HISTORIA Ya KARUME, Rais Aliyezawadiwa KIFO Kwa WEMA Wake!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 877

  • @johnhosea1321
    @johnhosea1321 5 ปีที่แล้ว +17

    Safi sana. Historia nzuri sana hii. Asante kwa Historia hii ya Karume

  • @mohammednassor5612
    @mohammednassor5612 4 ปีที่แล้ว +9

    Muongoo histori ya uongo ila mungu atatulipia wazanzibari zidi ya Tanganyika na nyerere mungu atamlipa kwa alio yafanya.

  • @AA-yr7sr
    @AA-yr7sr 5 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana hii iko safi sana M/Mungu azidi kubariki na kazi yako Dennis Mpagaze

  • @alimohammedomar3412
    @alimohammedomar3412 2 ปีที่แล้ว +6

    Kizazi cha leo cha Zanzibar tahadharini sana na historia hizi za kutungwa na wa Bara kwa maslahi yao. Lengo lao ni kuwaaminisha yale wa ayoyataka wao dhidi ya Zanzibar

  • @salimabdillah1623
    @salimabdillah1623 3 ปีที่แล้ว +2

    Big up bro, ni darasa tosha for generations to come. RIP Mzee Karume na makamanda wote wa Mapinduzi ya Zanzibar.

  • @sikasika945
    @sikasika945 5 ปีที่แล้ว +286

    🙏🙏🙏🙏The golden voice kama unakubaliana nami like tujuane

  • @dr.mialanotanganyika4401
    @dr.mialanotanganyika4401 4 ปีที่แล้ว +6

    Keep informing people like me who really want to learn about African history. Well done bro and god bless you.

  • @teddymashells2601
    @teddymashells2601 ปีที่แล้ว

    broh ni bingwa kwa kuzitangaza historias ,nakukubali sana kaka,hata sauti n the way you sound it, it's so fantastic n so experience. big up broh, more n more.

  • @ommygzanzibar4711
    @ommygzanzibar4711 5 ปีที่แล้ว +8

    Ulijaribu kuifatilia historia ya Zanzibar ila bado umekosea mengi inahitajika uisome ili utupatie ukweli kuhusu Zanzibar maana mengi uliongea ya ukweli na mengi uliongea ya uongo ila hongera sana kwa ukumbusho

  • @daudmedardndegeulaya8193
    @daudmedardndegeulaya8193 4 ปีที่แล้ว +2

    Ananias Edgar your so Great.

  • @Grandson254
    @Grandson254 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi safi denis mpagaze,,, sauti ya kutegesha masikio

  • @princenyakurungwi6925
    @princenyakurungwi6925 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii story imejaa uongo mwingi sana tena sana

  • @specialclassic8986
    @specialclassic8986 5 ปีที่แล้ว +10

    Hongera sana kaka nakukubali. Ukimaliza historia ya mapinduzi Zanzibar tunaomba na Historia ya Maalim Seif sharif Hamad.

    • @irambadc5167
      @irambadc5167 9 หลายเดือนก่อน

      Sharing km nani wewe zanzibar?

    • @irambadc5167
      @irambadc5167 9 หลายเดือนก่อน

      Kuuumbeeeee

  • @FrancisNjorogeDesigner
    @FrancisNjorogeDesigner 2 หลายเดือนก่อน

    Asante Asante sana

  • @mohzentv6550
    @mohzentv6550 4 ปีที่แล้ว +4

    Kaisome vizuri historiya ya Zanzibar maan huijui

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ndiye anayejuwa

  • @masoudzanzibarali9994
    @masoudzanzibarali9994 5 ปีที่แล้ว +4

    Napenda sana kazi zako na kila siku nakuunga Mkono lkn hapa umekosea kidogo, Abeid Karume hajazaliwa Zanzibar alizaliwa Malawi na kabila yake ni Mnyasa Mama yake aliamia Zanzibar Karume akiwa na Umri wa miaka 10. na waliamia Mwera nje ya Mji wa Zanzibar

    • @mpagazedenis8395
      @mpagazedenis8395 5 ปีที่แล้ว +2

      Afrika ni moja hiyo isikupe shida, mipaka hiyo tuliwekewa na wazungu ambayo tunahitaji kuivunja...

    • @makungumzee1823
      @makungumzee1823 4 ปีที่แล้ว

      it is gud gid

    • @makungumzee1823
      @makungumzee1823 4 ปีที่แล้ว

      iko poa

  • @HappyFountain-yu6ob
    @HappyFountain-yu6ob 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huijui kabisa historia ya zanzibar

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa simulizi

  • @kitonikitoni6299
    @kitonikitoni6299 4 ปีที่แล้ว +5

    Zanzibar ingekua chini ya oman mpaka sasa aisee ingekua kisiwa tajiri sana

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣duuh

    • @tato8979
      @tato8979 7 หลายเดือนก่อน

      😮😮😮😮

    • @abdallavictory6723
      @abdallavictory6723 หลายเดือนก่อน

      Isingekuwa Tajiri, bali upande mmoja wa Pemba wangepata Ruzuku, ya pato lakini upande wa Unguja wangeteseka sana maana visiwa hivyo viaishi kwa Historia Washirazi IRAN Wa Afro BARA Wa Arabu OMAN, Inabidi uelewe hivyo.

  • @tintz3157
    @tintz3157 5 ปีที่แล้ว +14

    We jamaa ni noma kwa simulizi na Mungu kakujalia sauti yenye mvuto kwa watu kupenda kusikikiza hata km story haisisimui ila kwa sauti yako mtu atapenda kuisikiliza,keep it up,nakumbuka nilikuomba utupe story ya Steve Biko mwanaharakati to South Afrika

  • @zephaniakilalo551
    @zephaniakilalo551 5 ปีที่แล้ว +5

    Big up sana broo nakubali sana kazi yako, ni wachache sana leo watu kama ww, GOD BLESS YOU BELOVED

  • @charlesmataba8344
    @charlesmataba8344 5 ปีที่แล้ว +6

    LEARNING IS AN ENDLESS PROCESS, YOU MAKE ME TO LEARN MORE!

  • @t33pelos77
    @t33pelos77 5 ปีที่แล้ว +1

    Historia nzur mtangazaji upo vzr Asante sana

  • @djatm1319
    @djatm1319 5 ปีที่แล้ว +10

    Uwezo wa mutu si elimu kubwa... Hapo nakubaliana nawe... My best reporter... Mob love from Kenya

    • @seifmajid8088
      @seifmajid8088 5 ปีที่แล้ว

      Elimu ni nuru, unakubaliana na ujinga, nani aliyekwambia elimu haina uhusiano na uongozi, mtakaa na kusupport ujinga, ndio mana hatuna Maendeleo kwa sababu nchi inaendeshwa na wajinga.

    • @djatm1319
      @djatm1319 5 ปีที่แล้ว

      @@seifmajid8088 nani alikundanganya hivo how many people are educated in Africa and have no jobs...

  • @edgersenyagwa3583
    @edgersenyagwa3583 4 ปีที่แล้ว +1

    Daah upo vizuri katika usmuliaji mwañangu hongera

  • @WaleedKharusi
    @WaleedKharusi 4 ปีที่แล้ว +6

    I recommend also reading Kwaheri-Ukoloni, Kwaheri-Uhuru

  • @ramadhaniayubu6103
    @ramadhaniayubu6103 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa simulizi upo vizuri kaka hongera sanaa

  • @bjaymastertz4828
    @bjaymastertz4828 5 ปีที่แล้ว +2

    broo nakubari sana kazi yko hubabaishi napenda sana historia unazo zitoa broo

  • @kimanititus
    @kimanititus 4 ปีที่แล้ว

    Beautiful stuff. Nimesoma mengi

  • @josephmkuar7133
    @josephmkuar7133 5 ปีที่แล้ว +15

    Unique voice

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 ปีที่แล้ว

    Aliye kupa Historia ya Father K kakudan'ganya rudi Zinjibar ukaitafute tena Historia ya Father K sawa.thanks

  • @abdallahrunwa1886
    @abdallahrunwa1886 5 ปีที่แล้ว

    Ndugu yangu mwanahistoria sehemu ya kwanza hongera sana sehemu ya pili wazanzibar wajitambuwe kwa historia hii waache kulaumu walipoangukia badala ya kusahau walipojikwaa ndugu yangu mwanahistoria ujumbe umefika sasa kazi kwenu...!MUNGU Ibariki Africa Amiin...!

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 5 ปีที่แล้ว

      Hakuna historia hapo kuna ukiritimba ule ule wa uafro shirazi na uhizbu tu hapo Na uwongo mwingi umechanganywa na ukweli.

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 5 ปีที่แล้ว +1

    Yaani Leo umenifuahisha kweli kwa historia nzuri na yakweli big upsana

    • @zarihayussuf4969
      @zarihayussuf4969 5 ปีที่แล้ว

      Mtangazaji unasemaa uongo kopa sie alie pinduwa serikali

    • @zarihayussuf4969
      @zarihayussuf4969 5 ปีที่แล้ว

      Wala huyo John okelo hakupinduwa serikali peke yake kila mtu alipewa sehemu yoke ni wengi walopinduwa hiyo serkali

  • @hammerQ954
    @hammerQ954 5 ปีที่แล้ว +5

    Kamkubwa kazi nzuri sana ila wazawa tunakushauri njoo kisiwa mwenyewe tukupeleke sehem za kupata historia
    hapo kilichotokea ni kuficha makucha ya wazungu🙌🙌
    ❤zanzibar❤❤❤❤❤

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว

      Wala sio wazungu peke yao na akina John Okelo nae Kaujore na wengine kutoka bara

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 4 ปีที่แล้ว

      @@ukhtyalpha1344 okelo sio mbara

  • @simonchisongela7558
    @simonchisongela7558 5 ปีที่แล้ว +15

    Good, sasa watanzania washindwe wenyewe kuijua historia ya Nchi yetu.

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 5 ปีที่แล้ว +37

    Allah amrehem karume,amiin

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 4 ปีที่แล้ว +2

      Akiwa ni katika watu wa rehma

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 3 ปีที่แล้ว +2

      Alizawadiwa kifo yeye jee aliwazawadia nini wapinzani wake na raia wasiokuwa na hatia ?

    • @ramadhantahila9131
      @ramadhantahila9131 2 ปีที่แล้ว

      @@alawiali3475 nawala. Usingelikuwa na mdomohuo Sasa bila yy

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 2 ปีที่แล้ว

      @@ramadhantahila9131 wewe hujui kilicho tendeka unachukulia rahisi rahisi tu lau kama unajua ungekaa kimya usingeongea chochote na kipindi yupo yeye ulikuwa huwezi sema lolote ukisema utaitwa mchochezi na unapotezwa mazima.

    • @ramadhantahila9131
      @ramadhantahila9131 2 ปีที่แล้ว

      @@alawiali3475 weye uliitwa hivo

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 5 ปีที่แล้ว +4

    Aliyemuua Mzee Karume anajulikana mpaka leo

  • @issaibony6386
    @issaibony6386 5 ปีที่แล้ว +20

    Historia hii ukweli wanajua marehem karum nyrr jumb seph na mungu ni ukweli mtupu anajua ukweli zaidi

  • @omarikidato2958
    @omarikidato2958 5 ปีที่แล้ว +5

    Storia tamu na yenye kusisimua thx bro

  • @zuwenamohamed3642
    @zuwenamohamed3642 3 ปีที่แล้ว +3

    Kazi kupotosha watu tuu

  • @abdullahmarco5106
    @abdullahmarco5106 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii sio kweli bhana mbna muongo sana hakuzaliwa huko

  • @richardnyeura3015
    @richardnyeura3015 5 ปีที่แล้ว +8

    Vzur Sana kwa habar ya karume

    • @shadiahemed7909
      @shadiahemed7909 5 ปีที่แล้ว

      Tatizo unapindisha ukweli baba usiogope tupe ukweli halisi VP muungano alisemaje

    • @shadiahemed7909
      @shadiahemed7909 5 ปีที่แล้ว

      Muongo ww Zanzibar kama ilikua ya weusi kiongozi wao nani

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 ปีที่แล้ว

      @@shadiahemed7909 kwa hiyo zanzibar kulikua na mawe...waarabu walikuja wakaikuta zanzibar ina watu weusi hata kama hupendi..!!!

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g 4 ปีที่แล้ว +6

    Naona kijana wangu kama unasema uongo wala huijui stori ya karume -wala hakusoma na wala hakuzaliwa zanzibar hizo nchi ulizo zitaja wala hazijui yote ulio ya sema yote ni uwongo

    • @meddy2group605
      @meddy2group605 4 ปีที่แล้ว

      yeye mwenyew kasema haujasom hata shule ya msingi

  • @abuu-bakarshaaban6246
    @abuu-bakarshaaban6246 4 ปีที่แล้ว +4

    Nakukubali sana lkn umefeli kwa history ya karume bado hujaijua kabisa tuulize wazanzibar tukwambie

    • @sirajimakame1972
      @sirajimakame1972 4 ปีที่แล้ว

      Nenda zk huna lolote mpemba mchafu lasaba ujafika nachuki zako fanyeni mkae kwenu pemba hatuwataki unguja

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyerere (Mr X) alifanya njama za kuuwawa kwa Bana wa Taifa la Zanzibar hayati Abeid karume.

  • @mahdidadi486
    @mahdidadi486 5 ปีที่แล้ว +3

    Yani ww unawalisha wenzako matango pori wanzanzibar tunajuwa kila kitu japo munapotosha

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @nasseralaufi9308
    @nasseralaufi9308 4 ปีที่แล้ว +11

    Broo historia ya Zanzibar huijuwi aliepindua na kuuwa wazanzibari ni Nyerere

    • @Dazuu9884
      @Dazuu9884 3 ปีที่แล้ว +2

      huna akili wewe kima wewe kaa kmy uko umesoma wap ww ungekuja ww bac kutoa histor nyama ww

  • @seifhabib5987
    @seifhabib5987 4 ปีที่แล้ว +6

    Kweli Historiya ya Zanzibar huijuwi ata kidogo ,tutafute wenyewe tukufundishe huku tunakulisha khaluwa na Kahawa .njoo Malindi hapa Simba aliponywishwa Chai.

    • @surusuru1994
      @surusuru1994 11 หลายเดือนก่อน

      ndo mnavusemaga haya saw alikufa nanin

  • @bestboy4167
    @bestboy4167 4 ปีที่แล้ว

    hapo sawa

  • @harunakayega5531
    @harunakayega5531 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa noma sana aisee kwa story upo vyema

  • @nkunzimanabashir8030
    @nkunzimanabashir8030 5 ปีที่แล้ว +1

    Good presenter.thank u Ananias

  • @sharonedward7884
    @sharonedward7884 5 ปีที่แล้ว +1

    Waoh 😍Asante kwa ujumbe

  • @nusulaally6379
    @nusulaally6379 5 ปีที่แล้ว +2

    Uk vizur sn brother 👍👍

  • @deboramc525
    @deboramc525 4 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sana kaka uko vizuri

  • @suleimanbakar3429
    @suleimanbakar3429 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyerere ndie aliyemuuwa

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 5 ปีที่แล้ว +4

    Genius Ananias Edgar may god bless you Bro

  • @duhhuskie2698
    @duhhuskie2698 2 ปีที่แล้ว

    Waaa!!! I'm shocked!!!!

  • @shaibhamdun5225
    @shaibhamdun5225 3 ปีที่แล้ว +1

    Historia ya Zanzibar huijui usiaibike.

  • @soudmtoka6497
    @soudmtoka6497 5 ปีที่แล้ว +7

    Umekosea Karume hakuzaliwa Zanzibar

    • @badrumohd5066
      @badrumohd5066 4 ปีที่แล้ว +1

      U ndo unakosea man hujuw kinchoongelwa

    • @harunakayega5531
      @harunakayega5531 3 ปีที่แล้ว

      Ndo useme wewe kazaliwa wapi na hiyo elimu unayosema kaipatia wapi usilete ubishi ambao hauna point za msingi hoja upingwa na hoja so pinga kihoja na siyo unatoa tu pingo bila hoja toa hoja yako

    • @OMARJUMAOMAR-i2v
      @OMARJUMAOMAR-i2v 5 หลายเดือนก่อน

      Hujui chochote Rais Karume kazaliwa kijiji cha pongwe Mwera

  • @jumasaidi8157
    @jumasaidi8157 4 ปีที่แล้ว

    Seminar ya kipalapala Tbr. Upo vizuri sana msomaji

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii historia yako mwenyew wew na mabunju wenzio

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 5 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante sana nimekupata vyema

  • @khamisjuma3899
    @khamisjuma3899 4 ปีที่แล้ว +4

    Inawezekana kua historia huijui au umeficha ukweli

  • @salamakibuda5394
    @salamakibuda5394 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulaze mahali pema peponi

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa taarifa

  • @mohammednassor5612
    @mohammednassor5612 4 ปีที่แล้ว +1

    Historia yako imejaa uongo mwingi ndani yake alie muuwa karume unamjua vizuri tu wamefanikiwa malengo yao ila mungu yupo pamoja na sisi ata lipia kwa alicho kifanya juu ya zanzibar , na hakuna mzanzibari aliyefanywa mtumwa hizi ni kasumba historia ya zanzibar inajuilikana vizuri t.

  • @foodsatisfaction7335
    @foodsatisfaction7335 4 ปีที่แล้ว +1

    Sijui!!!!!!!

  • @rehmadamian8020
    @rehmadamian8020 5 ปีที่แล้ว +19

    Asanten sana r.i.p our president

  • @SaidSaid-wh4ky
    @SaidSaid-wh4ky 4 หลายเดือนก่อน

    Karume hakuuliwa na mswahili

  • @saidimlindwa5670
    @saidimlindwa5670 5 ปีที่แล้ว +2

    Nafurahishwa zaidi na stories mnazotoa. Ushauri wangu tu kwa muandaji na msimuliaji ni kutumia maneno sahihi ya kiswahili ili hata kizazi cha baadae kuelewa kinacho simuliwa. Maneno kama kuchomoa betri, ukawa n.k hayatafahamika kwa kizazi kijacho

  • @mangulymanguly139
    @mangulymanguly139 4 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri

  • @hassammohammed5046
    @hassammohammed5046 3 ปีที่แล้ว

    Mtafute mzee ameir bin ameir bin soud atakupa story na CCM washamuuwa

  • @mazeenmasoud7297
    @mazeenmasoud7297 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu fala kwa history hii yote haiko sawa

    • @iddmohammed1086
      @iddmohammed1086 4 ปีที่แล้ว

      Unaonaje km iyo historia ya kweli ukaitoa ww unayeijua?

  • @mbwanarajabhussein7141
    @mbwanarajabhussein7141 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ndiye anayejua yote yaliyojificha, ukimuua mtu au mwenzako wewe hutakufa? Huenda waliomuua Karume Mungu kawakutanisha huko ili waweze kulipana.
    Maisha ya duniani ni udanganyifu tu kwan ukimuua mwenzako kwa kutaka kitu fln huenda hicho kitu kabla ya kukufaidisha na wewe ukafa ukamfuata yule ulie muua...hivyo tuelewe kwa Mungu hakuna tajir, masikini, mwenyekit,mtendaji ,mbunge,wazir, mfalme nk...wote tutakua sawa kuelezea tuliyofanyiana bila ya kulindwa na askar km tulivyozoea..BAADA YA KIFO WATALINDA MWILI,ILA BAADA YA KUUINGIZA KABURIN HAKUNA ULINZ NI WEWE NA MUNGU ALICHOKIPNGA MALAIKA WAKIFANYE UTAKIPATA. TUMWOGOPENI MUNGU SANA NA TUSINYANYASANE KWN WENGI WETU WAMESHAKUFA NASI NDIO NJIA HIYO

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 5 ปีที่แล้ว +4

    Very sad story

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 4 ปีที่แล้ว +2

    Dunia Ina Mambo mengi Sana pumzika kwa amani shujaa Abeid Aman Karume

  • @frankrichard2377
    @frankrichard2377 5 ปีที่แล้ว +1

    Edgar Mimi naanza harakati za kuirudisha afrika ya zaman ya mashujaa kama mkwawa

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 5 ปีที่แล้ว +1

    Bwana weee sauti nzuri mjamaa. Picha sizo sio za kweli ni za kuchora na walochora ni Wazungu.. Nyumba hawakupewa bure za Michenzani wamevunjiwa nyumba zao ndio wakalipwa bila ya TV ndani. Na wananchi wote wa Zanzibar walishiriki kujenga hizo nyumba.

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaah.... taarifa kabla ya kutoka inahitaji uchunguzi wa kina zaid ili kisemwacho kiwe sahihi.. nimejifunza kitu, . BORA KUKAA KIMYA KULIKO KUKOSEA KUONGEA.

  • @bobkennedyoyando432
    @bobkennedyoyando432 4 ปีที่แล้ว

    History is part and percel of humanity.i love your stories Lakini naomba uzifanye Kwa kingereza,kiswahili hunitatiza kidogo baba.otherwise keep on doing this good work.i love it. The. Story book.

  • @ameirameir4930
    @ameirameir4930 5 ปีที่แล้ว +3

    Ni kweli bro hivi kama waarabu walikua na nianjema na zanzibar mbona walijijengea mji wao stone twn na hakuruhusiwa mtu mweusi kuishi huko ispokua kwa kazi tu jioni warudi kwenye vibanda vyao vya makuti
    Karume baada mapinduzi alitujengea nyumba za michenzani ili mtu mweusi nae aishi ktk mazingira bora

    • @ktravel3527
      @ktravel3527 5 ปีที่แล้ว +1

      Nashukuru kufahamu kua kumbe wapo wazanzibar wanao jitambua

    • @salumseif8495
      @salumseif8495 4 ปีที่แล้ว

      hiyo kama ikifika jioni waondoke haina ukweli hata 0.0001%

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 6 หลายเดือนก่อน

    Mpgaze acha uongo karume hakuzaliwa zanzibar karume amekuja zanzibar mgongoni kama alivyokuja Ali Hassan Mwinyi sema kweli mnachuki na wazanzibari kwasababu tu ya waisilamu na uisilamu lakini Mungu atawalipa mulichotufanyia

  • @mandelasakara-no3bw
    @mandelasakara-no3bw 8 หลายเดือนก่อน

    Kiweli nakupata sana mkuu

  • @dubais9018
    @dubais9018 4 ปีที่แล้ว +1

    Sio kweli hsya unsongea znz ni yetu na sie watu weusi historiya hiyo hamna bb yangu alikuwepo mji mkongwe kabla ya mapinduzi hakuona hsyo kutupwa msiti mitaani hii ni uongo mwingi

  • @soudmtoka6497
    @soudmtoka6497 5 ปีที่แล้ว +3

    Karume ni moja ya wasomi wa zamani... pitieni vyema historia hii msilishi wenzenu matango pori

    • @nassorali5511
      @nassorali5511 3 ปีที่แล้ว

      Baba karume hakuwa na elimu

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 4 ปีที่แล้ว +2

    Sasa io 64 walipoua siwalikua washapewa serikali tokea 63 kwann waliua Wazanzibar mpaka watt wachanga nawatt wakike. Mmh yashapita mingi zanzibar. Allah ndie ajuae

  • @shabanally1862
    @shabanally1862 5 ปีที่แล้ว +2

    Super hero...............

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 4 ปีที่แล้ว +3

    Cjui ulisimuliwa na mlevi

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana na wala sijuitii Bando langu

  • @josephatkashendwa1177
    @josephatkashendwa1177 5 ปีที่แล้ว +1

    My brother from another mother gonga cheers, unachokisema kitaludi kama ilivyo south africa kwamba "mteswa ipo siku sitawatesa ndg zake historia siku zote huwa inaenda mbele na kurudi nyuma,

    • @nassirmohamed9596
      @nassirmohamed9596 4 ปีที่แล้ว

      Tuweni wakweli kabla ya kuja warabu afrika mashariki zanzibar na mombasa kulikuwa na wazungu wareno wakifanya biashara KUBWA ya utumwa kuwapekeka waafrika ulaya . DHULMA hizi zilizidi mpaka wenyeji wa mombasa na Zanzibar wenye lmani ya kiisalmu wakatuma ujumbe kwa ndugu zao wa oman kuja kuwasaidia kutokana na Dhulma za wazungu wakristo wareno ndio sababu wakapigwa wareno Mombasa na Zanzibar na wa oman wakaongoza maeneo hayo kwa amani bila ya dhulma zozote. Yote hayo uloeleza kuhusu eti utumwa umeletwa na warabu ni uongo soma historia vizuri ya Afrika mashariki ujue ukweli usikimbilie TU kwenye mitandao na kutoa maneno ya uwongo kwa sababu ya chuki zako Dhidi ya UISLAMU ambao ni dini yenye lmani na daraja kubwa ya lmani ya kiislamu hupimwa kwa matendo mazuri ya MTU Wala haipimwi kwa kabila, Rangi au cheo cha MTU. Kwa hiyo kuwa mkweli sio utoe taarifa kwenye mitandao zinazodhihirisha CHUKI ulonazo dhidi ya UISLAMU. mbona husemi kuhusu watumwa weusi walopelekwa ulaya, lndia, na America kwa Dhulma na walofanya hivyo ni wakristo wazungu weupe???

  • @davidnchoji
    @davidnchoji 3 ปีที่แล้ว +8

    "Uwezo wa mtu si ukubwa wa elimu yake bali matumizi mazuri ya akili yake".

  • @khamissaleh921
    @khamissaleh921 4 ปีที่แล้ว +3

    karume hajazaliwa zanzibar hapo umekosea

  • @lm6373
    @lm6373 4 ปีที่แล้ว +3

    Tangu warabu wali toka zanzibar mume fanya nini ila kutukana tuu na hadisi za uongo.

  • @kylesmeight4837
    @kylesmeight4837 5 ปีที่แล้ว +1

    Proudly Zanzibar

  • @dhahiribrahim539
    @dhahiribrahim539 4 ปีที่แล้ว

    Lovely😍🤩🤗🇹🇿🇸🇦.

  • @manijr9613
    @manijr9613 5 ปีที่แล้ว +4

    Unazenguaa soma vizur historia

  • @maulidnjokamtaly5184
    @maulidnjokamtaly5184 5 ปีที่แล้ว

    uko vizuri ndugu .........

  • @AlyAly-dp7iv
    @AlyAly-dp7iv 2 หลายเดือนก่อน

    Mpumzika kwa amani pia❤😢