Daah, hii Nyimbo imenitoa machozi Hakika sisi watoto wakifukara tunazo nyingi Hadithi za Kusimulia, mungu tupe nguvu ya kupigania haki zetu Inshaallah 🙏 amiin..😢⭐
Kwa jinsi nilivohangaika kutafuta maisha, nmelala nje sina kwa kulala na sasa kidogo nimeanza kupata mwanga acheni MUNGU aitwe MUNGU hii nyimbo imenitoa machozi ndio maana huwa napenda kutoa ushuhuda nakuelezea ukuu wa MUNGU 🙏
Wangapi tumeirudia hii Nyimbo zaidi ya mara mbili naomba tujuwane Hapa Kwa likes zakutosha, tumpe nguvu huyu mwamba Konde Boy Harmonize anajuwa kinoma adi anakera,,, 😢😢😢😢😢😢😢
@@malijanhussein3685 muache mwenzako atoe hisia zake ni muhimu sana acha tukomae wenyewe, hakuna mtu anayekupenda zaidi ya mwenyewe Ni mwenyewe yaani we acha tu asante bro
Masha'alah hongera sana Mr harmony ,,,,,,,,,,Kwa kweli hii ngoma inatia moyo sana haijalishi umaskini lakini ukitia bidii mungu naye atakufungulia milango,,,,,,Kwa mziki wako mzuri sana achana na hawa machawa wanaopenda kutukana na hawana chochote waendelee kuchonga midomo na wataishi kuwà michawa tu na kutumikia binadamu mwenzake kama jibwa lilokosa mwelekeo,,,,,,,,,,, congratulations,,mm fan wako kutoka 254 kenya
Music is the only language that is beyond tribes of this world,Kama umeupenda huu wimbo Basi piga like tushow love kwa kijana wa kimakonde..254 🇰🇪🇰🇪 Kenya is watching and enjoying everything on this masterpiece
Kama unangoja kama sisi usichoke make Konde haibahatishi.expecting a hit as always nope like na comments zako kwa jeshi kabla Kigoma change mwaka kidodondoshwe🥰🥰🥰
With love and happiness am sending greetings to you all my Tanzanian brothers and sisters and everyone out there. @Harmonize you are loved here in Zambia and we are looking forward to the day you'll have a show in our peaceful nation. Keep giving us hits after hits. 🔥🔥🔥🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇹🇿
my words can't tell how good his songs are and i am leaving this comment here so that whenever someone likes it i can come back to listen to this song again
I feel sad for my brothers and sisters who don't understand swahili. They are really missing a lot. Harmonize is the baddest lyricist of our times. Hats off.
Uzuri wako kaka ni kwamba umekua ukiendelea kukomaa na gemu, kuanzia enzi za kuambiwa unamcopy bosi wako, lakini ukaja ukajitafuta na ukajipata, nakuapia Harmonize huyu wa sasa hawamuezi hata kidogo, anajua kutulizs ngoma na ikatulia..... Hongera sana🎊👏
For those fighting depression, this is the best song to help you go through the situation, it's a therapy...Much love from Kenya, Harmonize you have my 100 views on this song as per now...
Essa pra além de ter uma boa melodia a música trás consigo uma mensagem pra os jovens e seus pais. Parabéns harmonize essa música tocou me no coração ❤️❤️.🎂🇲🇿🇲🇿
To everyone reading this comment, sometimes it feels like you should give up and quit but, don't stop hustling, keep pushing and trust the process, believe you will actually make it to the top someday. Stopping is never an option. Stay blessed, strong and focused I don't have so many subscribes but the few i have are so special to my struggle ♥️♥️
Daah, hii Nyimbo imenitoa machozi Hakika sisi watoto wakifukara tunazo nyingi Hadithi za Kusimulia, mungu tupe nguvu ya kupigania haki zetu Inshaallah 🙏 amiin..😢⭐
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
Kwel kabisa
Na usiombee uwe umezaliwa wa kwanza tena wa kiume. Ni balaaa
Haki tena ni Mungu Tu ndo anaejua mahangaiko yetu
InshaAllah
*Anayekupenda na Anayekujua zaidi ni wewe: raha jipe mwenyewe nimekubaliana kauli yako Kondeboy🙌👏💯🔥🇰🇪*
🔥🔥🔥🔥
Kbs
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
❤❤
Kwel kaka
Kwa jinsi nilivohangaika kutafuta maisha, nmelala nje sina kwa kulala na sasa kidogo nimeanza kupata mwanga acheni MUNGU aitwe MUNGU hii nyimbo imenitoa machozi ndio maana huwa napenda kutoa ushuhuda nakuelezea ukuu wa MUNGU 🙏
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
Acheni Mungu aitwe Mungu
Mimi nidastan Niko Zambia kaka ogera sana kwangoma hiriyotoa hata Mimi higoma himenikata moyoni mungu hidi kuogonza kihukweri hingama hatahukuniko hinatisha kwakweri vijana tunzidi kupambana ndivo hinavo tufuza yumbohiyo mupeogera sana kija harmonize mungu hambaki
Aluta continua comrade 👏🏿
Mim pia nmetokwa na machoz
Upo vizuri Sana 🔥💯💯💯
Wangapi tumeirudia hii Nyimbo zaidi ya mara mbili naomba tujuwane Hapa Kwa likes zakutosha, tumpe nguvu huyu mwamba Konde Boy Harmonize anajuwa kinoma adi anakera,,, 😢😢😢😢😢😢😢
Anajua sn
mm team kiba ila huyu jamaa anajuwa mpaka utampenda tu
dah we acha basi cjui anafanyaga kusud
Mimi 10
Good music ❤️❤️❤️
Hii ndio ngoma ilionitoa machozi baada ya kusikiliza kutokana na ujumbe wake na alivoimba Kwa hisia km na ww imekugusa kumoyo gonga like jeshi 🔥🔥🔥
Hata Kama kajala ameenda we love you nigga keep giving us good music kondegang for acha like team kondegang
Una machozi ya bure 😂😂😂
Acha ujinga kwan hii ni Quran had ikutowe machozi ,we sikiliza tu harafu kausha tu
True
@@malijanhussein3685 muache mwenzako atoe hisia zake ni muhimu sana acha tukomae wenyewe, hakuna mtu anayekupenda zaidi ya mwenyewe
Ni mwenyewe yaani we acha tu asante bro
Merci kabisa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
nakubali hiii ngoma ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
One of the best!!
Fasihi Simulizi
Nyimbo zako zina tufariji sana JESHI!! Anaye amini kuwa ata weza mwenyewe gonga like 👍 twende kazi! JESHI Tembo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The way we Kenyans love Tanzanians is beyond our understanding,,Kenyans in the building👇👇👇
As a Kenyan i only love harmonize....I can't waste my time loving people who hates us. Acha kujipendekeza lol🤣
Harmonize ni my favorite pia 🤗
konde boy ushasema mimi ndio najijua zaidi......basss umenigusa moyo bro
Which Kenyans?jiongelee we are here for Harmonize and Harmonize only
@@beatricemaina6863 🤣🤣🤣🤣
Harmonize shutting wasafi one man army firee
Huyuu mwamba hajawahi kukosea 🔥🔥🔥 Wacha nijipe raha mwenyewe
Yaaani huuu wimbo umetugusa wote tuliosomea shule za kata
Hata ni wapi
Harmonize is my GOAT 🐐. This guy can literally sing about anything and make it a HIT !!!🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
Nilishahamaga kote na Sasa nipo KM.
Qwenda ukasikie vibaya na uko
@@dorokawish8538 😂😂😂😂watu wako na makasiriko aisee
Konde boy
Naipenda hii ngoma mpaka basi
Hii ngoma imebeba mesemo na methali ngumu sana , thanks to you harmonize nimejifunza mengi kupitia hii ngoma
I love harmo 😭 he's a real Jeshi,yaaani ako peke,na anasumbua wengi, from 254 feel loved 🌺
Uyu jamaa ni muhuni❤️🇨🇩
Tanzania doesn't know how Zambia loves their Music 🇿🇲🇿🇲 ❤ 🔥
Thank you
Appreciate it ✌we also love all Zambians
This guy can sing, well organized and 100% message..wish He could be singing in ma country. 🔥🔥
Naomba subscribe plz
Masha'alah hongera sana Mr harmony ,,,,,,,,,,Kwa kweli hii ngoma inatia moyo sana haijalishi umaskini lakini ukitia bidii mungu naye atakufungulia milango,,,,,,Kwa mziki wako mzuri sana achana na hawa machawa wanaopenda kutukana na hawana chochote waendelee kuchonga midomo na wataishi kuwà michawa tu na kutumikia binadamu mwenzake kama jibwa lilokosa mwelekeo,,,,,,,,,,, congratulations,,mm fan wako kutoka 254 kenya
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
Juwa sehemu ya kutumia masha Allah sio kwenye mambo kama haya
🗣️Nani anaangalia hii video huku akisoma comments za wadau kama mm Mko wap jaman njoeni niwaoneeee hapaa❣️. Enjoeni mziki mzuriii🙏
Namkubali sana.
Mm apa💪
Konde boi anajua 🔥🔥🔥
th-cam.com/video/zvfECZ7XU04/w-d-xo.html
Moi aussi
I'm Zimbabwean but I really love this guy he is talented I want to learn Swahili harmonize for life 💪
Can I teach you I m from tz
Swahili is so easy and interesting. a friend of mine from Ghana loved the language so much, I had to teach her.
Nimeikubali ngoma yako kaka ina ujumbe mkubwa mungu akusaidie
Hii ngoma ingeimbwa na Mnaijeria Basi Ingebamba dunia nzimaaa,,, 🔥 🔥 🔥🔥🔥
Huyu mwamba anajua kuimba no doubt...
Watanzan wenye midia weng w anaroho mbay angeimba diamond we mwez mzima kila midia ingesifia
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
This guy really knows how to write good songs maze.....I like how he is real and makes Swahili sound so sweet
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
mpaka nywele zimenisimama lo!nyimbo tamu
th-cam.com/video/PquX5IzPgwI/w-d-xo.html
oky my broo umeuwa kinoma una mpinzan 😂😂😂😂😂😂😂😂
Harmonize nakupenda tena unanifurahisha
Wow! Harmonizi is a pure talent. Much love from Kenya
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
Daaaaah bonge la ngomaaa aiseee
Huyu jamaa kaniteka Sana kwenye wimbo wake huu. Hongera sana kwake
Music is the only language that is beyond tribes of this world,Kama umeupenda huu wimbo Basi piga like tushow love kwa kijana wa kimakonde..254 🇰🇪🇰🇪 Kenya is watching and enjoying everything on this masterpiece
Harmonize hapa umeua umeungana na wale wenzetu saut to sol
Wimbo huu una ujumbe Kali thanks our jeshii love you from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Harmonize isn't pregnant but he always delivers🙌🤞🔥🔥🔥
He gave angella that job of carrying pregnancy
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
😂😂
🤣🤣🤣
😂😂
Wapi like za Konde gang,,,tokea Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I'm in love with this song, I can watch 5times a day big up brow🎉
Video flani makn Sana nmeipendaa sema nguo ulzovaa zmekupendezea sana
Kama unangoja kama sisi usichoke make Konde haibahatishi.expecting a hit as always nope like na comments zako kwa jeshi kabla Kigoma change mwaka kidodondoshwe🥰🥰🥰
please watch this clip
th-cam.com/video/7NxPIduCBQs/w-d-xo.html
Na kubali konde Ndiye fundi pata shauri ndani y’a nyimbo zote from DRcongo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
Definition of Good music 🔥🎶❤️
Naomba subscribe plz
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
Iko hivi...sikuwahi kumkubali huyu mmakonde ila hili goma kanikamata daadeki..booonge moja la ngoma!
Nimependa huu wimbo kweli..
Raha najipa mwenyewe...
Big up Harmonize Kenya still Love you more🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥King
Tanzanians don't just know how much Kenyans love their music,Harmonize never disappoints 💪💪one love from 254🇰🇪
Naomba subscribe kwako plz
Even Congolese
Hsyd th-cam.com/video/Ydy4wp1as7k/w-d-xo.html
@@Kingtiger98 naomba upitie kwangu pia bro nisha subscribe yako pia
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
Wapi likes za Harmonize
Cz Jeshi never disappoint 🔥🔥💯
Done naomba subscribe kwangu plz
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
If u are still watching 2024 like bach mich love from Kenya❤
Kama unaamini chanzo cha mafanikio yako ni wewe MWENYEWE kama hii ngoma, gonga like hapa. 👍
This song was made for us who are struggling not because we not trying but our time haven't arrived just yet!
My congolaise people let's us support konde boy Golden voice hit maker
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
uyu mwamba anajua sanaa appreciate song's zake konde boe
Harmonize is a genius, that's why he gives them sleepless nights... Nothing but pure talent 💙❤
Huyu mwamba noma
❤️
Hii bonge la Ngoma tembo Sina wa kumfananisha naye hapa tz
Laizzee
Exactly 💯
With love and happiness am sending greetings to you all my Tanzanian brothers and sisters and everyone out there. @Harmonize you are loved here in Zambia and we are looking forward to the day you'll have a show in our peaceful nation. Keep giving us hits after hits. 🔥🔥🔥🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇹🇿
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
JESHI LAO🔥🙌
Hii ngoma ni kali sana ina ujumbe muzuri sana team konde 🇨🇩🇨🇩🇨🇩✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾
Huyu ndio fundi Jeshi, wewe ndio msanii Bora kwa Sasa Africa, unaweza kila style,
Kweli naomba subscribe kwangu plz
@@rapshinekenya1996 Na mm subscribe kwangu
@@vuzotv22 wazi done🙏🙏too thanx
Our future generation are supposed to know Harmonize is a legend 💯🔥
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
Baddest in the Game
Ww jeshii juuu
my words can't tell how good his songs are and i am leaving this comment here so that whenever someone likes it i can come back to listen to this song again
Why?
E6ye th-cam.com/video/Ydy4wp1as7k/w-d-xo.html
Hapa baba umeimba
Yaninatamaniisishehii
Nyimbo kaka konde sio mchezo
Bhanaaaa💖💖💖💖💕
Siwezi wacha kuskiza hii ngoma ata Spotify wanashangaa 😂
I wonder what they search for during awards, this guy sings and writes perfectly and direct message to audience.
Same here, this is very disappointing. What criteria do they use?
Absolutely
Alichukua tuzo Tatu za bongo, mumesahau? Lakini nyimbo nyingine si rahisi kupendwa beyond East Africa
Those awards are bought trying to kill his morale but he never gives up
Absolutely 💯
Best vocalist in east Africa no one matches harmonize when it comes lyrics and good writing..💯💯
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
Labambs The lagent harmonize
Nice song
On behalf of all hustlers, sufferers, witches and all wicked people who are against your success I approve this hit from #💪jeshi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimeitaza Mara Mia moja na bado sijamalizana nayo. Kondebooy to the world 💜
I feel sad for my brothers and sisters who don't understand swahili. They are really missing a lot. Harmonize is the baddest lyricist of our times. Hats off.
Am telling you 🥰
Actually
We use Google translation 😃
I feel bad I don't understand it but I love it
Respect
Nanikajutu kwanini sikusoma💯😬
His melody and pitch can solve half of the problems we have in Africa,, this man is a resource
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
th-cam.com/video/xRKMhikhr9g/w-d-xo.html
th-cam.com/video/PquX5IzPgwI/w-d-xo.html
Yes True
😂
🥰🥰🥰kila muda huu wimbo nausikiliza nipeni like basi na Mimi jmn tumsaport kijana wetu🥰🥰🥰🥰
Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 let's gather here and show some love 💞 song Iko 🔥🔥🔥🔥🔥
This song must be taught in schools. The message here is just on another level. Hustle 🔥🔥🔥
Awesomeness 👌 👏
Tanzania is blessed to have you.❤ kenya we are blessed to see you grace in big platforms.. Go for it my guy...
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
👍👍👍👍👍
HUMU NDANI SASA NDIO UNAPATA MUONEKANO SAHIHI WA HARMONIZE 🔥🔥❤️❤️ KAPENDEZA 🔥🔥🔥🙌🏿 #HARMO
Merry Christmas to everyone listening to this
Me
🎉🎉🎉🎉
Nimeskia sai huu wimbo classic 105 FM Kenya with Maina Kageni it's a good one
This guy is really talented all his songs carry a very heavy information in them
God gave me a chance to see Harmonize as a musician.... I'll never take that for Granted 🙏🙏
My dwag never fails
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
Hahaha lol
Vraiment courage ya trop mon idole unajuwa saana tuko nyuma Yako en RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Uzuri wako kaka ni kwamba umekua ukiendelea kukomaa na gemu, kuanzia enzi za kuambiwa unamcopy bosi wako, lakini ukaja ukajitafuta na ukajipata, nakuapia Harmonize huyu wa sasa hawamuezi hata kidogo, anajua kutulizs ngoma na ikatulia..... Hongera sana🎊👏
Kwa nini lakini ujumbe wote uliopo humu ni maisha niliopitia 😭😭hapo kwenye kingeleza ndio kanigusaa kabisaa
Pole
Harmonize apewe taji la Most Hardworking Artist in 2022! Ametoa mangoma zaidi 20 na zote ni moto bin fire.
True
Raha jipe mwenyeweee🎼🎼🎧🎼🎹🎹🥁
Harmonize will always remain to be one of my best Artist in Africa ❤️
🇹🇿🇰🇪🇺🇬Show some love to Konde☑️☑️
konde boy
th-cam.com/video/zNYKia0mMy0/w-d-xo.html
Congratulations konde boy
For those fighting depression, this is the best song to help you go through the situation, it's a therapy...Much love from Kenya, Harmonize you have my 100 views on this song as per now...
Yani jeshi apewe mauwa🌹yake ngoma hiyii inanikumbusha mbali kwahali ngumu
Mungu mbele
These man is so creative, kioo Cha jamii msaani ni harmonize💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥bigup👍👍👍
Tanzanians don't know how much Ghanaians love their music.
ooh really but we appreciate for that❤️
Uma melodia tão sensacional, isso é que é fazer música. I loved the song🇲🇿🇹🇿 Nime upeda sana.
Unyamaa mwing sanaaaa unaupiga mwing
Harmonize anatisha
We umezaliwa peke yako Utakufa pekee yako na utazikwa pekee yako 2:44 🔥 🔥
Raha jipe mwenyewe
Perfect konde ngoma ikoo na ujumbee mzurii sanaa,,,💪💪💪💪❤️
Harmonize is a lyrical beast...likes from Kenya hapaaa!🇰🇪🇰🇪💝
Essa pra além de ter uma boa melodia a música trás consigo uma mensagem pra os jovens e seus pais. Parabéns harmonize essa música tocou me no coração ❤️❤️.🎂🇲🇿🇲🇿
There iz a Spanish song with that beat could you be knowing it's title please
🔥🔥🔥🔥
Hongera sana kuandaa mziki wa mafundisho
Babu kubwa
Nyimbo kali sana congratulation konde boy
This guy is a genius song writer and singer🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪
Nipitie pia
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
Yeye ni jeshi ya ukweli
Para além de ser uma música também é aprendizagem suficiente.🇲🇿
Hsyd th-cam.com/video/Ydy4wp1as7k/w-d-xo.html
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
Essa música ilustre tem uma grande mensagem
th-cam.com/video/PquX5IzPgwI/w-d-xo.html
To everyone reading this comment, sometimes it feels like you should give up and quit but, don't stop hustling, keep pushing and trust the process, believe you will actually make it to the top someday. Stopping is never an option.
Stay blessed, strong and focused
I don't have so many subscribes but the few i have are so special to my struggle ♥️♥️
True that
Unyamaaa saanaaa
th-cam.com/video/xRKMhikhr9g/w-d-xo.html
My lovely song 👏 harmonize keep it up🙏🙏🙏🔥🔥🔥
This the reality about life,,,jeshi Continue to shine ❤❤❤❤❤❤kenya twakupenda sanaaa
I swear this song hits differently. Aki you Tanzanians you're literally blessed!
Edutainment at its best. I am a proud African. Much love from ZAMBIA
Nimerudia kuangalia zaidi ya mara 10
Hongeraaaaaaaaaaa Harmonize wimbo ni moto 🔥🔥🔥🔥🔥
Mimi mara 30 🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kaka kwa hii ngoma nimekusalute,,,from Kenya tunakupenda sana
Harmonize gogogo...No matter what barriers ahead.Fellow Kenyans send bravo to you.All Konde fans gather here😊😊😊🤓🤓🤓
th-cam.com/video/ryykCmZ_2zM/w-d-xo.html
th-cam.com/video/xRKMhikhr9g/w-d-xo.html
th-cam.com/video/PquX5IzPgwI/w-d-xo.html
Congratulations konde boy this song will inspire many people , napenda Sana nyimbo zako