wallahi sheikh wangu mwaipopo unazungumza maneno mazito sanaa wallah yananitoa machozi na wallahi ikiwa wasiokua waislamu wakikuskiliza vzr wataijua njia ya haki kwamba ni uislamu Allah azidi kutuongoa sisi pmj na masheikh wetu pmj na ndg zetu ameen
@@heyumi2340 sisi tunamuamini YESU nyie Kama mmchagua kumuamini Isa na Muhammad ni uhuru wenu,,,tatizo la masheikh wengi wanafanya Imani Kama mashindano kwamba mpaka umponde myahudi au mkristo ndio ue umehubiri ni mtihani mkubwa sana
Mwaipopo: Hivi ni lini utaenda kumpiga shetani mawe? Lini utaenda kubusu jiwe jeusi la Alkaaba? Ni lini utaenda kukutana na mungu wako Allah huko Arabia? Lini utaenda kusujudia Allah (mungu ambaye ni sanamu ya Waarabu)?
@@yussuphsultan1400 Aya inaonekana wazi kwa macho, huko Saudi na ktk miji mikuu ya Uislamu. Niambiye ni nani aliyekuwa mungu wa Alkaaba na ambaye amerithiwa na Muhammad na anayeabudiwa na waislamu leo? Idolatry + idolatry = abomination.
@@rashidseif6095 biblia inatiambia hakuna atakae enda mbinguni bila kumkiri YESU KRISTO sisi tunataka kwenda mbinguni kwa baba ayo ya haki na Allah Kaa nayo
@@jeanmjimmy wewe kasome Acha kuongea vitu vya kumezeshwa. Kutumia kiingereza sio kwamba wewe ni mjuzi sana. There's isn't worshipping idols in Islam. And if you believe so, what are those Mariam and Jesus pictures drawn in the church for!? What about the idol of Jesus that the Catholics pass from house to house? And so many more. I close my discussion with you here. You have no knowledge of your own religion, and you pretend to know Islam!!!!!
Ukiachana na hayo yote, ndugu zetu mjifunze basi kuwahudumia masheikh wenu. Sheikh kama Mazinge alyeyatoa maisha yake yote kwa ajili ya Dini alitakiwa wakati huu awe anaendesha Range na mjengo wake mkubwa wa ghorofa. Tuachane na habari za malipo peponi, Allah hapendi watu waishi kifukarafukara. Watu waishi kitajiri duniani na Pepo waipate. Angalau kwa hili basi jifunzeni kwa makafir. Mapadri, maaskofu, wachungaji na viongozi wengine wa upande huu si wachovuwachu sana kiuchumi. Wekeni mifumo ya kuwadumia vizuri viongozi wenu jamani. Kama makafir wanajua kutoa kwa ajili ya watumishi wao mnashindwaje nyinyi wenye Dini ya kweli?
wallahi sheikh wangu mwaipopo unazungumza maneno mazito sanaa wallah yananitoa machozi na wallahi ikiwa wasiokua waislamu wakikuskiliza vzr wataijua njia ya haki kwamba ni uislamu Allah azidi kutuongoa sisi pmj na masheikh wetu pmj na ndg zetu ameen
Masha"Allah masheik wangu Allah awalinde na kila balaa Insha'Allah.
Sheikh mwaipopo Masha Allah mungu akupe afya njema
Shukran sheikh wetu
Shehe Mwaipopo Allah aendelee kukuongoza katika njia iliyonyooka uendelee kuuendeleza uislam inshaallah.
Gostei
MashaAllah Mashelhk wetu kazi nzuri
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers
Allah awape afya na subra ya hali ya juu
Allah ata walipa ma sheihk wetu kwa shida mnazo zi pitia ya kuwekwa jela kwa dhulma
Mashallah Allah atujalie Amiiin
MASHA ALLAH. ALLAH awape ijazz. amin amin YARABI amin.
Gostei muito deste vídeo pra não esquecer religiões verdadeiro de Deus
Maashallah!
Ma sha Allah
Mashaa Allah
Masha Allah
Mashalla allbdulilai ustaz maipopo wafundishe
Allah akujaalie shkh mwaipopo
Maa Shaa Allah
Ameen 🤲🏽
Mashaallah
Waislam tumshukuru mungu kwakutupa dini ya uislam Hawa makafiri Wala hawatupi tabu makazi Yao motoni tu
As a kafir am beta behavior-wise than the evil Mohamed.
Allah Akbar
Swadaqta
Mhhh! Bingwa wa kuomba dua tena dahh
Allah akbar
kwanza sifa ya makafiri Hawana akili
@@rashidseif6095 wazazi wa mtume wako wamekufa wakiwa makafiri
DULLA SELI ....MUDI GUY.....SHEBBY DU....hahaaa. kina TUPAKI hao..!
Chuki c nzur
omba omba matapeli wanao jinasibisha na uislamu.
Muogope mola wako ndugu yangu rejea Qur'an 49:12.
@@hazratseleharuna.6141 Mola ndiye nani? Ile sanamu ya waarabu ilioko kule Macca?
@@jeanmjimmy ndio maana wao huface mecca n wanabusu black stone
@@jmagi2491
Hiyo ndiyo kweli.
Sheria ya jumapili itakutia adabu
Hamna kitu hapo wacha watu waamue wanamtaka Mungu yupi wamfuate kama ni muhamad Sawa kama ni Kristo Sawa maamuzi yabaki kwa muumini
Hujielewi ndugu yangu😁😁😁
uko saiyi kbs
@@hazratseleharuna.6141 Kivipi?
@@josephwilliam5813 Mohammed c mungu wala yesu c mungu hao ni mitume wa mungu
@@heyumi2340 sisi tunamuamini YESU nyie Kama mmchagua kumuamini Isa na Muhammad ni uhuru wenu,,,tatizo la masheikh wengi wanafanya Imani Kama mashindano kwamba mpaka umponde myahudi au mkristo ndio ue umehubiri ni mtihani mkubwa sana
usikufuru huna miujiza una fahamu tu ya kufanya mazingaombwe
Yes alitenda miujiza. Allah can't even do any miracle even kuokoa Mohamed asife Kwa sumu
Utapeli wa Pastor ndacha
th-cam.com/video/ykCCLJHlNIE/w-d-xo.html
Makafiri utadhani wako pamoja lakini nyoyo zao ziko mbali mbali
Mohamed ndiye kafiri mkubwa
Mwaipopo: Hivi ni lini utaenda kumpiga shetani mawe? Lini utaenda kubusu jiwe jeusi la Alkaaba? Ni lini utaenda kukutana na mungu wako Allah huko Arabia? Lini utaenda kusujudia Allah (mungu ambaye ni sanamu ya Waarabu)?
Allah sw akimjaalia uwezo. Lete aya Allah sw ni sanamu ya waarabu!!
@@yussuphsultan1400
Aya inaonekana wazi kwa macho, huko Saudi na ktk miji mikuu ya Uislamu. Niambiye ni nani aliyekuwa mungu wa Alkaaba na ambaye amerithiwa na Muhammad na anayeabudiwa na waislamu leo? Idolatry + idolatry = abomination.
@@rashidseif6095 biblia inatiambia hakuna atakae enda mbinguni bila kumkiri YESU KRISTO sisi tunataka kwenda mbinguni kwa baba ayo ya haki na Allah Kaa nayo
@@jeanmjimmy wewe kasome Acha kuongea vitu vya kumezeshwa. Kutumia kiingereza sio kwamba wewe ni mjuzi sana. There's isn't worshipping idols in Islam. And if you believe so, what are those Mariam and Jesus pictures drawn in the church for!? What about the idol of Jesus that the Catholics pass from house to house? And so many more. I close my discussion with you here. You have no knowledge of your own religion, and you pretend to know Islam!!!!!
@@josephwilliam5813 waislam wanajua yesu kuliko wewe na walishamkiri, akija utaelewa!mechi ni dk tisini hii haina extra time.
Mwamini Yesucristo hata mkifa utafufuliwa
Amen
Wewe Mwaipopo kesho hii utajuta Mungu wa Israel ni Mungu , Kumbuka Nebkadraza alikula nyasi kama mnyama.wacha kujipiga kifua mdomo wako utakoma
Mungu wa israel ni nani yesu?
@@mohamedimohamedi8933 MUNGU.
@@josephwilliam5813 si yesu according to Christians
Mungu wa waisraeli anakuhusu na nini? Waachie wana wa iziraeli mungu wao
@@maimunafzaka880 wewe mungu wa makka anakuhusa Nini?
acha kutukana dini ya wengine ,acha mtu acaguwe binafsi
Ukiachana na hayo yote, ndugu zetu mjifunze basi kuwahudumia masheikh wenu. Sheikh kama Mazinge alyeyatoa maisha yake yote kwa ajili ya Dini alitakiwa wakati huu awe anaendesha Range na mjengo wake mkubwa wa ghorofa. Tuachane na habari za malipo peponi, Allah hapendi watu waishi kifukarafukara. Watu waishi kitajiri duniani na Pepo waipate. Angalau kwa hili basi jifunzeni kwa makafir. Mapadri, maaskofu, wachungaji na viongozi wengine wa upande huu si wachovuwachu sana kiuchumi. Wekeni mifumo ya kuwadumia vizuri viongozi wenu jamani. Kama makafir wanajua kutoa kwa ajili ya watumishi wao mnashindwaje nyinyi wenye Dini ya kweli?
MashaAllah Mashelhk wetu kazi nzuri
Mashaallah
MashaAllah
Mashallah