WAZIRI MKUU Alivyokiwasha ''DC KILOLO Haiwezekani Ufukuze Watumishi Wote Hawa''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2019
  • WAZIRI MKUU Alivyokiwasha ''DC KILOLO Haiwezekani Ufukuze Watumishi Wote Hawa''
    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Happi afuatilie utendaji kazi kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya ya Kilolo kufuatia watumishi 14 wa ofisi hiyo wakiwemo madereva 10 kuhamishwa baada ya Mkuu wa Wilaya hiyo Asia Abdallah kudai kuwa hawafanyi kazi ipasavyo.
    Hata hivyo, Waziri Mkuu amesema ni mhuimu kwa viongozi wakatambua dhamana zao katika utekelezaji wa shughuli zao pamoja na kuwatambua, kuwajali na kuwathamini watumishi wa kada zote wakiwemo madereva, hivyo ni vizuri wawaandae kwa kuwapa maelekezo kwa wakati kwa kuwa nao ni binadamu na wanafamilia.
    Mapema, Waziri Mkuu alikagua mradi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya na kupokea taarifa ya ujenzi wa hospitali hiyo ambapo alisema ameridhishwa na ujenzi huo uliogharimu sh. bilioni nne na alitumia fursa hiyo kuwapongeza viongozi wa wilaya hiyo akiwemo Mkurugenzi pamoja na mkandarasi anayenga.
    (HABARI MPYA DAILY)
    th-cam.com/users/playlist?list...
    (HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA)
    th-cam.com/users/playlist?list...
    (GLOBAL RADIO TV)
    th-cam.com/users/playlist?list...
    (EXCLUSIVE INTERVIEWS)
    th-cam.com/users/playlist?list...

ความคิดเห็น • 77

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 ปีที่แล้ว +1

    Waziri mkuu ww ni mkweli na muwazi Sana mungu akupe maisha marefu na uwongozi wa haki tuna Imani Sana na ww una baya ww

  • @antonyshayo7569
    @antonyshayo7569 3 ปีที่แล้ว +2

    Waziri mkuu wetu we in mwelewa sana kiukweli aiwezekani wafanyakazi wore wakawa wabaya hats yy ajiangalie

  • @davidmbilinyi7179
    @davidmbilinyi7179 ปีที่แล้ว +1

    Asante majaliwa

  • @rosetemba1645
    @rosetemba1645 ปีที่แล้ว +1

    Tunakupenda uko vzr.

  • @twilumbakabelege3426
    @twilumbakabelege3426 4 ปีที่แล้ว +5

    hahahaha uwi mbavu zangu jamani nimekupenda buereeeeee waziri mkuu majariwa

  • @mandegoro9322
    @mandegoro9322 4 ปีที่แล้ว +2

    Baba umemchana huyo DC maana anaonekana kuwa DC wa kijerumani enzi za ukoloni. Ukifuatilia vizuri utakuta huyo Mhe. DC amepata mfanya kazi wa hapo wilaya wa kujipendekwza na kupenda majungu kwake kwa kufikiri anamsaidia kumbe ana haribu na baadaye akitumbuliwa ndio wa kwanza kusema ooh mm nilijua hamalizi muda. Wabaya sana watu hao. Mhe. DC kuwa makini na washauri wako inawezekana baadhi sio wazuri kwako.

  • @user-my9hc6uf9l
    @user-my9hc6uf9l 4 ปีที่แล้ว +8

    Baadhi ya Watu wakipata madaraka wanajiona kama wameshika nyundo kwa hiyo kila kitu mbele yake anakiona ni msumari,anapiga tu!
    Hawajui kuwa kufanya hivyo hakumuongezei mtu heshima bali kunamshusha heshima yake na hivyo kumdharaulisha mbele ya macho ya wanayemuona!
    Kwa sababu anaonekana ameshindwa katika eneo unalosimamia!
    Mh.Magu na Majaliwa hawataki kuona unyanyasaji katika utawala wao.

    • @salmasamuel9379
      @salmasamuel9379 4 ปีที่แล้ว

      Rashid Njigale heshima inashuka hajui tu,
      "akishika nyundo kila kitu anakiona msumari,anapiga tu"!
      mfano mzuri,
      kidogo kidogo watanyooka

  • @halimaallyazizi4443
    @halimaallyazizi4443 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde sana sana

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 4 ปีที่แล้ว +6

    Anataka *rubani* ndiye aendeshe gari yake😁 DC ASIA ABDALLAH 😏

  • @msafiriiddy3135
    @msafiriiddy3135 4 ปีที่แล้ว +3

    ni lazima tukubali Tanzania imejaliwa viongozi wanao weza kuifanya kuwa inchi pekee ya Africa kufikia inchi zinazo itwa za ulimwengu wa kwanza isipokua ilikuwa ni maamuzi tu kutoka kwenye wizi na kufanya uadilifu

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 ปีที่แล้ว

    KIONGOZI HUYU NI NGULI WA UONGOZI BORA, HATAKI KUMUONEA MTUMISHI YEYOTE. MTENDA HAKI HAKURUPUKI. ANATEKELEZA MAJUKUM YAKE. HONGERA MH. WAZIRI

  • @kabojamalugu8404
    @kabojamalugu8404 4 ปีที่แล้ว +2

    Wazili mkuu BG up 100%

    • @selector728
      @selector728 3 ปีที่แล้ว

      Waziri siyo wazili

  • @saidmasoud3626
    @saidmasoud3626 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mkuu

  • @ashirafukitololi540
    @ashirafukitololi540 ปีที่แล้ว

    😃😃 mkuu nakuelewa sanaa huwa skupingag, ila kwenye uongoz kazi ngum sanaa, unakuta sometime mkuu wa wulaya kanyooka vizul na anawanyoosha viongoz wake wa chini, au sometime ni kweli mkuu wa wilaya ni wale miongoni wa watu unpredictable, kwa mkuu hivi vitu mnatakiwa mviangalie kwa umakin mkubwa from both side

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaan kiukweli kutoka moyoni mwangu Waziri mkuu namuelewa sana tena sana anamaneno ya kukulekebisha huku akiwa hana jazba kelele huku akiwa mwenye masihara mengi uso wa furaha kbs sasa akili kichwani mwako wewe unaeonywa juu ya kujitathmini km unaakili utajilekebisha

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni Waziri Mkuu Wetu.

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 ปีที่แล้ว

    Naam

  • @lukemelyemwenga2910
    @lukemelyemwenga2910 ปีที่แล้ว

    daaah mpaka nmecheka, Mungu aendeleee kukuweka PM wetu

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 ปีที่แล้ว +1

    Anauza uduvii uyoooo alikuwa mjinga sana sana

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 4 ปีที่แล้ว +2

    Samahami huyo DC ni mmama au maana hivyo vituko alivyo navyo jadhani hayuko sawa kichwani aibu kwa kweli bira yy ndio mfukuzeni hafai kajigeuza Mungu mtu

    • @masatumtani1588
      @masatumtani1588 ปีที่แล้ว

      Ni mama wenda anataka madereva wamtie

  • @powerinfo5084
    @powerinfo5084 4 ปีที่แล้ว +2

    KWELI SEREKALI IPO MAAKINI MSM
    MAGUFULI× SAMIA× MAJALIWA NAWAPENDA

  • @jemedarikalimasi5754
    @jemedarikalimasi5754 7 หลายเดือนก่อน

    Baba Huyo DC kero MPE funzo

  • @jumaigoti8676
    @jumaigoti8676 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyo DC hajitambui.tumbua huyo .hata ubarozi hafai .

  • @zakiazakia4552
    @zakiazakia4552 4 ปีที่แล้ว +3

    Mtumbue kabisa baba akaendeshwe na mumewe mchezo wa chini

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 4 ปีที่แล้ว +6

    😂😂amalizi week uyo kashanukiaa mpk uku yajayo yanafuraisha hahaha sibuli kifatacho apo hahaaa

    • @selector728
      @selector728 3 ปีที่แล้ว

      Subiri siyo subili

  • @emmanuelmkamba1964
    @emmanuelmkamba1964 ปีที่แล้ว

    Huyo dc hafai anamdomo sana bora ajiendeshee mwenyewe anagubu sana

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 4 ปีที่แล้ว +1

    walivyoo nenepeana kwa kula pesa zetu hatali sana

  • @omarikibwanga
    @omarikibwanga ปีที่แล้ว

    Prime Minister nakupendea kusema waz

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 ปีที่แล้ว +1

    Hahahah saiziz anauza uduvi

  • @wisdomuta1039
    @wisdomuta1039 4 ปีที่แล้ว +2

    Pm uko sahihi kuna watu wanalewa madaraka

  • @balljmushi9599
    @balljmushi9599 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo,,,asili ykeeeee---mwrb

  • @mwajumabakari3730
    @mwajumabakari3730 ปีที่แล้ว

    Haya mambo inatakiwa mama ayaone hayo na madc anawachagua hawana uadilifu na hawana wito wa uongozi

  • @severinimkini4116
    @severinimkini4116 ปีที่แล้ว

    Mzee umeona jinsi vigogo wanavyotaka kuabudiwa badala ya Mungu !!! Ni kweli unavyosema hata yeye Ni mtakatifu kiasi gani mpaka inatokea kila mtumishi akija hapo Kilolo anaonekana hafai. Je ruhusa ya kugusa mwili wa mtumishi mwenzie kwa kumcharaza makofi anmepata toka wapi. Nashauri kuwa wateuliwa wa aina hiyo wachunguzwe vizuri kabla ya kukabidhiwa ofisi, la sivyo wsnaaibisha taasisi iliyowateuwa.

  • @zwinsalhabsu264
    @zwinsalhabsu264 4 ปีที่แล้ว +2

    Ataka dereva alie na leseni ya kuuendesha ndege ni kiburi huyo

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 4 ปีที่แล้ว +1

    Sometimes watu wana exaggerate dhana ya magufuli sasa kila mtu ni kutumbua tu bila mpango ili waonekane kwenye media

    • @sifaelyjoshua1597
      @sifaelyjoshua1597 3 ปีที่แล้ว

      simnatafuta wasomiii

    • @antonyshayo7569
      @antonyshayo7569 3 ปีที่แล้ว

      Waziri mkuu heshima yako mungu akuzidishie hekima matunda ya serikali tunayaona big up .kwako 99

  • @abdallahjuma8168
    @abdallahjuma8168 4 ปีที่แล้ว

    Mtafutien dereva kutoka mbngun huyo mana kwa dunian wote kw dalili hiyo haendan nao una shda kwel Dada yangu DC

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 ปีที่แล้ว

    Mm nadhani yeye ndie anaepaswa kuondoka

  • @loishiyelukumay6321
    @loishiyelukumay6321 4 ปีที่แล้ว

    Duuuu watumishi wenginee banaa ni balaaaaa

  • @danielmbalwa9307
    @danielmbalwa9307 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyuu atakuwa na matatizoo yakee ya kifamiliaaa!!auu hana mmeee!!

    • @messiasulley3944
      @messiasulley3944 4 ปีที่แล้ว +1

      Kuongoza ni watu kunahitaji busara sana, awe na mume asiwe na mume haihusiani

    • @frankchibago1046
      @frankchibago1046 4 ปีที่แล้ว

      Atafitiwe mme hayo yote yataisha huduma hapati ,kama si hivyo basi sio mzima

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuu

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 ปีที่แล้ว

    Huyu D.C. Ni MUNGU Mtu mwenye Roho mbaya hafai

  • @usangahidaya580
    @usangahidaya580 4 ปีที่แล้ว

    Mmmmmmh. very bad

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 ปีที่แล้ว

    Pamoja na jambo zuri ambalo umeliongea ila kwa utaratibu hukutakiwa kumnanga kiongozi wa watu mbele za watu hao maana unampunguzia ujasiri wa kufanya kazi. Yamkini kuna mambo hayaendi Sawa na mkuu wa wilaya anayarekebisha ila anaundiwa tume aondoke.

  • @bertojr2130
    @bertojr2130 ปีที่แล้ว

    Utabaki peke ako 😂

  • @kiatu
    @kiatu 4 ปีที่แล้ว

    DC atumbuliwe tu.

  • @abubakarnyerere5263
    @abubakarnyerere5263 4 ปีที่แล้ว

    Haaa hahaaaa majariwaaaaaaaa

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 ปีที่แล้ว

    Hii nchi hii imeoza kabisaaaaa ccm lazima wakubali nchi imewashinda. Haiwezekani kila anapo enda PM yaibuke madudu sijaona hata sehem moja aliko tembelea ikionyesha kuna ufanisi

    • @jumannemussa8281
      @jumannemussa8281 ปีที่แล้ว

      Acha kukulupaka hii taarifa ya miaka mi 3 iliyo pita muda huo rais magufuli kaka

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 ปีที่แล้ว

    Linaloho mbaya ili.mfukuzeni yeye

  • @chuwimkali547
    @chuwimkali547 4 ปีที่แล้ว +2

    Anatabia za kisrabu mana baadhi ya warabu ukimpamkia asemi anakwendawapi mpakaumuulize wewe wakati yeye ndio mwenyesafari

  • @albertremmy3479
    @albertremmy3479 4 ปีที่แล้ว

    ukiwaona watu zaidi ya watatu na kuendelea kuwa wana matatizo ujue kwamba wewe ndio unamatatizo. et madereva tisa hawafai huyu wa sasa ni wakumi asee niaibu sasa.

  • @shehozah8712
    @shehozah8712 3 ปีที่แล้ว

    Waziliwetu wewe nijembe haiwezekani dc anashida

  • @mwlmazingira8705
    @mwlmazingira8705 4 ปีที่แล้ว

    alafu haohao ndo utawasikia wanawake tunataka 50/50% kwa hali hii amepewa udc tu kejeli kibao je angekuwa rc sindo balaaa

    • @EK-kp2np
      @EK-kp2np 4 ปีที่แล้ว

      Mwl Mazingira Uko unakoendea si kuzuri 🥺

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 4 ปีที่แล้ว +1

    Anaitwa nani huyo DC wa kilolo???

    • @rosag8332
      @rosag8332 4 ปีที่แล้ว +1

      ASIA ABDALLAH

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 4 ปีที่แล้ว

      @@rosag8332 Anadharau za waziwazi,naomba atumbuliwe.

  • @mangegervas9651
    @mangegervas9651 4 ปีที่แล้ว

    Nakwamin mno

  • @leonardgervas7515
    @leonardgervas7515 4 ปีที่แล้ว +3

    Wakubwa tushaelewa nini anakitaka uyo mama 🍆🍆

  • @raymondkaswaga6340
    @raymondkaswaga6340 4 ปีที่แล้ว +1

    Inakuwaje kila mtu hafai

  • @nappekiliakiliasalimu346
    @nappekiliakiliasalimu346 ปีที่แล้ว +2

    Kwann urais usichukue ww. Aisee. Huyuu mama anatupoteza. Sana.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 ปีที่แล้ว

      Hatuwezi kila mzuri awe Rais. Kwa sasa Rais ni Samia Suluhu Hassan

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 ปีที่แล้ว

    Msameheni mama yetu , dada yetu .... Amesikia na atafanyia kazi anapokwama.
    Kama atasoma ujumbe wangu ajitahid akibadirika hapa kazini , basi na nyumbani abadirike pia Kama kunadublee dublee za daily , yeye Yuko na mfumo sio mzuri kwa nchi zetu au dunia ya leo. Over

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 ปีที่แล้ว

    Uyo mkuu wa wilaya atakua muhaya

  • @masseaali3564
    @masseaali3564 ปีที่แล้ว +2

    DC mwarabu anafanya anavyotaka hahaha