BINTI KIZIWI | SIMULIZI MPYA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 มี.ค. 2024
- Ni kisa kizuri sana cha kusisimua ambacho kijana Kapela ambaye familia yake ni ya kitajiri saana anaamua kuishi maisha ya kawaida ili apate mke wa maisha, kwani aliona wanawake wengi wanakuja kwake kwaajili ya pesa zake.
akajikuta akimpenda saana binti kiziwi aitwae Batuli akitokea familia ya kimaskini sana.
wazazi wake na Kapela walihitaji mtoto wao aoe tajiri mwenzake.
hii simulizi ni tamu sana na yenye mafunzo
SIMULIZI FUPI | LUCAS LUMBASI - บันเทิง
Wacha masihara mauwa upewe🎉🎉🎉🎉❤
Wow leo pia mimi nimewai
Asante sana kwa simulizi zuri 😊 ila guys naomba munipe hata like mija tu jmn 😅😊😊🎉 nawa penda sana jmn
Wa pili leo🎉🎉🎉🎉🎉 like zangu wapendwa😂😂❤
🥀🥀🌹🥀🌹
Ila sauti Yako kaka Lucas ni nzur inashawishi kuendelea kuskilizwa😍
Mimi leo ndio wakwanza lakini ntaona wengine 10 wakisema wao ndiyo wakwanza 😂😢
🎉🎉🎉🎉🎉🎉kama kawaida😂😂😂
🤣🤣
😅
😂😂😂😂😂😂😂
Mm pia wakwanza 😊😊😊
Nipoooooo sijachelewa saana naenjoy na bint kiziw asante kaka lucas mungu akubariki sana❤❤🎉
Shukrani sana Mungu awatanguriye kwasimurinzi ❤
Simulizi nzuri japo nimechelewa❤❤❤🎉🎉🎉😂
Lucas lumbasi nice job unamambo wemkaka mauwa yako 🌺🌺🌺
Woow asante ❤❤
Aweeeee Lucas una kiti chako mbinguni😊
Unajielewa kwel simuliz2 awe na kiti mbingun mmmh
@@user-il5jn5jm3r Enheeee aya sasa kwani kilichokuuma ni nini apo?
Duuu kaka Lukas jamani unaweza mno 🥰💕 Yaani unaweza sema naangalia movie kumbe ni simulizi hongera 🎉🎉❤
Banae waeza tulia mtu akadhan wafany kitu cha faida kwenye simu😅😅😅😅
Nimeshk mkiaaa😂😂😂😂 asanty brooo lucas
Asante sana kaka Lucas Lumbas ❤❤❤
❤❤❤🎉
Nice story be blessed my wetu kipenzi twakupenda pia sisi ❤❤❤🎉🎉🎉
Nakukubali kaka Lucas Lumbasi kwa simulizi nzuri lakini je familia tajiri ikubali kuoa mtu masikini na kiziwi itawezekana kweli? Lucas nijibu
Mungu ni muhimbaji japewe sifa asente Sana Lucas lumbasi
Salam Lucas simulizi mzuri hio sana Binti kiziwi natumai tutapata sehemu ya 2 please mana imefikia shwari kwa kweli ❤❤❤❤❤
X. 4cvn
C M, k
Waoooo jamn 🎉🎉🎉simlizi ni Tamu🎉🎉❤❤
Shukuran Lucas ..umebarikiwa kweli na sauti
Mashabiki sijachelewa sana naomba like zenu alafu mpokee maua🎉🎉🎉🎉🎉
Jamn onger kak nakupendag san
Nakupenda pia Tatu 🥰
Hongera kaka Lucas 😍😍😍
Sauti daaa umebarikiwa sana😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤🇴🇲🇴🇲🙏daah mzuri sana hii simulizi sioalamu anko Lucasi kuwaga 😂
Kazi dzuri kaka Lukas barikiwa🎉
Mungu hakunyimi vyote,,,akikupa kilema anakupa na mwendo
💃💃💃 jaman asant sana kak lucas
Simulizi zako lumbus ninzuri.ile zajivuuuuta nakujirudiarudia 😊
Nami sijachelewa
Jamani mmewahi kha mko spidi Sana hay tumekutan Tena nashukur mungu
Waoooo simulizi nzuri sana
Jamani good Nace ialakishwa BC daa! Zulu mnoooo
Jamn nzuri hii,, tamu tangu mwanzo haa ,, muandishi nani huyo
Tamu kama yako ilivyo taaamu Scolla
13❤❤❤
Msiwe wachoyo kulike kwasababu tumechelewa kucomment 😂😂😢😢❤🎉
Ukweli jamani ukilike na ukicoment utapungukiwa nini?tuatie nguvu ili wazidi kutuletea mambo mapya 🙏🙏🙏
Kazi nzuri kaka lucas
Ukioa au kuolewa na mtu mwenye ulemavu ni thawabu kwa muumba wetu Allah
Asante sana Lucas kwa simulizi ni ya mtoto 🎉😊
Wow simulizi tamu kaka lumbas 🎉🎉
Cukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉 kaka lucas lumbasi😂😂
Yaani Lucas umenikumbusha shangazi yangu kweli kwani yeye ni bubu na kiziwi pia ila urembo wake hauna wengi hata vipodozi kwake haviwezi mpa uzuri wa sura yake ila yaani uzuri wake duuuh hadi unawaumiza wengi ila hasira zake pia hazipimiki pale anapo ona ana dharauliwa
Nzur sana
Very stor so much ❤❤
Nimefurai sana Ila ungeiweKa iweya vidio.
Wa 16 mie nimechelewa,,,,binti kiziwi kafanyaje,ngoja tututlizane tumsikie
❤❤❤
🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
✌peace❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤❤simulizii tamu sana
Hahaha kuaga c haramu kka Lucas
❤❤❤ Asante kwa simuli tamu
❤❤❤❤ Tnx Lucas 🎉❤❤
😊😊😊 Tam sana
🎉❤
❤❤❤❤❤❤
Wooow kitukitamu❤❤❤
🎉🎉❤❤
Shukran kaka Lucas Lumbasi ❤❤❤❤
Jameni sehemu ya pili ni lini
Kk. Kwel. Kunakitu. Nimejifunz. Saaan. Nisimuliz. YMafunzo. Saaana. Asante
Nami sijachelewa like zangu please gays 😂😂😢😢
Haya himi hapa 🪑
Wow 😮
Sehemu ya pili
To be continued
Apo kwenye kucheka na rafiki yake bc mimi huku nacheka peke yangu 😂😅😅
❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Nipo namie jamani
❤
👌👌
Asante sana ❤❤❤
❤❤❤🎉
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Naomba mwendelezo
❤❤
Vitu vinakuja otomatik aanze kumpanga baba awe muelewa atakuja kumtetea
🤛
Yaani wew Lukas ndio ulikuwa ktk mahusiano na ndio ulikuwa busy sana kujibu sms?
Kwanini😂
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI vile unasimulia kuna kipindi ulikuwa ktk mahusiano ukawa uko busy sana hata kukosa muda wa kujibu ujumbe,hukuweza kujibu ujumbe zaid ya mara 5
pia Lucas mimi husema kwa nini wazazi wamkatae mchumba wakijana wao alipo penda hapo ndipo pake tena tatizo ni moyo tuu kwani ukipenda huwezi jizuia na haumchugui wakumpenda tena anae ishi nae nikijana wala sio wazazi nasrma haya kwani mimi nimhanga wa kukataliwa na mama mkwe hadi sasa bado huwa nakunyongo na chaajabu hakuna kitu tuna mwomba chakusikitisha aliwafanya hata wanawe wamtenge mwanae kwa kutowasikiliza na kuwakatalia matakwa yao ya kuoa walipo penda na kuendekeza wao na kufanya chaguo la kunioa mimi
Wapo wazazi wengi wa hivyo,wasijue wanawakatisha wanawe tamaa
😮❤😢😅
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
😁😁😁👍
😝😝🤪🙏
❤❤❤
❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤
❤