DUH! MPINA NA BASHE WARUSHIANA MANENO MAKALI BUNGENI SPIKA AINGILIA KATI NA KU..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • DUH! MPINA NA BASHE WARUSHIANA MANENO MAKALI BUNGENI SPIKA AINGILIA KATI NA KU..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #mpina #bashe #mpinavsbashe #luhagampina #husseinbashe
    #mwigulu #atajasababuyakutumbuliwa #uwaziri #magufuli #mwiguluvsmagufuli #bungelabajeti
    #kinachoendeleasimba #bilioni20 #pesazipowapi
    #halimamdee #mwigulu #halimavsmwigulu #wabunge #simbasc #yangasc #simbaleo #yangaleo
    #rcmakondaarumeru
    #ARUSHAYASIMAMA #MKASAWAKUSIKITISHA #RCMAKONDA #rcmakondamonduli #rcmakondamonduli #MAKONDALIVE #makonda #makondaleo #makondakaratu #karatu

ความคิดเห็น • 57

  • @Tanganyika-w5p
    @Tanganyika-w5p 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kanatudanganya na kiingereza chake. Mheshimiwa Mpina hongera sana

    • @JohnKabuka-o7h
      @JohnKabuka-o7h 3 หลายเดือนก่อน

      Waziri wa kilimo Yuko sawa
      Ila wewe ndio haupo sawa

  • @lanezboy7016
    @lanezboy7016 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa hamna kitu

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi aona vizuri sukari ikosekane maana sukari huleta mazara

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 3 หลายเดือนก่อน

      Hahaha..kila kitu kwa kiasi

  • @gikadotv2148
    @gikadotv2148 3 หลายเดือนก่อน

    Vyuma kwa vyuma 😂

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mpina baba tunakupongeza. Utachukiwa na wachache, lakini utakuwa hero kwa watanzania wengi, na Mungu atakusimamia. Africa ni masikini kwa uongozi mbaya wa watu wenye ubinafsi mkubwa. Nchi yetu ni tajiri, kusingekuwa na watu wanalala na njaa, wala tusinge tangatanga kukopa fedha hovyo kama sio wizi na ubinafsi wa baadhi ya viongozi wetu

  • @elikanaernesti8440
    @elikanaernesti8440 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan wewe ndo baada tukuulize kwann viwanda havizalishi sukuri haya Sasa umeluhusu vibal kwa mjibu wa Nan bunge halijui

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bashe usitumie jina la Mungu vibaya huku munajitajirisha na kuacha watanzania wengine wakiteseka. Tanzania ni nchi tajiri sana, Ila Utajiri wake unatumiwa na watu wachache. Bashe kwa report ya Mpina na ushahidi alioutowa, unaliangusha taifa hili. Maneno matamu, lakini kuna tatizo kubwa. Rais akifumbia macho ushahidi huu, basi watanzania kateni tamaa. Wiązara ya kilimo inahitaji Muzalendo Kama Muheshimiwa POLEPOLE kukuza uchami wa Tanzania na kuwainuwa watanzania masikini. Rais na Bunge lisifumbie macho jambo hili. Watanzania wengi wanaotegemea kilimo.. Kilimo ni tegemeo kubwa kwa watanzania walio wengi. Hapa Rais na bunge lisiwe chura kiziwi. BASHE MUST GO.

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wanampigia makofi fisadi mwenzao

  • @AyoubPapiy
    @AyoubPapiy 3 หลายเดือนก่อน

    Nilijua bashe alete ushahidi kumbe mpina ndiyo alete ushahidi wa kuthibitisha uwongo wa bashe😂😂😂😂😂

  • @NAFTALIMUNDANGA
    @NAFTALIMUNDANGA 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Bashe ni Mwizi hafai hata kuwa hapo Bungeni. Anastahili kuwa kuwa jela saa hii

    • @lilmojr7
      @lilmojr7 3 หลายเดือนก่อน +1

      Unaweza kutupa ushahidi wa wizi wake? angalia usije wewe ndio ukaenda jela chunga kauli zako zisije kukuweka pabaya

    • @jumajoseph9353
      @jumajoseph9353 3 หลายเดือนก่อน

      Usimtishe

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 หลายเดือนก่อน

      Kwel kabisaa mwizi huyuu

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 หลายเดือนก่อน +3

    HALAFU ETI WATANZANIA TUNASEMA IFIKAPO 2025 TUMCHAGUE TENA RAIS WAKATI TUNATESEKA NA SERIKALI HII. HIVI SISI WATANZANIA TUMEROGWA AU NINI?. TUJARIBU NA CHAMA KINGINE JAMANI. MIMI NI CCM, LAKINI KWA HALI HII !!.

  • @saidkanji9882
    @saidkanji9882 3 หลายเดือนก่อน

    Mpina muongosana

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 3 หลายเดือนก่อน +1

    On my side mpina vary brave politician into this group call themselves palament voice to Tanzania population but not mpina vary brave politician face to face to this Samia sluu Hasan minister Rong doing although there are crush agest mpina but is the vision into ccm Rong doing the are things ccm leadership have to asepty Rong doing

  • @SamweliKazembe-jv3ft
    @SamweliKazembe-jv3ft 3 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wa Nchi hii hv hawajui kama yupo MUNGU mwenye Tanzania kabla yao

  • @Muhairy
    @Muhairy 3 หลายเดือนก่อน

    Waziri bashe anapija kazi uyo mpina hana lolote roho mbaya inamsubua tu ulipokuwa waziri ww hukufanya lolote kwaiyo tulia acha pwapwaja

  • @abdulmajidmageja6562
    @abdulmajidmageja6562 3 หลายเดือนก่อน

    Unajua huyu bashe kumpa uwaziri mmemharibu. Zamani alikua kifaasana ktk kutetea wananchi

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani acheni uongo pamoja na sukari kupànda bei ila hakufikia 10000 kwa kg

  • @KejoZakaria
    @KejoZakaria 3 หลายเดือนก่อน

    Pale mtu anapoanza kumshukuru spika halafu mungu baada ya spika da😂

  • @alexnshushi510
    @alexnshushi510 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna mda lazima tumpe maua yake uyu waziri kwani anajitoa kwa maslai makubwa ya wananchi maskini awa ma distributor walitaka kuli monopolize hili soko la sukari..na kupanga bei watakavyo wao..sasa tusiongelee ushabiki na ku beza juhudi zote za serikali..

    • @ndogosatv8684
      @ndogosatv8684 3 หลายเดือนก่อน

      Hauelewi wewe

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 3 หลายเดือนก่อน

    Haijafika sh 10,000 wewe ni muongo Badhe

  • @dalmasmzalendo727
    @dalmasmzalendo727 3 หลายเดือนก่อน +3

    Binafsi Dr.Tulia niseme tu bila kumngunya maneno unajua sheria

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 หลายเดือนก่อน +1

    NA KWA NINI UWAPE VIBALI VYA KUINGIZA BADALA YA KUTENGENEZA SUKARI? NA KWA NINI HAMUWAPI WAZUNGU HIVO VIWANDA BADALA YA WAHINDI?.

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 3 หลายเดือนก่อน

      ngoja nikupe eleimu huwa viwanda vyetu hata vikizalisha huwa kuna gape la karibu tani laki mbili, hivyo kuna vunali vinapewa viwanda ili viagize kupunguza hiyo skasiti..... na kwanini wanapewa wao wenye viwanda kwa sababu ya kuwainda wao na viwanda vyao ukiwapa wafanya biashara peke yao ambao hawana viwanda utaua viwanda vyenyewe

    • @mohdkhamis2914
      @mohdkhamis2914 3 หลายเดือนก่อน

      Wazungu si munasema wanaleta ushoga mbona hamueleweki

  • @ELIAMbise-sy5ue
    @ELIAMbise-sy5ue 3 หลายเดือนก่อน

    Mtu mwenye maneno mengi muongo sana

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa si angesibitisha au

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 3 หลายเดือนก่อน

    Bashe siyo mtu wa kumchezea

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 3 หลายเดือนก่อน

    Mpina big up Kaka God with you

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 3 หลายเดือนก่อน

    Nape anafanya mchezo na Bashe

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 หลายเดือนก่อน

      Bashe ni mwizi wa kutupwa!

  • @AlenKinyina
    @AlenKinyina 3 หลายเดือนก่อน

    Mnajipa utukufu

  • @AlenKinyina
    @AlenKinyina 3 หลายเดือนก่อน

    Bunge tukufu????

  • @VicentFrancis-yx1dg
    @VicentFrancis-yx1dg 3 หลายเดือนก่อน

    Alete ushaidi haraka

  • @Lusambosports
    @Lusambosports 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimekuelewa sanna mheshimiwa bashe, mungu akubariki.

    • @Mima-cl2im
      @Mima-cl2im 3 หลายเดือนก่อน +1

      Amubaliki kwa ujanja wa kupindisha sheria? Umemuelewa kwa vipi?

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 3 หลายเดือนก่อน

      Hujui chochote

    • @JamalDaudlulyeho
      @JamalDaudlulyeho 3 หลายเดือนก่อน

      Tunasumbiliwa na wakimbiz mamae zake analeta kingereza Cha kichoko2

    • @Mima-cl2im
      @Mima-cl2im 3 หลายเดือนก่อน

      @@JamalDaudlulyeho anaona watanzania ni wajinga. Siamini huyu ni mtanzania

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mpina ni mnafiki tu.Akiwa waziri yalimshinda

    • @st.alvincollege6184
      @st.alvincollege6184 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kajicheke mwenyewe sasa ukisikiliza ushahid alotoa mpina,, utatamani ukojoe ukalale kuku ww

    • @nelsonmgaya1490
      @nelsonmgaya1490 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@st.alvincollege6184True!

    • @JamalDaudlulyeho
      @JamalDaudlulyeho 3 หลายเดือนก่อน

      We naye unashwa mkundu siyo mbona unatetea uovu unafurahishwa na anachokifanya huyo mkimbizi huon Kama watanzani masikini anawanyanyasa kwa ajili ya tumbo lake acheni ujinga bana

  • @amosdickson6318
    @amosdickson6318 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa majambazi,
    Washasema bei za sukari ni chini ya 3200. Bado tukaendelea kununua sukari 10,000/=
    Huyu Bashe anamiliki propaganda za kutosha
    Muulize amechukua hatua gani kwa hao walioshindwa kuleta Sukari.
    Mpina kaza buti tunajua una mzigo mzito wa kuisema kweli katkat ya hao wanafiki

  • @aidanmgimwa5459
    @aidanmgimwa5459 3 หลายเดือนก่อน

    Mfikirie kwa makini Huyu Mpina alishashindwa uwaziri anachofanya Sasa ni kuvuruga wanao
    fanya vizuri