The Story Book : Kisa Cha SHETANI Kufukuzwa MBINGUNI (Kwa Mujibu wa WAISLAMU)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 มี.ค. 2024
- The Story Book : Kisa Cha SHETANI Kufukuzwa MBINGUNI (Kwa Mujibu wa WAISLAMU)
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Who subscribed to this channel because of Jamal April (professor)🇰🇪💕
WASAFI MEDIA nawapongeza sana kwakuturudishia THE STORY BOOK yaani kama mlikuwa mkiona nlivyo kuwa nateseka 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Not only u bro
Kiukweli haya ni zaidi ya mateso, mimi kama Mkenya, nawakubali sana wasafi media
Qq
Wakenya kwani mnaelewa kiswahili
@@aminata3702😂😂😂
Am top 30 to connect ... I have been waiting for this .. From Kenya with love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ... Show some love my people
Great bro
Ee ,Mungu uliye mkuu nifanye niyatende yaliyo mema katika jina la Yesu , Ameen,!❤
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
Napenda story zako mwamba one ❤ nakupta nikiwa doha Qatari.kama unamkubali professor gonga like yako ❤
Hii kiboko ilivyoishia da Shaitwani kweli kiboko, Sanaiya st 29
St15
Nakubali bloody Asia city- Grandmall 🤜
@@kimjey0012aah karibu sana mwendo wa mguu tu kama dak 10
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
From Kenya,Nakuru Niko Tuned....Mungu akulinde Jamal
Alex
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
wakwanza kutoka american munipe like ata kumi tu jamani.
😂upo america lakin bado unauzuzu wa kuomba like, chiz wew
Amerika kwema
@@hallin9561kweli chizi😂😂😂😂
Kutoka AMERICAN?
Tupe connection za American
Jamal hakika uko vizuri. MOLA WETU MTUKUFU ALLAH S.W. AKUZIDISHIE maarifa na uelewa zaidi. IN SHAA ALLAH. AMINA.🙏🙏🙏🙏
Amin
ameen
Allah (S.W.T)
Amen mungu hana dini kila kiumbe kila chenye mwili kila chenye roho pumzi maisha ni cha kwakwe tumshukuru yeye mkuu kuliko vyote amen
Hiyo ni iman yetu” Muslim
Kama hana Dini iyo ni Imani yako
Polo sana Mungu afunguwe akili yako
The story book 📖📚 toka kwa Prof Jamal 😊
Hakika Uislam ndy dini iiyojitosheleza#SUBAHANALAH
Umepagawa wewe
Msujudie na kumtumikia Mungu Peke yake Dini haitokupeleka peponi hivyo tupendane Sisi Kwa Sisi na tusijione Bora Kuliko wengine
DINI ya majinI , mapepo, wauajii
@@jameskazungu8032majini vp na niviumbe waliumbwa wamuabudu ALLAH kama hujui kuna majini na majini wakristo na dini zengine
@@danieljohn3836 ww ndio uliopagawa tena umechizika kabsaa🤪🤸🏻♂
Wa kwanza kutoka mkoa wa mara wilaya bunda munipe likes ata 20 tu zinatosha ❤
Good morning wadau Bana Nimimi Jamal in Kenya please likes zije kwawingi😊😊
Jamal is back, vivaa
Mimi wakwanja nampenda mungu namaamuzi yake yote nmimi nitamuomba musamaha nikiwa nimetambua kosa langu kwan Mimi nwamungu kwamimi siomukamilifu niyeye anikamilishe Mimi nwakwanja kusemahayo yote like yangu jameni kwani Mimi aijachelewa
Mungu akubariki zaidi Prof. kwa kweli nimejifunza mengi kutokana na utafiti unaotuletea .Nakupa likes kwa wingi
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
Wakwanza kutoka Msumbiji,naomba like zenu❤
The late Kanumba and Jamal have played a good role in making my swahili great.
Kama unamkubali professor gonga like apa♥️♥️♥️
❤❤❤❤❤
Mm mkristu lakn kwa kias flan simulizi hii ya kiislam yaniingia akirini kulko hii ya kwetu huku ukristuni.
Soma Qura'an upate elimu
Dini ya Haki Mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislam
Ukisoma Bibilia utajua kabsa ni uongo “ eti Mungu aliumba Dunia siku ya saba akapumzika “Mungu Hachoki”
Kwa hadithi hapo juu ni shetani peke yake anayejiona bora kuliko wengine hvyo basi kwa kauli yako kusema wakristo sio bora ila waislamu ni bora nadhani umenielewa mafunzo yametufundisha vizur kabisa @@LouisianaRiri
Hama tu mzee huku tunataka wanaoamini km ww huamini hama
Kweli mzee baba, kama haamini ni ruksa kuama@@simulizibora
Prof umetisha sana hakika mungu aendelee kukupa maarifa na sisi tuyapate
❤prof.asante kwa somo endelelea kutuletea maarifa kumjua Alie juu.
Mungu akupe umri kaka hii ina mafunzo sana kwa muelewa.Wakenya tupatane kwa likes basiii
shukran sana profesa wangu shekhe jamal mustapha kwakweli unafaa kuwa hata muhubiri kwa kutangaza maneno matukufu ya mwenyezi mungu (ALLAH) yaani hadi inafurahisha kukuskiliza mwamba april, tulete na mengine kama hivi yenye kuusiana na dini yetu tukufu yaani udini uwemwingi sana usijali nani anafurahi au nani anakasirika big up sana brother.
Ubarikiwe shekh wangu Jamal bin mustafa.🙋🏾♂
Mashaaallah Maalimu Jamal.......Allah S.W akuweke ndugu yangu.Sio sili unaelimisha sana Allah S.W akuweke ndugu yangu.
Nice story sema nakubal zaid story kama za kina mtaalam jogodo
Safii sana story nzurii sana
Mmmm am very appreciative for the back of story book with jumal,,,,all the way from malawi
Allah akuzidushie bro
Sawasawaaaaa Iko poa
Duuuu story book kila ijumaaa ni uhakka...
Nikuwaiii tuu.
Kenya na Tanzania let's go
Moja safiiii sanaaa
Kazi nzur San Profs Jamar be blessed
Nimejifunza kitu kikubwa sana Leo mungu akuweke Jamal
Jamal you are fire ,,,Kindly ✈️✌️✌️
Prof i love your stories so much,nipeni kalike for missing this stories
goood voice apreciate likes plzzz 🎉
kama unaamin hyu ni genius like hpaa❤
❤❤❤❤❤
❤
Kung of story tanzanian km unakubali akuna mwengine km yee na unamuombea maisha marefu weka like ajionee
Oya like huwa zinasaidia nn Mzee au Kuna maokoto??
@@TinaMzee-lr9vs Tina apaana ila alieweka video anakua anafurahia shabiki zake Sanaa mana kwa wanaojua utamu wa stori bsi jamali anatukosha
@@TinaMzee-lr9vsYaani me huwa nawashangaa 😂😂😂
KUNG FU 😂
@@aminata3702 jmn unachkua nn
He's so professional more likes to jamal❤❤
Asante sana my brother from another mother
Aii na mmkawia sana ilaah umeegemea upande mmja wadini tu😢 lakini ni sawa fun mkubwa kutoka🇰🇪🇰🇪
Mbona amesema kwamba hii story ni kwa mujibu wa dini ya kiislam?
🤗🤗🤗🤗bb mbon kaongea mapema
Wakwanza kutoa bejiung china nipeni like zangu
Nitumie number yako Ellypiusi9388 very Important
Wamwisho leo naomba like jen kutoka Australia 🦘
Hi Jane love you from Kenya
Someni Maandiko Acheni Tu kusema Wakwanza Kama mmesikiliza Vizuri .. Sio Yote aliosema NI kweli kunavingine havipo Sasa ili uweze kuelewa NI vema usome Maandiko Ya Mwenyezi Mungu Na uombe Mungu Akusaidie kuelewa ...
Soma Qura'an upate elimu
Kabca maandiko ndo usema kweli ivyo vingne mbwe mbwe tu
Kutoka Egerton University ,KENYA.Jamal God bless you bro.
Wakwanza Leo naomben like zenu tano tu
Mwanaharamu😢
Wa kwanza kutokea Geita town,,,ebanaeee hii buk nimemic kitanbo sanaa!!!!!😂😂😂
Afadhari wasafi mmerud maana mlinikera sana kusitisha the story book
From Muscat Oman 🇴🇲🇹🇿
Mashallah Mungu akupe miaka mingi uzidi kutupa hadithi nyingi
Safi sana mtiga, Allah atujalia mwisho mwema 🇰🇪
We kichaa huyu ni jamal april huyo mtiga alifukuzwa miaka 3 iliyopita
Hahaahah!!!! Nakubaliii sana Jamali April. Very much good 💯 the story book 📖 naatuachi kuifatili Tutafatilia zote The story Book
Am proud of you Jamal❤️❤️ keep it up💪💪
Nianze na shukuran kaka mim nimoja yawafuansi wako napend unach kifanya sana ila mim ni mkristor mim najua wew ni wakwet sont nilikua na omba jambo moja tu? 50⛪️⛪️⛪️⛪️⛪️%🕌🕌🕌🕌🕌50
Hakuna story kamili uko njoo katika Uislamu upate story yako kamili
Uisilam ni uongo mtupu
@@misagosylvestre3356 Ukweli ni upi sasa?
Welcome back professor we love you🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Napenda story zako sana. Jamani tukumbuke ahadi alo iweka uyo shetani kwa mungu. Nani anaejua kama atakuja kutuma na kwenda kusujudu katka kaduli la baba adam. Sis tutatubu lini. Kili kichwani kwetu. Tujitahidi kufanya mema😞😞
Masha Allah ...❤❤❤
God bless you bro the story book🔥🔥🔥🔥🔥
Majini ni spirit hayafi
😂😂wanakufa sema wanakaa umri mrefu
Kila nafsi itaonja umauti
Nani kasema awafi majini pia zinakufu Kama malahikapia zitakufu ila mungu ndiye ata baki pekeyake kisha
jin hana.nafsi
Kwani ni nini nafsi@@iddykalinda-ue3ib
We love you jamal from Zambia
😂😂brother Jamal unavosimulia ni kama ulikuepo jaman big up sana
😂😂😂
😅😅
Brother keep it up we miss you, l like your analysis, your investigation
One of a kind professor keep it up
Masha ALLAH ❤️
Shukran ❤❤
Namlaani na kumkana ibilisi.AMEN 🙏
😂😂😂
We are waiting ❤
Kutoka UAE🇦🇪 naomba like zangu
Ee mwenyezi mungumm ni mja wako nipunguzie mitihan naamini mm ni mwenye iman kubwa juu yako yaraab
Mashallah umemaliza vizur sana kwa kipofu🙏
Nlkua namsubir professor Jamal😊
🔥🔥🔥🔥💯🇹🇿🇹🇿
Kazi nzur Jamal..
ahsante kwa makala mko na kutuandalia na kutuhabarisha 🙏🙏
Nakukubalisana Brow🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ningependa story yamitu gisi walivyo ishi baada ya Yesu kwenda
Waiting for it ❤😊
Nimependa point yako kuekezea kwa mujibu wa inani ya kiislam, coz maelezo yapo tofauti sana na imani ya ki Kristo...
Mungu akulipe heri unatunza sana sana Tanzania upewe maua wako
A lesson to learn both Muslim and christian brilliant story teller Jamal 🔥🔥🔥
Ibilisi hana tofauti na yuda walikuwa wazee tamaa wangetuuza
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂
WASAFI mmeupiga mwingi sana. Tulishaanza kuhamia MANARA TV maana nao wameanza kutoa simulizi. Prof Jamar wewe ni gwiji
Wale waimba taarabu tu
Laa ilaaha ila llah wahdahu laa sharika laa..Lahuu Mulku walahu Lhamdu Yuhyii Wayuu umitu.Wahuwa alaa kulli shay inn Qadir.
Allah Akbar hadithi ya ukweli na iliyopata msimuliaji allah atunyooshe wajawake njia ya kheir ya peponi atuepushe na uyo kiumbe Ibliss
Wewe ni zaidi ya professor 💥💥💥💥
Ulipo malizia apo mwisho nimejifunza Sana kaka mungu akuongoze
Na mm naomba like bas
Hongera jamal Mustapha
It sounds accordingly .big up👍🏼
Kuna kitu nilikua nataka nione between script na nimekiona this is fantastic 🤩🤩🤩🤩😊😊😊🤩
Jamal umepotea sana jamani ... karibu tena 🇰🇪🇰🇪❤️🇹🇿🇸🇴
Leo nimechelewa aisee wangapi tunafatilia tukiwa hapa Dubai gonga like
Asante Jamali Mustafa
Waa professor indeed.Great research and good analysis.God bless you Jamal
Shukran kheri ishallalah
Jina langu ni jamaaal mustafa au niite profesa
From kenya Mombasani like hapa
Mwenyezi Mungu ni mkubwa, Namuomba mwenyezi Mungu atubariki
Jamali Mungu amekupa kipaji kizuri sana hakika tunakupenda sana kwa hii kazi unayofanya kwa hakika pepo itakuwa wazi kwa jili yako
Your the best jamal