Mch Mmbaga,(MADHARA YA KUWAENDEA WACHAWI)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • SAULI ALIPOONA MAMBO HAYAENDI AKAGEUKIA WACHAWI.
    WATU WENGI LEO HUGEUKIA WACHAWI BILA KUJUA MADHARA YAKE.
    USISAHAU KU BONYEZA SUBSCRIBE KWENYE CHANEL HII
    PIA PAKUA MAOMBI APP KWENYE SIM YAKO

ความคิดเห็น • 52

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante mchungaji kwa maana umenipa funzo

  • @user-nd3rd3xo7x
    @user-nd3rd3xo7x 7 หลายเดือนก่อน

    God bless you I have been inspired

  • @agnesseunice5632
    @agnesseunice5632 3 ปีที่แล้ว +1

    Unanibariki Sana Pr mmbaga mahubiri ya neno la Mungu, Mungu asikuache daima,aamin

  • @glorymarandu5426
    @glorymarandu5426 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi wa Mungu barikiwa Sana nami nimebarikiwa Sana kwakuwa nimejifunza mengi kutoka kwako kwakuwa Roho wa Mungu anakutumia vema

  • @victoriajames6190
    @victoriajames6190 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @mamapendo7290
    @mamapendo7290 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mch. Mungu akubarik zaid mafundisho yako yananihamasisha kusoma neno ka Mungu.Asante sana!

  • @Juma-js2ce
    @Juma-js2ce ปีที่แล้ว

    Barikiwa saana nikati ya mahubiri ambayo sitachoka kuyasikiliza

  • @fabricekapopo11
    @fabricekapopo11 7 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki na akupe nguvu ili uzidi kutufunza mengi

  • @dadarehema
    @dadarehema 7 ปีที่แล้ว +9

    Nashukuru sana Pr.Mbaga kila siku naendelea kufanyika upya, from Sweden

  • @danielkago7497
    @danielkago7497 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen mchungaji mumebarikiwa Sana mchungaji

  • @ruthaminga7160
    @ruthaminga7160 3 ปีที่แล้ว +1

    Am here 2020 can't stop listening to Ur inspiring words

  • @teresitaphilip2287
    @teresitaphilip2287 6 ปีที่แล้ว +3

    ubarikiwe sana mchungaji najifunza mengi kupitia mahubir yako.

  • @christinabigambo6754
    @christinabigambo6754 7 ปีที่แล้ว +6

    Bwana Yesu asifiwe

  • @jaredmayaka2993
    @jaredmayaka2993 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏🙏 be blessed Soo much pastor I have been blessed Soo much

  • @kozimomkambwa1240
    @kozimomkambwa1240 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @fgbeatricegg145
    @fgbeatricegg145 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki niko saudi Arabie nakufata vizuri sana

  • @janemakoye9213
    @janemakoye9213 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @akinyisusan8049
    @akinyisusan8049 5 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana nakupata vizuri nikiwa hapa Iraq Baghdad

  • @azaliandukeki171
    @azaliandukeki171 7 ปีที่แล้ว +5

    asante PR.

  • @ballohhopaschal1098
    @ballohhopaschal1098 6 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwe pastor,,,, endelea kufunua ukweli

  • @sikuzanibusanya7352
    @sikuzanibusanya7352 2 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @maanzomatheka851
    @maanzomatheka851 2 ปีที่แล้ว

    Nimebalikiwa na ujumbe

  • @annaraphael6613
    @annaraphael6613 4 ปีที่แล้ว +1

    hakika daima napenda sana mahubili yako.

  • @beatricehenry7101
    @beatricehenry7101 6 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @richardmpelasoka5309
    @richardmpelasoka5309 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi

  • @agneskatuma3573
    @agneskatuma3573 6 ปีที่แล้ว +1

    amina yesu ndiye nguvu na ufufuo

  • @MahubiriPrMmbaga
    @MahubiriPrMmbaga  7 ปีที่แล้ว +4

    Asanten sana

  • @vicentndiholeye1067
    @vicentndiholeye1067 2 ปีที่แล้ว

    amina

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina Mungu ni mwema

  • @julijuli7037
    @julijuli7037 6 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru mutumishi na nabii wamungu kunipa imani kuhusu kuja kwa YESU kilajicho litamuona nikweli nami nitamuona sababu ninatamani sana uzima wa milele.

  • @user-yy5tz2zp8r
    @user-yy5tz2zp8r 11 หลายเดือนก่อน

    Amee

  • @akinyisusan8049
    @akinyisusan8049 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @spajojoseph6418
    @spajojoseph6418 6 ปีที่แล้ว +1

    naijua sehemu ya fraha yangu ni kiduchu tuu kwenye maisha ya ulimwengu habali gan
    wakati napo patwa na hofu je mahubiri yako hayani fariji? katika safar ya imani
    nasii tudumu katika maombi huku tukiombeana

  • @agneskatuma3573
    @agneskatuma3573 6 ปีที่แล้ว +1

    amina ni kweli kiburi hakina maana

  • @furahiniubarikiweprmbwambo9721
    @furahiniubarikiweprmbwambo9721 7 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana pastor

  • @mashishangahumbuyu5378
    @mashishangahumbuyu5378 6 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe pt

    • @maryoswald6192
      @maryoswald6192 6 ปีที่แล้ว

      Barikiwa kwakufundisha kweliiii

    • @meshakimgao9805
      @meshakimgao9805 5 ปีที่แล้ว

      nabalikiwa sana mtumishi Mungu akuweke,

    • @hawabakari473
      @hawabakari473 5 ปีที่แล้ว

      Barikiwa mtumishi wa mungu,nashukuru kwa mafundisho mazuri yananibariki sana

  • @julijuli7037
    @julijuli7037 6 ปีที่แล้ว +1

    Ila mutumishi na nabii wa MUNGU naomba sana shauri kwako ninahitaji tafadhari niko inje ya Tanzania nitakupata namna ganini?naomba jamani.

  • @jeremiamisango4458
    @jeremiamisango4458 6 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji nakushukuru kwa mafundisho mazuri ikiwezekana uwe unanitumia mafundisho kwa njia ya whatssap 0766209256

  • @RehemaSesinga-si6xu
    @RehemaSesinga-si6xu 11 หลายเดือนก่อน

    Bwansa

  • @teresitaphilip2287
    @teresitaphilip2287 6 ปีที่แล้ว +2

    ubarikiwe sana mchungaji najifunza mengi kupitia mahubir yako.

  • @azaliandukeki171
    @azaliandukeki171 7 ปีที่แล้ว +5

    asante PR.