KUMBUKIZI YA MWL. JULIUS KAMBARAGE NYERERE 2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Oktoba 14, 2022 ni siku ya kumbukizi ya kifo cha Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais kwa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwl. Nyerere alikuwa mstari wa mbele kukemea na kupambana na rushwa. Makala haya yanarejea baadhi ya matukio ambayo Mwl. Nyerere alizungumzia tatizo la rushwa nchini.

ความคิดเห็น • 2

  • @michaelmwakajoka1461
    @michaelmwakajoka1461 ปีที่แล้ว

    Tunakukumbuka baba wa taifa.

  • @CastoryHAngo
    @CastoryHAngo 13 วันที่ผ่านมา

    Walalusha nivibuli mpakaviboko ndowanaelewa vichwavyao vinawadudu