KARIAKOO, Maamuzi MAGUMU ya WAZIRI MKUU, awapiga stop TRA awakemea polisi sakata la wafanyabiashara

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 5

  • @aniyujakaya9196
    @aniyujakaya9196 ปีที่แล้ว +2

    Yani ingekua amri yangu mawaziri wote wangeenda kulima angebaki uyu baba anafanya kazi sana

  • @nuruemma7258
    @nuruemma7258 ปีที่แล้ว +1

    Muheshimiwa waziri mkuu. Tunaonewa watu ambao tuna maduka ya Hardware Tunanyanyaswa na wajumbe watakataka. Hardware hatuzalishi taka lakini tunalazimishwa tulipie taka kila mwezi hela nyingi. Tunaonewa sana. Waziri mkuu chunguza kuna watu wanatuumiza watu wa chini ili wajipatie ulaji.

  • @hatibushemahonge2055
    @hatibushemahonge2055 ปีที่แล้ว

    Mhs nikweli kabisa Ila uwenevu upo bado sana

  • @yohanakisoka6377
    @yohanakisoka6377 ปีที่แล้ว

    0:12

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 ปีที่แล้ว

    Selikali kukandamiza wananchi nikutengeneza chuki kwa viongoziwao wa nchi bila sababu za msingi baadhi ya watendaji hawana maono ya mbele tunamuomba rais wetu kipenzi liangalie hili wengine wanakuharibia makusudi