🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • 🔴#Live: HUYU NDIYE MAKONDA SASA! ANAWABANANISHA WATUMISHI HADHARANI AKITAKA MAJIBU - KIMENUKA!
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 50

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  4 หลายเดือนก่อน +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @SheillaJaffery
    @SheillaJaffery 4 หลายเดือนก่อน +6

    Yes uchawi haufui dafu mbele ya DAMU YA YESU BIG UP MUHESHIMIWA MAKONDA

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 4 หลายเดือนก่อน +5

    ❤❤❤❤❤Nasubir agombee kit chochote nimpe kura

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hili jamaa hata ulipe uwenyekiti wa kijiji litasikika tanzania nzima hahahaha Mungu akuweke mkuu akitoa samia tunatarajia uwe raisi uwokoe kikazi chetu

  • @joelyngomuo7441
    @joelyngomuo7441 4 หลายเดือนก่อน +6

    Makonda ni shujaa kama Daudi ananidungulia magoliati wa taifa paaaaaaa! Mungu akulinde kaka angu makonda kunasiku wala sio mbali sana utakuwa waziri mkuu au makamu wa raisi

  • @sharafisaidi7999
    @sharafisaidi7999 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mama angepata Kam Hawa 10 TU apete miaka 10

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 4 หลายเดือนก่อน +3

    Watumishi wazembe na wezi wajipange makonda akikufikia unalo

  • @StevenFiyovele
    @StevenFiyovele 4 หลายเดือนก่อน +2

    Aisee wewe ni mwambaaa🎉🎉🎉🎉🎉

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 4 หลายเดือนก่อน +5

    Makonda ni mtu na nusu

  • @hbdina
    @hbdina 4 หลายเดือนก่อน +2

    🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 tuna tabu?Haha ni viongozi gani?Viva Paul Makonda 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @iloveyouyusra
    @iloveyouyusra หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana mdogo wangu makonda mungu akuulinde na kukuongoza AMEEN

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani kuongoza bongo ni shida sana

  • @beckhmediaproduction7624
    @beckhmediaproduction7624 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani Mungu azidi kumsaidia huyu mkaka natamani mikoa mingine iige mfano huu

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aibu kwa mkuu wa Wilaya wananchi hawataki kukutanae, Mama mtoe huyo mkuu wa wilaya anashida ya utendaji, pengine sio mwana CCM wa damu, anaiangusha.

  • @swimmermoddy3263
    @swimmermoddy3263 4 หลายเดือนก่อน

    Sister engineer yupo vizuri saana

  • @mashakaamosgabinza3893
    @mashakaamosgabinza3893 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dooo serikali hiyo hiyo inakula serikali hiyo hiyo jipu hilo

  • @dismascosmas7860
    @dismascosmas7860 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dada yupo vizuri unamtfutia engo

  • @mashakaamosgabinza3893
    @mashakaamosgabinza3893 4 หลายเดือนก่อน +1

    Majipu hayo

  • @janetymusa610
    @janetymusa610 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli mtumishi wamungu endelea hiyohiyo wanaokuchukia wanatumiwa na ibilisi na ibilisi sikuzote anapenda uongo kwa hio kwa wote wanaokuchukia wanamchukia mungu.hata yesu wabaya walimchukia lakini yesu alitenda haki usiombe wakupende kwasababu ni watu wa duniani na wewe ni wa mungu.waraka wa yohana 3-8 azitendae thambi ni wa shetani na siajabu wakaongea uongo baba Yao aliongea uongo tokea mwanzo.soma tena kitabu hichohicho 3-1-2 wewe ni mwana wa mungu na dio maana Dunia haikupendi tenda haki kama suleimani utalipwa mbinguni.

  • @PhilipoMwasha
    @PhilipoMwasha 4 หลายเดือนก่อน

    Dada narudia we upo vizuri sanaaaas nakupongeza

  • @Binahmed1234
    @Binahmed1234 4 หลายเดือนก่อน

    Kenya tunataka kama mweshimiwa Makonda.

  • @sharafisaidi7999
    @sharafisaidi7999 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera San Mkuu Kazi Yako ni njema nikiwahi kusema kulipa kodi siyo tatizo,watu walipe hata kama kuongezwa ziongezwe ila swali je kila aliyepewa nafasi anajua kwamba Kazi ni dhamana na unalipwa Kwa Kodi zetu ni lazima atawajibika na kujenga nidhamu ya Hali ya juu San huku ukijua nafasi uliyonayo walioikosa ni wengi iwe idara,iwe nafasi ya juu mpaka Sasa uko vizuri San ongeza kushtukiza kwenye maeneo hayo 1- watoa Huduma TRA,AFYA,DAWASA,NA MAENEO YANAYOFANANA NA HAYO

    • @KisasaMikidadi
      @KisasaMikidadi 4 หลายเดือนก่อน

      ^llplp-ll
      llpllloo^^^ooooooooooolooloolololllololooolooooo^ooloo^^^^koklooooooollqloloop~^oollolool^^ooooooooooooooooolo^oookoooooooooo^oll

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ze Jembe ndani ya KARATU Kesho... Firee ndan ya Fireee💉💉🥳🥳💥

  • @PhilipoMwasha
    @PhilipoMwasha 4 หลายเดือนก่อน

    Acha kudhalilisha watu,hekima Hana pia uwa nashangaa rais Samia anatumia utaratibu gani kuwateua,lakini hata nyinyi watumishi inabidi mdhalilishe kwa kuwa mmezid ubabaishaji ndio mkome kufanya mzahaa kwenye kazi

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mh.Makonda utendaji wako kwa jinsi unavyochambua mambo utadhani una miaka 60 ya utumishi katika idara mbalimbali,ni ajabu! Yani ungekua utendaji wa kisheria na katiba na sio maelekezo kwa RC wa mkoa mmoja tu, hakika ungestahili kuwa Rais wa Afrika...

  • @PhilipoMwasha
    @PhilipoMwasha 4 หลายเดือนก่อน

    Dada upo vizuri sana

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 3 หลายเดือนก่อน

    Wanaichi mngekaa chini mnge enjoy mno

  • @janetymusa610
    @janetymusa610 3 หลายเดือนก่อน

    Wakumbuke mamayeyo wa longido wanaumia wengine wao ndio wanao lisha familia zao babayeyo wengine wanakunywa pombe Yani wao na pombe pombe na wao namba tu mazingira ya utalii nabiadhara ya maziwa iimarishwe ili wajikwamuwe kiuchumi waache kufanya KAZI ngumu.hata kwenye hio shule mpia wamama wengine sana walifanya KAZI ya kukoroga zege wengine walikula na mimba wengine Wana watoto wasogo na wengine hawakulipwa.

  • @GeorgeMwasibata
    @GeorgeMwasibata 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka po hakika ww ni mrisi wa Mzee wetu wa Simba wa yuda jpm mama wap Aly happy waungane kupiga spana maana Kuna nati zimejaa kutu

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 4 หลายเดือนก่อน

    Mkutano kama huu unaonyesha ni kiasi gani utendaji was kazi wa watumishi uko chini kiasi gani. Hakuna anayejari na hakuna anyefatilia. Serikali inahitaji mabadiliko makubwaya kiutendaji.

  • @johnmbatta9872
    @johnmbatta9872 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda, wabane hao wizi wazitapike hela walizoiba. Aliyesema kama unawadhalilisha, naye muweke kitako. Ni sehemu ya hao wizi.

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mwl kajitahidi sana. hesabu pia unawwzakosea

    • @svt3
      @svt3 4 หลายเดือนก่อน

      Mwalimu hakuna alicho jitahidi inaonekana pesa wamezi gawanya gawanya mpaka hesabu zinashindwa kusoma

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 4 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda tubu sana Kwa Mungu wakati wa jiwe mlitesa sana watu acha unafiki

    • @Rolemodel_wa_taifa
      @Rolemodel_wa_taifa 3 หลายเดือนก่อน

      Ushahidi unao wa hayo au na wewe ndio wale matapeli mtapigwa spana mpaka makalio yaseme hayo shenzi kabisa

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 4 หลายเดือนก่อน

    Si kweli. Misri, Morocco Afrika Kusini, hata Kenya wako mbele. Morocco pekee yapokea watalii milioni 20 dhidi ya Bongo wasiozidi milioni 2!

    • @Rolemodel_wa_taifa
      @Rolemodel_wa_taifa 3 หลายเดือนก่อน

      Morocco haipokei Millions 20 acha kudanganya watu

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 4 หลายเดือนก่อน

    Ajabu Namanga hakuna umeme,mji wa mpakani, aibu kubwa.

  • @king_maik6375
    @king_maik6375 4 หลายเดือนก่อน

    😅

  • @saidabdillahi8107
    @saidabdillahi8107 4 หลายเดือนก่อน

    "Every thing is all right; only one problem" Samia ni Mzanzibari sio Mtanganyika😂

  • @dismascosmas7860
    @dismascosmas7860 4 หลายเดือนก่อน

    Wapongeze wamejitahidi

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 4 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda acha unafiki

  • @katalamohamed4305
    @katalamohamed4305 4 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda unasema mkeo mzuri nani kakuuliza Acha kumdharau huyo dada usidharau wanawake huyo MAMA SAMIA PIA NI MWANAMKE

    • @king_maik6375
      @king_maik6375 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani kambiwa una sura mbaya?

    • @svt3
      @svt3 4 หลายเดือนก่อน

      Yaani mtu kusema nina mke na mzuri ni bibaya?❤❤🤔🤔

    • @nyiqatonyiqa7114
      @nyiqatonyiqa7114 3 หลายเดือนก่อน +1

      Una tatizo kubwa wewe 😢, nani kadharauliwa hapo au kasushwa sifa?????😮😮😮😮

  • @king_maik6375
    @king_maik6375 4 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @king_maik6375
    @king_maik6375 4 หลายเดือนก่อน

    😅