40. Lakini namna ya Mungu inabaki ile ile. Musa ndiye alianzisha ukuhani wakati wake. Na kama uko mtumishi ya kweli ya Mungu, uta kuja ngambu ya Musa kama Jéthro, kuani ya Madian. Yohana Mbatizaji aliwachagua mitume na wafwasi wake. Bwana Yesu Kristo ndiye aliwachagua mitume na wafwasi wake. Ni Paulo aliyewachagua mitume na wafwasi wake. Na Mungu atakapotuma nabii duniani itakuwa tu hivyo hivyo. Na hili ndilo jambo moja tu linalo kubaliwa na Mungu. Huduma ni uchaguzi wa uungu, silo jambo la akili au la pesa au la upako. Ninajua kufundisha halafu mimi ni hiki au kile. Nina upako mkubwa, ninafanya miujiza kwa hiyo mimi ni hiki au kile. Yote ile ni shetani toka mwanzo hadi mwisho. Na kama Israeli, jambo lile lile lilipitika upande huu. Goo.gl /s1x3Wy
Eeeeee Mungu ninakuomba uniinulie Jonathan kati ka maisha yangu🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Asante Mungu kwakunifanya nimfahamu mtumishi wako David mmbaga🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Amina,, nashukuru Mungu maana pale nilianza kufwatilia mafundisho ,nabarikiwa sana,mungu azidi kukubariki
AMEN🙏 nmejihisi wepesi moyon hata mapigo ya moyo wangu yametulia thanks alot barikiwa hadi ushangae
😢😢may God of Jonathan save me from my enemies,am strong again through this word of God.God bless you pastor in Jesus name 🙏🙏
Very powerful message,Ubarikiwe pastor🙏🙏🙏
Nabarikiwa na mahubiri yako Mungu azidi kukutumia Amina
Injili kama hizi ndio tunahitaji ili tupone, ubarikiwe Baba mchungaji Mungu akurinde dhidi ya adui
As if your talking with me pastor
Thank yuh Lord be blessed pastor
Saa imefika nivalishe vazi lako Bwana
Ameen
Amina nimekuelewa saaana ubarikiwe Mtu wa Mungu
Asante kwa somo nimeelewa Sana ni saa ya ufunuo na uzima
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki mchungaji. Amina
umbarikiwe sana kwa uchumbe wako na uendelee hivyo AMEN
Ooh Asante YESU WANGU KIPENZ CHANGU
Amen ubarikiwe Pastor
Amina sana pastor somo zuri sana
Nikombolewe kwa jina la yesuu
Barikiwa sana mtumishi neno hili limeniinua na kunigusa
Amina Mch. Mbaga hata sisi tunakufuata hapa Burundi-Bujumbura Mungu akulinde.
metuschelah niyubuntu Mungu awabariki sana. Wajulishe watu wengi hapo Bujumbura
Mahubiri Kiswahili Tv asante sana roho mtakatifu awajaze mengi
Aimeeen Mungu akubariki
Wewe ni mtumishi wa Mungu wa baraka.ni na elimika kwa mafundisho.
naendelea kubarkiwa saana kwa mafundisho yako PR, kwa hakikaa mafundisho yako kila cku inanibrkii.
Asante sana maubiri yako yananifundisha mambo mengi ktk maisha. Barikiwa sana
MUNGU mkuu
Maina Christine kutoka Kenya tunakupata vizuri sana
So uplifting massage..blessings Pr
Barikiwa sana PR David mafundisho mazuri sana..
Amen
Tunabarikiwa sana na maneno yako mazuri PR ,David
Asant Sana Pr
Pr.ubarikiwe sana kwa somo zuri.
Mungu akubariki kila cku,binafsi nabarikiwa na mafundisho yako PR David
ubarikiwe zaidiiiii
Asante nimepata tiba
Pasta mungu akubariki ila pasta nataman sana nikuone lakin iko siku tutakutana maana masomo yako yananigusa
mungu akubariki ww upo tanzania au
amen man of God
hakika umenitibu ubarikiwe sana
Unatubariki sana pr endelea kutusaidia kupata mahubiri mengi.
Ubarikiwe Mchungaji Mmbaga
Ubarikiwe mahubiri haya ya menibariki Sana.
Pr naomba unisaidie kuyapata mahubiri ya Pr mbwana ya mwaka 2015 >>Uadilifu n.k yote kabsaaaa
TUNABARIKIWA SANA WATUMISHI WA MUNGU MUBARIKIWE SAAANAAA
sadick mponyamili tafadhali fika magomeni mwembe chai kwenye ofisi ya bulengela
40. Lakini namna ya Mungu inabaki ile ile. Musa ndiye alianzisha ukuhani wakati wake. Na kama uko mtumishi ya kweli ya Mungu, uta kuja ngambu ya Musa kama Jéthro, kuani ya Madian. Yohana Mbatizaji aliwachagua mitume na wafwasi wake. Bwana Yesu Kristo ndiye aliwachagua mitume na wafwasi wake. Ni Paulo aliyewachagua mitume na wafwasi wake. Na Mungu atakapotuma nabii duniani itakuwa tu hivyo hivyo. Na hili ndilo jambo moja tu linalo kubaliwa na Mungu. Huduma ni uchaguzi wa uungu, silo jambo la akili au la pesa au la upako. Ninajua kufundisha halafu mimi ni hiki au kile. Nina upako mkubwa, ninafanya miujiza kwa hiyo mimi ni hiki au kile. Yote ile ni shetani toka mwanzo hadi mwisho. Na kama Israeli, jambo lile lile lilipitika upande huu.
Goo.gl /s1x3Wy
Nna barikiwa sana mchungaji mungu aku bariki
Mungu akubariki sana nazdi kubarikiwa na mafundisho haya
Mungu akubarki Pr ili uendelee kutubariki
Silii ya ushindi ktk vitaa......
Amina.....,,,...
Amina
AMEN
Mniombee ndugu zangu napitia hya
ubarikiwe mchungaji
mimi hapa man of God
Si kwa mahangaiko haya
Sabato njema
kaugonjwa hako ss pr kakutokubali kukosolewa
Niko nje yaNchi nasumbuka sn namaboss zangu
Asante
Amen
I am happy to follow your scripture........pastor David be blessed
Amen emen emen
Living Water Of The Valley International Church Amen
1219
nikweli
modekai msabato namshukuru Sana mngu kwa kunipa ujasri wa kuyakubar majaribu magum niliyo nayo kwenye ndoa yang
H
Amen
Amen