Una akili trend ni yetu sherehe ya hamo siku ya tatu ndo imeingia ndrend we ushawai ona wapi we uogopi hii ata ata ispoingia Leo ata baada ya mwezi itaingia
Imgn this song it's my favorite konde boy u are a real man kw maneno nakuamini xn big up mungu akuzindishie kw kipaji uko nayo guys hebu more billions of likes👍👍👍👍👍👍👍👍👍
harmonize is really good he knows how to make a hit he has really found his style and no one can beat him on that. konde music juuu love from congo KINSHASA
The best song I’ve heard since I was born Marion u r something else ata nliachwa na my boyfriend ju kushinda nkipiga nyimbo zako am ua number fun Walahi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwenye hii Ngoma ndio nimeamini kama #harmonize ni noma Yan harmo ame improve sana kwenye Vocal nowadays. keep it up boy 👊 dondosha more track like this hapa fans ndio tunamuenjoy harmonize 🇹🇿❤️
Ngoma kali sana oya umnaosema ngoma kali weka likee apaa
Tulisema ni jiwe ju ya jiwe salute Sana mwana anajua paka basi.. Much love from🇰🇪🇰🇪
the one and only Tanzanian musicians who fill me with joy with their loving music, long life to you my champion harmonize
My 50th time watching the song
..😂🇰🇪
Ndugu zangu namanisha ni mara yangu ya hamsini kurudia kutazama Kanda hii🇹🇿
KONDE kauwa kinoma sijawai kuona Mu Bongo kajuwa mpaka ka kera Saah uyu mkaka daah 🥹🥹 Kajuwa kinomaaa Congratulations the Big ÉLÉPHANT TEMBO ❤️❤️🇨🇩🇨🇩
Huyu jamaa akiamua kuimba anaimba weka likes APA🔥🔥🔥
Oy Wadau wangapi tunamiss kuwa single Kwa ajili ya furaha na maendeleo tujuane hapa. Konde boy salute bro
None of them is above you in Tanz when it comes to real music... Respect Harmonize✊🏿🇬🇳🇩🇪
Hii nyimbo ka Zuchu, au jay once again, au marioo wangekuwepo mmoja wapo hapa, kangesumbua sana mtaani
Penzi mbona limenogaa tamu kuzidi ata sodaa,penzi mbona Lina mwagika kama maji ya bomba,Io verse ya harmonize 👌
kiswahili kitamu daa😁, mashairi yamenyoka "Upendo Wangu Umeugeuza Fimbo, Haya Ni Mapenzi Sio Ulimbo, matusi yamekuwa wimbo ...."🙌🙌 big up!!
Tulimmiss sana harmonize wa type hii 🔥🔥🔥🔥🙌🙌
Mimi wa kwanza leo kutoka Congo naomba like zangu 🙏🙏🙏
Dah mapenzi usipo mpata mtu sahihi ni mateso sana💘
Wew jaman ukiumizwa ndio tunapata heat wew wa moto sana
Ungempaa chingaa nafasi ingekua poa sanaa hii ki2
I thank God for Life and i thank God for keepin me in Harmonize music era. Much Love from Rwanda Kigali
Noma kijana wa jazi konde music worldwide 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍
Mimi hapa..as your loyal fun ......siwezi kuheartbreak❤❤......heri kua single and happy
Huyu msenge anajua bwana. Sio poa. Konde to world. Ni motooo
hahaahhaah
Konde mkali hata watisha,,,,,,goma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥,,,,,,,,,,muachie ibra moja nae alitoe,,,Konde gang 4 life
Kam umerudia nyimbo Zaid ya mara mbila like zenu hapa
th-cam.com/video/66Qq6RjxAjI/w-d-xo.htmlsi=JMUIisr-pbROfEIw❤
Yaaan narudia zaid ya mar 50
Noma sana
🎉Acha kabisa bonge Moja la ngoma
Ngoma kaliii saaanaa ❤ vanillah na ibrah wameiimba sanaa na hakuna amemzidi mwenzie humu ndan wameooneshana mbavu vya kutoxha ila game ni G G
Hakuna siku bongofleva itaisha radha hata muimbe comosava all mapianos, zouk is the best and so sweeter big up konde to came back
Kama unaamini Harmonize ni mtunzi Bora weka like more love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bila shaka
Nampenda vile yuwaimba ❤❤❤❤Mimi Ni shabiki wake much love to harmonize
Nakubali saaaaaaaaana kabisa boss yangu courage 🙏🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪👈👈👈
From kenya naomba kweli likes zenye Ka hii Ngoma imekuingia
Nani kakuchoma mkuki mbona damu zinanimwagikia mm bomboclaah fundi haswa❤
Usiwe mchoyo kama unamkubali kondo boy mzee wa 🚬 weka❤
Nmerudia hii ngoma mara10😂😂🎉🎉🎉🎉 na natmn iendelee
Huyu jamaa nawaambiaga ndo de best hapa Africa 🎉🎉🎉🎉
Congratulations xn vyombo vimetengenezwa kwa kila point safiiiiii
You better go ngoma bora ya mwaka kama unakubali acha like hapa 🇨🇩🇨🇩☝️
Huu wimbo ni favourite naupenda kweli❤😂😂
Jamaa anajua
Anayerudia rudia hii nyimbo tuungane hapa weka like
Huyu mwamba akiumizwa kdogo tunapata hit song chap 😂
Hii ngomba ikitrend niiteni mjinga nimekaa pale upuuzi mtupu.
Una akili trend ni yetu sherehe ya hamo siku ya tatu ndo imeingia ndrend we ushawai ona wapi we uogopi hii ata ata ispoingia Leo ata baada ya mwezi itaingia
Ukiwa hater unapata faida gani?
Mpuuzi mkubwa wewe
@@shohamjames3430 😂
@@Chapesamedia ila harmo
Bombo claaaaaaaaa..... Fundi sana kk unajua kutuheshimisha 🎉🔥🔥🔥🎉🎉
Yani nimefungulia sauti hadi mwisho naona spika zinataka kupasuka maana kila nikiongeza sauti naona bado ngoma ilivo tamu ❤❤❤❤❤
My best Bongo Artist🎉🎉,let's give him his flowers while alive..very talented
huyu mwamba anajua sana anaupga mwingi sana good good good
Wakwanzaaaa apoo ,,,,kama unaamini kondeee ni fundii like apaa
❤❤❤❤❤
th-cam.com/video/txhOtFM03RM/w-d-xo.html&si=0zvJJrTM89lVCJBb
Toa maoni Yako kuhusu, hii Ngoma sio kuwa omba omba like 😅😅
Fundi majeneza
🔥🔥
Kwenye boli Kuna Messi....ila kwenye music aaaah Konde is the Best. . 🙌🙌🙌.... complete Talent 🎉
Ase huyu jamaa anaujua mziki🎉
Ana hatari huyu mtoto
Imgn this song it's my favorite konde boy u are a real man kw maneno nakuamini xn big up mungu akuzindishie kw kipaji uko nayo guys hebu more billions of likes👍👍👍👍👍👍👍👍👍
WE konde, Harmonize.umetengwa na ushirika kwa kosa la kuwa mwanamuziki bora tz.😂❤❤
Nyimbo kalii kinoma sana❤
harmonize is really good he knows how to make a hit he has really found his style and no one can beat him on that. konde music juuu love from congo KINSHASA
Moyo inapenda amani kwanza ,kisha vitu za thamani that verse hits hard ❤️❤️❤️
Fireeeeeee
Atakama simu yangu inasumbuwa, Ila silali bila kumaliza kufwatilia ngoma mpaka mwisho 🇨🇩🥰From Congo 🇨🇩, kama nawe ni team Konde Nipeni likes zangu🎉❤❤
Naomba hata like 3
❤ big man in Tanzania 🇹🇿 is number one
Mkenya hapa, masikini miye naomba likes zenu
Hii ngoma ni noma saana❤❤❤ moz
Ila harmonize akiwekaga bange zake pembeni anajua sana kuandika nyimbo za namna hii😂❤🎉
Sana🎉🎉🎉tumpe maua yake
Weee kaka mkubwa awakuwezi bana🫡💯🔥🔥..TEMBO TO THE WORLD🦣🦣
Daima konde utaish ubongoni mwangu huna baya mwamba hujawahi kufanya kaz mbovu , daima ww ni jeshi kweli , bravo bravo mr
Hiii nyimbo Kali sana kama mtu anapenda mzik mzur 🎉
Daaa we noma
Jaman ata like 5 zinatosha leo nimewah
za nini hizo likes?? Utanunulia chai?
Nani anahis kamwimbia Kajala 😂😂
Anyway you better go 😅
The melodies of this song is on the next level
Kutisha sana, tundelehe mbere djamayangu, kuetukuno uwe ndi uripo, wendelehe Quiwmuane tchissoguem mbere🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪
mimi ni wa fan wa tembo kutoka kenya ukweli tembo ni mzito kuliko simba...
Huyu jamaa akiachwa ni balaa💯🔥🔥🔥
Noma ww ni jin jeshii wakuwache tu🎉🎉
Marioo hukuanga fiti.
Anyway iko 🔥🔥
Pure vibe from Kenya...Konde baba yao🔥🔥🔥
MUCH LOVE FROM KENYA
Kenya 🇰🇪🇰🇪 we love you harmonize ❤❤❤
Aliyeirudia zaidi ya mara 50 agonge like hapa tujuane🔥🔥
The best song I’ve heard since I was born Marion u r something else ata nliachwa na my boyfriend ju kushinda nkipiga nyimbo zako am ua number fun Walahi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
From mbinga town good song your great thinker moyo unaenda amani you better go❤❤❤❤❤❤❤😂😂 Hadi na miss kuwa single
Mmmh jamaa anaimba balaaa 🎉
Tulio ludia tujuane hapa like
We Msenge wallah unajua sana kuimba na kutunga mashairi
harmonize naona umetuletea national anthem
Kwenye hii Ngoma ndio nimeamini kama #harmonize ni noma
Yan harmo ame improve sana kwenye Vocal nowadays. keep it up boy 👊 dondosha more track like this hapa fans ndio tunamuenjoy harmonize 🇹🇿❤️
Nikakuchoma mkuki mbona damu zinanivujia mm👌👌♥️♥️♥️
Mmmh kijana unajua sana 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Sitawahi msahau yule alinitoa kwa shida kunileta mahali nipo hata we we mwenye una nifollow na kulike naomba mungu askie maombi yaka❤❤❤
Tembo kama tembo,,,,, umetisha,,,,, Moyo unapenda Amani kwanza ❤❤❤ kaka kisha vitu vya thamni
Wangapi wamemwelewa konde na huu wimbo baada ya kuachwa na posh he so talented man@harmonizetz✨✨✨✨✨✨🎧🎶🐘🐘✌🏿👊🏿😎
The only TANZANIAN international artist we have this time. UNAJUA SANAA.
Mwanangu kamshike rich mavoko mkono bro... Mwamba anasanda na disco za vumbi
Ila wewe😁
Konde boy Leo mimi wakwanza kutoka Burundi naomba like zangu kama 2
The love for this dude is like a bush fire tunakupenda Kenya sanaaaa.Kazi safi ,kazi tulivu.
This boy is a great writter n has killer melodies
An broo so siri wewe uumizwe ili sisi shabiki tuwe tukipata vitu Bora noumaaaa sanaaa🎉🎉
Watu wakenya we pull up to Support harmonize
Jamaa ana perform vzr VINAELEWEKA kabisa sio makelele BIG up 🔥🔥
Ni Mimi uyu Kabisa❤❤❤❤😢😢😢😢
Huyu ndie konde sasa fundi saana wa hizi nyimbo🔥🔥
Bora harmonize awe anaachwa ili awe anatoa kal kama hii au w unasemaj😂😂😂😂😂😂😂
I come back to listen that song 👍.
It's really, bomboclaat is number one of Tz.❤❤.
Oya ngoma zadizaini hii ziwenyingi bro nime enjoy
baba wamuziki konde boy nyimbo zako sikuzote ninzuri❤❤❤❤👌👌👌👍👍👍👍👍
Mazoez yamekubali kaka kwel una dsv kuwa kuwa tembo kabisa
Uko vizuri sana kaka kaza buti