FULL VIDEO: Waziri Mkuu alivyomsimamisha kazi Mwanasheria wa Misungwi Mwanza.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Alphonce Sebukoto kwa kuidhinisha malipo ya mil.279, kwa Mwenyekiti wa Halmashauri Anthony Bahebe kwenye akaunti yake binafsi kwa kazi ya ukandarasi wa Daraja.
Hongera Jpm kwakumteua huyu kweli nimtendaji mkuu wa serekali anatosha.
Watumushi wa uma kuweni na uoga hata wa hofu ya Mungu,mnamchosa sana Waziri mkuu ,wakati mnajua maadili ya utumishi wa uma
Waziri mkuu unafanya kazi vizuri sana mungu akupe maisha marefu
Kaka tupo na wewe tutakuombea popote utakapo kua
Yan Huy waziri Sheria ya kuongoza urais ilikuwa inamhusu Huy nchi isingeyumba Yuko vzr mungu akulinde
Huyu Waziri akigombea urais
Atapata kura hadi za waluotangukia.mbele za haki. Anafanya kazi dunia.inatikisika niko UK. Barikiea.sana
Nampenda waziri mkuu wangu..fair play
Sasa tunajivunia nchi yetu na serikali yetu, hongera mh Waziri mkuu
Waiii ni waziri mkuu majaliwa anapambana tuu kufanya vinzuri hao wengine je? Waafanya nini?
Mm nikimwangalia waziri mkuu wangu,naiona roho ya Magufuli ndani yake,Mungu ibariki Tanzania.
Kabisa hujakoseya
Mh,Waziri Mkuu Tunamatumain Sana Na Wewe Mwenyezi Mungu awalinde Viongozi Weetu Imani yetu kwenu nikubwa sana
Daah kweli tanzania imebadilika asante sana JPM raia walikuwa wanateseka ila wakombozi wametokea
Wote watokeeee na mwenye kiti atokeee
Mfuate huko PORINI AMBAKO HATA UKIPIGA PICHA HAITOKEZI mlipo lifukia
Mungu akulinde Wazuri mkuu kuikomboa Tanzania yetu
Natamani waziri mkuu majaliwa aje kuwa rais wa Tanzania itapendeza sana
waziri mkuu haowafanyakazi wapo wengitu nawengi wanafanya kazikwa mazoea.mungu akulinde kwa kazinzuri
Rais wa Tanzania baada ya JPM ni Majaliwa katika jina la Yesu
HASASON 😀 amin
Waziri mkuu yuko stable sana
Amina
Kweli kabisa
Amina 👏
Majaliwa jamani apewe kijiti cha uongozi Wa urais mwenyezi mungu tia mkono wako Ku mu donate huyu kama mwisilam ajae kushika kijiti hiki amen
Kazi nzuri Sana PM, daa, nakukubali sana
Tunakutegemea sana mzee major piga kazi tupo nyuma yako Kaka na mungu atakulinda ahsante.
Yani I wish ningefanya kazi na ww jmn. The way your straight, hard and smart worker. Mungu akutunze saana ili siku moja tukutane kazini tulijenge taifa
Watumishi wa umma niwaase wafanyaakazi wa serikali fanyen kwa uadilifu watoto wenu wake waingie kwenye system hata mjukuu wako ukionekana hukuwa na shida ya tamaa it is a good thing. Mungu ibariki Tz.
Pole sana waziri wetu, nchi hii inahitaji viongozi kama wewe,maana ni ajab u mwenyekiti kuishitaki halmashauri yake
Waziri mkuu wangu pole na majukumu mungu atakusaidia
Wanyooshe Mr. PM
Mh MAJALIWA VERY SMART MAN.. 💪
Yaani sijui Rais magufuli alijuaje tu kuteua huyu jamaa hadi raha nafurahia sana watu wanatedewa haki tu
zunyaga peter mweshimiwa abaatishi awezi chagua vilaza
Majaliwa akigombea Urais hadi wapinzani wanampa kura. Yaaani km malaika vile mtulivu ana heshima haropoki. Natamani nimuome mama yake.mzazi.
Majaliwa unatufunga mkanda barikiwa sana sijui kama unafaham hilo
Safi sana mzee chapa kazi
Mkuu hongera Sana,
Njooo loliondo ngorongoro Baba, kumeoza Sana hukuu
Rais ajae ni huyu huyu Mh. Majaliwa .Hapendi ujinga ni mzalendo,Komredi wa ukweli.
Asante baba jpm ulale salama umetuachia matawi yaliyi bora
Tanzania ime barikiwa kuwa na viongozi wazalendo.wanaoipenda inchi yaho..sisi wa Congo tuna tamani, mweshimiwa raisin MAGUFULI na mweshimiwa waziri MAJALIWA,waje kwetu Congo watuongoze mwaka moja tu..kisha warudi TZ.
Pamoja sanaaaaaaa
Yaan bora ukutane na ucle kuliko majaliwa. ..mungu akujalie wazir wangu
Saaaafi sana majaliwa ni Gillette, hiu ni wembe bwana, makali kotekote.
Magufuli hoyeeeee
Majaliwa hoyeeeee
Kajaaliwa yeyeeeee
Mwenyezi mungu walindeeee
Kazi oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ila ndugu waheshimiwaaaa
👇
🇹🇿Amani imetawala
💓💖💕❤️Nakuombea daima babaangu
Kaz nzuri kaka👊👊👊
Nakushauri uchukue fomu ya urais uchaguzi ujao unatufaa sana
Kiongozi mzalendo Mungu akulinde nakuombea uwe Raisi wa awamu ya sita
Safi sana Waziri mkuu kazi Iendelee
Huyu mwanasheria hana kigezo hata kimoja hawa ndo vilaza wanaopewa nafasi na wajomba zao
Nahisi hata yy kulikuwa na fungu lake hapo
God 🙏 bless my prime minister of Tz..
My PM majaliwa ❤️ vyuma vya TZ .
Jicho letu kwa Sasa mungu akutangulie asante
Hii combination ya Anko Magu na Kassim Majaliwa ni balaa. Tangu nchi imeumbwa, haijawahi kutokea.
Good good
Hhhhh
Mh Majaliwa nakukubali sana
Mkuu wewe nibora. mungu akutie nguvu daima.
Msenge huyu mwanasheria
Hongera Dana wazili mkuu japo
Now Tanzania is a super power nation
Nakuombea waziri wangu mkuu, MUNGU akulinde akuzingire Kwa Moto wake.
Siku ukipata nafas ya kugombea urais ntafurahi sana ..una hekima sana Mungu akulinde
Mwanasheria hovyoooo!
Tamaa imemponza!
Nakupenda waziliwangu mkuu sana
Tumbua sio mzalendo huyo anaangalia tumbo lake
Magufuli akimaliza muda kisha tujaaliwe uzima amuachie kijiti Majaliwa ni sawa na mtu anaacha kutumia silaha aina ya SMG kisha anachukuwa RPG hapo shughuli yake bora uisikie tu watu wanaisimulia kuliko kujionea
Raisi wangu mtarajiwa namkubali sana
Majariwa ni rais wetu mwaka ujao
He should be sacked immediately! Hon Premier there is no need of arguing with such a dishonest government employee, you are too lenient hon Premier. Wapiga madili hao, ukisikia raia au mfanya biashara fulani au kiongozi fulani kashambuliwa au kuuwawa na watu wasiojulikana mjue fika wahusika ni watu kama huyo mwanasheria ili kuharibu sifa ya Rais na sifa ya taifa. Deal with such dishonest workers mercilessly.
Richard Soka ni kweli kaka mambo hayo ni ubatili kweli kweli..#
Salut sana wazir unafaa kuongoza inchi hii safi sana
Watanyooka tu hao walishakaririshwa kula pesa za watanzania ... big up Mr PM
Dah namuonea mpk huruma mana ata kuongea pia anashindwa
Khasim baba kuwa mwangalifu nakupenda
Hapo waziri mkuu kimeumana pambana nao
Majaliwa me nakupendaga bure magu akitoka ebu chukua nchi
WILLIAM LINDUGANI kauzu zaid ya dagaa
WILLIAM LINDUGANI 👏👏👏👏👏
Magu akitoka Majaliwa njia nyeupe kuingia ikulu..a.k.a sokoine
Maswali yasiyo namajibu duh safi raisi ujae unabisarr kama mzee kikwete
Emmanuel Havile achen sinemabwan
Mwl Majariwa Safi sana fundisha hao
Hakuna cha muheshimiwa waziri mkuu ongea vizuli ww
Hahaaaaaa,umanifurahisha Gg hakuna cha muheshimiwa waziri mkuu ongea vzuri ww si mchezo....
Kwakweli
Safi sana wazili mkuu
Safi Sana mh majariwa
Wazir Mkuu👏👏👏🙏
Watie adabu bababaaaa safi sana kilambbavu nje
Wasifikiri JPM magufuli amekufa, ili wapige pesa Kama kipindi cha kikwete, tunakukubali waziri mkuu ww ndio JPM magufuli part two
Prod ov yu Hon Pm
safi sana Majariwa napenda viongozi wenye kujari...
Majaliwa sio majariwa ,kujali sio kujari🚮
Mungu awe nawe Mkuu
No comments huyo hana kazi mwenyewe hajafauata sheria
Conflict of interest!!!! Unaishitaki vipi halmashauri yako???? Corruption ya power!!!!
Magufuli is back huyu waziri anakuja kama hayati pombe magufuli
Mh Majaliwa mbona hawa watendaji wenu wa chini miili mikubwa kuliko akili, kwa mahojiano yako na huyu bwana richa ya kuwa ni mwanasheria naamini haijui sheria kama ww Tumshukuru Mungu na Magufuri kwa kukupa pawa hii
Majaliwa na Magufuli lao moja tu: KAZI.
sukuma.ndani
What is company?
Mungu akulinde majaliwa funga tu na fukuza
majaliwa umekua mwiba kama sokoine,duuuh watanyooka
Waziri nakubali sana lkn naona kama uko mwenyewe kwenye vita hivi Hawa ndio viongozi tunao wahitaji
Ayo tv nipeni namba zenu
Ipo kazi....mpaka mtanyooka tu....
Majaliwa safiiiiii
Duh huu mziki ni fire
Mimi mheshimiwa waziri mkuu naomba msaada wako maana mpaka sasa ded wa halmashauri ya wilaya ya kilosa amenisababishia hasara ya milioni 280 kutokana na kutonipatia kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi ktk wilaya ya kilosa ananilazimisha niishitaki serikali/halmashauri jambo ambalo nisingependa
Tunakutegemea sana majaliwa unafanya kazi kama magu
Huo ni mchezo kwenye halmashauri zote Tanzania maana ni hizo tenda zao wanapeana na waidhinishaji ni madiwani hao hao wanakatiwa mpunga utasema sana MHE majaliwa hayo ndiyo yaliyopo na yeye huyo anahusika mwanasheria huyo tumbua tu wasomi wengi mitaani
Tanzania 🇹🇿
Then MTU akitumbuliwa et kadhalilishwa
10 percent hiyo
Anafungua lake uyoo haptk torch
Ubarikiwe we ndo MAGUFULI TUNAKUTEGEMEA 2025 MAGU TUUU WEWEEE UNAPENDA
Chapa kazi baba
hilo jipu limeiva tumbua tu
mmhhhhh....ndio waziri mkuu huyu.
kanibania mtu hadi koti limekuwa tisheti.
hahahaaaaa...
hahahaahah
tatizo walizoea kufanya kazi kwa mazoea sio uadilifu.
Huyu ndo atakaye kuwa rais baada ya jpm
Ata kasulu hayo yakutorea kwake
Naomba tu nikushike mkono..ila mjomba.yy ni amri tu..weka ndani
Hahahaha
Yaani kumbe Kuna watumishi Hadi Leo hawajaielewa Selikali hii