kua na miungu mingine na kujifanyia sanamu na kjziabudu??? habari gani kuhusu kuzini na kuua na kushuhudia uongo??? nukuu maneno ya Yesu katika Mathayo 5:17... alisema:
      msidhani ya kua nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kuitangua, bali kuitimiliza
      18 kwa maana, amini, nawambia, mpaka mbingu na nchi zitapoondoka, yodi moja au nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie.
      19 basi mtu yeyote atakaye vunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.) basi uelewe Yesu hakuipinga sabato bali alitufundisha kuitunza yana kutenda mema na kusaidia, pia kuponya na kuinua siku ya sabato na ndo ulikua mgogoro wake na wayahudi. na pia Yeye ndiye Bwana wa sabato yani aliye atoa amri na katika yeye tunapata pumziko la kweli na uponyaji.
      basi

  • @samoramagafu5161
    @samoramagafu5161 7 ปีที่แล้ว

    asante kwa mahubiri lakini ukweli utabakia ukweli tu Yesu ambaye ndiye neno la Mungu hakutuambia tushike sabato, Mt 17:5, ujuzi huo wote wa maandiko ni porojo tu 2 kor 3:6. na kichwa cha kanisa ni Yesu, weak doptrine pastor mbaga.

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  7 ปีที่แล้ว

      Samora Magafu Mathayo : Mlango 24
      20 Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato.
      Unaweza kunisaidia andiko hilo lina maaana gani?

    • @kabaranamaganga6646
      @kabaranamaganga6646 6 ปีที่แล้ว +1

      Yesu anaposema Mimi ndie Bw wa sabato ana maana gani? Na alipomwambia yule alietaka uzima wa milele kwamba je wazijua sheria alimaanisha nn?

  • @annastaziamaternus1373
    @annastaziamaternus1373 5 ปีที่แล้ว +3

    majigambo 100 100,waadventista ninyi injili yenu imejikita Sana katika sheria , siku na kuwatoa waliokwishamwamini Kristo katika makanisa yao, ila injili ya kumfanya mtu ambaye hamjui Bwana amjue mmeshitupilia mbali, yaani mnavua samaki Katina madiaba ya wenzenu na kuwaamishia kwenu, why msiende baharini mkavue ,huu ujanja utawapeleka jehanamu Ohoooo

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  5 ปีที่แล้ว

      Annastazia Maternus Pole sana. Nadhani umetuelewa vibaya. Angalia masomo mengine pia

    • @donaldmwahalende4841
      @donaldmwahalende4841 5 ปีที่แล้ว

      Wewe beba maswali yako tukusaidie fuata ukweli

    • @danielmkama4636
      @danielmkama4636 4 ปีที่แล้ว

      Annastazia Maternus dada hili somo haujalielewa ukielewa na ukasoma biblia utapata nuru ya kweli mchungaji anatumia mafungu ndani ya biblia uongo wake uko wapi

    • @yusuphkishegena596
      @yusuphkishegena596 4 ปีที่แล้ว

      Acha kuhamak hayo n. Mafundisho2

    • @yusuphkishegena596
      @yusuphkishegena596 4 ปีที่แล้ว

      Na inaonekana huyo dada biblia hua haisom au kama anaisoma Kama Gazet lakin akiskiliza vizur ataelewa hapo hakuna uongo

  • @cishahayoeliemoses6359
    @cishahayoeliemoses6359 4 ปีที่แล้ว

    Apa mimi ninaswali,mbona makanisa mengine kuna ucaguzi unafanyika

  • @maitretv7603
    @maitretv7603 6 ปีที่แล้ว

    Mungu yupo kazini kwani tunaishi wakati wa udanganyifu kuu; kama vile ulimwenguni kila mtu anataka awe rais wa Jamhuri, kanisani pia kila mtu ana huduma. Unabii, ndoto, na maono zatokea huko na kule kwa kugawa huduma. Wanaongeza kazi ya wanawake hadi mimbarini. Jina la Bwana Yesu Kristo linafanywa kuwa biashara, makesha za maombi zimepangwa mwisho wa kila mwezi. Watu waliyo anguka kutoka neema, wanao ngojea jehanamu wao ni watumishi wa Mungu. Wana wa mapepo! Kuna mambo mawili ya kufanya: Ao muonyeshe wazi wazi kwamba mimi ni katika kosa na ninajiunga nanyi wala basi muyatambue makosa yenu mbele ya watu wote na nifute masinagogi zenu. Kila mara ninaona mambo namna hii.
    #ProphetKacouPhilippe
    www.philippekacou.org
    goo.gl/s1X3WY

  • @amanimwidowe9408
    @amanimwidowe9408 6 ปีที่แล้ว

    unasema ukweli

  • @samuelpeter6964
    @samuelpeter6964 5 ปีที่แล้ว +1

    Vipi kuhusu hicho kisanamu sijakielewa

  • @drostaflorian7970
    @drostaflorian7970 5 ปีที่แล้ว

    AMINA

  • @amanimwidowe9408
    @amanimwidowe9408 6 ปีที่แล้ว

    amina

  • @fortnataangelo4805
    @fortnataangelo4805 5 ปีที่แล้ว

    Jamani naomba kujua ,sasa huyo kahaba, anazaa mabinti wastaarabu, au makahaba kama yeye,,,

  • @eliadajustus555
    @eliadajustus555 6 ปีที่แล้ว

    pastor naomba unisaidie fungu linalosema tuimbe bila kucheza

    • @denismodest1540
      @denismodest1540 5 ปีที่แล้ว

      isay 65:5na uangalie referenc chini ya biblia kwenye ukurasa huohuo

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 ปีที่แล้ว

    Mbona hata siku ya MUNGU alitakaza hukuangali kwa mandiko?

  • @jonasjoe3623
    @jonasjoe3623 7 ปีที่แล้ว +1

    Mch mbona nyuma yako kuna sanamu kama limeshika mkuki,kwani haulisafishagi?

    • @frozahjulius3581
      @frozahjulius3581 7 ปีที่แล้ว

      Hahhahahha hahhahahhahaha hahhahaha Hahhahahha hahhahahhahaha hahhahaha Hahhahahha

    • @nicholausrutayuga4570
      @nicholausrutayuga4570 6 ปีที่แล้ว

      Maskini swali lako halikuwahi kujibiwa!!!!

    • @lusanikaseke4117
      @lusanikaseke4117 3 ปีที่แล้ว

      hiyo sio sanamu ni picha iliyobeba ujumbe wa vita tazama kwa makini utaona mkono ulioshika kombeo na jiwe kwenye kombeo na fimbo mkono mwingine halafu yachunguze maandiko upate neno

  • @drostaflorian7970
    @drostaflorian7970 5 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏

  • @mo-zillah5683
    @mo-zillah5683 6 ปีที่แล้ว +1

    pastor mmbaga, mi nataka kuwa pastor nami napenda sana kufundisha.unaweza kunisaidia mtumishe wa Mungu-namba yangu 0743054879 na 0743774573 nisaidie tafadhali

    • @edwardmamuya8066
      @edwardmamuya8066 5 ปีที่แล้ว

      Kanisa la Mungu ni moyo wa Mwanadamu. Makanisa mengi unayotaja hayajaacha kutekeleza amri 10 za Mungu.

  • @matthewglory2877
    @matthewglory2877 6 ปีที่แล้ว

    Mchungaji unapatikana wapi??

  • @annastaziamaternus1373
    @annastaziamaternus1373 5 ปีที่แล้ว

    Ukitafakari kwa kina ninyi wasabato mmekalia kiti cha Musa kuwahukumu wenzenu ,mafarisayo wanaishi. mmezikazania sharia lakini hamzishiki, sabato za miezi na miaka mnazitunza? kwa washika amri inatakiwa Kama ni mkulima ulime miaka sita, ila mwaka wa saba upumzike, wasabato hii mnaishika? au ndo sheria kidogo na neema kidogo.

    • @geofreymsigala9181
      @geofreymsigala9181 5 ปีที่แล้ว

      Ukitafakari kwa kina nikweli.....lakini ukisoma biblia kwa kina utabaini hayo unayoyasema si kweli, Mungu akubariki uwe msomaji mzuri wa maandiko bila kutetea msimamo au dini yako!

  • @samoramagafu5161
    @samoramagafu5161 7 ปีที่แล้ว

    msisitizo uliowekwa kuhusu sabato katika agano la kale na vzito wa hoja yako hiyo bado ni dhafu sana.

  • @richardcastro2386
    @richardcastro2386 6 ปีที่แล้ว +1

    Hua Nashangaa Uki like post ina futika

  • @adventisthope2454
    @adventisthope2454 7 ปีที่แล้ว

    Naomba maendelezo ya mitume walivyofariki

  • @leonardkayolo7314
    @leonardkayolo7314 6 ปีที่แล้ว

    Samahani sana mchungaji, naomba kama utaipata SMS hii, naomba unitumie namba yako kwa email hii. leonard.kayolo@gmail.com

  • @madolaclassic9247
    @madolaclassic9247 6 ปีที่แล้ว +1

    Wapendwa katika Kristu, ukweli utabaki kuwa ukweli tu! Yesu ndiye mwazilishi wa kanisa na yeye ndiye kichwa cha kanisa.kanisa haliwezi kumzaa Yesu,na Yesu mwenyewe aliacha kanisa moja tu! Nalo ni kanisa takatifu katoliki la mitume na alimchagua petro kuwa kiongozi wa kanisa.mengine ni madhehebu Tu! ambayo watu wenyewe wameyanzisha,soma biblia vizuri utaujua ukweli.

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  6 ปีที่แล้ว

      madola classic Wapi imeandikwa?

    • @kabaranamaganga6646
      @kabaranamaganga6646 6 ปีที่แล้ว +1

      Je kabla ya ujio wa yesu akina yohana walifundisha na kubatiza wao walikuwa wa kanisa gani? Leta ushahidi wa maandiko ya kile unachokisema

    • @bahatiomenda5371
      @bahatiomenda5371 5 ปีที่แล้ว

      pole sana mpendwa

    • @notbulgajohn4082
      @notbulgajohn4082 4 ปีที่แล้ว

      Duuu bado upo mbali Sana na maandiko matakatifu,waomba Mapadri wakuonyeshe ushahidi kutoka Bible . Mungu akusaidie.tunaombea .

    • @DottoBazil-nx2cd
      @DottoBazil-nx2cd 6 หลายเดือนก่อน

      Tusome kitabu Gani ili tuthibitishe hayo unayoyadai?

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 4 ปีที่แล้ว

    Kuna jambo linanichanganya kidogo kutokana namahubiri za namna nyingi ambazo tunahubiriwa jambo LA kwanza je mtu anampenda Mungu yesu roho mtakatifu au kanisa lake kwa sababu kwakweli kila kanisa linamsimamo wake na ina mahali fulan imeshikilia kwenye biblia na ukiangalia msingi wakila kanisa ni mwanadamu amepata maono akasambaza kwa watu akaisemea akawapata wafuasi wengi basi ikawa imani ,katoliki ukiwauliza swali watajibu kwa maandiko Lutheran ivyo ivyo waingilikana nao ivyo Pentecostal ivyo wasabato wa Jehovah nao sasa nani mkweli .

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  4 ปีที่แล้ว

      WAPIME KAMA WANACHOKISEMA KINAUNGWA MKONO NA BIBLIA AU WANA LAZIMISHA BIBLIA IUNGE MKONO MAWAZO YAO?

  • @JohnJoseph-my2zq
    @JohnJoseph-my2zq 7 ปีที่แล้ว

    paster nitapataje hicho kitabu cha papa?

  • @grace-angeleplasseu1381
    @grace-angeleplasseu1381 6 ปีที่แล้ว +1

    Swali: Mtume KACOU Philippe ni nani?
    Jibu: Kacou Philippe ni Mtume ambaye Bwana wetu Yesu Kristo aliwapelekea wote
    dunia kama manabii wa Biblia kulingana na Mathayo 23: 34-35. Maneno yake yana thamani sawa
    kuliko wale wa manabii wa Biblia. Yeye ni kama Nuhu leo. Ikiwa unakataa, wewe
    wamemkataa Yesu Kristo na kumtumikia na kumwabudu shetani bila kujua.
    www. philippekacou. org

  • @kelvinkimeu9974
    @kelvinkimeu9974 6 ปีที่แล้ว

    Sheria za Musa hazina maana tens ata kidogo,,,Yesu alijumlisha sheria zote katika upendo,,,wasaboto wamelaaniwa kwa sababu wanakiburi wanajiona wao ndio watakatifu pekeao,,,Siku wala ndini hazimpeleki mtu mbinguni mbali imani aliyo nayo katika Yesu,,,punguzeni majigambo. May God forgive you and show you correct way to even is not day but believing that Jesus died for your sins.

    • @kabaranamaganga6646
      @kabaranamaganga6646 6 ปีที่แล้ว +1

      Unahitaji msaada zaidi nakusihi soma vitabu upate maarifa

    • @kabaranamaganga6646
      @kabaranamaganga6646 6 ปีที่แล้ว +1

      Umesema vema juu ya sheria za Mussa je amri kumi za Mungu nazo zilifutwa? Ambazo ndani yke mna amri ya 4 ya kuitunza sabato?

    • @kabaranamaganga6646
      @kabaranamaganga6646 6 ปีที่แล้ว +1

      Bw Yesu anasema sikuja kuitangua torati Bali kuitimiliza dunia na vyote vilivyomo vitapita lakini hakuna hata yodi 1 ya torati itakayo ondolewa na tena yesu ndie Bw wa Sabato

    • @kabaranamaganga6646
      @kabaranamaganga6646 6 ปีที่แล้ว +1

      Mtu 1 alimwendea yesu akamwuliza nifanyeje nipate kurithi ufalme wa mbinguni akaambiwa je wazijua amri ?akajibu ndio nimezishika toka utoto wng !yesu kwann alimuuliza juu ya amri kabla ya mambo mengine yote ?Amri 10 za mungu hazikufutwa na zilikaa ndani ya sanduku la agano Bali sheria za Mussa zilizokaa juu ya sanduku la agano ndo zilizofutwa nakukaribisha uende popote lilipo kanisa la waadvetista wasabato na maswali yote ulionayo upate tiba ya kiroho

    • @notbulgajohn4082
      @notbulgajohn4082 4 ปีที่แล้ว

      Pole Sana Bwana Yesu akutetee na kukuonyesha kuwa ndiye Bwana wa Sabato

  • @elimikasauti9tv247
    @elimikasauti9tv247 6 ปีที่แล้ว

    very interesting sermon
    ubarikiwe pastor,, Mungu akuhifadhi umalize jukumu alilokusudia la wewe kuumbwa ktk ulimwengu huu wa Dhambi

  • @zahaljamal4520
    @zahaljamal4520 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @mashishangahumbuyu5378
    @mashishangahumbuyu5378 6 ปีที่แล้ว

    Pr ubarikiwe sana

  • @geraldjozee7813
    @geraldjozee7813 6 ปีที่แล้ว

    Amen