Harmonize - Wote (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2023
  • Harmonize - Made For Us Album
    Stream/Download: smartklix.com/MadeForUsbyHarm...
    Subscribe for more official content from Harmonize: / harmonize255
    Follow Harmonize
    Instagram: / harmonize_tz
    Twitter: / harmonize_tz
    Facebook: / harmonize255
    TikTok: vm.tiktok.com/JYFv7PN/
    Listen to Harmonize
    TH-cam: / harmonize255
    Audiomack: audiomack.com/harmonize
    Apple Music : / harmonize
    Spotify : open.spotify.com/artist/1eCae...
    Boomplay: www.boomplaymusic.com/share/a...
    The official TH-cam channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
    For Bookings & More
    Email: Harmonizemanagement@gmail.com
    Call: +255 652 892 317, +255 658 135 762
    #Harmonize #Wote #MadeForUsAlbum
  • เพลง

ความคิดเห็น • 8K

  • @agneswambui3311
    @agneswambui3311 ปีที่แล้ว +161

    Sisi kama wa Kenya tumeukubali huo wimbo wapi likes zetu😊🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @djsule3620
      @djsule3620 ปีที่แล้ว

      Harmonize anakubalika koto hyu bana mm nishabiki wake sugu ata nikiwa kwa show huchezesha sana ngoma zake yeye na marioo watu hupenda sana

  • @Mr.joshua19
    @Mr.joshua19 ปีที่แล้ว +1203

    My Kenyan people who love konde boy let's gather here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-bn3bj6ys9s
    @user-bn3bj6ys9s 3 หลายเดือนก่อน +140

    Nani bado anauskiliza huu wimbo 2024 Naomba tujuane🎉❤❤

  • @user-ct6bk2pz4c
    @user-ct6bk2pz4c 4 หลายเดือนก่อน +26

    Wow. 2024 na kichupa hakijachuja. Huyu mwamba anabalaaa. Haya anayesikiliza ngoma hii 2024 gonga like

  • @m___ck799
    @m___ck799 ปีที่แล้ว +418

    The chemistry is 🔥 I love the fact that Harmonize amejiachia kwenye hii video!!naona sababu yupo single!!

    • @felixmaroko917
      @felixmaroko917 ปีที่แล้ว +6

      Konde boy,,,,teacher we rank your music

    • @sakemamedia5426
      @sakemamedia5426 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Jaic5LAUwWA/w-d-xo.html

    • @georgeali4809
      @georgeali4809 ปีที่แล้ว +5

      Uko right k alikuwa anatuaribia sana yaani ilifikia anakwenda hadi location…. Pamoja nakuwa meneja wa mchango.

    • @winfridagaudence8467
      @winfridagaudence8467 ปีที่แล้ว +8

      Its the chemistry for me too....... ni fire

    • @zepinashatibu5149
      @zepinashatibu5149 ปีที่แล้ว

      Umeonaee

  • @masakukenya277
    @masakukenya277 ปีที่แล้ว +1765

    Tanzanians just don't know how much we Kenyans love their music,wapi likes za Jeshi wadau🙏💥OneLoveFrom+254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sandrinengoymulimbi9005
    @sandrinengoymulimbi9005 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mara kwanza mimi kuusikiliza. Mbona nime liya?!🥺🥺🥺
    Mwimbo mzuri sana!👌🏽🥰
    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 June 2024

  • @azizjuma6125
    @azizjuma6125 3 วันที่ผ่านมา +3

    Sa ukiondoka nitabaki na nani, ukibaki nitaondoka na nani mi siwezi peke yangu .💥

  • @rosemarypeter4416
    @rosemarypeter4416 ปีที่แล้ว +185

    Mara yangu ya kwanza kuandika comment hapa. Harmonize to the world. Nipeeni hata likes kumi. Nawapenda

  • @iddyclassichb6795
    @iddyclassichb6795 ปีที่แล้ว +44

    Dhaaaaaaa!!! Huuu mama amejiachia sana tuseme ndio Shem Shem ama anyway Song kali video kali Good vibe kabisa Big love from Burundi 🇧🇮🔥🔥🔥🔥 guys kama mnakubalia nami goga likes apo

    • @fatmafatom3034
      @fatmafatom3034 ปีที่แล้ว +1

      Wamejiachia hadi rahaaaaaaaaaaaaaaa

  • @stanleyomija
    @stanleyomija ปีที่แล้ว +51

    we kenyans love tanzanian songs wapi likes wakuu

    • @STUDIO95T4
      @STUDIO95T4 ปีที่แล้ว

      hii na utu ukicheza loudly in the car usiku ukipita Express Way banaaa, ngomaa tamu imeenda shuleee banaaaa

    • @marykishaysibangomsoffe299
      @marykishaysibangomsoffe299 ปีที่แล้ว

      1mmmk
      Kkkmxkkkkkkii9ď...
      89😊😅😊😊

  • @martinmuriungi6936
    @martinmuriungi6936 3 หลายเดือนก่อน +23

    Mimi Mkenya lakini napenda Harmonize sana, napenda nyimbo zake sana. Mnipee likes Watanzania

  • @mzanziinternetcafe1993
    @mzanziinternetcafe1993 ปีที่แล้ว +76

    Harmonize Unajuwa Unajuwa Unajuwa Tenaaaaa 🔥🔥🔥
    Tulia rudilia Nyimbo Ihi mara Mbili Mbili Gonga Like apa Tujuane

  • @ejntv
    @ejntv ปีที่แล้ว +177

    Aliyerudi kuangalia kama imeshafika no 1 on trending gonga like😀😀👍👍👍

  • @josephbusolo3410
    @josephbusolo3410 ปีที่แล้ว +8

    Bado mm uskiza hi song from Kenya ngonga like

  • @smartphonezonetz280
    @smartphonezonetz280 ปีที่แล้ว +10

    mwimbo n mzuri sana siuchoki kusikiliza 😍.....kama unaukubali tu like wote , tumsapport harmo wote i wish ma like yawe mengi mengi😍

  • @lordinnocentmeela7596
    @lordinnocentmeela7596 ปีที่แล้ว +597

    My Kenyan people lets appreciate this Banger 🇰🇪🇰🇪

    • @bonnamugawo4583
      @bonnamugawo4583 ปีที่แล้ว +3

      Harmonize bro Napend ngoma Zak na wwe bro

    • @elishaphiri2778
      @elishaphiri2778 ปีที่แล้ว +1

      💓💓💓💓💓👏👏👏👏

    • @DJBOIE
      @DJBOIE ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/udNTeSBWWq0/w-d-xo.html

    • @ReekJay
      @ReekJay ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/6pjgUuwyHrE/w-d-xo.html

    • @bakarimkunga4935
      @bakarimkunga4935 ปีที่แล้ว +1

      Dah jamaa anajua mpaka kero

  • @doreenachol7951
    @doreenachol7951 ปีที่แล้ว +754

    I don’t understand the hate Tanzanian have for this guy .he is purely talented,God will keep blessing you 🙏🙏

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 ปีที่แล้ว +19

      No one hates him

    • @denismigayi8513
      @denismigayi8513 ปีที่แล้ว +35

      He is only hated by Wasafi fans

    • @fazohtz5512
      @fazohtz5512 ปีที่แล้ว

      Your number please

    • @scorecbo4868
      @scorecbo4868 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/zvfECZ7XU04/w-d-xo.html

    • @isaacmarion2104
      @isaacmarion2104 ปีที่แล้ว +9

      @@denismigayi8513 we don't hate him we appreciate talent not criticism it

  • @drack632
    @drack632 5 หลายเดือนก่อน +10

    ❤❤ I wish 🙏 sikumoja tungezikwa ote😂😂 kwaheri 2023

  • @alvinmbugua7821
    @alvinmbugua7821 11 หลายเดือนก่อน +156

    This guy worked his way up.. His career was in jeopardy and we could have lost a Mega Star but he decided to hold on and fight through the storms.. Much respect to Konde Boy.. Banger after Banger 💥🔥Love from 254🇰🇪🇰🇪

    • @matt-jj2eb
      @matt-jj2eb 10 หลายเดือนก่อน

      🚬

    • @AbelJoseph-ef8bf
      @AbelJoseph-ef8bf 7 หลายเดือนก่อน

      Nenda uko mnajua mna sura mbovu ndo maana mnapenda kulia2

    • @alvinmbugua7821
      @alvinmbugua7821 7 หลายเดือนก่อน

      @@AbelJoseph-ef8bf Yusufu umekula kinyesi kikakuharibikia?

    • @alphoncemokua8040
      @alphoncemokua8040 2 หลายเดือนก่อน

      True broh is a star

    • @alphoncemokua8040
      @alphoncemokua8040 2 หลายเดือนก่อน

      I salutes your brother it's naked truth

  • @audiomackstar5832
    @audiomackstar5832 ปีที่แล้ว +311

    my words can't tell how good his songs are and i am leaving this comment here so that whenever someone likes it i can come back to listen to this song again

    • @shiraevarist7558
      @shiraevarist7558 ปีที่แล้ว +3

      Hello he is the king of music

    • @silvacapitaine5243
      @silvacapitaine5243 ปีที่แล้ว +4

      The king of music east Africa

    • @scorecbo4868
      @scorecbo4868 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/zvfECZ7XU04/w-d-xo.html

    • @joveominteen
      @joveominteen ปีที่แล้ว +2

      Tafadhali 😥😥👉👇 th-cam.com/video/wSAof2Pnwsw/w-d-xo.html

    • @shivansingh1633
      @shivansingh1633 ปีที่แล้ว

      Enjoy

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv ปีที่แล้ว +1643

    Harmonize Nasema Kwa Sauti Unaweza sana wewe mnyama mkali sana, Yani huu wimbo nmeurudia kukusikiliza zaidi ya mara tatu, hakika unajuwa kutufurahisha mashabiki tunaopenda muziki mzuri 💥💥 wangapi tumeirudia hii Nyimbo zaidi Gonga likes zakutosha tumpe nguvu huyu mwamba Konde Boy Harmonize 🤩🤩🤩🤩🤩🤩🥰🥰🥰💥💥💥💥📸📸📸🌄🌄🌄👉🎁🎁🎁🎁🎁

  • @EmmanuelTuyisenge-ip2vo
    @EmmanuelTuyisenge-ip2vo 16 วันที่ผ่านมา +4

    Naludia tena hakuna wakukushinda kwenye mziki my jeshi👊

  • @robartrazack1900
    @robartrazack1900 8 หลายเดือนก่อน +20

    This bro is something else ❤️❤️❤️❤️ Receive your flowers 💐 while you’re still here

  • @yusufumbwene5669
    @yusufumbwene5669 ปีที่แล้ว +446

    Sisi kama wamakonde , kwa pamoja tumempitishia huyu manzi Feza Kesi kuwa ndio shemeji yetu sahihi ,,,kule tulipotea njia tu , weka like hapa zifike 1k

    • @carolkana3074
      @carolkana3074 ปีที่แล้ว +3

      Izo ni zako tu

    • @TeresiahWairimu-ir7rq
      @TeresiahWairimu-ir7rq ปีที่แล้ว +4

      nitaubeba ya harmonize hata mtoto aneiona lakini hii .........

    • @irenemrua1350
      @irenemrua1350 ปีที่แล้ว +1

      Chagga gal ndani ya Ntwara

    • @kijitamfyomi5598
      @kijitamfyomi5598 ปีที่แล้ว +4

      Mwambieni atoe Neno la Qur ani kwenye Wimbo wake anataja maneno matakatifu kwenye wimbo yuko na mwanamke nusu uchu na kina sheikh mazinge hawajamkemea ama hawajausikia huu wimbo?

    • @joveominteen
      @joveominteen ปีที่แล้ว

      Tafadhali 😥😥👉👇 th-cam.com/video/wSAof2Pnwsw/w-d-xo.html

  • @olamenkurikiye8666
    @olamenkurikiye8666 ปีที่แล้ว +88

    Makonde wewe ni mnyama hatari ngoma hii ni moto wa kuotea mbari nakubari sana jeshiii good work keep up Mwanangu👊👊👊Likes za makonde zifike 1k

    • @DJBOIE
      @DJBOIE ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/udNTeSBWWq0/w-d-xo.html

  • @marcoskenya237
    @marcoskenya237 ปีที่แล้ว +8

    Wangapi wako tayari kurudia huu wimbo🎯💯👑❤️ tuanze na Mimi hapa

  • @samuelwafula135
    @samuelwafula135 5 หลายเดือนก่อน +7

    Jan. 1. 2024 the first Kenyan to Jam to this Song. Harmonize please like my post and give me a holiday to Zanzibar

  • @mudibanka4772
    @mudibanka4772 ปีที่แล้ว +72

    Kazi nzuri sanaa,video imeendana na maudhui ya wimbo,mrembo kapendeza jamani nipeni like zenu plz konde gang never dispnt🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏

  • @ramadhanramizo9717
    @ramadhanramizo9717 ปีที่แล้ว +76

    Huu wimbo umesababisha nifokewe na Mwenyenyumba Kwa kuusikiliza kwa sauti ya juu 🔥🔥🔥 aisee konde we ni 🔥🔥🙌

  • @user-mp1ep1en5q
    @user-mp1ep1en5q 15 นาทีที่ผ่านมา

    Jmn leo nimekuja kumaliz uondo uku in 2/6/24🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HalaMadrid-uu5ks
    @HalaMadrid-uu5ks 2 หลายเดือนก่อน +6

    Who's here 2024 😂 much love from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🎉🎉😊

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 ปีที่แล้ว +243

    Achana na wimbo! Unajulikana Ni wimbo mkali Sana! Ila Huyu video vixen amefanya kazi yake vizuri mnooooooooo! Ametisha Sana! Na chemistry yao na harmonize imefanya kile kilichoimbwa kionekane dhahiri shahiri kwenye hii video!! Ni vedeo Kali Sana! Inajieleza, Ina hisia na ina flow nzuri Sana!

  • @btricksmedia5733
    @btricksmedia5733 ปีที่แล้ว +612

    Jamani hii ngoma tamu daah kila siku nairudia hebu Tujuane tunaoirudia hii ngoma kila siku kwa likes please show love kwa konde boy 💨💨💨

    • @qiutfayn9738
      @qiutfayn9738 ปีที่แล้ว +4

      Mbn kam una by IAU

    • @ReekJay
      @ReekJay ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/6pjgUuwyHrE/w-d-xo.html

    • @elvisigari
      @elvisigari ปีที่แล้ว +7

      Tamu mno,nakuambia pia mm huiskiza Kila time

    • @shammally1272
      @shammally1272 ปีที่แล้ว +2

      one of them here... hii ni mara yangu ya tisa sasa to watch it

    • @dorothygathigia8234
      @dorothygathigia8234 ปีที่แล้ว +3

      I second you...I repeat it like 15 times a day

  • @marthankatha4838
    @marthankatha4838 12 วันที่ผ่านมา +2

    Yaani huu wimbo jamani 😭😭😭

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 ปีที่แล้ว +1049

    Nani kaurudia huu wimbo kusikiliza kama mimi? Tujuane🇹🇿🤎🇰🇪.

  • @jonymyk
    @jonymyk ปีที่แล้ว +241

    Tanzania don't know how much America love them ❤️💖🔥💯

    • @SmileAfrica1
      @SmileAfrica1 ปีที่แล้ว +4

      You’re in tandale mn

    • @simcoolkenya3079
      @simcoolkenya3079 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/xMtsnlkqrOs/w-d-xo.html

    • @familyc7917
      @familyc7917 ปีที่แล้ว +3

      Yes it’s true they don’t know how we love ❤️ them especially this hermo is the favorite

    • @nomineetz255
      @nomineetz255 ปีที่แล้ว +4

      Nyie wote wa buguruni au Kinyerezi mwisho😂😂😂

    • @zainabmanyiri3510
      @zainabmanyiri3510 ปีที่แล้ว +1

      Kweli❤️📌

  • @antonywambui9758
    @antonywambui9758 6 หลายเดือนก่อน +11

    Cheated on my wife ... she left ...listened to this song 2 months ... won her over ... its now our favorite song ...sa ukiondoka ntbaki na nani ...ukibaki ntaondoka nani ...nipee like

    • @omarathman9259
      @omarathman9259 2 หลายเดือนก่อน +1

      just to let you know when she left I gave her company...

  • @kelvinjumba5001
    @kelvinjumba5001 9 หลายเดือนก่อน +47

    This guy always inspires me so much he got out of wasafi and he is doing good on his own more love from🇰🇪🇰🇪

  • @bukeyenezaaudreille8954
    @bukeyenezaaudreille8954 ปีที่แล้ว +12

    Kitu hicho🥰😍💘
    Wamakonde hebu gonga hapa like zenu nampenda sana harmonize kazi kazi🤗🤗🤲 niko South Africa 🇿🇦 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮

  • @jaydannychawaboy5418
    @jaydannychawaboy5418 ปีที่แล้ว +75

    nyimbo mkali mno hadi nishasahau maumivu yote ya mapenzi sababu ya hii ngoma jamani... Wacha ulaghai gongeeni like zake...❤️❤️❤️❤️❤️

    • @abdizfahrez5863
      @abdizfahrez5863 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/vGhScH1I4YY/w-d-xo.html

  • @JamesMpawenayo-fp3un
    @JamesMpawenayo-fp3un 2 วันที่ผ่านมา

    Tuzeeke wote tuzikwe wote mmoja akifa kesho🔥

  • @anthonymugambi539
    @anthonymugambi539 8 หลายเดือนก่อน +26

    Diamond is fancy,harmonize is content...love this

  • @deffanyhoughton8964
    @deffanyhoughton8964 ปีที่แล้ว +172

    This lady did this video justice💯,,,kudos whoever she is💥

    • @shamisabdallah7683
      @shamisabdallah7683 ปีที่แล้ว +4

      Feza kessy ni big super star huyu

    • @isdorchuvu6280
      @isdorchuvu6280 ปีที่แล้ว +3

      She is a musician too we all think that they are in love., Her name is Feza kesi.

    • @princekenyan
      @princekenyan ปีที่แล้ว

      This lady is 🔥

    • @luuji2220
      @luuji2220 ปีที่แล้ว +1

      She told the story

    • @aminata3702
      @aminata3702 ปีที่แล้ว

      Feza Kessy

  • @kenzotembo2150
    @kenzotembo2150 ปีที่แล้ว +195

    Kama wamkubali Tembo nipigieni hata like hapa kiasi nijikubali pia nami

  • @bienvenumaki1995
    @bienvenumaki1995 ปีที่แล้ว +2

    Harmonize kwakweli unakipaji cha juu sana , oleki ba stars nyoso ya Tanzanie nakufata from 🇨🇩🇨🇩+243

  • @ploverofficial
    @ploverofficial ปีที่แล้ว +20

    Afro music is the sweetest ❤❤❤love from Sierra Leone 🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱

  • @sunduma-official8069
    @sunduma-official8069 ปีที่แล้ว +146

    Good video 💥
    Good voice💥
    Good Melody 💥
    Good music 💥🇹🇿
    Weka like 🙏

  • @YangaaTv
    @YangaaTv ปีที่แล้ว +12

    Kama umeview hii ngoma zaid ya mara tano 🎉 online kama mim gonga line tujuane ❤❤❤

  • @dickikahese9681
    @dickikahese9681 ปีที่แล้ว +1

    mimi kila siku unausikiliza mara 12 nauelewa sana pale kwenye mstari ule yaumuluku quran acha kabisa kaweka neno la kiarabu

  • @rennyrheina2222
    @rennyrheina2222 ปีที่แล้ว +1

    Vile napenda songs za harmonize aki😍😍 nkama vile napenda team ya MANCHESTER UNITED 🔥🔥🔥🇰🇪nipeeni likes buana😂😂😂

  • @kidungweshaaban9317
    @kidungweshaaban9317 ปีที่แล้ว +131

    huu wimbo naupenda jaman ,nipen like zenu kama unaupenda kama mm

  • @homemadestory4871
    @homemadestory4871 ปีที่แล้ว +19

    Tukiachana na utunzi mzuri wa mashairi na upangiliaji wa sauti na kucheza na maneno...NAWEZA SEMA HII NI VIDEO KALI KUWAHI KUTOKEA KWA HARMONIZE YA MAPENZI❤️❤️❤️❤️❤️

  • @user-bk6pp3jq6p
    @user-bk6pp3jq6p 9 หลายเดือนก่อน +13

    Jeshi really lift up my mood this guy is totally talented 🇰🇪🔥

  • @user-tf3xt6fj7h
    @user-tf3xt6fj7h 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hata mm hauniishi ham kila muda kila dakika narudiarudia hii ngoma

  • @richflavour254
    @richflavour254 ปีที่แล้ว +90

    Representing Kenya gonga like tusonge kondee Gang for everybody 💯💯💯💯 Tusikwe woteeeeeeeee

  • @geniusgangkenya8732
    @geniusgangkenya8732 ปีที่แล้ว +80

    Harmonize doesn't know how much we Kenyans love him 😋👌👌👌👌

  • @samwelnjuguna-gz9eb
    @samwelnjuguna-gz9eb 7 หลายเดือนก่อน +1

    Unachonena Kwa mdomo 🇰🇪🌍Haswa liwe Ni Jambo jema 🍰Mwombe Mungu akuwezeshe uweze kulitekeleza ulichokinena ❤️❤️❤️The Lord's Path 📝

  • @MutukuMutuku-kk1fy
    @MutukuMutuku-kk1fy ปีที่แล้ว +2

    Tukiacha bifu harmonize he is more talented than diamond,skiza mistari zina flow, big up jeshi

  • @kakajtv01
    @kakajtv01 ปีที่แล้ว +6

    254 is happy for Harmonize...Wakenya Tunapenda Harmonize wapi likea zake jamani🥰

  • @sedjotshomba4867
    @sedjotshomba4867 ปีที่แล้ว +37

    My congolaise people let's us support this guy is very talented artist in the world 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @NIZARIKHAMISI
    @NIZARIKHAMISI 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kaza buti kaka 🎉❤

  • @francisfrancis6431
    @francisfrancis6431 ปีที่แล้ว +2

    Konde boy ni noma sani in tz. sema wanaleta ubishi 2 ila moyoni mwao wana sema ukweli 🔥🔥

  • @Umuheburayo
    @Umuheburayo ปีที่แล้ว +26

    All my people from Rwanda In Love With Harmonize🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀❤❤❤❤❤❤

  • @faustin362
    @faustin362 ปีที่แล้ว +49

    Kondeboy is the BEST Swahili singing artiste at the moment. +254 in the house!

  • @ndikumukizafrenkfina
    @ndikumukizafrenkfina 7 หลายเดือนก่อน +2

    Pombe na kuvuta ameacha ila kuhusu Love ❤sahau kuacha. Kidude kinachosumbua mwanadamu

  • @antharysuleiman8997
    @antharysuleiman8997 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma kali
    Video kali
    Alafu mwenye ngoma sasa noooooomaaaaa saaaana
    Tunakupenda watu wa 🇧🇮 Burundi

  • @americanoog2600
    @americanoog2600 ปีที่แล้ว +11

    No mara waaahh!!!! WE need kajala back🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩

  • @kingpincommedieshub9477
    @kingpincommedieshub9477 ปีที่แล้ว +70

    Likes za Jeshi zikuje tafadhali.💪🙏🙏 Ngoma hatarii hii.

  • @dancherotwo9237
    @dancherotwo9237 ปีที่แล้ว +14

    Hello Tanzania.Just know we Ugandans we love you our bros.
    Always in love with yours songs

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 8 หลายเดือนก่อน +2

    Naupenda huuu wimbo hatr nimerudia mara kumi kuangalia

  • @MtotoWaJemo
    @MtotoWaJemo ปีที่แล้ว +526

    This song hits different 🫂😩

    • @jaybclassics3807
      @jaybclassics3807 ปีที่แล้ว +6

      True 😅😅✌️

    • @lymondmande4422
      @lymondmande4422 ปีที่แล้ว +4

      The fact is not how much invested efforts for but the facts is whom is interested with this 🤣🤣

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 ปีที่แล้ว

      Vvh th-cam.com/video/HLqvhu8vj98/w-d-xo.html

    • @Jacksonds.
      @Jacksonds. ปีที่แล้ว +2

      😂😂

    • @bajosdamour2347
      @bajosdamour2347 ปีที่แล้ว +1

      😂 😂 😂 😂 Kbsa

  • @BoyMazu
    @BoyMazu ปีที่แล้ว +17

    Kenya 🇰🇪 we love 🇹🇿 Tanzania music 🎶 love wapi likes za harmon

  • @Freditozn
    @Freditozn 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nasikiliza wimbo uhu kila siku nipeni maua yangu

  • @karimjuma4019
    @karimjuma4019 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa Kuna maneno mzito Sana uyu mtu hatareee Sana

  • @owenmichael7781
    @owenmichael7781 ปีที่แล้ว +86

    Harmonize is the realest beast in East Africa tusemeni tu ukweli🔥🔥🔥,,mad respect konde🇰🇪

    • @evanjilima2190
      @evanjilima2190 ปีที่แล้ว +1

      Mimi ni mtanzania unachosema ni kweli kabisa ❤️🇰🇪

    • @evanjilima2190
      @evanjilima2190 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa kutoka Tanzania 🇹🇿 😊

  • @husnaally5145
    @husnaally5145 ปีที่แล้ว +21

    Ilitoka Audio mpenzi wangu alinitumia sekunde chache tu... ikatoka video anarudia kunitumia ndan ya sekunde ...nimesikia ujumbe wako kupitia wimbo huu my darling Nakupenda SAYD WANGU

  • @muryangoissa794
    @muryangoissa794 ปีที่แล้ว +1

    Jeshi unaimba Sana paka unakera wajifunze kwako

  • @moseskithia3210
    @moseskithia3210 ปีที่แล้ว +2

    Harmonize endelea na Maisha achana na kajala😮

  • @Albachuza
    @Albachuza ปีที่แล้ว +25

    Hermonize ni moto💥💥 worching from 🇰🇪 Kenya Likes za nyumbani zikuje uku😁 we love you Hermo

  • @raybwoyde9
    @raybwoyde9 ปีที่แล้ว +95

    Please wote nawaomba kupitia hizi likes za harmonize na waomba mnilike tafadhalli

  • @charlesbicko475
    @charlesbicko475 24 วันที่ผ่านมา +1

    Hiiii ngoma ilini saidia sana nika pona roho❤❤❤❤

  • @user-lq8ks1bm8m
    @user-lq8ks1bm8m หลายเดือนก่อน +2

    Zambia 🇿🇲konde you're loved here 👉

  • @afritales_
    @afritales_ ปีที่แล้ว +288

    On behalf my village people, my wicked ex and the stubborn landlord we all confirm that this is a hit

    • @Nanasi19
      @Nanasi19 ปีที่แล้ว +2

      Sasa ex alkua amechill😂😂

    • @hamisskajete1762
      @hamisskajete1762 ปีที่แล้ว

      🤣 🤣 🤣 🤣 Stubborn what?? U will be fired

    • @morioswai4137
      @morioswai4137 ปีที่แล้ว +2

      Ur comment jus made me laugh et ur wicked what??? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ZaynabOmary93
      @ZaynabOmary93 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @nurumohamed5830
      @nurumohamed5830 ปีที่แล้ว

      Awesome

  • @McOkoth_KE
    @McOkoth_KE ปีที่แล้ว +21

    Huu ni wimbo Na nusu. More love from Kenya, hakuna kama Tembo

  • @user-bi6pb3qv5l
    @user-bi6pb3qv5l 3 หลายเดือนก่อน +2

    I Mathew saying unaweza kaka harmonize kudos

  • @izoolincoln1432
    @izoolincoln1432 ปีที่แล้ว +3

    harmonize the master watu wa diamond wakwende huko

  • @antomccomedianmheshimiwa92578
    @antomccomedianmheshimiwa92578 ปีที่แล้ว +365

    MY SOMALIAN PEOPLE LET'S APPRECIATE THIS BANGER

    • @DJBOIE
      @DJBOIE ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/udNTeSBWWq0/w-d-xo.html

    • @abdimalik6377
      @abdimalik6377 ปีที่แล้ว +2

      💯💯💯💯💯

    • @abdiato21
      @abdiato21 ปีที่แล้ว +2

      🫵🏾🫵🏾🇸🇴❤️

    • @anoldfocus6937
      @anoldfocus6937 ปีที่แล้ว +3

      Mm mojawapo wakuirudia sema konde saivi niwamoto

    • @billgussy6099
      @billgussy6099 3 หลายเดือนก่อน

      Aad u fiican

  • @yusufsherrif698
    @yusufsherrif698 ปีที่แล้ว +9

    Huyo jamah ndio the real G.O.A.T we have in East Africa🐐🔥 KONDE BOY CALL HIM NUMBER ONE1️⃣💯🔥🔥🔥❤❤❤

  • @MARKINGSCHETV6762
    @MARKINGSCHETV6762 ปีที่แล้ว +2

    Kungekuwa na transfer ya wasanii kenya tungenunua harmonize.... guys kindly mnisupport please

  • @Vanery2512
    @Vanery2512 ปีที่แล้ว +1

    This thing should be sold in pharmacy siku haiwezi kuisha bila kuirudia it is my favorite

  • @danatimusic
    @danatimusic ปีที่แล้ว +122

    Protect harmonize at all cost we can't lose this legend 🙏

    • @simcoolkenya3079
      @simcoolkenya3079 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/xMtsnlkqrOs/w-d-xo.html

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 ปีที่แล้ว +1

      Ygu th-cam.com/video/HLqvhu8vj98/w-d-xo.html

    • @chulokingking
      @chulokingking ปีที่แล้ว +3

      True danati

  • @d-maxScarlageKe
    @d-maxScarlageKe ปีที่แล้ว +374

    As a South African, I certify this song as officially dope and Lit📜✍🏾

    • @abdizfahrez5863
      @abdizfahrez5863 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/vGhScH1I4YY/w-d-xo.html

    • @mustafamusty
      @mustafamusty ปีที่แล้ว +1

      Noma sana kaka South Africa 🇿🇦 😢 🙏 😞 😔 😕 🇿🇦 😢 🙏 😞 😔 😕 🇿🇦 😢 🙏 😞 😔 😕 🇿🇦

    • @johnsonelia221
      @johnsonelia221 ปีที่แล้ว

      Kaka katisha umo kimewaka

    • @Tekaskeng
      @Tekaskeng 4 หลายเดือนก่อน

      7ecus9ixe

    • @Tekaskeng
      @Tekaskeng 4 หลายเดือนก่อน

      7ecus9ixe

  • @simonkefa2772
    @simonkefa2772 ปีที่แล้ว +1

    I pray and wish that i will ever love again sabu moyo wa kupenda ulinitoka kabisaa

  • @kabirumuraya
    @kabirumuraya 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha nitumie my babe hii song 😭😭😭🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽waaah

  • @tamichamahando3713
    @tamichamahando3713 ปีที่แล้ว +149

    Idolo Harmonaize nunca decepciona loveyou🇲🇿❤❤❤❤

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 ปีที่แล้ว +132

    Imagine entering 2023 like this❤❤❤❤❤ we are proud of you Harmonize. And Feza you killed it sis. You both did justice to this beautiful Song. 😍

  • @aratomamanje7624
    @aratomamanje7624 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hata nkisikiliza wiki swezi choka Kwa kweli

    • @joycemichael52
      @joycemichael52 8 หลายเดือนก่อน

      Wana vituko baraha

  • @ian_wambux
    @ian_wambux ปีที่แล้ว +1

    Yah! I think you will love again
    ...you have a feelings don't forget it..!!!
    ..but unajua sana kakaaaa✌✌

  • @EricBreezzManyota
    @EricBreezzManyota ปีที่แล้ว +299

    Everything here is amazing. The song, the video, the singer, the vixen, the CHEMISTRY!! Much love from Kenya

    • @ReekJay
      @ReekJay ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/6pjgUuwyHrE/w-d-xo.html

    • @youngpa6943
      @youngpa6943 ปีที่แล้ว

      Hey Eric support my talent ..,#sibanduki song#plizzz

    • @WilliamFungo-sx3mw
      @WilliamFungo-sx3mw 8 หลายเดือนก่อน

      Volume

    • @Tekaskeng
      @Tekaskeng 4 หลายเดือนก่อน

      7ecus9ixe