Ebu tuweni n shukran yn mvulana wa watu kaleta simulizi mwabaki kutaja edina ina mana yy hajui km mwaitaji muwe muna shukuru pia hata hamjui ipoje hii wengine mwasema sio nzuri munamtoa nguvu n vile tu hasemi
@@zenaathumani8144tatizo la baadhi hawajui kila simulizi ina usumbufu wake kisaikolojia wakati wa kusimulia. Hii simulizi ya Edna inahitaj utulivu sana...
Ebu tuweni n shukran yn mvulana wa watu kaleta simulizi mwabaki kutaja edina ina mana yy hajui km mwaitaji muwe muna shukuru pia hata hamjui ipoje hii wengine mwasema sio nzuri munamtoa nguvu n vile tu hasemi
Kweli kabisa tuwe na hata chembe ya shukrani
Nikweli kabisaa kwasababu simulizi ya edna inatakiwa umakini kusimulia kwahiyo mtu anatakiwa apumzishe akili ❤❤😮😮😮
@@zenaathumani8144tatizo la baadhi hawajui kila simulizi ina usumbufu wake kisaikolojia wakati wa kusimulia. Hii simulizi ya Edna inahitaj utulivu sana...
Kina nan hao wanamsumbua kaka yetu ., tuwe na shukrani jaman 🥰
@@LeahIbrahim-ib4ss kuna watu bwana wenyewe hawaoni jisi simulizi ya edna ilivyokua na makologesheni mengi daaah 😶😶😶
Asante lakn sitamu kama Edna nimemis ❤ story mwamba Roma ..from kenya 🇦🇪🇦🇪🎉🎉nawapenda❤❤❤❤❤❤nyote
Hongera kaka Lumbas🎉🎉🎉 simulizi ni nzuri sana❤❤❤ wacha wajifunze wakina salma wanapotokea kupendwa na akina karim❤❤ila wazingatie umakini ndio bora zaidii
Haya kaka ngoja tuinjoi❤❤❤❤❤❤
Asante sana Lucas kwa simulizi hii mpyaa 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️🎉🎉🎉🎉 from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao wote
Wow mashaAllah ❤❤❤❤
Thanks brother Lukas kwasimulizi nzuri
Kaka Lukas towa ataleo alfajiri Salma sehemu ya pili
Wololooo yayeeee.... SALMA tena jmn jikon Leo Asante xn kaka Lucas kwa story Mungu azidi kukutunza uwe na afya njema
Waaaaw umewah dear mamb🖐️
@@ReginaJumanne 🤝poa mpnz hali vp
@@EstherMlai xaf2 dear 😘 wap hiyo
@@ReginaJumanne Kenya one
@@EstherMlai karib tz dear
Nanyie watu hamna shukran sasa nyie mnataka kila mda Edna yani hakuna zingine simulizi kinyume na Edna😅ebu kuweni na shukran jamanii
Ilikuw naisubr kwa ham hii simuliz angalau leo umeileta ❤❤❤❤
Yaan marafiki sio watu wazuri kabsa 🙌 wanaushawishi mkubwa sana
Nimewahi wa sita jamni kitu kipya❤❤❤❤🎉🎉🎉
Leo naomba ata liké moja☝️🙏🙏🙏
Asante kaka kwa simulizi tamu ubarikiwe❤❤❤
❤❤
Mwajina kafanyaje tena subili nimusikiliz kwaza😅😅😂
Wa kwanza 🎉
❤❤❤❤ mkali wao
Haya Salma ana Nini Tena Wacha tukae kando tumsikilize shukran kaka Lucas Lumbasi ❤❤❤
acha niisikirize kwa makini Salma mzigo ni wa motto❤❤❤
Malkia Osam hanaga baya yuko njema sana
Asante sana malkia osam kwa simulizi hii ila kesho Edna ije mapema plz kaka lucas
Simulizi nzuri sana ina mafundisho mazuri hongera Mtunzi na msimuliaji🎉🎉
Brother Lukas please towa seemu ya pili leo ya simulizi ya salma
Wekarim usje fungua mlango wa salma halaf umteme tutaandamana tutakufata na mfalme pluto utolewe bandama😂
😂😂
Daaa yani simlinzi imefika patamu ndio inakataa jana broo lucas
Salma tena au na leo tunachelewa kula lunch😮😮
Leta sehem ya pili me leo ata cjaenjoy nangoja ya pili 😢😢
😮♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹💃
Na wish iwe yenye furaha😍😘🥰
Kah jamani nipeni like yangu
Mimi nasubiri Edna
Mashaal asant 33❤❤❤🎉🎉🎉😂😢
🤣🤣🤣🤣mambo ya chuo balaa🤣🤣🤣🤣 aah
Kaka umewua izi ndo simlizi tunazo zitaka za mapenzi kitu unasikiliza hata usingizi hupati inahurahisha sana upewe mawua na tuna ❤❤❤
Shukran sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Jmn fanya utoe sehemu ya2
Salma ulingon
Asante Kwa kunitoa ubweke❤
Poa Lucas Mizigo poa , Mumbi Wa Naivasha hapa Ziwa Naivasha
Njooni kitu kipya kmewasili salma
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 simulizi nzuri sana asante kaka lucas
Ka Lucas kesho dondosha Edna mapema tuu
Vip Edina leo
Kesho
@@furahamasha7192 masaa Bado mengi Lucas tuletee Edina
Wa7
Nimekuwa wakwanza
Hongera dear❤❤
Ushauri mwingine ni wakishetani😢😢😢
Ukweli kabiza
Mm nakumbuka 😂😂😂
Nipen hata like tuu jaman
Kaka hii kitu kali tuletee mwendelezo
Woyooo
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Wale wa groups mko wap vipenz tufahamiane🖐️🖐️🥰
Mambo
@@rahimaomarybabu1808 poah dear Mzim
✋️
Kwan mshaweka Hilo group au bado
@@MwanatumuJumaa-rj4fg🖐️ Dear UK poah
Ungetuekea Edna tu kila siku bwana
Hatuwekei Edna Ili tuskilize stor nyingine
@@user-pw8cx3jr2q tunasikiliza zengne Sanaa tu mbna ss SALMA khalas ss tupotupo tu😂😂 Kazi azishongi
ᴱᵈⁿᵃ ⁿⁱ ᵏᵉˢʰᵒ ʷᵃᵏᵘᵘ😂😂 ᵏⁱᵈᵒᵍᵒ ⁿⁱᵛᵘⁿʲⁱᵏᵉ ᵐᵍᵘᵘ😅😅😅
Sawa tunasubiri sehemu ya pili
Niko nakusikiliza Lucas kwani inatisha mno
❤❤❤❤😂😂😂😂
Wa 7 jaman
Chechei Kaka Lukas jamani Simulizi ya leo imenifanya Nimkubuke shogaangu wa Utotoni Salma 😢 Nimemmiss Sana Hatuja onana Kwa Miaka 10
Asante sana kka lukasi kwa simuliz nzur❤❤
Kaka Lucas mbona fadya haitoki
Nenda simulizi mix tafuta" fadya chumvi ya penzi "utapata full huko huku wacha tupambane na Edna na na Salma
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Simulizi ya pili please
❤❤❤❤❤
Mpaka.lini lucas tunagaja paet two😢😢😢.
EDNA ina omba akili mingi kusimuliya tafiti piya sasa inabidi aji pumzishe...
Edina kaka lucas
Kesho inshallah
Part 2 inapatikana vp jmn
🎉🎉🎉❤❤❤
Hawa mamakambo ndohuaribu nyumba zawatu
🙏🙏🙏🎧🪑🇨🇩
tuma.salma.namba.2🎉
tuma.namba.2.yasalma
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤