Mch Mmbaga " MAJIRA YA UKAME MAISHANI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น •

  • @ruthkosgey9176
    @ruthkosgey9176 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina Mchungaji nimebarikiwa na fundisho hili.Mungu akuwezeshe ili uendelee kufudisha kwa hekima zake neema zake kuu duniani kote.❤❤❤

  • @aminamlungu6685
    @aminamlungu6685 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu huleta watu wake kwa wakati pasta mungu akubaliki sanaaa nilikosa tumaini na faraja Sasa naj8ona Mimi ni mshindi

  • @watwegopnina6480
    @watwegopnina6480 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen mchungaji wangu, Bwana Mungu atuongoze,

  • @mathiasmrita670
    @mathiasmrita670 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutie nguvu postor na akupe maisha marefu

  • @piterlaiza5576
    @piterlaiza5576 5 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa

  • @kidorafiki
    @kidorafiki 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki..

  • @violetnyansiaboka2821
    @violetnyansiaboka2821 5 ปีที่แล้ว +3

    Amina

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 5 ปีที่แล้ว

    Amina, baba Mungu akubariki Mch.Mmbaga, hakika Mungu yuko kinyume na akili za watu.

  • @amjudith
    @amjudith ปีที่แล้ว

    I needed this.God bless you

  • @alicesidi9601
    @alicesidi9601 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏

  • @bilantanyejrbilantanye7106
    @bilantanyejrbilantanye7106 5 ปีที่แล้ว +1

    Kalibu sana maswa simiyu.

  • @dilurai4204
    @dilurai4204 3 ปีที่แล้ว

    Amina mchungaji,Mungu akubariki

  • @elimikasauti9tv247
    @elimikasauti9tv247 6 ปีที่แล้ว

    Pastor Mmbaga barikiwa saaana
    kwa kutueleza mazito juu ya somo hili

  • @saradolaso9730
    @saradolaso9730 6 ปีที่แล้ว

    Amen barikiwa mtumshi wa mungu tunabarikiwa naneno la bwana Jesu 🙏🙇🙏

  • @graceymaghema2753
    @graceymaghema2753 6 ปีที่แล้ว

    Amina na barikiwa sana na mahubiri yako.

  • @emmanuelmogela5871
    @emmanuelmogela5871 6 ปีที่แล้ว +3

    we hatari kaka du noma sana, unafundisha hadi natamani nikuone live

  • @anethkimanga2317
    @anethkimanga2317 6 ปีที่แล้ว

    mungu aku bariki pastor kwa ma fundisho

  • @jackjulyndunguson1729
    @jackjulyndunguson1729 6 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa mahubir mazur haya nimependa sana hii

  • @geoffreynakhale2569
    @geoffreynakhale2569 6 ปีที่แล้ว

    Ukweli kabisa!!!

  • @parokomnkeny4934
    @parokomnkeny4934 7 ปีที่แล้ว +2

    AHSANTE SANA MCHUNGAJI WANGU KWA ELIMU NA MAFUNDISHO YAKO MAZURI NAKUELEWA SANA MUNGU AKUBARIKI UFIKE MBALI

  • @awezayemadgarene2163
    @awezayemadgarene2163 6 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @isaacklazaro3780
    @isaacklazaro3780 7 ปีที่แล้ว +4

    Nakuelewa sana Pr Mmbaga! kuna wakati huwa na maswali mengi sana natamani sana kupata E-mail yako.....................................

    • @elimikasauti9tv247
      @elimikasauti9tv247 6 ปีที่แล้ว

      shida ya Pr.mmbaga ndiyo hiyo tangu ucomment umeshapewa email yake???
      mm mwenyewe kuna wakat nilikuwa na uhitaji naye ,nikapata access zake
      lakini mwisho wa siku JUHUD ZANGU ziligonga mwamba

    • @margratematuku3824
      @margratematuku3824 6 ปีที่แล้ว

      +Florence Mellitusi follow him on instagram n ask him any questions not here

  • @paxstondimpoz9905
    @paxstondimpoz9905 6 ปีที่แล้ว

    Vzur sana

    • @justinepaul4615
      @justinepaul4615 6 ปีที่แล้ว

      God bless u

    • @tumainilatangujadidouglas7887
      @tumainilatangujadidouglas7887 6 ปีที่แล้ว

      Pst mbaaga Mimi mwinjilst kahindi nabarikiwa sana nikiwa Mombasa kenya na barikiwa kwa mafundisho naomba kuwekwa kwa kundi la watu wa maombi, Niko kwa what's up siko kwa lstagram barikiwa mtumishi naomba nikualike Mombasa Kenya ubariki watu wa mungu God bless you

    • @tumainilatangujadidouglas7887
      @tumainilatangujadidouglas7887 6 ปีที่แล้ว

      Mwinjilst kahindi from Mombasa Kenya no ya simu+254722620074

    • @loycep7785
      @loycep7785 5 ปีที่แล้ว

      Loyce philipo
      Pastor Naomba umuombee mama yangu alipata strock tangu mwaka jana ili apate uponyaji na zaidi sana awe na matumaini kuwa Yesu ana ponys

    • @ezekielmbwambo6113
      @ezekielmbwambo6113 3 ปีที่แล้ว

      Paster umenibariki sasa

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @maxlove2668
    @maxlove2668 5 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @ihogozalourance7571
    @ihogozalourance7571 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 4 หลายเดือนก่อน

    Amen