KIMENUKA TENA: WABUNGE WAMVAA BASHE, SPIKA DKT. TULIA AMPA MAAGIZO MAZITO, "HAIFAI TENA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 67

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 3 หลายเดือนก่อน +22

    Mhe. Spika kila muda unavyo enda ndivyo anavyo shuka weledi wake wa kusimamia mwenendo wa Bunge. Yaelekea amekuwa mtetezi wa Serikali zaidi kuliko jukumu lake Kuu la kuishauri na kuisimamia Serikali (kwa niaba ya Wananchi). Hoja ya Mbunge kuhusu chai kama isinge rejelewa, Serikali ingeendelea kukaa kimya licha ya agizo walipewa mwanzoni mwa vikao vya Bunge hili linaloendelea. Hata hivyo, majibu ya Serikali ni mepesi sana na Spika kayaridhia!!

    • @HenryCastuli-jz3cx
      @HenryCastuli-jz3cx 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tena spika akiendelea namnahiyo 2025 atakuwa mbunge wakuteuliwa

    • @ROBERTMGOGOSI
      @ROBERTMGOGOSI 3 หลายเดือนก่อน +1

      Speaker wa bunge lA hovyo

    • @ROBERTMGOGOSI
      @ROBERTMGOGOSI 3 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu Tulia hana uwezo wa kiti alichokalia kabisa is beter apishe

  • @MollelMollel-il4rg
    @MollelMollel-il4rg 3 หลายเดือนก่อน +10

    Hakuna spika hapa mwili kama muhogo

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 3 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha

    • @sabinahobe3478
      @sabinahobe3478 3 หลายเดือนก่อน

      Ila jmn khaa umenichekesha sana

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu 3 หลายเดือนก่อน

      Umeona eee vijinga sana hivi vimama vimeuza bandari zetu zoote

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 3 หลายเดือนก่อน +6

    Sukari ni bei sana mahindi bei mdogo alafu mnamwambia mpina mwonngo mungu anwaona saw

  • @LucianSanga-q8j
    @LucianSanga-q8j 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wacha chai ife Tuta Agiza Tuta toa Vibali Vya kuagiza Majani ya chai Braziri Hakuna ahida

  • @MalandoJilala
    @MalandoJilala 3 หลายเดือนก่อน +7

    Unaposema impliment kwan unafkilia kila mtz anajuwa kingereza?,ongea kiswahili usichanganye kungereza

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 3 หลายเดือนก่อน +2

      Ongea point, kiingereza waulize wanaokifahamu

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hivi Bashe Hussein hawezi KUONGEA KISWAHILI?

    • @merygodfrey3709
      @merygodfrey3709 3 หลายเดือนก่อน +1

      KISWANGLISH.

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@festokemibala5832nyoko mlete mamako atafasili ulitupeleka shule watumwa walugha we now english than you

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@festokemibala5832mlete mamako atafasili ulitupeleka shule watumwa walugha we now know english than you

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 3 หลายเดือนก่อน +11

    Bashe kashindwa kazi. Hajaleta majibu ya tuhuma za Mpina. Mpina ndiyo kawa mushitakiwa. Ushahidi wote wa duka la mobile kupewa tenda la ku import sukari ya mabilioni limezimwa. Hili bunge limekuwa ni la kutetea ufisadi na sio watanzania. Wabunge wanapiga makofi tu bila ya kujali. Hapa bungeni hakuna kitu cha kuwasaidia watanzania. Bashe kashindwa kazi

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kwel kabisaa yaan ni wizi mtupu

    • @allykwaya
      @allykwaya 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ujanja ujanja mtupu.

    • @allykwaya
      @allykwaya 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yanatokea kwa jirani zetu wakenya ipo siku watanzania wataamua.

    • @StephanoMoses
      @StephanoMoses 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli

    • @mwalimumstaafu8529
      @mwalimumstaafu8529 3 หลายเดือนก่อน

      Kuna hoja ya Mh. Mpina wabunge wamepuuzia na ndio hasa hoja kuu. Mpina hakupinga uagizaji wa sukari, hoja yake kiwango kilichoagizwa kilizidi mahitaji ( gap sugar). Kiwango kilichoagizwa hakijawahi kutokea na haikuidhinishwa na technical team. Na utoaji wa vibali ulikuwa na harufu ya rushwa. Narejea kauli ya Lisu kila kilo ya sukari wajanja walijipatia shs 300. Kibali ya tani 30,000 kilitozwa bilioni 9. Bunge lilitakiwa niangalie kiasi cha sukari kiliendana na mahitaji kwa wakati ule na makampuni yaliyopewa vibali yangewekwa wazi. Hapa kuna harufu ya ufisadi, na wahusika ni wengi. Iko siku tutasikia ukweli.

  • @salummichael87
    @salummichael87 3 หลายเดือนก่อน

    Kiswahili ndio sawa wabunge wetu kiingereza marekani siyo tanzania

  • @StephanoMoses
    @StephanoMoses 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hili bunge iko cku wa tz watachoka kama wakenya.

    • @andrewmwita119
      @andrewmwita119 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe watz huwezi walinganisha na Kenya broo wale ni educated sisi nivilaza tuu hatuwezi jilinganisha nao hata kidogo

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bashe nae ni kama Mwigulu tu,nimesha mstukia huyu nae,anatengeneza maongezi ya hekima ya kuigiza kama Mwigulu na kumbe nyuma ya pazia kuna mashaka makubwa ya utendaji na uwajibikaji dhidi ya hiki anacho kisimamia

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 3 หลายเดือนก่อน +4

    Bashe na sipika wote wezi wanalindana hawafai

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 3 หลายเดือนก่อน

      Na kwamba spika huwa hana rekodi ya hoja ambazo hazijapata majibu ya serikali kwa kipindi husika? Nini maana ya mwenyekiti/spika/kiongozi wa kikao kama hajui yatokanayo na maazimio ya vikao vyake? Uchawa bungeni kwa manufaa ya nani?
      Sukari dsm sh.2,600 kagera na nadhani kigoma sh.3,200!
      Hili nalo spika walisemeaje, au unayo maslahi pale wananchi wanapokosa kunywa chai asb kwa sbb ya bei ya sukari kuelemea bajeti ya siku? Hapo hujataja maharagwe sh.3,600-4,000/-.
      Mungu anawaona, midomo ya watu haitawaacha salama😢

  • @constntinemabina5067
    @constntinemabina5067 3 หลายเดือนก่อน +1

    solute kwa mpina,wabunge wa ccm wote wapiga pesa za walala hoi, hamna mtetezi wa wanyonge.
    namshangaa sana huyu speaker anayejiita speaker wa mabunge ya wazungu anashindwaje kushugulikia hoja za mbunge ambaye anawakilisha kero za wananchi, pia nawashangaa wabunge kama msukuma na wengine.

  • @nefertitibelinda1146
    @nefertitibelinda1146 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wezi watupu HAKUNA MUWEKEZAJI HAPO… mnalindana- mhindi na msomali UHUJUMU MTUPU 😂

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwel kabisaa

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 หลายเดือนก่อน

      @mohamedelmi7435 unafirwaa na nguruwe ww kimala mamaako mtoto wa haram

    • @nefertitibelinda1146
      @nefertitibelinda1146 3 หลายเดือนก่อน

      @mohamedelmi7435 Asante Sana nashukuru. Tusi hilo umemrudishia Mamako. Duuuhhh Wewe unaona wivu kwa usenge tu !!! Pooolleee sana sababu namuonea huruma mamako. Pole zake Mungu atampa mtoto mwema badala yako.

    • @nefertitibelinda1146
      @nefertitibelinda1146 3 หลายเดือนก่อน

      @mohamedelmi7435 kisha Jina Mohammed Ddduuuhhh 🤣

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo hawa viongozi ndo wamegawana biashara zote za nchi hii hawa matajiri ni bosheni tu.

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 3 หลายเดือนก่อน

    Wizara hii ya kilimo angepewa mzalendo kama POLEPOLE. Bashe sio mżąlendo anadanganya watanzania. Mugeni hajifichi.

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 3 หลายเดือนก่อน

    Mtakutana

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mohamed enterprise ni pasua kichwa. Alinunua mali nyingi toka serikalini lakini hakuna alichofanya kuendeleza. Hakuwa na nia ya kuendeleza isipokuwa ilimsaidia kupata mikopo kuendeleza biashara zingine. Amekuwa sio mtu sahihi kumkabidhi mali za umma. Na hapa natoa wito kwa reli trc msimpe uendeshaji wa reli atahujumu. Tunaona pia uwekezaji simba hauna uwazi ni maneno tu.

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 3 หลายเดือนก่อน

      Ndo maana alipotezwa muda fulani. Siyo potential mwekezaji bali opportunist na in no time atakuja kivingine kusaidia uongozi kuingia madarakani!

  • @paulokateme7615
    @paulokateme7615 3 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali itawafidia vipi hao wakulima? Mhd ana umuhimu gani kuliko wananchi na familia zao?

  • @olembetonga7341
    @olembetonga7341 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanza mwigulu na speker muliamua kutumaliza wa Tanzania hamna uzalendo hata kidogo na nchi hii😡, bashe nilikukubali sana ulianza vizuri lakini nikama umeshalambishwa asali umeanza kuturuka ki petero tunakuchekitu muhesh🤔

  • @olembetonga7341
    @olembetonga7341 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo hakuna kitu ni story tu na kutafuna kodi zetu mna panga mambo hewa manake hatuoni mabadiliko hukunje kilakitu bei juu tozo zimezid na bado mnazidi kuongeza ilituzidi kuwa masikin mtutawale mnavyotaka hamuna uzalendo na wananchi kabisa mmekaa hapo kutumaliza na hiyo katiba ya wazungu ikosiku tutakuja huko bungeni ndio mutajua nchi niyetu sote wa Tanzania tunawatizama tu 😠

  • @SteveShemsanga-il3ct
    @SteveShemsanga-il3ct 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbunge upo vizuri unawapigania wananchi wako sio makamba ameshawishi wakulima wafunge kiwanda nasasahivi amewakimbia nahaongelei kuhusu hilolakiwanda champonde

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 3 หลายเดือนก่อน

    Tangu lini mwanamke akaongoza basi tuu watanzania nimataira.ingekuwa kenya walivyouza tuu bandari yeye na samia wake wangeondoka hata hivyo tanganyika uoga umezidi

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi ipo

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 หลายเดือนก่อน

    WABUNGE NA SPIKA WAO WOTE NI MATAAHIRA MPINA NDIE ANAEJITAMBUA!

  • @richardnott4403
    @richardnott4403 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tumepigwa sana mh

  • @yesayaissa3860
    @yesayaissa3860 3 หลายเดือนก่อน

    kosa la bashe kwenye sukari ni lipi?

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ovyoooooo

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ,bashe simchukulii kama mwenzetu.Jamani au amesahau kuchana?

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu waziri 😢

  • @user13375
    @user13375 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wanajadili siku ngapi😮😮

  • @nefertitibelinda1146
    @nefertitibelinda1146 3 หลายเดือนก่อน +1

    Spika kazi umeshidwa…

    • @Teddy-z4i
      @Teddy-z4i 3 หลายเดือนก่อน

      Watanzania tuna asira sanaaa ngojen

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 3 หลายเดือนก่อน

    Ivi wabunge mbona kila atakaeruhusiwa kutoa hoja huwa anajikunjia sana kwenye kipaza sauti yaani (mike, ,) hamuoni kuwa baada ya miaka 10 mtakuwa na vibiongo wote hapo bungeni??

    • @elizabethmassi7327
      @elizabethmassi7327 3 หลายเดือนก่อน

      ni ili kukifikia aongee asikike maana kipo chini sana

  • @HaryPoter-zw7vr
    @HaryPoter-zw7vr 3 หลายเดือนก่อน

    SASA mlimfungia Mpina Kwa Nini???

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 3 หลายเดือนก่อน

      Anatetea raia

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 3 หลายเดือนก่อน

    La kuvunda halina ubani! "hatutakubali sekta hii ife..."! Kwani ni sekta gani nyingine mmekubali ife, ni kahawa, katani, pamba au tmbaku?

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 3 หลายเดือนก่อน

      Viwanda vya Baba wa Taifa

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 3 หลายเดือนก่อน

      @@adelinelyaruu3036 Hakika!, Imebaki historia. Kulikuwa na mamlaka ya pamba, mamlaka ya kahawa, mamlaka ya tumbaku. Hizi ziliwasaidia wakulima kupata pembejeo na masoko, vyote vimeuawa. Masoko ya mazao haya ni wabunge na viongozi wakuu wa Chama. Halafu waziri anakuja na majibu mepesi!

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 3 หลายเดือนก่อน

    Big brain Bashe.uishi maisha marefu Bashe.

  • @godfreyfrugence4176
    @godfreyfrugence4176 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nqtaman hatar Leon rais amtoe bashe maana hatumwelewi kabisaaa lakin mpina ndo tunamwelewa sababu anatuelewesha kwa ushaidi kwann bashe nayey asiweke ushaidi kwahy mpina ili tujue mkwel yupi