Buuheti nakupenda sana pia wewe ni mwamke shujaa sana umesubutu kusema hadithi ya maisha Yako na uliyo yapitia Mungu aendelee kukutia Nguvu 🙏🥰, Hadithi Yako nitamsikilizisha mtoto wangu ili ajifunze kupitia wewe , pia Mungu akiendelea kutuweka dunian nitakutafua nimekupenda sana , Pia tuendelee kumuombea mama Ako apumzike kwa Amani alikua anakupenda ndio maaana alikwambia ukweli , pia alikua anakufunza mengi.💕
Pole sana da Esha hayo maisha wengi tumepitia nililelewa na bb nikiwa shule bibi upika na kuniwekea mama akija uchukua na kusema msiniharibie mtoto ALHAMDULILLAH amenipa uthubutu leo hii nipo nje ya inchi nafait maisha yangu
Rudi kwa Allah ... Fanya yanayomrifhisha Allah... Duniani tunapita... Magumu ulopitia jua kua hakuna wa kukupatia faraja ispokua ni Allah pekee... Rudi kwa Allah fanya ibada ... Coz dunia hii hata ukaipewa yote Kama hufuati alivyoamridha muunga kuacha makatazo yake huwezi kamwe kua na maisha Raha duniani kaburini na kesho Akheerah... Nakupenda kwaajili ya Allah .. Nakuomba urudi kwa Allah kikamilifu...
Pole esha mama ni mwalimu kuliko mwalimu yoyote hapa duniani hakuna wa kumwekezea shida zako tofauti na mama nimekukumbuka mama yangu pumzika kwa amani mama,😭😭😭😭
Unanikumbusha mbali sana.nilipitia baadhi japo mm nilikua na baba na mama.daa Leo nami nimejua maana ya hayo maisha .r I p mamangu .Pole eshe nakuelewa
Esha pole endapo umenifanya nilie na kumkumbuka mtu muhimu katika maisha yangu mume wangu aliyekuwa ananijali na kunisamini na kunitunza aliyekuwa baba Bora wa watoto wangu nimekuwa wakulia Hakuna anaenisaidia sasa na ukiangalia ameniachia watoto watatu ambao wote nimepokonywa nimebaki mm kama mm maumivu haya hayawezi kuisha pole
UKIWA AU UYATIMA ni mbaya sana mungu niweke wanangu hadi waweze kujitegemea Mateso na chuki nilizopitia asipitie mwanangu au wanangu nililelewa na baba mdogo kama baba wa kambo aliyokuwa akinifanyia
Hii life mm nilipitia Sana tena mm niliachwa na Babangu ndo alinilea tokea niko na 2yrs old Hadi namuona mamangu nimekua mtu mzima niko na watoto 2 lakn mamaangu aliamua Tu kunitelekezwa. Hadi niliua naisha nikijua sina mamangu nadaganywa Tu juu hakukua na mawasiliano na kwenye babangu alikua akujua akahama Yan umri mzma nimekaa bila kujua Niko na mama juzi Tu 2018 ndo akajileta Yan hata sinaga Mapenxi na yeye kabisaa nampenda Tu kama mtu mwengine lakn Ile really love ya mama sina Ila pole Sana Dadangu hayo ndo maisha....😭😭😭😭
Kuna muda watoto wangu hawanielewi ila ninachokifanya mimi cha tofauti ni kuzungumza nao,kuwaeleza ukweli wa mambo, wengi tunapambana,wengi tiliwapoteza mama zetu tukiwa bado wadogooo sana,wengi hatukuelewa vitu viiiiingi na hivyo vilisababisha maumivu meeeeengi mioyoni mwetu lkn that's life ilimradi tuko hai tutafika
Tofauti yako na yangu ni kwamba tu ulikua huna baba lkn kwenye swala la mikazi ya nyumbn na kutokudekezwa jaman yan mama ni mkali adi unaweza hisi ni mama wa kambo khaa.lkn nashukur mungu kanijengea ujasir naish popote na nina fnya kazi yoyote ile.
Mama yetu alitupenda sana tupo wanne hakuwah kupima upendo mapema sana kutuacha mapenz yake Mama hayana mfano kidonda changu hakitapona mm pole Da eshe😭🙏
Mama yako hakukosea kukufunza kazi, alichokosea ni kutokupa mapenzi ya yake. Alitakiwa akupe mapenzi ya mama. Alikukosea hapo pole sana. Mnapendana sana vidonda vyake vya mahusiano vilimharibu. Psychological problem alikuwa nayo
Hayo maisha tumepitia weng ila tunafundishwa mie silaumu maana amenifanya niwe strong kumlaumu mzaz anaekufundisha ety anakutesa Huon saiv unamilik Mgahawa bila huon hyo sababuu
Kumbe wazaz wa tanga baazi wana tabia hii hata na mim mama angu yupo km wa esha nimelia sana esha 😭hii story ila ht na mim sjui mama alifanywa nn na baba😭
Dah mzazi ni mzazi tu Watoto waliyo kuliya kwa mzazi umoja huwa hawataki liwarudiye yani watoto wawo na wenyew wapitiye hayo ALLAAH atupe wenza ambao tuta dumu nawo🥶🥶🥶🥶
Daah😭😭😭pole sana daa esha ,hata mimi sijui faida ya baba,hata najuta kumjua mana hakuna faida Yoyote au mapenzi Yoyote niliyopata kutoka kwake😭😭😭😭😭kwa kweli usihuzunike kutomjua babako,mamako ni jasiri na alikupenda sana mamako,na ndiyo amekufanya wewe kuwa shujaa mzuri, Sema Alhamdulillahi kwa yote unayopitia daa esha
Buuheti nakupenda sana pia wewe ni mwamke shujaa sana umesubutu kusema hadithi ya maisha Yako na uliyo yapitia Mungu aendelee kukutia Nguvu 🙏🥰, Hadithi Yako nitamsikilizisha mtoto wangu ili ajifunze kupitia wewe , pia Mungu akiendelea kutuweka dunian nitakutafua nimekupenda sana , Pia tuendelee kumuombea mama Ako apumzike kwa Amani alikua anakupenda ndio maaana alikwambia ukweli , pia alikua anakufunza mengi.💕
Pole sana da Esha hayo maisha wengi tumepitia nililelewa na bb nikiwa shule bibi upika na kuniwekea mama akija uchukua na kusema msiniharibie mtoto ALHAMDULILLAH amenipa uthubutu leo hii nipo nje ya inchi nafait maisha yangu
Rudi kwa Allah ... Fanya yanayomrifhisha Allah... Duniani tunapita... Magumu ulopitia jua kua hakuna wa kukupatia faraja ispokua ni Allah pekee... Rudi kwa Allah fanya ibada ... Coz dunia hii hata ukaipewa yote Kama hufuati alivyoamridha muunga kuacha makatazo yake huwezi kamwe kua na maisha Raha duniani kaburini na kesho Akheerah...
Nakupenda kwaajili ya Allah .. Nakuomba urudi kwa Allah kikamilifu...
Naam ujumbe mzuri.
Umeniliza Esha. Pole sana. Mungu azidi kukupambania InshaAllah
Usilalamike amekufundisha maisha ya kuchapa kazi.pole mwaya tupo wengi,
Pole esha mama ni mwalimu kuliko mwalimu yoyote hapa duniani hakuna wa kumwekezea shida zako tofauti na mama nimekukumbuka mama yangu pumzika kwa amani mama,😭😭😭😭
😢Daaah kumbe bila baba naweza nami😢kuanzia leo ckuwazi baba💪
😞😞😞
mamaako ni good mama sana alikuwa anakuandalia leo yako da eisha your strong now
Unanikumbusha mbali sana.nilipitia baadhi japo mm nilikua na baba na mama.daa Leo nami nimejua maana ya hayo maisha .r I p mamangu .Pole eshe nakuelewa
Pole sana dada Esha mungu qqkutie nguvu kwakweli unaniliza namie
Mungu azidi kumjalia zaidi yahapo alipo huyu dada amepitia magumu mapema sana Esha mungu akubariki sana
Mm simjui baba angu sijawai kumuona hata kwenye picha, nakipenda sana mama angu m/mungu akuweke miaka 100 na zaid
Esha pole endapo umenifanya nilie na kumkumbuka mtu muhimu katika maisha yangu mume wangu aliyekuwa ananijali na kunisamini na kunitunza aliyekuwa baba Bora wa watoto wangu nimekuwa wakulia Hakuna anaenisaidia sasa na ukiangalia ameniachia watoto watatu ambao wote nimepokonywa nimebaki mm kama mm maumivu haya hayawezi kuisha pole
Pole sana Fetty kwa kufiwa mumeo
Pole Sana changamoto za maishahizi mola atakusaidia
Kakupokonya nani?
000
Esha pole sana sisi tupo mama zako tunakupenda sana tu
Yaan usilalamike kutomjua baba cz wengne tuliwajua ila hawakuwa msaada wowote Ad nw nimekuwa mtu mzm Niko n maisha yngu...
Ni kweli kabisa hata ukimjua hakuna msaada wowote
Sahihi .👍
😢😢😢
Waaaa your story is like my story only God knows
Daaah pole tupo wengi kipenzi, ila tumshukuru Mungu hatukutupwa jalalani, tuendelee kumshukuru Mungu kwa Zawadi ya uhai .
Pole Eshe Buheti mpiganaji, nakupenda sana na Mungu akubariki, yote ni mapito
Mama ako kweli alikua anaroho Kama rangi yake.MashaAllah.Tulimzoea Kama Halima Mzungu.Ila Bibi ako alikua mpishi mashaAllah umerithi
Dada shukuru kw kila jambo shukur kuzaliwa na mama uyo..hayo maisha sote tumepitia na ndo izo akil zake za kujiajir leo ..onestop kumsema mzaz wako!
Exactly Kuna wengne tumeishi maisha hata kula ni shda ukienda shule ukirudi patupu watu washakula
UKIWA AU UYATIMA ni mbaya sana mungu niweke wanangu hadi waweze kujitegemea Mateso na chuki nilizopitia asipitie mwanangu au wanangu nililelewa na baba mdogo kama baba wa kambo aliyokuwa akinifanyia
Amina
Na wengi wa hao mayatima ndio huaga wanateseka sana wamama tuwe na huruma na watoto wa wenzetu kwani Kuna siku Basi pia tutakufa
Aseeee nimelea Sana maan km historian yako inafanan na yangu bora wewe ulipata elimu Mimi ht sikupat niliishi kwa shida 😭😭😭😭😭😭
Pole mpnz
maskini alikosa mapenzi ya mzazi ndio maana anatafuta kupendwa na watu wengine 😥😥
Duh 🙄 !
Uyu dada simlinzi yake utafikili tumezaliwa mama moja duh'😢😭
Asante umenilea kwa mateso umenifundisha kazi mungu akubariki
Pole sana inshaallah mungu akufungulie milango ya kher zaid na zaid maishani inshaallah😍
Wengi tuko hivyo Eshe. Mshukuru MUNGU angalau amekuwezesha na umejitambua
Wala sio uongo
Hii life mm nilipitia Sana tena mm niliachwa na Babangu ndo alinilea tokea niko na 2yrs old Hadi namuona mamangu nimekua mtu mzima niko na watoto 2 lakn mamaangu aliamua Tu kunitelekezwa. Hadi niliua naisha nikijua sina mamangu nadaganywa Tu juu hakukua na mawasiliano na kwenye babangu alikua akujua akahama Yan umri mzma nimekaa bila kujua Niko na mama juzi Tu 2018 ndo akajileta Yan hata sinaga Mapenxi na yeye kabisaa nampenda Tu kama mtu mwengine lakn Ile really love ya mama sina Ila pole Sana Dadangu hayo ndo maisha....😭😭😭😭
Msamehe tu,,Mzazi ni mzazi tu...
@@dianamkita6571 huyo sio mama
Eti jamani mtoto wako unamuacha miaka hutaki kujua taarifa zake wala kujua anaendereaje jamani hapana mungu niepushe na hiyo roho
Pole Sana Dada Esha wengi tupo hivo hatuna wazazi wa kiume
Alikuwa anakufundisha kujitegemea ❤💋
Daaah pole haya wanawake wengi tunapitia unapotendewa vibaya na uliyezaa nae huwa tu naona bora mtoto asimjue tu huyo baba jina
Kuna muda watoto wangu hawanielewi ila ninachokifanya mimi cha tofauti ni kuzungumza nao,kuwaeleza ukweli wa mambo, wengi tunapambana,wengi tiliwapoteza mama zetu tukiwa bado wadogooo sana,wengi hatukuelewa vitu viiiiingi na hivyo vilisababisha maumivu meeeeengi mioyoni mwetu lkn that's life ilimradi tuko hai tutafika
Kumtegemea Mungu ndio Ushindi wetu..
@@dianamkita6571 kabisa mamaa
Tofauti yako na yangu ni kwamba tu ulikua huna baba lkn kwenye swala la mikazi ya nyumbn na kutokudekezwa jaman yan mama ni mkali adi unaweza hisi ni mama wa kambo khaa.lkn nashukur mungu kanijengea ujasir naish popote na nina fnya kazi yoyote ile.
Pole Sana Esha, mama wa mtu ni mama watu Hata umpende vipi ni bure
Pole sana dear. I can feel your pain but God is in control. God loves you. You are beautiful
😭😭😭😭 umenilizaaa sana aiseee
Esha dadaangu hayo mapenzi tumeyakosa wengi ndio maana yanatupa ujasiri sanakupambana namaisha 🇨🇦
Kweli kabisa mama zetu walikuwa wakali sana walikuwa na taugh love wajukuu sasa ndio wanadekezwa weh
Mama yetu alitupenda sana tupo wanne hakuwah kupima upendo mapema sana kutuacha mapenz yake Mama hayana mfano kidonda changu hakitapona mm pole Da eshe😭🙏
Mshkuru Alla sisi tulokosa mapenzi ya mama tuna umia kwakweli
Daaah umenifany nilie ulivyosema kun vile tunamiss mama zetu n kweli jaman😢😭😭😭😭😭
Saana jamani..
Nmekumiss mama
@@asiaiddi2539 Daaah mm pia😢😭
Pole sana pia mamako alikuwa shujaa tena mwenye busara. May god rest her soul in Firadous Al Janaa
Ushujaa gani huo kumtesa mtoto hata dini haikufundisha malezi hayo
Pole saana mpendwa 😍😘😘🥰
Waaah hii stori ni kma ya kwangu nakumis sana mmngu😭😭
Kinamama Kunachkujifunza hapa nimeumia kwel jmn😭😭😭😭😭😭
Pole eshe hata wanaokuonea kijicho nawashangaa sana
Akiamung umenilz miss you mamy😭😭😭🙏🙏
Mdamwengine husda anaweza kufanyiwa mama kwamtotowake au mtoto kwamzazi wake binadamuwabaya
usijali Dada ata mm nimepitia mengi Ila tulikua wengi sisi lakini on my side mama alikua ananichikia
Mungu yupo 👏
Yametukuta dada na bado twapambana nao.futa machozi maisha yaendelee.
Pole sana dada esha nakupenda sana
Alikutengeneza pole sana Mungu amrehemu
Dar polesana nasisi tulikosamapenzi yamama ila tuwaombee Dua wazazi wetu.
Inatukuta wengi sio pke ako pole babee😍
Esha mimi na mama yako tulikuwa marafiki sana wakati huo mkikaa jitengeni mimi nilikuwa benki mombo
Ukitaka kumjua baba yako mimi najua story yote mama yako aliniambia
Daah nimelia pole Eshe ndio Dunia ilivo 😭😭😭
Nakupenda sanaaa wewe mdada 😘😘😘🥰
Nakupend bure
Pole sn
pole sana busheti mungu akufariji
Mweh,pole sana esha
Yaani usiongee maana unamkosea Mungu ujue!! Umzuri ujue halafu unajielewa. Kuna watu wapita pagumu kuliko wewe , wengine hata chakula hawapati.
Mungu wetu daima yupo pamoja na ww
Zada dadake yokubu team huba🌺🌺
Mama yako hakukosea kukufunza kazi, alichokosea ni kutokupa mapenzi ya yake. Alitakiwa akupe mapenzi ya mama. Alikukosea hapo pole sana. Mnapendana sana vidonda vyake vya mahusiano vilimharibu. Psychological problem alikuwa nayo
Hayo maisha tumepitia weng ila tunafundishwa mie silaumu maana amenifanya niwe strong kumlaumu mzaz anaekufundisha ety anakutesa Huon saiv unamilik Mgahawa bila huon hyo sababuu
Kumbe wazaz wa tanga baazi wana tabia hii hata na mim mama angu yupo km wa esha nimelia sana esha 😭hii story ila ht na mim sjui mama alifanywa nn na baba😭
Dah mzazi ni mzazi tu
Watoto waliyo kuliya kwa mzazi umoja huwa hawataki liwarudiye yani watoto wawo na wenyew wapitiye hayo
ALLAAH atupe wenza ambao tuta dumu nawo🥶🥶🥶🥶
Pole sn mama esha buhet kwa mapito ulio pithia
Poleni mliopitia magumu kwa wazazi wenu
Kumbe wengi ambao hatuwajui baba zetu 😪😪
Pole ndg.
Tupo wengi
Daaah 😭
Unaweza ukamjua, ila mamako alikuwa sababu kuu ukose kumjua.
Inaumeza but yote maisha na wazazi wana siri kubwa sana Ndio maana tunatakiwa kuwaeshim sanaaaa
Mungu wangu umeniliza sana:(
Pole dada angu kipenz
Nadhan Mimi ndio babake esha coz tumefanana Sana
Duh. Nimeskitika sana
Subhanallah
Alikufundisha maisha saana
Dah nimelia dada esha mungu yupo Pamoja nawe
Tupo wengi tulio pitia malenzi maabaya kwa mama
Pole sana 😭😭😭
Pole sana esha
Daah😭😭😭pole sana daa esha ,hata mimi sijui faida ya baba,hata najuta kumjua mana hakuna faida Yoyote au mapenzi Yoyote niliyopata kutoka kwake😭😭😭😭😭kwa kweli usihuzunike kutomjua babako,mamako ni jasiri na alikupenda sana mamako,na ndiyo amekufanya wewe kuwa shujaa mzuri,
Sema Alhamdulillahi kwa yote unayopitia daa esha
So sad 😭naisi labda ata alibakwa na baba ake mzazi ndo maana alikua mkali sn kwake bt pole sn
Mimi nilikua napigwa na huo wire na mama mzazi wacha tu
Me ciujui hata unyayo wa baba au hata hiyo picha yake sijui..na hata sina mda nae
Pole jaman MWe inatia huruma
Vibaya sana kumsema mamaako kwani shukuru kakuleta dunia mhhh acheni hizo kwenye mitandao
Jaman Kwan ameongea baya gan hapo kuhusu mama ake
Ndo hapo sasa
Sikiliza vizuri kabla ya kucomment
Sasa nishakoment unasemaje
@@hidayaally9977 Mtu anamsema mamaake nyinyi wapuuzi mnaina sw
daaah soo sorry eshaa 🥺
Daa pole Sana
Umeniliza
Pole sana
God bless you swiry🇰🇪
Tupo wengi Dadangu hadi machozi 🥺🥺
Duh😭😭😭😭
Hongera sana Aisha
Hakuna ku elekezwa kwa ivoo bhana izo ni athari kwa maisha mazima ya mtoto🤮🤮🤮
Mama anathamani Sana,akiwa hayupo utaona umuhimu wake
Ni mim kabisa mama akuwah kunambia baba yupo wap Adi amekufa simjuh
Pole my lv
Endelea hivyo hivyo kumpenda na kumuombea dua mama yako
Pole dear
Love you
😢😢
Allah ukulinde kwa mazuri na mabaya. It hurts
So sorry dear