Kama kawaida ya huyu dada Lissa kuachia makombora ya maana juzi umetuletea doctor mayla p2 na shamba boy hatujakaa sawa artist tena uko vzur mno dada MUNGU akuweke na akuze kipaji chako asante kwa simulizi nzuri ❤️❤️❤️❤️
Hii hadithi ni tamu na ya kuhuzunisha Wadada bora utumie nguvu zako na ule kwa jasho. Moscow haukujengwa kwa siku moja. Tafuta Mtu wa kaliba yako maisha mtafika. Mary tamaa ya Pesa nyingi na bado majuto wala hazikumtosha😭Thanks Anko Jay.
Wakati mwingine ya mfaa mtu angalie na kuwachambua marafiki alio nao maana mary aliponzwa na rafiki yake tatu pale alipo mshauri ujinga pia nikama tatu alimtaka mary awe kifaa chake chakukiongoza ila haikuwa hivyo ila pia mtu ajiweke tuu kwa MUNGU tuu maana maisha bila MUNGU nibure
Ankojai hii Kali sana ❤❤
Jamani Lisa mwana mwah!❤
Ujui kaa mzee amechukuliwa
Meli daa ameniliza😢😢
Asalamu
Saf
Miko the badest, ilikuwa kilikua kitu moto sana
Waaa dezoo kweli mtudu mbaka anamsahao jinaanamuita matatizoo hopo kweli hata wangu Bala ni muite daudi nilimuita duduuuu waaa hadithi tamuu muno
Lissa mwalla muandishi mzuri sana yan sana akiwemo na ali mbetu❤❤❤❤
Masikini Mary pole
Wawawa daa Mary yko Kali🥰🥰
Dah! Nmechelewa Leo, wachelewaji wenzangu mikono juu✋✋😅😅
Kama kawaida ya huyu dada Lissa kuachia makombora ya maana juzi umetuletea doctor mayla p2 na shamba boy hatujakaa sawa artist tena uko vzur mno dada MUNGU akuweke na akuze kipaji chako asante kwa simulizi nzuri ❤️❤️❤️❤️
Yaan huyu dada nibalaaa kwa stor ukiunganisha na msiliz hapo anko j nihatariii
🎉🎉 yani nakukubali sana lissa mwalla
👌👌 big up to you lissa mwalla
Asipo pewa anatoa bomba lamaji😜😘
❤❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hi Anko Jay nimejifuza sana sana Mungu akumbaliki sana tena 🙏❣️❣️
Jaman Anko jay Dizo Dizo utaniuaa weweee😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kheee
Asante sana Lisa mwala na Anko j kwa simulizi nzuri ingawa nimechelewa
Ngoma ikivuma sana vuuu ,vuuuuu,,vuuuuuu,mwisho wake hupasuka ndio hayo ya Mery
Asante ankojai❤
Jamani sijui nilikuwa wap siku zote 😍😍🥰🥰, simulizi nzuri Sana hii💗💗,
Part 2 please 🙏 🙏 please
Duh! Mary pole sana.....Bora uache kudanga
Alivyokuwa mdogo vile na kudanga tena?
Simulizi za lisa mwala zinarusha moyo sana kwa wasichana kudanga,na kufumaniwa khaaa,had moyo unapaa
Anadanga balaaa
fyoko fyiki msukuma😂😂😂
Aaekeuneme huyo😂😂😂😂😂😂😂❤❤
Anko Jay we wamoto kwelikweli nakukubari Sanaa
Saaana namkubali sana
Kipenzi chetuu LISSA MWALLA 🥰🥰🥰 mis u LISSA MWALLA like kwa ajiri ya LISSA MWALLA🥰🥰🥰🥰
99999999⁹999⁹99⁹99999999999999999999999900000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000ⁿ⁰0⁰⁰⁰00⁰⁰0⁰000⁰000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000⁰00000000000⁰0⁰00⁰0⁰0000⁰0000000000000000000000000000000000000000000000000
@@demageraconstantine6823 jamani sasa ndo nini sasa 🤣🤣🤣🤣🤣
@@demageraconstantine6823 the
Daah. Uyu MERI kaniskitisha kwakweli
Kasi ipo
Hongera Lissa na smixat large
Uyu marry malaya jamanii🙌🙌
Nzuriiii sana nimeipendaaa simulizi mix
Tupooo hewani tena ❤❤❤❤❤
Anko..nakupenda.sana
🤸❤🙏 asante simulizi mix
Thanks LISSA MWALLA kwa kibao chengine kinachowakilishwa na AnkoJ...I'm no.1 thanks Smix pamoja sana 👍🏻
Aaaa mr J bwana dah! 😅😂😅
WHAT AN AMAZING STORY. THANKS ANKO JAY 🔥🔥👏👏👏👏
Lisa,Lisa wangu love you baby girl
Aasanteee sanaaaaa kipenzi chetu lisa mwala na anko jay 😂😂🙌🙌 acha nisikilize nione kunanin Ila sehem ya pili msitusahau jamni
Hii hadithi ni tamu na ya kuhuzunisha Wadada bora utumie nguvu zako na ule kwa jasho. Moscow haukujengwa kwa siku moja. Tafuta Mtu wa kaliba yako maisha mtafika. Mary tamaa ya Pesa nyingi na bado majuto wala hazikumtosha😭Thanks Anko Jay.
Daaaaah
Weweeee Asante Lisa na anko jay
Anko jay miayo mingi😂😂😂 pole kaka
Part two bas Jay😎
Kikweli hiii imenigusa snaaa kakaa
Jamani nimeipenda sana seemu YAPILI priz
Daaaaaa merie naweye akuna mwenye ulikataliya 😂😂😂😂😂😂😂ulikuwa cha ote
Merry acha kudanga c kuzur ridhika na kidgo tuu na bidiii yko ya kazi unabadilisha maisha kidgo kidgo
Asant dj ancon
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimemiss sauti ya huyu Kaka jamn anko j 🔥🔥Lissa mwalla ubarikiwe Sana mwaya🥰
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tafadhali sehemu ya pili usitucheleweshee musimuliaji wetu Anko J.
Anko jay mwendelezo tafadhariiiii
LISSA MWALLA😄wacha niskilize like zenu kwa smix tunawapenda sana😄😄😄
Much love 💕🥰🥰 to my lovely Lissa mwala Vs Anko Jay be blessed always we have be learning alot from your stories 🙏🙏
Anko j, unakumbuka,usilie Rehema, ndio ilikuwa simulizi yangu ya kwanza, iliniguza sana
Ndo mnataka kutufanya kama ya doctor mayla. Ebu mtuwekee hapa TH-cam msituchoshe na app yenye hamuweki hizi zenye mmetuandalia TH-cam
Kweli maana tunalipa pia
Eenhee tuwekeeni hapa TH-cam
Ya pili ilikua karma malipo ni hapahapa duniani ilikuwa kali sana
Lissa mwala shukrani maana vitu vyako waah vinafundisha kerli na kuzidi kutupa akili ya kuishi
Ndokuingia natumai sijacchelewa sana
Wakati mwingine ya mfaa mtu angalie na kuwachambua marafiki alio nao maana mary aliponzwa na rafiki yake tatu pale alipo mshauri ujinga pia nikama tatu alimtaka mary awe kifaa chake chakukiongoza ila haikuwa hivyo ila pia mtu ajiweke tuu kwa MUNGU tuu maana maisha bila MUNGU nibure
Duuuuh,mtoto tamaa ya hela za watu itakuponza yatakupata mambo ya kutisha,nakusaidia kuogopa
Hahahaaaaaa😅😅😅,anko j jaman,komesha,maembe 2 kwenye mti wenye majani mengi ,haki msukuma saluut na mdudu wako
Huyu binti ana nguvu gani jaman,kutumika hivyo huo uchi au kitu gan khaaaaa
😂😂😂umalaya ni balaaa
Party 2 please
ANKO JAY mbna ww hauna mbyaa jamn
Tujuane tuliokua uarabun uku tunaburudika
Ahahaa mbona likajizoazoa😂😂😂😂
muendelezo anko jay
Yaani napeda sana simulizi za Lissa mwala..alafu Sasa ankojay
❤❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉
Anapenda unavyoongezea viuongo vyako kama ulikiwepo mmm😁😁
Una mafua
Weeeee anko j usichelewe jamani
Jamani anko j🤔🤔🤔🤔
Huyo msanii wa bongo movie atakua .... PhD 😄😄
Duuuh😢😢
Matatizo😂😂😂
Shukrani san da lissa mwala😍 gonja nisikilize kwanza anko jay miss you 😘
Jmn bibi kufa sijapenda😭😭😭😭😭
😢😢
Jaman tufarijiane kwa msiba wa bibi
uko mnapo sema kila tukijalibu inashindikana
Kuridhika na ulichopewa usiwe na tamaaa
Jaman Lisa tukumbuke jaman turudia hihiai mpk bc jaman tupe nyingine
SmixApp mmetisha san man kaz hazikauki kabisa
Leo wa 4🇨🇨🇧🇮🇧🇮
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Aise!! Apana chezea kitumbo
Mpaka Nika Cheka kwasaut ete usipo nipa mabomba yangu yote na toa
😅😅😅
Mary jamani tulia
Umalaya ndivyo ulivyo Mary pole yote nichagamoto yoto yatakwisha tu
fyoko fyiki mbona kunukia kama anko j🤣🤣
🔥🔥🔥👌
Ivi lisamwala nimtu wa mbea au maana jyie ni mbeatuuuuu
Yaan mayra kapta bado stress Za artist🤣🤣🤣🤣
kwa mala nyingine tenaa
Huo msitu wa kongo wa kifuani ndio ugonjwa wangu
😂😂😂
Asante lisa na anko j
Huyuu Mary nae umezidii Kutiwaa Kutiwaa tuuu khee🤔🤔🙄
Mwejamani lisamwala unatupa laha