SIMULIZI MPYA - BINTI MOZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Ilikuwa ni siku ambayo Moza alitoka kupokea ela ya mchezo kiasi cha shilingi elfu sitini. Kilikuwa ni kiasi kidogo sana kulingana na mahitaji yake yote yaliyomo kwenye akili yake. Alifika nyumbani kwao na kuingia ndani moja kwa moja. Jambo lililomshangaza ni pale alipomuona Mama ake akiwa amekaa sebuleni kwa unyonge sana huku mkono ukiwa shavuni. "Haya kumekucha!" Moza aliongea mara baada ya kumuona Mama ake. Mama Moza alikuwa akijihusisha na biashara ya pombe za kienyeji, na mara kwa mara alikuwa akianguka kwenye mtaji na hiyo ilitokana na kutokuwa na uelewa wa mahesabu hivyo aliishia kudhulumiwa na wateja wake.

ความคิดเห็น • 315

  • @user-mg3iv7dd4q
    @user-mg3iv7dd4q 10 หลายเดือนก่อน +14

    Wow wakwanza Leo wapi love ya team strong

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 10 หลายเดือนก่อน +15

    Usimdharau binadamu yeyote,kwani wote wameumbwa kwa mfano wa sura ya Mungu, asante Ankojay, asante Sabra❤❤❤♥️🪴🪴🪴🥀🥀🥀🍎🍎🍎💐💐💐

  • @nuriatqueen5575
    @nuriatqueen5575 10 หลายเดือนก่อน +38

    namimi leo sijacelewa 👩‍💻sana jamani naomba like zenu please asante kwa simulizi nzuri ankojay Allah akubariki katika maisha yako yote💚💚🎉🎉🇬🇧🇬🇧🇬🇧

    • @MwanaidAlly-ce7dr
      @MwanaidAlly-ce7dr 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ndefu nene, sio kibamia

    • @hafsamohd1872
      @hafsamohd1872 8 หลายเดือนก่อน

      😮😮 😅​@@MwanaidAlly-ce7dr

    • @Mariam-dx7lr
      @Mariam-dx7lr 4 หลายเดือนก่อน

      Mwanaume mashine bwana

  • @user-ye7wo8tr2p
    @user-ye7wo8tr2p 10 หลายเดือนก่อน +20

    Wakwanza leo.asante Ako jay kwa simlizi tamu, 🥰🥰🥰😍😍😍😍 nakupenda sana ankojay wng laki zang

  • @elradjabubosingwa5026
    @elradjabubosingwa5026 10 หลายเดือนก่อน +10

    Waoooooooo❤❤❤❤❤nimefurahi saaaaaaàana kuskiya sauti yako heeeee umetutesaaa❤❤

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 10 หลายเดือนก่อน +10

    Asante Ankojay kwa simulizi mpya from 🇰🇪🇰🇪 with Love ❤❤❤

  • @fatumahassan2636
    @fatumahassan2636 10 หลายเดือนก่อน +11

    Ankojay mimi leo ndio wakwanza ku comment na kuskiza simulizi nakupenda bire

  • @SalmaMohamed-ts9sg
    @SalmaMohamed-ts9sg 9 หลายเดือนก่อน +4

    Usimdharau mtu kwa muinekano wake una ss moza amekua na maisha mazuri kuliko lile tapeli lake ilove qana familia wa and jee

  • @ashwaqhasni
    @ashwaqhasni 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mozah umeaibisha wanawake pumbavu unaonga mwili mpaka pesa na chakula cha mamako😂😂😂😂😂

  • @eda_juma
    @eda_juma 10 หลายเดือนก่อน +7

    Ngoja nisikilize kwanza nitarudi kucomment❤🎉🎉

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 10 หลายเดือนก่อน +9

    Hi lafiki zangu Leo nimewai namba like zen jameni Ahsante AnkoJay Acha ni 🪑🎧 simulizi hii ni 🔥🤭😂😂🤣🤣

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 10 หลายเดือนก่อน +6

    Ankojay hua watujulia wallah shukran saana

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan chidi hapana kwakweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌siwez kuwa na mwanaume kama uyo wallah🤣🤣🤣🤣

  • @wilkisteradhiambo3072
    @wilkisteradhiambo3072 10 หลายเดือนก่อน +7

    Sabra hebu tufurahishe Leo najuwa itakuwa tamu am listening 🎧🎧

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 5 หลายเดือนก่อน

      Kama kawaida yake,na anko j usibanie sema yoteeeee usubanie

  • @aliyhassan6715
    @aliyhassan6715 10 หลายเดือนก่อน +9

    Poa wa mwisho nipen like na mm 😂😂😂

  • @user-im2ss4mj4r
    @user-im2ss4mj4r 10 หลายเดือนก่อน +8

    Ankoo Jay ❤❤❤❤

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 5 หลายเดือนก่อน

      Jina lake ktk ubora wake 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-ui6rf8yx7s
    @user-ui6rf8yx7s 10 หลายเดือนก่อน +6

    Namie leo wa 20 najikutanimewaaaah😂😂😂

  • @AishaNanzua
    @AishaNanzua 10 หลายเดือนก่อน +6

    Number one hi family

  • @fatumahassan2636
    @fatumahassan2636 10 หลายเดือนก่อน +9

    Nakupenda pure

  • @user-qw7un1nf2f
    @user-qw7un1nf2f 10 หลายเดือนก่อน +10

    Mashallah anko Jay tumesikiliza wacha tuone bint Mozar ananini

  • @ZawadiKyauke
    @ZawadiKyauke 10 หลายเดือนก่อน +7

    Nimekuwa wa kwanza leo

  • @mary-kamara
    @mary-kamara 10 หลายเดือนก่อน +7

    ubalikiwe sana Ankojay ❤🙏

  • @user-lk5ps2mf9f
    @user-lk5ps2mf9f 10 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂huyu chidy ni jambaz sio bwana kabc😂😂

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 10 หลายเดือนก่อน +5

    Khaa chidii😂😂😂 umenivunja mbavu

  • @user-bz9fw1dn5c
    @user-bz9fw1dn5c 10 หลายเดือนก่อน +5

    🤣🤣🤣🤣🤣 nimechek kwanguv jamn ...iwe tuh size jamni anko

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli kila mwanamke na sixe yake

  • @doricedeus7587
    @doricedeus7587 10 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤❤nikae mie maana simulizi tamu

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 10 หลายเดือนก่อน +7

    Wow,kazi nzuri Anko Jay 🎉🎉🎉

  • @janetkazungu7795
    @janetkazungu7795 10 หลายเดือนก่อน +5

    Wow ankojay hongera kwa kujali kila siku ❤

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 10 หลายเดือนก่อน +7

    Waoooooooooooh kila siku Wa kwanza chezea kulala you tube like 😂😂😂😂😂😂❤❤❤

    • @janetkazungu7795
      @janetkazungu7795 10 หลายเดือนก่อน

      Kesho nitakupita 😂😂😂

    • @zuenahz5514
      @zuenahz5514 10 หลายเดือนก่อน

      @@janetkazungu7795 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Tutaona

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 10 หลายเดือนก่อน +6

    We love ancojay kwa hii story tamu ❤❤❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 10 หลายเดือนก่อน +5

    Khaaaa,mapenzi shikamoo😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 5 หลายเดือนก่อน

      Chezea mapenzi weweeeee,watu wafupi na mambo yao

  • @jabuali5739
    @jabuali5739 10 หลายเดือนก่อน +4

    Better late than nvr let m sit n relax nikisikiliza

  • @hellenwanjiku9891
    @hellenwanjiku9891 20 วันที่ผ่านมา

    hapo Sasa ankojeii hongeraa then hongeraa kwa swali lako mi nabenda kubwa sio kubwa sana nono sio nono sana wee inafunzi usimuone mutu mfubi umtharao chini kiboko yao leten like zenyu kwa maiko

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 10 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂😂😂monchwari sai sio kwa maiti ni watu wanao pambania maisha 😂😂 Anko jay umenifanya nicheke kwa sauti 🎉🎉

  • @zainabjordan5659
    @zainabjordan5659 10 หลายเดือนก่อน +6

    Amazing never judge a book by its cover, thank you so much Ankojay I really enjoyed the story 👍❤

  • @yusrambodze3804
    @yusrambodze3804 10 หลายเดือนก่อน +5

    Wow anko jay asante jamani🎉🎉🎉🎉

  • @user-cr1nk1zc5s
    @user-cr1nk1zc5s 10 หลายเดือนก่อน +15

    We all need Casie in our lives 😍😍 a true friend like her ❤️ namfananisha moza na zuchu sema tofauti ni kwamba zuchu hamuhongi diamond ila chidi anamaneno matam kama mondi Kwa zuchu Haya acha tuendelee na story ya binti moza

    • @anjelinandambuki-fi4ip
      @anjelinandambuki-fi4ip 10 หลายเดือนก่อน +2

      Kumbwa Iko sawa😂😂

    • @kibibi7826
      @kibibi7826 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ayo majina ndivyo yalivyo na msururu wa wanawake kibao

    • @odhiambocarren1stbrn955
      @odhiambocarren1stbrn955 10 หลายเดือนก่อน +2

      Weee my dear umesema tu ukweli ila dah😂😂

    • @user-sp9tq8mq6q
      @user-sp9tq8mq6q 10 หลายเดือนก่อน +2

    • @user-cr1nk1zc5s
      @user-cr1nk1zc5s 9 หลายเดือนก่อน

      @@odhiambocarren1stbrn955Kwani ungo my dear 😊

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 10 หลายเดือนก่อน +8

    Tupe raha wana familia

  • @Ivyagua
    @Ivyagua 10 หลายเดือนก่อน +5

    🎉🎉🎉🎉🎉anko thankz

  • @NawMi121-lj8cf
    @NawMi121-lj8cf 10 หลายเดือนก่อน +6

    Anko Jay mapesa mwema😂😂😂😂😂

  • @aliyhassan6715
    @aliyhassan6715 10 หลายเดือนก่อน +7

    Mm moza tupe mambo mdomo wa pili tena anko jei ww

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 10 หลายเดือนก่อน +3

    MashaaAllah aunty Sabra na kaka Ankojay nawapenda bure

  • @anjelinandambuki-fi4ip
    @anjelinandambuki-fi4ip 10 หลายเดือนก่อน +10

    Wakwanza jameni nipeni like zenu wadau❤❤❤❤❤

  • @AshaAbedi-nw9xd
    @AshaAbedi-nw9xd 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mashoga km hao mi ndo nawatak so unakua nashoga hana faida😂

  • @user-ik9et9gh1w
    @user-ik9et9gh1w 10 หลายเดือนก่อน +5

    Leo nimekuwa wa 15 nipen like zenu

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn 10 หลายเดือนก่อน +8

    Ubarikiwe uncle love you ❤

    • @ankojay_
      @ankojay_  10 หลายเดือนก่อน

      Same to you

  • @user-fv5se6iu9r
    @user-fv5se6iu9r 10 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani acha nicheke mie😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-ip6hb1nq2u
    @user-ip6hb1nq2u 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wow wow hii simulizi nzuri tamu moza amuke jamani ❤❤❤

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 10 หลายเดือนก่อน +4

    Unclejay lete mambo my dear

  • @joyceabeli3787
    @joyceabeli3787 10 หลายเดือนก่อน +4

    Duh mambo moto saiv anko jaman

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 10 หลายเดือนก่อน +7

    Waooooh kwa simulizi Anko J ❤❤🎉🎉

  • @sittidaoudahmed5467
    @sittidaoudahmed5467 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani hili li chidi hili mungu analiona na wewe moza umebweteka sana acha tu yakukute mjinga

  • @MsafiriMoza-uu9gd
    @MsafiriMoza-uu9gd 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani moza jinalangu ❤❤❤jamani tumekubukwa ❤

  • @user-pb9lu5pb1g
    @user-pb9lu5pb1g 9 หลายเดือนก่อน +1

    Akonjay hasante Sana Kwa simulizi hii akika nitamu kweli imenifunza usimdharau mutu yeyote Yule mana haujuwa mipango za mungu ❤

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mjusi juu ya gogo🤣🤣🤣🤣🤣kazi Leo ipo bwanaa andunjee

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 10 หลายเดือนก่อน +4

    Haya weeee 🎉🎉🎉🎉

  • @user-zf3eq4le6b
    @user-zf3eq4le6b 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ila anko jay kwa kujisifia👌👌👌👌

  • @user-np8ol7bd4r
    @user-np8ol7bd4r 10 หลายเดือนก่อน +2

    Asante anko j❤❤❤❤ ukabarikiwe🎉🎉🎉🎉

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤umeweza anko jay

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤pamoja ankoj ,ankoj alfu jini mahaba vipi umesahau 😂😂😂😂😂

  • @jinaanhkareem3650
    @jinaanhkareem3650 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanzo ilipoanza tu huyo chidi alikuwa anakera kweli nusu nilie 😂😂😂

  • @hidayamanda-gk7nf
    @hidayamanda-gk7nf 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman anko jay sio kwakusukutuliwa uko ka! Acha tubuludike jaman Mungu akuweke miaka 100

  • @amenaafrica7046
    @amenaafrica7046 10 หลายเดือนก่อน +3

    yupo,,, muchari akipambania maisha yake 😂😂😂majina ya chidi ni waongooo

    • @saumunyadzua
      @saumunyadzua 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂yani kanivunja mbavu

    • @amenaafrica7046
      @amenaafrica7046 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@saumunyadzua🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-il2wx7oh8c
    @user-il2wx7oh8c 9 หลายเดือนก่อน

    Akhaa acha nitoe stress na simulizi za anko j ...Anko j wee kiboko 😍😍😍

  • @user-yg9et7mp7i
    @user-yg9et7mp7i 10 หลายเดือนก่อน

    Anko jay hongera what wonderful simulizi mzuri sana ❤❤

  • @heriethmozes8151
    @heriethmozes8151 9 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤yaan kweli usimzadharu usiemjua

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 5 หลายเดือนก่อน

      Usimdharau usiyemjua,moza alikutana na anakonda

  • @user-ij1yh2ur8v
    @user-ij1yh2ur8v 10 หลายเดือนก่อน +3

    Nashukur kutuburudishs na kutufudiaha Ankola jay

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 10 หลายเดือนก่อน +1

    Akafunge vidred mpaka kwenye makalio hahaha anko jay unejua kunichekesha

  • @user-pr1uy3sh3o
    @user-pr1uy3sh3o 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ancle baraka za mungu ziwe juu yako inshaAllah?.. more life handsome boy🤫💥💥❤❤

  • @haikacassy6335
    @haikacassy6335 10 หลายเดือนก่อน +1

    mim ni huy kessy kabisaa 😂 nikimp mwanaume hat mia mbili naumwa week nzima 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @user-jk8qn4zi5t
      @user-jk8qn4zi5t 16 วันที่ผ่านมา

      Kwanza akiniomba nakublock kabisa sitaki kuhudumia mia🤣🤣

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mjegejee usiwee mkubwaa Wala mdogoo😂😂 brother Ankojay Tumeelewana 🏃🏃🏃

    • @ankojay_
      @ankojay_  10 หลายเดือนก่อน

      😂😂 ndio

    • @user-se7my5px1y
      @user-se7my5px1y 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@ankojay_tunapenda size ya katikati anko

    • @estellinhoezekiel2565
      @estellinhoezekiel2565 4 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

  • @SumayyahKinumi-fz8oy
    @SumayyahKinumi-fz8oy 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hii simulizi ni ya kuchekesha jaman nimecheka sana leo khaa ankojay kiboko

  • @saudaamohammed8743
    @saudaamohammed8743 10 หลายเดือนก่อน

    Ujawahi kosea WALLAH napenda simuulizi zako barikiwa anko J❤❤❤much love

  • @polinlizzlizz
    @polinlizzlizz 10 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂😂 mwanaume akiwa nayo kubwa mnasema amebarikiwa lakini sisi tukiwa nayo kubwa mnasema mtaro 😢

    • @Kellyperry947
      @Kellyperry947 10 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

    • @polinlizzlizz
      @polinlizzlizz 10 หลายเดือนก่อน

      @@Kellyperry947 volume iko vipi

    • @user-cr1nk1zc5s
      @user-cr1nk1zc5s 9 หลายเดือนก่อน

      Sasa my wangu kinu kikiwa kikubwa na mwichi ukawa mdogo inakuwaje? Na ukiwa na mwichi mdogo na kinu kikubwa. Kinu na mwichi lazima viendane sambamba. Ila kama mwanamke aliubwa na maumbile makubwa kuna mazoezi ya kufanya ili uke uwe mdogo sema wanawake wengi hawajajui hayo mazoezi na pia wengi wao wanakuwa wavivu wakisha pata mwenza wao wanajisahau Ndo hapo wananenepeana hawajijali tena minywele kama chizi mwanaume akiondoka mpaka anarudi kavaa nguo zile zile 🙄 nguvu tuliyo itumia uwashawish wanaume Ndo tuendelee kuwa nayo Hata kwenye mahusiano wapenzi ❤

  • @user-cn3lg9wf6g
    @user-cn3lg9wf6g 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman khaaah🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @yusrambodze3804
    @yusrambodze3804 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanaume awe na hogo km la Michael bna😂😂😂😂

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 10 หลายเดือนก่อน

    Ahasante sana anko jay kwasimulizi tamu Allah azidi kukuweka InshaAllah 🙏 ilituwndelehe kiwi enjoy Anko jay usituweke sana bac kwenye simuliziyeti ya X mwendelezo plz🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @magrethjacob1191
    @magrethjacob1191 9 หลายเดือนก่อน +3

    mwanaume inabdi uwe namwili wa kujazia na wa mazoezi😂😂😂na Sixpark kama wa Anko Jay😂😂

    • @ankojay_
      @ankojay_  9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 10 หลายเดือนก่อน +2

    ANKO J Leo umejua kunichekesha.Nmecheka kama chizi wallahi.

  • @florenceakothotieno3673
    @florenceakothotieno3673 10 หลายเดือนก่อน +3

    Woooyooo😅😅😅😊😊😊😊

  • @FaridaRajab-ce7ed
    @FaridaRajab-ce7ed 10 หลายเดือนก่อน

    jamani mi nimeiped sana pia nimejifuza ki2❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @fatumahassan2636
    @fatumahassan2636 10 หลายเดือนก่อน +5

    😘😘😘😘😘❤

  • @user-km5or2zn7t
    @user-km5or2zn7t 10 หลายเดือนก่อน

    Ako j unachekesha sana napenda kazi yako sana tu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 10 หลายเดือนก่อน

    So nice story be blessed my wetu kipenzi twakupenda pia tena sana zidi kubarikiwa ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @failakisanda8935
    @failakisanda8935 10 หลายเดือนก่อน +4

    I’m first one

  • @jacintahsulubu5602
    @jacintahsulubu5602 9 หลายเดือนก่อน +1

    Late comers where are we lets gather here ala❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂 mm nae ctaki mchezo anko amenifuza kizungu acha nikitumie

  • @fentafesh9790
    @fentafesh9790 9 หลายเดือนก่อน +1

    Motoo 🔥🔥🔥

  • @magrethjacob1191
    @magrethjacob1191 9 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂mabwana wanaoeleweka wakina Ankojay

  • @LissaBosh
    @LissaBosh หลายเดือนก่อน

    yani kupenda Mario nimateso😅😅😂😂😂😂

  • @user-ie5xs4nm4m
    @user-ie5xs4nm4m 10 หลายเดือนก่อน +1

    Simulizi tamu sana ❤️🎉🎉

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 10 หลายเดือนก่อน +2

    Leo mm wa mwisho

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 10 หลายเดือนก่อน +1

    Usimdharau usiye mjua haijalishi mrefu au mrefu mwembamba au mnene 😂

  • @mwanaidimwabanda1248
    @mwanaidimwabanda1248 5 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda machabikiwote waanko jii❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Holiness-to3wp
    @Holiness-to3wp 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tunapenda size banaa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr 10 หลายเดือนก่อน

    Kesi ni mwanamke jasiri moza naye nimpe mwanaume hela hahaaa😂😂😂😂😂♥️🤣🤣🤣🤣 mgeuze bidha 🥰🥰🥰😂🤣🤣🤣💃💃💃💃kumekucha daa

  • @AishaJuma-wd8xd
    @AishaJuma-wd8xd 3 หลายเดือนก่อน

    Kesi uko vizuri

  • @user-kw4wn7rj1h
    @user-kw4wn7rj1h 10 หลายเดือนก่อน +2

    Anko jay ❤️🌹🌹🌹❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @dinahwafula2538
    @dinahwafula2538 10 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu Moza ni bwege eeh anakuwaje mjinga asiye fikiria pumbavu Kabisa

  • @FaudhiaFaudhia-yx3sq
    @FaudhiaFaudhia-yx3sq 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂jaman ila moza hapana jaman me siwez Duuh

  • @user-th7rl5bt3e
    @user-th7rl5bt3e หลายเดือนก่อน

    Subwoofers hoyeeeeeeee