She has just done it today leaving me weak , breaking my heart with no Reason oh God chike nkono baba mungu 😢😢 Effie may God help u so that one day u will realize what u have just lost ...mpaka kesho indeed
Hii ndo tofauti ya harmonize na vitu vingine, huyu ni msanii anayekonga nyoyo za watu kwa kutunga vitu ambayo vipo kwa jamii, na ndio maana halisi ya artist. Sio unaimba vitu havieleweki yaani hadi vinakera . Huyu #harmonize akiimba vitu vinaimbika na vinaeleweka. Big up sana young bro!
Ni kosa kubwa sana kufananisha mond mwenye miaka 10 anatrend yeye tu na kifaranga cha juzi hichi atashuka tu huo ni mhemuko wa mda mfup kwan aslay wakat wameacha yamoto alikuaje had mkasema aslay anaenda kua msanii namba moja yuko wap sasa hili gem we liache tu mond katushika pumb wala hatubanduki tunaangalia kifalanga kimefanya nn kisha tunalud kwa baba lao
Tokea enzi za mitumba.....tukaanza na aiyola...tukaingia nambie WCB....tukawapigia Never give up....vijana tukatoka kwa baba sasa hivi tunajisimamia ....👊gang worldwide we never disappoint........
Sile nathiri ... kwamba utaniweka moyoni ✌️❤️Si najirudia ... Mi ye ... Ndiye Moja abiri ... Mbona Sasa sikuoni !??? Umenikimbia ...💔💔 GUIDANCE 🇰🇪🌍❤️Be Wise 🦉✌️
Jeshiiiii.... mpaka kesho nakupenda bure!!!!💕💕💕💕 Kali ya mwaka ,hongera konde boy kwa kazi nzuri... team temboooooo tuendelee kumsuporti jeshiiiii mpaka kesho
For sure there iz no artist who drop banger than harmonize,anatupa vitu vinavyoeleweka cio kelele kelele tu Congrats konde ,my favorite artist,afro east album on fireeee
#HARMONIZE ndio msanii namba moja ninayemkubali, napenda aendelee na moto huu na Mwenyezi Mungu azidi kumbariki kila siku afanye mziki mzuri,mashairi na video nzuri kama hizi. Harmonize umekuja kuamsha mziki ambao sasa ulikua unaelekea kupotea,endelea kushusha vitu nasisi tunakuombea uzidi kufanikiwa katika kila kazi za mikono yako.#MZIKI WAKO#FURAHA YETU#K🌍NDEBOY
Hii nyimbo mpaka rais mstaafu jakaya kikwete aliomba irudiwe siku ile kwenye uzinduzi wa album weka like za kutosha kwa kikwete hapa
Naamin mtoto w simba n simba unajua sn mpk unakera JESHiiii shout out to KONDE BOY 🔥🔥🔥
ila huu wimbo Harmonize ulijua kuandika bwanaaa aaaaaah. ♥️♥️♥️😭😭
She has just done it today leaving me weak , breaking my heart with no Reason oh God chike nkono baba mungu 😢😢
Effie may God help u so that one day u will realize what u have just lost ...mpaka kesho indeed
Hii ndo tofauti ya harmonize na vitu vingine, huyu ni msanii anayekonga nyoyo za watu kwa kutunga vitu ambayo vipo kwa jamii, na ndio maana halisi ya artist. Sio unaimba vitu havieleweki yaani hadi vinakera .
Huyu #harmonize akiimba vitu vinaimbika na vinaeleweka. Big up sana young bro!
Amaboko 🤣🤣🤣🤣🤣
Ni kosa kubwa sana kufananisha mond mwenye miaka 10 anatrend yeye tu na kifaranga cha juzi hichi atashuka tu huo ni mhemuko wa mda mfup kwan aslay wakat wameacha yamoto alikuaje had mkasema aslay anaenda kua msanii namba moja yuko wap sasa hili gem we liache tu mond katushika pumb wala hatubanduki tunaangalia kifalanga kimefanya nn kisha tunalud kwa baba lao
Bro you’re very right
Umenena bro🤛🤛🤛
@@sniperbogo6210 kwani kamtaja diamond hapa kuma ww kwanza unafata nn hapa kwenye himaya ya kondegang
Siwez acha kusikiliza hii nyimbo nacheza na kuimba nahisi raha yaniii jaman mimi loooh ❤️🔥🔥🔥🔥🇹🇿👌
Ngoma na videos tumekuachia harmonize hao I am jungu na WBC wajua kutongozana tu na gari. Chapa mziki tuenjoy 🤒🤒🤒🤒watu wa weed mko area🔥🔥🔥🔥🔥
Mara y 48 leo pekee yake
Konde boy nailed it
Napenda wimbo huu sana from South Sudan 🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸
One love Konde boy😇💝💥Kenya tumeipokea👌imagine siezi kukuoona........izo likes musininyime leo😂😂🔥🔥10/10 rating Konde for everybody💥
Wah mpaka kesho inanimaliza😴😴😴konde boy for life....iwish ningepata nafasi kwenye rebel ya konde am artist from 254..🙏🙏🙏🙏🙏
Nakupenda konde boy wangu.
Nyimbo zako zinandisha sana
Wale wanaopenda konde boy akilalamika...tujuane hapa😍
Piga kelele kwa jeshi yakeeee weeeeeeeeeeeee tembo mwenyewe.lazima.tuzo tupape
Tokea enzi za mitumba.....tukaanza na aiyola...tukaingia nambie WCB....tukawapigia Never give up....vijana tukatoka kwa baba sasa hivi tunajisimamia ....👊gang worldwide we never disappoint........
kwakeli nijambo linalo onekan kabisa ni wapambanaji
Zilipendwa kutoka Burundi huwu mwimbo safi kabisa
Nyimbo nzuri maashaallah hongera sana mjeshi 🙏mungu akupe hitaji lamoyo wako
🇲🇺🇵🇦🇰🇦 🇰🇪🇸🇭🇴 💚💚💚 raha sana 🅷🅰🆁🅼🅾🅽🅸🆉🅴 nakupenda bro 💚💚💚
Konde boy to the world
Hapana jenga chuki
Kenyan 🇰🇪 love 🔥🔥🔥🔥
Mlitakiwa muweka ❤️❤️ kama sehemu ya like maana huu wimbo nauprndaa snaa yaaniii...love nyingi kwakoooo broooo❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Harmonize ataendelea kutuburudisha MPAKA KESHO!😋😋
Konde for life 💪🔥huyu jamaa mbunifu sana 💯 naangalia hii vidéo mpaka kesho 🔥🔥
likes mingi kwa mimi mars
👌👌👌👌👌
Mapya yazuka kuhusu barua ya makonda kwa magufuli
th-cam.com/video/W-JsBjNmG4w/w-d-xo.html
Nishajaribu kudanga nipoteze mawazo huenda nitaenjoy, Kumbe najivua utu na heshima❣️🔥🔥🔥🔥
Konde Boy keep it up zidi kujituma kwa mziki, , ..Bravo Bro
Mmakonde katutendea haki humu
Kwa watabibu nijue nini chanzo..
Huyu jama Ni Moto kabisa kua kila nyimbo anayo toa Ina hit kwa muda.
Hili picha linatakiwa kuendelea harmooo! sasa stering anateswa alafuu...
#mpkakesho
Favorite kwenye Afro East album ❤️
Mamaye bonge LA chuma kumamake❤konde boy to the world ❤
😥😥😥 linanikumbusha my 1 st love...I wish nikutane na yule atanifanya nimsahau...
Haki hata Mimi leo nipeni like ---254
Naomba likes za Konde boy...hapa anoga na kubamba
She's on the way coming just b calm
@@sharinesimwa505 imagin siezi kuota hata usingizi sina
@@felixochungo5656 👊 kabisa 254 inthe building
Sile nathiri ... kwamba utaniweka moyoni ✌️❤️Si najirudia ... Mi ye ... Ndiye Moja abiri ... Mbona Sasa sikuoni !??? Umenikimbia ...💔💔 GUIDANCE 🇰🇪🌍❤️Be Wise 🦉✌️
Konde gang for life kutoka kwa wakwe zako huku Italy hujawahi toa nyepesi!!. please like 5 tu mi naomba Mungu atakubariki sanaa💗💙💜🇹🇿
Wale wa Kenya mko wapi?
🇰🇪🇰🇪🇰🇪Harmonize 🔥🔥🔥
Story imekaa poa sana ni muendelezo wa story ya My Boo lakini kitofauti kidogo, Mimi Marz amekaa poa sana. Big up Hanscana kwa kazi nzuri.
Nani ana kubali @Harmonize ako na ladha😋 kwa muziki team 🇰🇪 more love😍
My all the time king🤴, yaani Mr tembo 🐘🐘 konde music for life♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️❣️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Lots of love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪Likes za KONDEGANG.zishuke bila kipimo jameni,naomba tu.
Konde boy umependeza na nywele nyeusi,it brings out the handsomeness in you.. please maintain that❤️ nakupenda mpaka kesho 👌👌
Nice
Nilimiss sana kumuona konde boy kwenye muonekano Mpya wa nywele zake kapendeza sana
Kaka djikaze kabisa furaa yangu nikukuona unaendeleya kilasiku nakila mwaka
Nimewai leo Toto bad. Like jmn Kama unamfuatilia Sana harmo love
Alafu njoo inbox mariam 0752163651
your bud guy konde boy I believe you my guy konde gang 4 everybody
Thanks konde konde boy God be with you forever my love
Nakubali km unamkubali konde usipite biya ku lek
Wacha we kondeyyy nice
Wow nice song.... Wallah... Love u harmonize. 💖💖💖wakomeshe aooo... Una maneno kantu... Mungu akusimamie.....
Tangazo toka meza kuu "wimbo urudiwe"""""👏👏👏👏👏
Irudiwe kabsa jk,
My love for this language no be small oo!! Much love from Nigeria!!
Woow,,, yani song iko 👌👌👌👌🔥🔥🔥adi imenikumbusha mbali sana woye 😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Karatu Arusha na cyo manyara hyo location
🔥 🔥 🔥 🔥
Kond3 bado malaika
Harmonize ako ligi yake. Better than most...Ama namna gani jameni🔥
huyu jamaaa muwaji kabisa
Duuuuh Song hii imenigusaa kbs😢jmn lik zen ap washabiki😍
Iko sawa hii ngoma
th-cam.com/video/NJ9d50uRBq0/w-d-xo.html
Duh konde hafai
C ww tw ...mm inaniingia hdi Kwa damu
Mm nna damu take
Mmakonde unabalaa sanaaa
Harmonize u made it bro , I seeee wasiokupenda kazi wanayo
U made it
Safi
Harmonize hana ubunifu anarudia vdio za watu kama hii vdio ukiangalia amepaste tu ile ya mdogomdogo
@@hassanmapenzi6188 Acha wivu bwn we utakufa na roho yako mbaya myonge mnyongeni lkn haki yake mpeni amefanya ✔️
@@hassanmapenzi6188 alichoiga ni kipi bro??
Number #4 on trending hapa kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪.. kamtoa simba
Huyu jamaaa uongo dhambi kwenye video yupo Creative sana hili ni bonge la video jamaa kwenye video huna mpinzani unajuaaa. 🙌🙌🙌
I wish yawe ndoto haya nayo yapitia 😢❤❤❤❤
Niko hapa mpaka kesho nata ifike millions of viewers Hadi billions iko sawa sana, Wapi like zawa kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪👍🏻
🍎🍏
Konde deserves something good....he's going more than far...give me some likes from254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naimani harmo ndo atakuwa next king humu❤❤❤
Kama utamdhamini , kesho yako yatanyoka weka like haapa🙏🙏🙏
Am surprised that this song ia already 4yrs old...playing it sounds like it was just released recently.
Hongera konde boy🫡🫡🫡
Bro unajua jeshi ..gonga like twende sawa basi🇹🇿🇹🇿
Mapya yazuka kuhusu barua ya makonda kwa magufuli
th-cam.com/video/W-JsBjNmG4w/w-d-xo.html
th-cam.com/video/C8-SAdAY244/w-d-xo.html
Jeshiiiii.... mpaka kesho nakupenda bure!!!!💕💕💕💕 Kali ya mwaka ,hongera konde boy kwa kazi nzuri... team temboooooo tuendelee kumsuporti jeshiiiii mpaka kesho
Nice
Kwa harmo sihami
kama umeupenda ubunifu uliotumika humu ndani ili kutuletea entertainment from Harmonize tujuane kwa like apo chini
You big uuuuuup monde boy ithink diamond akufikiii
For sure there iz no artist who drop banger than harmonize,anatupa vitu vinavyoeleweka cio kelele kelele tu
Congrats konde ,my favorite artist,afro east album on fireeee
Who love kondeboy like me . Nipewe like teketeke i winnie from kenya
th-cam.com/video/rwPtB7kHj2M/w-d-xo.html
we tutolee hiyo uchafu yako mbosso ako poa sana
Finally my guy is back in his black hair
Kaliiii
JESHI+TEMBO=Kisanga na nusu 💥💥💥 like
Muhunii yupo vizurii ndo mana wcb halito futika pengo lako km Kikwete raisi mstafu kakubali hii kazi aliomba mo ww nanii
From 🇧🇮Saudia iko saw kabis👍
Konde boy fr everybody
th-cam.com/video/C8-SAdAY244/w-d-xo.html
Kwel kbs atazidi kuwaumiza vicwa🤣🤣🤣
th-cam.com/video/ZShGWdDlB6M/w-d-xo.html
Wape vitu vyao. Konge gang for every body. Kutoke DRCONGO, je te soutiens à 100%. Wata pata tabu sana. Wasiyo kupenda, kazi wa nayo
Suis aussi konde
Vraiment j'suis du cœur avec lui, on est ensemble
Konde gang for life
Na wanayo
Jeshiiiiiiiiiii
Watanzania ikiwa mnaniskia kwasasa akuna Zaidi ya Konde... much love from kenya
The original konde much love .. Huu ndo music tunataka kama shabiki wako
nakubaliii xna kijana ww ni zaida ya wote temboo
Nomaaaa
Jeshiiii
Yes ndio muziki muzuri usio na matusi
HUYU JAMAA NI MKALI KONDE BOY FOR EVERYBODY
Konde boy, Tembo.. yaani noma na nusu, video imezingatia vigezo vyote na utulivu wa hali juu... Nice brother
Nishajaribu kudanga nipunguze mawazo ,huenda Nita enjoy
Kumbe najivua utu na Heshima
Kwa matabibu waganga nijue
Nini Chanzo mwenzako nipo
Hoi
Ama nyota yangu butu makali sina???
Diamond watch out!!!!
Harmonize is coming out harder
Hii inakaa wimbo wa diamond
Mpaka kesho😍yaani mawazo kizunguzungu kumbe mzungu🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣👌
Konde the best ...much love all the way from congo 🇨🇩
Natamani nikusifu Tembo ila maneno sina......you are, mwaaaaa!!!! Waliodhani utaanguka wajionee.
*LEO NDIO NIMEAMINI HARMONIZE NDIO KING 👑*
King wa wapi na vdio yote amecopy kwa ngoma ya diamond ya mdogo mdogo
papa banny manule pole sana akuna kipya chini ya jua
@@Lazaro_kibukira mwambie na yeye acopy tuone
Zuhura Bizabishaka yeah mahana Naona Bado Yuko nyuma sana
King ni Kiba au unasema wa wapi
I feel like meeting harmonize and pour him what I'm feeling now.... Konde Music for life.. fun#1fromZambia
KONDE BOY 4EVERYBODY Kik sisi hatutaki na hakuna kusponser nyimbo zenyewe zinajiieleza
Harmonize please kuja unichukue nimelia roho yangu yote .....machozi ya furaha ...........can't get enough of this song
Waaah.... Jamani wanao dislike hii ngoma ni Wanga.... Story line is soo gud 😍🔥🔥🔥🔥
Exactly 💪💪💪💪
Like kwa konde boy
Like to konde boy
Konde gang for every body,king of east Africa ...wapi likes za wakenya wezangu na Tanzania kwa jumla jameni
th-cam.com/video/NJ9d50uRBq0/w-d-xo.html
Listening from Zambia 🇿🇲 am in love with this kweli unajua upendo
Daaah hiii nyimbo nimerudia ten
Kenya representing team konde boy , jua tunakupenda kupindukia.
😍😍😍❤❤❤tunakupenda paka bure
His🇺🇬 swahili is so simple sana 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
I want to learn swahil
Aki uko vizuri konde kama umerudia zaidi ya Mara tano gonga like tuende swa🤗🤗
kazinzuri
If you're from Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, South Sudan, Sudan, Comoros, Seychelles, Mauritius, Democratic Republic of Congo, Congo-Brazaville, Nigeria, Ivory Coast, Madagascar, Angola, Senegal, Ghana, Gambia, Somalia, Ethiopia, Eritrea, Djibouti, Botswana, Guinea, Benin, Cameroon, Cape Verde, Togo, Burkina Faso, Gabon, Chad, Sierra Leone, Mauritania, Namibia, Lesotho, Zambia, Malawi, Mozambique, Zimbabwe...etc, weka like yako hapa kwa harmonize konde boy for everybody
Waleeeeeee no 2 on trending... .after three hours tuko no 1 pale.... Konde gang for life😂
🥰🥰🥰🥰ikifika namba moja niambie🥰🥰
Wow mpaka kesho🙏🙏🙏
@@ELISSKGTV no moja
Too bad it has been turned down by Mauzauza 😂, it doesn't appear in Top 15 Tracks, and number 3 in trending, respect Wasafi. WCB4life.
Is that Mimi Mars?❤❤ ... Konde gang 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yes she is
Yeah
Was asking the same question
Yeah ni yeye
Yea you again
Hatariiiii......much love from 254...who else loves the starting point of the harmonize songs......aaaaaiiii
Pongezi kwako unaelimisha jamii wimbo mzuri ❤ ❤ ❤
Nataman ata nisubscribe tena nakulike marambili wallah binakataa ila wejamaa unajua sna kwel God Bless u @Harmonize 🔥🔥❤🇧🇮🇧🇮
#HARMONIZE ndio msanii namba moja ninayemkubali, napenda aendelee na moto huu na Mwenyezi Mungu azidi kumbariki kila siku afanye mziki mzuri,mashairi na video nzuri kama hizi. Harmonize umekuja kuamsha mziki ambao sasa ulikua unaelekea kupotea,endelea kushusha vitu nasisi tunakuombea uzidi kufanikiwa katika kila kazi za mikono yako.#MZIKI WAKO#FURAHA YETU#K🌍NDEBOY
Yes he is no one
👏👏👏👏👏
Konde is doing a nice job ,,, Kama we ni shabiki wake shusha like🇰🇪
So sweet I like that boy
Yupo vzur
Sooo sooo... Swwweeet
Harmonize ni mkali wa harmon yuwajua kulia kikweli diamond mtoto
My best song😋😋finally vedio is here, kama unakubali harmonize fundi gonga like tuende nalo🤣😋😋😋😍
Tembooo.. Mjeshi..Kondeboy, hakuna kiki this is a real talent...
Likes za Harmonize wangwana Jamani
😘😘😘😘😘😘
KONDE BOY IS FIREEE🔥🔥 JESHIIII!!!❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This song hits different when you understand the lyrics 😅 .. enjoying the vibe from 254🇰🇪🇰🇪
This song will trend in 🇰🇪🇰🇪for some weeks🔥🔥🔥
🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
who else is still listening to this all time hit in 2024🥺💪
mie here
Konde Ni umeme💯💯🇰🇪...weka like tusonge pamoja
th-cam.com/video/NJ9d50uRBq0/w-d-xo.html
Sasa hapo amefanya nini yani nyimbo iko sawa ila video hamna kitu , acha tu ukwel usemwe
Sasa tazama hii uone kisha usubscribe th-cam.com/video/QQA1rozR-nE/w-d-xo.html
th-cam.com/video/VwtBI9NZfm4/w-d-xo.html
WCB 4 life
Jamaa anaweza sana jamani nyny