hongera sana bro!!! kaz nzur mungu akujaalie kujua zaid il nas utufundshe zaid....ila nna ombi moja...naomba ya koz km hii ila iwe ya sis wajaliamali wadogo ambao tunapenda kuwekeza kwenye hisa....
Duh kweli nilikua nahis najiamini kumbe nikweli broo hii yote imekuja kutokana na kupigia changamoto nyingi na kuamini hakuna changamoto isio kia na mwisho kusonga mbele.
Waalaikum salaam warahmatullah wabarakatuh ukhty. Inamfaa hata kama mtu hajasoma kabisa, kwani ni ujuzi wa kivitendo namna gani unaweza boredha uwezo ulionao wa kuzungumza, haina uhusiano na shule kiukweli... Njoo WhatsApp andika neno KOZI : 0759191076
Kaka jamn naomba tofauti ya mtu jasiri na mtu mwenye kujiamini!
Asantee sana kwa wasia wako
Amina Amina Amina kiongozi niliteswa sana na hao watu wa namna hiyo maendeleo yako ndio shida kwao na si wewe
Asante Kwa kufundisha vizur
Kaka ezden ombi, tunahitaji kitabu kampuni ni dhahabu, kichapishwe . Baalawi from z'bar.
Asante sana brother kwa ushauri wako napenda sana kusikiliza mawazo yako naomba uendelee na moyo huo
hongera sana bro!!! kaz nzur mungu akujaalie kujua zaid il nas utufundshe zaid....ila nna ombi moja...naomba ya koz km hii ila iwe ya sis wajaliamali wadogo ambao tunapenda kuwekeza kwenye hisa....
Hello naomba fafanua vizur tafadhali
Asant Sana kaka kwa somo hili mi nimekusikiliza vizuri Sana nimejikuta nipo kwenye kundi la kujiamini.
Kweli bro mungu akuzidishie ufike mbali asante sana kwa mafunzo.
Maashaallah kaka keep it up tunafaidika sana na Madini unayotupa
since day one nakufatilia kaka
Mungu akutie nguv😊
Shukran mwalimu kwa somo zuri
Shukraniii
Good job brother keep it that all the time we're really enjoy with good motivation thank brother
Hii saf sana
A.a dat's true kaka wapo wengi Sana hawo
Ahhh ahsante sana 🙏 sana.kk
nakubali ezden
Thanks mwalimu najivua sana kua na rafiki kama wewe mwalimu, kaka, Asante sana kaka
Brother mara nyingi tunaishi maisha tuliochaguliwa sio tunayochagua
Asate sanaa
Brother asante mungu akulinde
Duh kweli nilikua nahis najiamini kumbe nikweli broo hii yote imekuja kutokana na kupigia changamoto nyingi na kuamini hakuna changamoto isio kia na mwisho kusonga mbele.
Kweli kabisa kaka Mungu akupe nguvu ufanye makubwa zaidi
Maashaa-Allah! Tabaarakallaah!
Allah akuzidishie Elimu na akuruzuku Fahamu.
Amiin my brother... dua njema iwe kwetu sote
Nice bro, safi sana
Kweli kabisa Kaka...I trust myself so much Alhamdulilah 🤲 I will clap for my friends until there comes my turn ☺️☺️
Maas sha Allah jambo zuri sana... hongera! Utafika mbali zaidi
@@successpathnetwork Amin
appreciate it bro
Joweriaaaaa... I see you my sister. Thank you!
be blessed bro
🎉🎉
Hongera sana kaka
Good message 👏 bro
Uhakika asaa thanks a lot Brother
Together as one
Kweli kaka
Thanks for this
Karibu sana
Umeniamasisha sana kaka na najifunza mengi kutoka kwako.....alafu macho yako yamevimba leo
Daaah.... Kweli nilirekodi asubuhi
Ume eleweka sana kka,,,
Ma maan Abjadi, shukrani sana kaka
mashallah kila siku najifunza kitu bora kaka.from zanzibar
Nmejifunza sana kaka, lkn nnashida sana na wewe ni muhimu mno nahitaji ushauri sana
Nimeanza kukufuatilia Leo hii
Thanks for this Mr Azden
Sure brother 🙏
Kweli
A 💯💯
Fact%100 br..
True bro!
Kweli kabisa kaka
Mafunzo mazuri kabisaaa ,true kabisaa .
Shukrani
najiamine
❤
Asent
👌🌷
👍
🎉🎉🎉🎉
Bonge la elimu
Kweli kabisa mtu asiejiamini kimshirikisha kwenye jambo lako la mafanikio anakukatisha tamaa nakupinga jambo hilo alafu wanawivu mno
Kabsa
Nimejifunza vema sana Somo Lako Kaka 🙄
Iyo ya kutokubali makosa na kuyasukumia wengine makosa imezidi sana kwa mabibi wa maboss eg. Waarabu 😂😂😂
Ila nahisi uvivu uniniandama na nibaazi ya vpngele
Hamasa ya leo imeishia wapi au mimi ndio sifatiri channel yetu vizuri 😄😄
Asante kwa kuuliza. Niliifungulia channel yake yenyewe. Search tu HAMASA YA LEO utaiona
asalam akeykum kaka hyo coz inafaa uwe na elim kuanzio levo gan namansh hat ikiw umeishia form four haina shda..!
Waalaikum salaam warahmatullah wabarakatuh ukhty. Inamfaa hata kama mtu hajasoma kabisa, kwani ni ujuzi wa kivitendo namna gani unaweza boredha uwezo ulionao wa kuzungumza, haina uhusiano na shule kiukweli... Njoo WhatsApp andika neno KOZI : 0759191076
Kaka upo sahihi nmejua nipo kundi gani
Saafi sana. Muda wa kuchukua hatua sasa na kufanya kitu sahihi
Asante sana brother kwa ushauri wako napenda sana kusikiliza mawazo yako naomba uendelee na moyo huo
Thanks mwalimu najivua sana kua na rafiki kama wewe mwalimu, kaka, Asante sana kaka
Pamoja sana ndugu yangu
Kaka nimelipenda somo
🎉🎉