Maisha ya Dereva wa Mwalimu Nyerere Yanasikitisha!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ต.ค. 2017
  • Subscribe / uwazi1
    Maisha ya Dereva wa Mwalimu Nyerere Yanasikitisha!
    Mzee Nassoro Rajabu mwenye umri kati ya miaka 80 mpaka 85 ambaye alikuwa ni Dereva wa kwanza wa Rais wa kwanza wa Tanzania Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere tangu mwaka 1953 mpaka mwaka 1961 wakati wa harakati za kutafuta Uhuru wakati huo alikuwa akitumia Gari aina ya Tax yenye nambari za usajili DSO 540, Gari hio ilikuwa ikimilikiwa na Muhindi,
    Hata hivyo Baada ya Mwalimu Nyerere kuapishwa na kuwa rasmi kama Rais wa kwanza wa Tanzania , Mzee Nassoro Rajabu aliajiriwa rasmi Serikalini akiwa Dereva wa kwanza wa Baba wa Taifa kuanzia mwaka 1962 hadi mwaka 1985, Baada ya Mwalimu Nyerere kustaafu aliendelea kumuendesha Rais wa awamu ya pili, Al Hassan Mwinyi, kwa miaka mitatu .
    Maisha yake kwa sasa ni duni kwani kula yake ni ya mlo mmoja kwa siku huku akikosa hata Godoro la kulalia pamoja na Fedha kwa ajili ya matibabu, Global tv ilifika kwenye Makazi yake ilikujua kinaga ubaga juu ya fumbo la maisha yake, kwanini hana makazi maalumu ya kuishi wakati alijengewa Nyumba na shirika la Nyumba la Taifaa ( NHIF) Ambapo alifunguka kuwa amenyanga'nywa Nyumba.
    ttp:// / uwazi1
    / uwazi1
    / uwazi1
    WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
    FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari
    INSTAGRAM: / globalpubli. .

ความคิดเห็น • 437

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 3 ปีที่แล้ว +74

    Wanao muangalia mzee nasoro

  • @kibwanambegu9572
    @kibwanambegu9572 3 ปีที่แล้ว +15

    Kwa sisi tuliyekuwa hatumjui dereva wa kwanza wa hayat baba wa taifa. Hata shule hatujafundishwa. Gonga like hapa twende sawa

  • @benedictmrisho1800

    Pole sana mzee umesahaulika kama yule mwanapunda aliyembeba Yesu kuingia Yerusalem. Mh Rais kwa huruma na hisani yako wakumbuke wazee kama hawa. Walitutunzia Marais wetu kwa upendo na uaminifu mkubwa. Hongereni wanahabari vijana kwa umahiri mkubwa kutuibulia historia kubwa kuliko umri wenu. Hakika mnaitaji nishani pia.

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 6 ปีที่แล้ว +83

    Hizi ndio kazi za uandishi wa habari.sio Baadhi ya vyombo vya habari zimejikita katika kuchangia uchochezi tu.asante Global tv

  • @marosylvester2851
    @marosylvester2851 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana ndugu mzee Nassoro. Kiukweli kazi yako ya udereva uliifanya kwa umahili mkubwa sana. Hakika mungu yupo nasi. Uwe na siku njema

  • @simonnyasebwa9026
    @simonnyasebwa9026 6 ปีที่แล้ว +28

    Hapo kwa mzee Magufuli yataisha Nina imani.

  • @anetikapami4228
    @anetikapami4228 6 ปีที่แล้ว +37

    Imeniuma sana kuna binadamu wengine hawana hluma kabisa. Mheshimiwa john pombe magufuli msaidie huyu mzee!! jamaniii!!.

  • @megoj5179
    @megoj5179 4 ปีที่แล้ว +1

    Duh Mjomba mtu anajua kujieleza hasa.. kwa umri wake kumbukumbu zake ziko juu sana. Kweli Mungu amtetee huyu mzee. Global Tv kazi nzuri sana, tupeni updates

  • @kadogoomushadi5409
    @kadogoomushadi5409 4 ปีที่แล้ว

    Jamani jamani .jamani kesho kwa mungu huko kunamazitoo meheshimiwa magufuli msaidiye huyu mzee muweke sehemu iliyo sahihi mungu atakulipa kesho hii.imetuuma sanaa uongozi nidhamana kubwaa msaidie mkuu

  • @enjoysoccer1
    @enjoysoccer1 3 ปีที่แล้ว +20

    Kuwa dereva wa kiongozi ni kujitoa maana mda wwte unaweza kuitwa marehemu. Serikal huyu naye ni shujaa kama Mashujaa wengne msaidieni

  • @theresiakisela7304
    @theresiakisela7304 4 ปีที่แล้ว +1

    Good work

  • @eliasjohn1072
    @eliasjohn1072 6 ปีที่แล้ว +12

    Globol Tv mko vzr saaaana

  • @bonymwakyusa9826
    @bonymwakyusa9826 4 ปีที่แล้ว

    Daaah inaumaa sana kama wanashindwa kuwathamini watasisi wataifa letu mh, mkumbuke babu yetu huyoo🙏🙏🙏

  • @johnpaulo6161
    @johnpaulo6161 6 ปีที่แล้ว +23

    serikali mnawasahau watu muhumu hatimaye mnakimbilia sifa, be careful

  • @alonalon9899
    @alonalon9899 6 ปีที่แล้ว +2

    pole xana babaangu nakama ipo ipo2uuuuu mungu akusaidie sana nahaki yako utaipata 2

  • @ibrashirima895
    @ibrashirima895 6 ปีที่แล้ว +4

    Asante kwa historia nzuri ya kumtambua aliekuwa dereva wa mwalimu Nyerere.

  • @petrmgaya2536
    @petrmgaya2536 6 ปีที่แล้ว +8

    mzee anaeleza vizuri apewe kazi uzee wa baraza

  • @alexedwin433
    @alexedwin433 3 ปีที่แล้ว

    Mzee wetu mugufuri tunamuamin atarimariz tuna mutegemea mungu yupo nay

  • @kallamudaily73
    @kallamudaily73 6 ปีที่แล้ว +6

    Huyo reporter ananifurahisha sana yaani anajua kunitumia vizuri R na L safi sana bi dada

  • @beatricemrema4581
    @beatricemrema4581 6 ปีที่แล้ว +7

    Ushauri wangu ni kuwa zibadilike njia za kumuenzi Baba wa Taifa, tunakazana na historia ya Baba wa taifa , huku wale waliokuwa wasaidizi wake wa karibu wakiwa hoi kimaisha na taabani na wakidhurumiwa haki za maisha yao , watanzania tubadilike....