Harmonize - Jeshi (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
- Harmonize - AfroEast
Stream/Download: album.link/afr...
Subscribe for more official content from Harmonize: / harmonize255
Follow Harmonize
Instagram: / harmonize_tz
Twitter: / harmonize_tz
Facebook: / harmonize255
TikTok: vm.tiktok.com/...
Listen to Harmonize
TH-cam: / harmonize255
Audiomack: audiomack.com/...
Apple Music : / harmonize
Spotify : open.spotify.c...
Country Wizzy - Baba Official Video LInk / • Country Wizzy - Baba (...
The official TH-cam channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
For Bookings & More
Email: Harmonizemanagement@gmail.com
Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762
#Harmonize #Jeshi #Kondegang
Yaani nyimbo hii, kwa yeyote mwenye future,sidhani anaweza pita bila kuilike watu wangu. Much love from Kenya/masailand
Umeongea ukweli
🇰🇪👌👌👌
Kuna sababu Salam anamchukia huyu jamaa.
Harmonize ni tishio kubwa Sana kwa umaarufu wa diamond kwa kuwa anafanya mziki kwa njia tofauti Sana. Big up young man
Na ndiye anaepokea kijiti kutoka kwa diamond
Enter a Ksh 10,000 Giveaway
th-cam.com/video/22e9oF_GuH8/w-d-xo.html
Ulijuaje broo
Lol
Jaman hii ngoma nimerudia mala 50 naomben lek zenu
Ninani bado anauskiliza hii ngoma 2024❤ gonga like tujuane kama ww ni team konde❤❤🎉🎉🎉🎉
Hiiii
💃🏻💃🏻
Siku zote kisichokuua kitakufanya uwe ngangariiiii,real love kwa master na lita mlifanya hasira Zizidi 🤫🤫 like za hizi lines hapA
Pw jeshiiiiiii
🤝🤝🤝
Jeshi! Nmerudia hii ngoma mara kumi. Kwanza Io beat iko juu
Anaitwa mzee wakuhamasisha vijana wengi wakisasa kakupambania ndoto zao ndomana me namkubal sna harmonize aisee mungu akubariki sna jeshii💥💥🐘🇧🇮🇧🇮🇧🇮
dogo anayependa kumuiga harmo ana nyimbo mpya
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html
Ameen aki
Well said
Pamoja
@@yahyaxavi8671 sawa tupo
Naamini mungu yupo tena naongea naye japo siskii sauti yake🤗🥺
Konde boy siku hizi wanakuita "tembo"........Siku hizi huimbi wacha washindane na Ibraah.....hii ni Kali sana @Sotic gang 254 represented
Representing team Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 here ... Tz🇹🇿🇹🇿 show us some love bana twapenda muzik wa bongo
Kevoh wa pipeline will you mind subscribing back please
@@patiencenimmoh3956 😂😂😂
@@jayclassic5164 Kwani nimesema vibaya 😂😂🤭🤭
@@patiencenimmoh3956 mara dar dat
th-cam.com/video/B4xZQu6BU0Q/w-d-xo.html
Daaaaah!! 🤗🤗🤗
Inagusa kumoyo, Konde kweli Konde shamba la madini
Nyimbo huwa inahimiza sana, na huwa ina ujumbe wa kuelewa maisha, nyimbo kama hizi huwa zina hit siku zote
ukitaka mziki mzuri msikize jeshi konde boy ukitaka mziki wa kistaarabu msikize ali kiba ukitaka mziki wa vurugu na hisia kali msikize diamond plutnumz vijana wetu wote we proud of them!
(👌👌
Kweli 🎯👐🏻
From Kenya...I agree..I also love rayvanny and Marioo
Aiseeee anae juwa anajuwa2 JESHI anajuwa hadi abowa
Yaani anajua mpk anaboaaaaaaa
Nakunda
#One #love #kwa #wanangu wa #kitaa nyie ndo mna #nunua #CD #Sijaona kama #harmonize tanzania hiii #salute kwa #konde gang #wordwide #watashindana na #Ibra
#from #liwale
Massage kali msee katisha
@@boazmasinde2764 zaidi ya sanaaa
"sikua na umeme wala cable, jeans mmoja tshirt na yebo hivi leo namiliki label"...............Never give up on your dream.
Kabisa
Uko vizuri sana konde
🐘🔥🇹🇿
Bila shaka alie tengeneza mdundo ni hunternation Young legendary big up brother
Duuuh waache washindane na ibrah coz jeshi sio level zao...........KONDE GANG FOR LIFE
Kama umeangalia hii ngoma zaid ya mara 1 na umekubali kuwa #JESHI kaumizaa...🔥🔥
Basi gonga like twende sawa
Jeshiiiiiiiiiiiiii,kutoka kwa t-shirt na yebo hadi kumiliki Lebo si mchezo✊✊
Nilijua sipendi musiki but mziki wa konde boy naufuatilia kuliko kunywa maji.jeshi congratulations from kuwait. Mungu yuko tena naongea japo sisikii yako
Pata Siri Ya kufanikiwa maishani 🛫🇹🇿 th-cam.com/video/-6GX9nB3-ow/w-d-xo.html
Nampenda sana uyu kwasababu ni mtu mwenye heshma na nidham sio mtu wa skendo sio malaya endelea ivyo ivyo mdogoangu ustar sio lazma uwe malaya
nakubaliana na ww chek me at fb BIN DULLY
@@abdulhalimmohamed6770 Pata Siri Ya kufanikiwa maishani 🛫🇹🇿 th-cam.com/video/-6GX9nB3-ow/w-d-xo.html
Umenena bro
this goes to all Africans th-cam.com/video/0f7owsZ6K_M/w-d-xo.html
Kabisaaa
*Hii* *ndo* *mara* *ya* *kumi* *nasikiza* *Ukweli* *Konde* *boyi* *jeshi* *hadi* *mimi* *nalia* *nikijipea* *morale* *nikijiita* *mimi* *pia* *jeshi* 😭😭 *natia* *bidii* 🇰🇪
Apo sasa
Kwa Kweli Jeshi Kondeboy Katoka Mbali sana Toka nyakati za "Matatizo"Hadi Kuwa Jeshi Mad Love For This Fighting Spirit Harmonize🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jeshi KONDE GENG mambo MBAYA bro uko JUU🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jesh hatari kweli.
Just like.
th-cam.com/video/22e9oF_GuH8/w-d-xo.html
"My sister sikuzi shape wananunua we bambana upate salary.🔥🔥🔥
If you love this verse...weka like⚡
LIKES ZA KUFANYIA NINI???
dogo anayependa kumuiga harmo ana nyimbo mpya
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html
Hata siku hizi siimbi sana acha washindane na ibraaa...lyrics 🔥🔥🔥🔥
I was looking for this comment lol
KING 🤴 OF EAST AFRICA LIKE KAMA WAMKUBALI KONDE BOY 🐘
🐘🐘🐘🐘🐘🐘
Konde boy Jeshi..........watanzania konde kigereza ameng'oa hapa ama vipi
Sometimes what you dream is what you receive....
Ila nyimbo kali
Nipe like zangu basi
Ingekua likes zinapeanwa more than one basi kila comment ningeipa likes million....respect the jeshi GENG ❤️❤️👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hahaha
Imekaa pooowa
Jeshii
Wanajeshi wahili camp la kond gang say yesssssayaaaa
Konde booooy... Jeeeshiiii
Naombeni ata like 10 tu jmani
i like this hits
Konde Kenya tuko wapi konga tukisonga l can't stop listing for this song
Naomba kila siku,mungu yupo ijapo simuoni🙏🏾🙏🏾🙏🏾, KONDE BOY. Gonga like if you agree
LIKES ZA KUFANYIA NINI???
Amen
@@utdforever9236 upendo
Daaah mnaoikubal mkowapi jmn, gonga like tujuane💪💪💪
Hapa mwanetu konde ulikuwa na hasira sana, 2024 we bado ni jeshi ✊🏾
"One love kwa wanangu wa kitaa, nyie ndo mnanunua CD" best line ever.............. No doubt
Ndo sisi🤣🤣🤣
Number one
Tujifunze kushukuru tuliko toka
🖖🏻👌🏻
🗣wanangu wa kitaaaaaaa
When Harmo said.... "Tena ata siku hizi siimbi sana, Wacha washindane na ibrah" 🔥😂... Tembo Gang
th-cam.com/video/j8REdlLXeVQ/w-d-xo.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔
😂😂
shots fired!!! 10 nail😂😂
Nimecheka sana hapo
Je Unahitaji kufahamu Faida utakazo zipata kwa kula Tende katika mwili Wako,
Gusa link 👇👇 Uelimike, tafadhali Subscribe pia th-cam.com/video/jOWr7RszNFU/w-d-xo.html
Waache washindane na Ibraah 😅😅🙌🙌🙌 JESHIII
Konde boy 🐘💜🤴 Sana 🐘☠️
From Bujumbura Like zako nazitaka mi napend Harmonize kond
Same from Buja, but currently in Kenya Mombasa
@@bilalbizimana980 th-cam.com/video/j8REdlLXeVQ/w-d-xo.html Kijana, Je Mafanikio yanakuhitaji ?
💥💥👌🏻👊🏼
🔥 acha washindane na ibra jeshi is in his own league 🙌🏾
Ramos Big Talent, th-cam.com/video/j8REdlLXeVQ/w-d-xo.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔 Jua Leo Tafadhali;
Enter a Ksh 10,000 Giveaway
th-cam.com/video/22e9oF_GuH8/w-d-xo.html
From Kenya we say Bravoo. Kazi safi
Jeshiiiiiiii🇰🇪🇰🇪
Traduction en un.mot svp?
Yesssss,,,,Kenya🇰🇪 pia tuko ndani ya tembooo🌹
Nmekupendaa upo wap mie npo Zanzibar
Nice song pamoja kondee more from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
dogo anayependa kumuiga harmo ana nyimbo mpya
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html
Huu wimbo unaujumbe mzito sana na hauchoshi kusikiliza
Walorudia iyi ngoma zaiti yamara3 tujuwane kwa like this boy he is tallentit we love you from burundi 🇧🇮
Jamani sijawai pata like hata (5) from konde boy jeshi [TEMBO]🐘🐘🐘🐘 leo anamiliki KONDE GANG LEBO🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩 I need your support please th-cam.com/video/sfYwKBkL1sU/w-d-xo.html
@@msaranga_ Sou Mocambicano repeti este video 10 vezes
jamaa ni jeshi
Doshi
th-cam.com/video/BIMrliIXGzo/w-d-xo.html
Niko hapa mambo ni moto 🔥🔥🔥
We msenge unajuwa sana ndio maana tunakukubali sisi ni wale wauza cD
🤣🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸🤸💪💪💪💪👍👍👍
😊😊😊😊🤝🇹🇿
😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
Hata we ni jeshi 💪🇰🇪❣️🐘
jeshi,,,,konde boy jeshi this song is on fire wapi love ya 254 kwake harmonize
Eunice, th-cam.com/video/j8REdlLXeVQ/w-d-xo.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔
Konde boy mkali wao
Enter a Ksh 10,000 Giveaway
th-cam.com/video/22e9oF_GuH8/w-d-xo.html
Enter a Ksh 10,000 Giveaway
th-cam.com/video/22e9oF_GuH8/w-d-xo.html
@@ghettoqueen4716 Je Unahitaji kufahamu Faida utakazo zipata kwa kula Tende katika mwili Wako,
Gusa link 👇👇 Uelimike, tafadhali Subscribe pia th-cam.com/video/jOWr7RszNFU/w-d-xo.html
Best song it the bongo industry
My Ghana people let's show some Love here ❤🇬🇭🇬🇭🇹🇿🇹🇿
Who is loving this with me from Zambia? Hit here💪❤❤❤
Mukali sana uyu
Maningi che
Lol tamufwa
Am in Solwezi zambia❤️ jeshi noma sana mzee baba
MIMI NA WEWE TUNATEMBEA NJIANI TUKAOKOTA MILIONI 200 JEE UTAIFANYIA NINI LAKI MOJA NITAKAYO KUPA???????????
Am from 🇰🇪 let me say this at this moment Music industry Tz🇹🇿 KondeBoy s the Man Diamond na Kiba Walikua miaka Jana na juzi sasa time ya huyu Mtoto wa Mtwara.!! Kalas!
true that brother
Это правда
Woooow 🔥🔥🔥🔥
''Tena siku hizi hata siimbi sana, acha washindane na ibrah" JESHI💪.
jeshii
kudadi ke
@@djbensntz7981 jeshiii
Wtu wa Simba atuna mngangano coz ligi ya Simba tembo afiki c achidane na zuchu kwaza 😏😏😏 coz ligi yke n 100% percent acheni nyinyi amufiki ukweli 😏🤫🤫🤫🤫🤫 Kode fanya yko achana na Abdul coz ahufiki na utawai fika 🤫🤫😏😏😏🤫 ifike👊👊👊👊
Hahahhh uyoo m'bayaaaaaaaa🔥🔥🔥
Yaani hii imenipa funzo kubwa.. DON'T GIVE UP PEOPLE... Kazi safi konde boy.. 🇰🇪Wakenya likes hapo chini kama mnapenda kazi yake harmonize 👇
UnajuwA Sana mkali!!!
Saf jesh wanyooshe
Eti anavuta bangi pambamba mwanetu uprove wrong
Never give up na nyimbo hii ya jeshi zinanifanya nisikate tamaa gonga like Kama unamkubali jeshi
th-cam.com/video/j8REdlLXeVQ/w-d-xo.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔 Jua Leo Tafadhali;
Treading No 1in Kenya now
Temboo n mnomaah sana hpa 254
@@Dunmediatv th-cam.com/video/j8REdlLXeVQ/w-d-xo.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔 Jua Leo Tafadhali;
@@youtubesuccessshorts7389 thank so much share my channel ed susscribe
Kondeeeeeeboooooy . An amazing song. "Njia ngumu nilizopita mkanipa na jina mkasema Niitwe Jeshi konde boy Jeshi"
nobody thought konde will reach this far, this proves you can reach anywhere as long as you believe in yourself,mkimpata mwambieni congratulations💯
Talented, big Ique
Yes ofcourse 💪💪
Yeah...true.
Congrats
Bro 🔥🔥🔥
Namkubali sna hyu men anaimba sna nyimbo inaingia hd kwny damu
sana
Kama ukivuta bangi unatoa hit kama hizi, tafadhali vuta gunia moja.
😂😂😂😂
😆😆😆😂😂
Hahahahahh
Kwanini lakini😊
Avute sanaaa
Jeshi 🔥🔥🔥🔥🔥
Tembo atakuja kua mnyama hatari sana let's keep on watching him,#jeshi
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA......
Saàaaana tuu🐘🐘
True
Sijawah kukpng konde boy one love gonga like konde gang's
Robert , th-cam.com/video/j8REdlLXeVQ/w-d-xo.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔 Jua Leo Tafadhali;
This is great nowadays musicians wanashindana ati nani ni mnoma but konde boy is not competing he's doing good music🇰🇪🇰🇪👍
Yes, trueee. Anafanya kile ambacho Mungu anampa na hicho ndo kitamsimamisha mda mrefu
Wanafiki sana nyie nani anashindana nae sasa
Very true....Konde gang ni jeshi wacha tumuiye tu tembo
Yes.jeshiiii
@@malianonicass7029 Wee elewa statement kwanza
Jeshi🔥❤️
Yan huu wimbo nmeshaurepeat zaid ya mara 15 ...yan dah konde umetowa sn huu wimbo
Acha washindane na Ibrah...wallahi tena wallahi..wapi likes za Konde Boy wanangu.
Ibrah atashindana tu na baba levo na Myb kdogo queen darling bt hao wengne apo WCB hawezani nao...yy bado n mtoto sna...hafki bei uyo ibrah
Team Konde Boy naomba likes zenu... LOVE from BURUNDI
Temboooo 🔥🔥🔥🔥
Kuna kitu kinalipuka hap team jeshii tujuane mapema kwenye like,🐘🐘
Jeshiiiii
Jeshiiiiiii
@@zuumohamed2063 jeshhhh......
Jesh
The biggest animal can't be shaken with small animals pretending to be brave ...while they just starborn for nothing.. konde boi is a gifted talented Tanzanian musician of this generation ..big up 💪💪💪 our bro were behind to support you
True
True
Sure
Konde geng for life, weka like kama munaamini konde boy yupo topp sanaaaaaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Konde boy jeshi uko juu
Siku zote kisicho kuuwa kitakufanya uwe ngangali(what doesn't kill you can only make you stronger)👊👊👊jeshi
This guy is taking Africa...I like the way he is constantly.....jeshi Kenyan 🇰🇪
Two love kwa wanafiki wa insta ndo wanafanya aongezee bidiiiiii gonga like jamani kwa jesh
Sio Two love ni true love
Kitu kimeheleweka man Sio Majitapo hapa
Guys #JESHI on the 🌍🚀🚀✈️🏦🏦🏦
Bro nakupenda saaaaaaaaa.....na
Likes za wakenya🇰🇪🇰🇪wenye wanatambua konde boy..jeshi👑💯
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏
LIKES ZA KUFANYIA NINI???
dogo anayependa kumuiga harmo ana nyimbo mpya
th-cam.com/video/N8A87jQhruE/w-d-xo.html
Hii Ngoma nimeielewa sna ilakwabongo wanafki watazua maneno,konde boy.jeshi
Iove to you ❤🇹🇿
Kweli tembo hii ni kwerekweche. Imeisha hiyo wameelewa mpaka fyade. ✌✌✌
Gonga Like All De Way From 254
King for ever 🔥 🔥 🔥
I cant stop rewinding this song. One of the very best songs ever written
Hyghhy. Yh
Jeshiiiiii tumekumbali team 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 weka likes if you love Jeshiiiiii
🐘🐘🐘🐘🐘
Pamoja
@@boazmasinde2764 oyoo
@@boazmasinde2764 tena
Jeshii
Tembo Jeshi. Konde boy for everybody.Gonga like tukisonga
Mwanangu cheki th-cam.com/video/mnXPVbLmdHw/w-d-xo.html
Nice God bless u more
@@patrickmudaki3719 kazi nzuri
show love kaka nimesha subscribe
Style ya uimbaji na aina ya beat inaonekana umechukuwa mahadhi ya nyimbo ya whozu Mi amor na ya willy paul magnetico kisha umezisamle zote 2 na kuzicombine ndio ukapata idea ya style ya kuimba hii jeshi. Only wenye masikio ya good music ndio tunaweza kubaini hichi kitu
th-cam.com/video/mC5XCtBZ7W8/w-d-xo.html
Mwisho! An artist true story ! I am his fun forever? Real like him for total respect! Anaheshima
More than wow 😃😃😃
Wapi likes ya KENYA 🇰🇪
Pamoja Na TZ
Likes za konde jeshi.
Toka kenya nairobi. 💕💕💕💕🌹
Maturity on its level,,, watoto, wazazi can watch this, hakuna matusi wala maneno ya ngono👌👌👏👏💯💯big up the guru.
# konde boy.
Umetisha sana
Hi,girl!
Ni kweli
From kenya.....I swear konde is the king of music,,,,, I love to support konde gang💪💪💪
asa huyu akiwa king, kiba na mondi watakuwa nani!!!???
Watakua jeshi
@@bennymochiwa4800 aminia anaefanya jambo na linakubalika mbele ya macho ya binaadam
IL S'APPELLE HARMONIZE ET CETTE CHANSON EST UNE PREUVE MARQUANTE D'UN SOLDAT ,GO ON BRO,
Hii nyimbo tamu siku zote kuitoa #1 on trending mpaka wakanye kuna wasanii wengine hawana hata haya at wanaimba gogingo na wowowo ujinga kweli hafu bada ya kuwaimba na wake zao kwamba wako na wowowo wala gogingo hamna wanawatia mikosi wadada za watu bure wawe wanawaimba na wake zao mpaka mke wng mtalajiwa wamemtaja at ana gogingo. Safi sana harmonize kode boy for life watapata tabu sana
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA....
😂😂😂Yani nimecheka mpaka nimepaliwa na maji🤣🤣
We inakuuma nn,,,, hahaha kwanza we shabik wa alikiba ,,, nasikia saiv mashabik wa kiba mmehamia kwa hamo ,,,
Bora harmonize huwaga Haimbi matusi wcb hawajielewi hawatofautishi hata nyimbo za kupiga mbele ya wazee na vijana.
One love wanangu kwa wanangu wa kitaa nyie ndo mnanunua CD such a good massage to funs
@@peterreuben1788 sie wa Kiba na Harmonize kwa pamoja
Yaaani sema ndaaaani ndaaani ndani kabisa kwa mr tembo sitoki ng'o,,,,big up superstar,,,,,respect from kenyaa
Nuff respect Kwa jeshi ✊🏿✊🏿
👏👏👏
Naqbaleee jeshiiii
Yani ukisema kuwa ngoma hii sio yamdaa wotee wew bwege tena pumbavu kabsaa 👽👽🛸🛸
Hii ngoma si ya kawaida, nadhan ni the best ever
Jeshi ni jeshi kabisa. Jamani kutoka zamani konde nikonde 🇷🇼🇷🇼 RWANDA wote wanapenda harmonize 100%%%%%%%%%%%%%%%% gonga like tuende sasa✌🏻
Jamani Jeshi unanikosha sana duh napenda sana nyimbo zako
Niwah kushangaa maneno ya sele et harmonaiz angalie kond waoneshe wote wakate tamaa kwan wao sio mungu utabili wao wakatabilie njaa zao zitaisha Lin lkn sio kond harm ndo bc kashang'aa bgp kond
Si katoka 2015 au
They can't believe what they are seeing keep the fire burning. Kondeboy Jeshii.likes za Kondeboy!
Pata Siri Ya kufanikiwa maishani 🛫🇹🇿 th-cam.com/video/-6GX9nB3-ow/w-d-xo.html
th-cam.com/video/yC6mVPT-7H8/w-d-xo.html
th-cam.com/video/22e9oF_GuH8/w-d-xo.html
th-cam.com/video/22e9oF_GuH8/w-d-xo.html
Haki they can't believe
Nataka likes My pipoo Coz napenda huyu jamaa 100% On his Music
Unatuzinguaaaa temboo yachiaaa mzgoo huuu
HipHop BongoFlav SoulMusic ni tamaduni za kusini mwa TZ kutamba. Inakuja natural kwa kondeboi. Tamba mdogo wangu
JESHI 👽🤴💪konde boy ni JESHI 💪💪...Kama unaamini yeye ni jeshi gonga like yako hapa
Jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiii aminiaaaaaaaaa
@@radhamannandule2525 miaaa💯💯
konde gang kama mnamkubali konde boy like hapa.
Love from Kenya +254
wataelewa somo ata kimya kimya
Tunakuelewa kaka ongeza tu bidii
Namba Moja Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
👌🏼👌🏻👌🏼👌🏻🥰🥰
Enter a Ksh 10,000 Giveaway
th-cam.com/video/22e9oF_GuH8/w-d-xo.html
Kama umepitia apa 2024 gonga like mwanagu