"MKUU WA MKOA CHUNGA MKOA WAKO, ZIARA ZETU KWENU NI DILI"- WAZIRI MKUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 95

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 ปีที่แล้ว +10

    Hii nchi imebadilika sana hamna upigaj kama zaman tunashukuru sana. Wakuu we2

  • @WillyFx_Tz
    @WillyFx_Tz 5 ปีที่แล้ว +5

    Million 9 duh!! noma sana
    Piga kazi mh. PM

  • @mhangwacastory8765
    @mhangwacastory8765 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli uongozi saivi raha sana kuwapongeza,Mimi niko na waziri mkuu kwa hayo,congratulation

  • @romeoromeo4125
    @romeoromeo4125 5 ปีที่แล้ว +18

    Kabwe umechoka kaa pembeni, wilaya zote haziwezi kuwa na matatizo kama na ww huna tatizo. JPM hili ni jipuuuuuu

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 5 ปีที่แล้ว +13

    Fukuza wote hiyo walio jilipa posho ndio itakua kiinua mgongo chao vichaa kabisa hao

  • @zikirination6769
    @zikirination6769 5 ปีที่แล้ว +2

    Next president 2025

  • @fahadfaraj1263
    @fahadfaraj1263 5 ปีที่แล้ว +11

    mkuu huyo kebwe nae Ni tatizo alishashindwa sio Leo

    • @karimmunis8302
      @karimmunis8302 5 ปีที่แล้ว

      Fahad Faraj
      Huyu mkuu wa mkoa naye ni tatizo , kabisa

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 5 ปีที่แล้ว +3

    Kah hatariiiii I sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Kumbe ndo wanafanya hivyoooooooo. Naomba kazi majaliwa mm nitaiweza hivyoooooooo.. nitaziba mianya yote hiyo ya wiziii

  • @sampachino5184
    @sampachino5184 5 ปีที่แล้ว +2

    Mkuu wa mkowa hafai atoke

  • @immanchinuno6105
    @immanchinuno6105 5 ปีที่แล้ว +6

    Atumbuliwe,,maana wananchi wanaumia ,,,mnaendelea kuwa toza kodi

  • @reubenbusanji2904
    @reubenbusanji2904 5 ปีที่แล้ว +8

    Kebwe hafai

  • @hajraismaili7683
    @hajraismaili7683 5 ปีที่แล้ว +4

    Mkuu wetu wamkoa wamorogoro wabaridi sana!

  • @habibumallanga6392
    @habibumallanga6392 5 ปีที่แล้ว

    Mzee umetsha kwa ufatialiji uwo big up

  • @nasibumpanda9715
    @nasibumpanda9715 5 ปีที่แล้ว +2

    mi nafikili baadhi yawatumishi wakubwa ndo wanapanga mipango nawatumishi wadogo kujikopa fedha zamiladi na ndiomana miladimingi inachelewa kwaiyo msiishie kuwapiga chini 2 muwafunge na kuwafilisi

  • @nasibumpanda9715
    @nasibumpanda9715 5 ปีที่แล้ว +6

    mueshimiwa inatakiwa muwe mnawafunga na kuwafilisi bilaivo wataendelea kuiba tu maana mnawasimamisha kazi halafu wanaendelea

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 5 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania mpya mkuu wewe nakupenda sana ukifika sehemu ukiona kama kuna matatizo . Wewe unatumbua. Huna mchezo.

    • @stevemwakisimba5986
      @stevemwakisimba5986 5 ปีที่แล้ว

      Huyu ndio mbadala wa magufuri 2025tukitaka yanayofanywa na jpm yaje yaendelezwe!jafo aje kua waziri mkuu

  • @mashalaelisha3430
    @mashalaelisha3430 5 ปีที่แล้ว

    Asante baba

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii nchii hii noma sana

  • @fadhiromary8403
    @fadhiromary8403 5 ปีที่แล้ว +1

    milady hizi ndiyo Habali kaka tunazipenda kwa kuwa tunahitaji kujua

  • @kahemachowdry273
    @kahemachowdry273 5 ปีที่แล้ว

    Kwa Kambe hakuna wa kushangaa

  • @John_sadick1
    @John_sadick1 5 ปีที่แล้ว +1

    Mambo ni motooooo

    • @shabanihardware5085
      @shabanihardware5085 5 ปีที่แล้ว

      wazili mbona kilosa aujafika yani kule ndokunamadudu bos kimamba kote

  • @mchuumchu9801
    @mchuumchu9801 5 ปีที่แล้ว +4

    Mkuu wa mkoa atumbuliwe ameshindwa kusimamia mapato.

  • @papafikiri
    @papafikiri 5 ปีที่แล้ว

    Ashatumbuliwa leo safi kabisa

  • @johnsonjusto9564
    @johnsonjusto9564 5 ปีที่แล้ว +2

    kuna watu wanapenda ufisadi mpka wanapitiliza

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 5 ปีที่แล้ว +3

    Hawa viongozi wengine kasi ya Yenu waziri hawaiwezi musiwafumbie macho watoeni.

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 5 ปีที่แล้ว +1

    uyo mbaba awezi kabisa mpole sana

  • @kulwamigo9127
    @kulwamigo9127 5 ปีที่แล้ว +1

    Duh,tayr rc kalia kabla hujafika hata dsm mkuu🙆‍♂️

  • @georgemallya4311
    @georgemallya4311 4 ปีที่แล้ว

    Tunakuombe Mungu uwe raisi 2025.

  • @ramadhanihassani256
    @ramadhanihassani256 5 ปีที่แล้ว

    Morogoro wanarahaaa yaani pamoja na nguvu ya serikali lakini viongozi wanajilia helaatuuu daaaa hayaaa ilaa washuhulikiwe iwefunzo kwa wengine

  • @geradelias8215
    @geradelias8215 5 ปีที่แล้ว +2

    kwakweli morogoro hatuna mkuu wamkoa , inawezekana kebwe anakazi nyingine hapa moro ila cukuu wamkoa

  • @franksaloon4231
    @franksaloon4231 5 ปีที่แล้ว +1

    Piga kazi mkuu viongozi wote wa mkoa wa morogoro amna kitu maendeleo atuyaoni fukuza mkuu

  • @georgemallya4311
    @georgemallya4311 4 ปีที่แล้ว

    Pambana pm wangu

  • @ridhiwaniomari7425
    @ridhiwaniomari7425 5 ปีที่แล้ว +2

    Tumbua hao wameshazoea kupiga dili

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbunge moradi pia mtumbueni hali ni mbaya kwenye majimboyake

  • @said306nyatu9
    @said306nyatu9 4 ปีที่แล้ว

    Nendeni. Tanga. Mjini pia mkuu wa mkoa hajielewi Kama vip. Mtoeni haleti maendeleo Musa mbaruku. Hafanyi kitu kabisa

  • @geradelias8215
    @geradelias8215 5 ปีที่แล้ว +3

    Rais wangu kipenz chawatu unaniangusha kwahili jipu inamaana hulion? tutafutie kijana Mh

  • @bunzalisisa8925
    @bunzalisisa8925 5 ปีที่แล้ว +1

    Niweri Mh w fika hadi Marinyi wandamba shida

  • @francismsengi5965
    @francismsengi5965 5 ปีที่แล้ว +4

    Huyu Jamaa ameshashindwa kusimamia mkoa wetu.

  • @ridhiwaniomari7425
    @ridhiwaniomari7425 5 ปีที่แล้ว +3

    Heri upitiwe na Mjomba Magu kuliko mh. Majaliwa

    • @abdulseifmtuluma4484
      @abdulseifmtuluma4484 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂Kwanini?

    • @ridhiwaniomari7425
      @ridhiwaniomari7425 5 ปีที่แล้ว

      @@abdulseifmtuluma4484 majaliwa ni mkali zaidi maana hachekicheki ovyo yuko serious utadhani anaumwa na jino

    • @abdulseifmtuluma4484
      @abdulseifmtuluma4484 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂
      Mgonjwa wa jino kumbe ndiye the Serious person eeeh

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 ปีที่แล้ว +1

    Majiz yote yatanyooka tuu dawa yenu tayar

  • @peternkilijiwa9376
    @peternkilijiwa9376 5 ปีที่แล้ว +1

    Kasimu tafadhari Tumbua majipu hayo yameiva,haiwezekani kuwa na watendaji wasioendana na kasi ya awamu ya tano fukuza wote ajiri hata darasa la Saba watafaa Sawa na kasi yarais yafukuze yote tuko nyuma yako.

  • @gloriousnp
    @gloriousnp 5 ปีที่แล้ว

    Duh
    Watu wana roho ngumu,hivi kwa hali ilivyo sasa bado kuna mtu ana piga deal
    Si kujifukuzisha kazi nje nje 🤣🤣🤣🤣
    Haya sasa Waziri mkuu kashasema by the time anafika dar ,watu huko moro vibarua VITAKUA VISHAOTA MAJANI 😩

  • @kassimmandwanga8221
    @kassimmandwanga8221 5 ปีที่แล้ว +1

    PM ni kama amekuna kipele katika mwili wenye vipele vingi hali si njema

  • @lamecktheonest225
    @lamecktheonest225 5 ปีที่แล้ว +2

    Kebwe , kuna ndugu yako pale lugalo hosp anatenda yakufanya usafi, nakushauli nenda kaungane nae, ukuu wa mkoa haukufai uondolewe tu

    • @stelllakapaya9517
      @stelllakapaya9517 5 ปีที่แล้ว +1

      Kiukweli kabisa kutoka moyoni huyu mkuu wa mkowa wa Morogoro sioni utendaji wake kwanza amepoa sana au kazeheka sana magufuli mtafutie kaz nyingine

  • @isayamwabulanga7767
    @isayamwabulanga7767 5 ปีที่แล้ว

    Huyu wazili na mkubali magu aliona mbali sana kumchagua

  • @fabianmilanga4980
    @fabianmilanga4980 5 ปีที่แล้ว +2

    Huu sio muda wa kupiga diri hamkomi tu!

    • @georgemartinmwakalindile2700
      @georgemartinmwakalindile2700 5 ปีที่แล้ว

      Fabian Milanga majinga kweli? yamezoea unginga tu...hawaogopi kwakuwa ni wanginga tu.

  • @klaragreen7999
    @klaragreen7999 5 ปีที่แล้ว +3

    MILAD WHY HABR ZA MAAN UNATUWEKEA ROBO ROBO? HIZI NDO ZAMAAN WANAINCHI TUNAPASWA KUJUA UTUMBO WA VIONGOZI WETU..HBR ZA KIJINGA MNAWEKA NDEFU SN. BADILIKA PLS..TUWEKEE KUANZIA PART 1 UPTO..

  • @georgemallya4311
    @georgemallya4311 5 ปีที่แล้ว

    Duuh mkuu wa mkoa inabidi ujitathmini sana

  • @peterclement9507
    @peterclement9507 5 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu mkoa out

  • @edsonedward4579
    @edsonedward4579 5 ปีที่แล้ว

    Hii ndio Tanzania

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว

    Wazir Mkuu tumbua kabisa wanaiba raiv pesa zinazojurikana

  • @samwelnyange3252
    @samwelnyange3252 5 ปีที่แล้ว

    Hawa watu wana njaa unataka wafanyeje

  • @abbyjustine7906
    @abbyjustine7906 5 ปีที่แล้ว

    Hakikisheni kitu chakwanza kuwafatilia na matumiz ya helaa

  • @mohamedkassimu8789
    @mohamedkassimu8789 5 ปีที่แล้ว

    Huyo mkuu wa mkoa hatimizi majukumu yake.Fukuzeni !!!

  • @eaglecrown3872
    @eaglecrown3872 5 ปีที่แล้ว +1

    shikilia hapo hapo baba yangu kasim mbele kweupeee watanzania tunataka hivyo Tumeshaliwa sanaaaa sasa hizo pesa 9,090,000 ukizidisha na mikoa yote unayopita ingejenga visima vingapi? pia ingekopesha vijana wazalendo wachapa kazi wengi tu kuanzisha viwanda vidogo vidogo.

  • @emmanuelcornelius6304
    @emmanuelcornelius6304 5 ปีที่แล้ว +1

    This is misinterpreted na waziri na italeta sana uoga ofisin, hela huchukuliwa kama posho kwenye OC kufanya facilitation za ziara sio watu wanalipwa posho

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 5 ปีที่แล้ว

      voucher za malipo zilikua za nini vile??

  • @Riis_media
    @Riis_media 5 ปีที่แล้ว

    *MAITI YAFUFUKA BAADA YA MKE KUOZESHWA KWA NDUGU TIZAMA HAPA LIVE*
    th-cam.com/video/j3ymvmuNe0U/w-d-xo.html

  • @alfredmruge5031
    @alfredmruge5031 5 ปีที่แล้ว +1

    Ka

  • @adyaa8922
    @adyaa8922 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kebwe ni usaa

  • @tabiafataki8917
    @tabiafataki8917 5 ปีที่แล้ว

    Atolewe2 uyo

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 5 ปีที่แล้ว

    Hii inabidi wapitie halmashauri za nchi nzima

  • @nicken3250
    @nicken3250 5 ปีที่แล้ว

    mambo mengine ya kupotezea tuuhh....

    • @canibalgazaboy8325
      @canibalgazaboy8325 5 ปีที่แล้ว

      Potezea kwenye familia yako na namashaka na wew kwenye uongozi wako wa familia nazani mwanamke ndo Yuko juu kuliko wew ulishanyang'anywa ukichwa wako kwa upuuzi unaoongea hapa hadhalani huwezi sema potezea mambo ya hovyo Kama hayo ~kiukweli namashaka na uongozi wako wa familia najua umeshindwa kabisa mtoto haeleweki mke ndo kabisaaa saivi umebaki kujiliwaza na pombe tu ndo nizokufanya uje uongee utumbo hapa.

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 5 ปีที่แล้ว

    Mhurumieni huyo ni mzee hawezi kwenda na speed

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว +1

    Waziri fukuza wore ao manunda WA hufisadi

  • @petersynto8634
    @petersynto8634 5 ปีที่แล้ว

    Mkuu wa mkoa hautoshi

  • @rogersmasofa6549
    @rogersmasofa6549 5 ปีที่แล้ว

    kaisha tumbuliwa

  • @ashashabani9178
    @ashashabani9178 5 ปีที่แล้ว +3

    Dah huyuu kabwe nayee jipu

    • @shushulukasi1488
      @shushulukasi1488 5 ปีที่แล้ว

      Mhe.Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania.mkoa wa. Morogoro unaonyesha una matatizo makubwa ya kiutendaji na ki uwajibikaji hy tume aliyo isema uwaziri Mkuu ipitie wilaya zote na hali Mashauli zote ili wote walio sababisha uzembe wote uwawajibishe kwa mujibu wa matakwa ya Sheria.kuna wengine wamekuwa wahanga kwa kusimamia Sheria na ubadhirifu baadae na wao wakageuziwa kibao.asante!!

  • @michaeltafuteni127
    @michaeltafuteni127 5 ปีที่แล้ว +1

    Mkoa wa Moro matatizo Hakuna uongoz wamekaa tu majipu tia sindano tumbua kabisa toa wote vimeo

  • @abuyabally5086
    @abuyabally5086 5 ปีที่แล้ว +1

    ccm msifanye makosa baada kipindi cha mpendwa wetu mh raisi jpm.akimaliza mdaa wake tunamtaka jembe letu majaliwa aendeleze fita dhidi ya magaidi waufisadi hakuna mbadala wa jpm zaidi ya majaliwaaaa nakukubali mkuu unafata nyayo za boss kubwa tingatinga jpm

  • @sideboy3164
    @sideboy3164 5 ปีที่แล้ว

    Hawa ni wakufukuza na kuua kabisa

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 5 ปีที่แล้ว

    Tumbuaaaaaaaaa

  • @kinotasontravel3883
    @kinotasontravel3883 5 ปีที่แล้ว

    Usimuache mtu hapo

  • @kinotasontravel3883
    @kinotasontravel3883 5 ปีที่แล้ว

    Tumbua jipuuuuuuu

  • @abdulkareemseif667
    @abdulkareemseif667 5 ปีที่แล้ว

    ndo tanzania kila kikao ni posho ..kuangalia mpira kwao ni posho tu ....pindua apo

  • @klaragreen7999
    @klaragreen7999 5 ปีที่แล้ว +3

    JMP TUMBUA HILO JIPU AKAPUMZIKE HUYOOOOOO WAPE VIJANA WAFANYE KAZI....HAIWEZEKANI PESA NYINGI KM HIVYO MKUU WA MKOA ASIJUE..SIO KWELI. NAYEY ARUDISHE HIZO PESA WALIKULA WOTE HAOOOO..INAUMA SN PESA ZETU JAMAA WANAJITAFUNIA KIULAINI..

  • @alfredmruge5031
    @alfredmruge5031 5 ปีที่แล้ว +1

    Kebwe tuachie mkoa wetu

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 5 ปีที่แล้ว

    Wanyoosheni wote wasio wazalendo hawatufahi katika safari yetu

    • @festogaudence9986
      @festogaudence9986 5 ปีที่แล้ว

      Yani huyu anafaa jamani angeenda tanga wilaya ya handeni vijijin kule kuna matatizo mengi kweli nahis atatatua mgogoro wa maj na zahanati

  • @sebastianngimba4850
    @sebastianngimba4850 5 ปีที่แล้ว

    Unamuacha mkuu wa mkoa wanini? fukuza nae haraka