GABO ZIGAMBA afunga NDOA ya pili kimya kimya? Amuomba msamaha ALIKIBA kwa kushindwa kumpa mwaliko

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 183

  • @naswiharashid7166
    @naswiharashid7166 4 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah mabruk gabo my favourite actor

  • @zuwenaali5151
    @zuwenaali5151 4 ปีที่แล้ว +9

    Mashaallah kaka Gambo Allah akulindie ndoa yko inshaallah

  • @kibabysaid6692
    @kibabysaid6692 4 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah hongera yake gabo...nikutakia maisha mema.

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 3 ปีที่แล้ว

    Gabo ni Gentle Mana bhanaa love you brother from KENYA

  • @salmakea7797
    @salmakea7797 4 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah Allah aidumishe ndoa yenu much love u gabo

  • @vdhjhdhdhhhd9332
    @vdhjhdhdhhhd9332 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni sawa tuu..dini lnaruhusu..

  • @ruiamleo6866
    @ruiamleo6866 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah tabaraka llah Gabo mungu awasimamie in sha Allah

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +2

    Mabrouq alfu Mabrouq gabo uyo Dada nimremno MashaAllah tabarakaAllah

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah hongera sana

  • @rizmarahmed1196
    @rizmarahmed1196 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Mabrouk Alf Mabrouk muheshimiwa Mola awake maelewano

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera_kaka_uislam_mwisho_4_wanaosema_tamaa_kuoa_hawajiekewi_wataka_ujanha_wa_Mjini_kunzini_na_kila_mtu

  • @khadijadaudi5934
    @khadijadaudi5934 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah hongera sana gabo Allah akudumishie ndoa yako muishi kwa kusikilizana nakupenda sana gabo

  • @Dalaman10
    @Dalaman10 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah. Alf mabrook

  • @tatually4673
    @tatually4673 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kutimiza suna ya bwna mtume

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 ปีที่แล้ว +16

    Mashaa Allah hongera zake Gambo 👏👏👏👏👏

    • @ysgtge8114
      @ysgtge8114 4 ปีที่แล้ว

      Mansha allah ogera sana gambo

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah, hongera sana Gabo

  • @halimaali4246
    @halimaali4246 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Gabo mungu akubarik Mimi naomba yanne

  • @bimkubwaali1605
    @bimkubwaali1605 4 ปีที่แล้ว +1

    baraka llah.lakuma wabaraka alaykuma wajamaa bainakuma fylkhayr

  • @didaamohsin6594
    @didaamohsin6594 4 ปีที่แล้ว +2

    MASHA Allah....hongera gabo

  • @hiyanarajabu9421
    @hiyanarajabu9421 4 ปีที่แล้ว

    Ongela kaka nawatakia ndoa njema mdumu daima Amina

  • @ashanalinga8719
    @ashanalinga8719 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah gabo M /Mungu awajaalie iwendoa yenye heri

  • @asmajuma7111
    @asmajuma7111 4 ปีที่แล้ว

    Kaka na dada mungu awajaalie ndoa ndoa yenu pia.kaka gabo mungu akujaalie kwahadi zakweli kwa dada yangu laiti wanaume wenzio wangekua waaminif km we mungu angenshusha baraka jp mkiowana mjue kuna kudumu au kuachana mungu aidumishe ndoa yenu

  • @AshaAsha-xm7ze
    @AshaAsha-xm7ze 4 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa Allaah ndoa zoote ziwe zabaraka

  • @alimashaban6318
    @alimashaban6318 4 ปีที่แล้ว +3

    Mabrouk Alf mabrouk MUNGU awadumishe katika ndoa yenu👏👏👏pengine wa3 ni mimi In sha Allah😂😂😂

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa'Allah ndoa yenu iwe na furaha na Amani

  • @shufaakhamis4548
    @shufaakhamis4548 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishie kaka

  • @tumatuma6478
    @tumatuma6478 4 ปีที่แล้ว +2

    mashallah amependeza sana saan nguo zimemkaa na zimeendana na umbile lake

  • @umazichannel1242
    @umazichannel1242 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah gabo from kenya shabiki wako ndakindaki

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah kila lakheri Gabo

  • @sadadololi4545
    @sadadololi4545 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah hongera sana 🙏🙏

  • @loyceackim4296
    @loyceackim4296 4 ปีที่แล้ว +2

    Lakini ndoa ni raha ikiwa ni wawili na si watano.

  • @asmahansaid2089
    @asmahansaid2089 3 ปีที่แล้ว

    Gabo zigamba mimi jee yetu itakuwa lini au hujui kuwa nakupenda

    • @khatibbakhresa7615
      @khatibbakhresa7615 2 ปีที่แล้ว

      Kama kweli Asma wampenda mjuze Mr Gabo kwa maana zipo 2 chance usichelewa
      Chelsea Chelsea utakuta mtoto sio wako

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 ปีที่แล้ว +6

    Ikawe ndoa ya kudumu inshaa allah 🤲🤲🤲

  • @nuwayirally4727
    @nuwayirally4727 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mungu awape maskizano

  • @mwanashoogobo1785
    @mwanashoogobo1785 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah kila la kheri inshallah.

  • @shakirnikeyaboud973
    @shakirnikeyaboud973 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera ❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥

  • @michaelcretus8504
    @michaelcretus8504 3 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @inathimid9979
    @inathimid9979 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Gabo kwa kufunga ndia ya pili

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 4 ปีที่แล้ว +3

    Ma sha Allah wanawake wapate stara bwana ila ukiacha corona tu kuna ramadhan inakuja Ndy maana ndoa nying sahv

  • @sukumaganga2613
    @sukumaganga2613 4 ปีที่แล้ว +1

    Naona watu mnatokwa mapovu mwenzunu kafunga ndoa inaswihinkwa mujibu wa Iman ya uislam lakini nyie mnsojifanya mke mmoja mwabaka wtto wa watu na wake za wenzenu na waume za watu mwajipimia achen roho mbaya kashaolewa hvo hata ukizira Raha wala wao

  • @bintibakari1995
    @bintibakari1995 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah Tabarakkallah kaka gambo

  • @mejubaraza9415
    @mejubaraza9415 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah mungu akujalie kila la kheri katika ndoa yako

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah gabo

  • @merinajuma139
    @merinajuma139 4 ปีที่แล้ว

    Ilikua juzi hku kwetu singida manyoni hongera Shga Ang ratifa ikawe kheri

  • @petermunabi3753
    @petermunabi3753 4 ปีที่แล้ว +1

    Wonderful

  • @zainaballyzainabally8610
    @zainaballyzainabally8610 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @mohamedAli-vf8hp
    @mohamedAli-vf8hp 4 ปีที่แล้ว +1

    Mshaurini na diamond nae aoe aache kuchezea wanawake bana ndoa ina raha yake hata mm naiko na plan yakuongeza wa tatu na wanne

  • @samiahuseninikweli8539
    @samiahuseninikweli8539 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @zaydesdery9202
    @zaydesdery9202 4 ปีที่แล้ว

    hongera Gabo

  • @happymwinuka2637
    @happymwinuka2637 4 ปีที่แล้ว

    Hongera kwako

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 ปีที่แล้ว

    Mabrouq elf mala gabo zigambaaa

  • @sarahmwakilasa3989
    @sarahmwakilasa3989 4 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @aiysharamdhan899
    @aiysharamdhan899 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallaah mmependeza sana

  • @kilungodionizi1865
    @kilungodionizi1865 4 ปีที่แล้ว +13

    😂😂😂gabo naomba nafas ya3 jaman mim 😂😂😂😂

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 ปีที่แล้ว +3

    Kilalaheri 🙏🏾

  • @fatumamuhamed.2941
    @fatumamuhamed.2941 4 ปีที่แล้ว

    Mung awape maisha mrefu

  • @Mylifeisnotyours8908
    @Mylifeisnotyours8908 4 ปีที่แล้ว +12

    😭😭😭I think katika izo nafasi mbili moja niyangu
    Kusema ukweli I heart gabo mpaka basi yani

  • @mariamiddi3024
    @mariamiddi3024 4 ปีที่แล้ว +3

    Sisapotigi ukewenza hata siku moja pole mke mkubwa huko uliko najua una wakati mgumu Sana kwasasa inauma sana jamani mapenzi ya wawili tu😭

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah🙌❤

  • @munmun_stepup6900
    @munmun_stepup6900 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki

  • @maulidabdallah8743
    @maulidabdallah8743 4 ปีที่แล้ว

    kila la kheir

  • @aceotz2579
    @aceotz2579 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awape uvumilivu kwenye ndoa, unaigiza vizuri nakupenda GABO👌😙😙😙❤❤❤😍😍😍❤❤❤😙😙😙❤❤❤😍😍😍😙😙😙❤❤❤😍😍😍❤❤❤😙😙😙

  • @ShazeenBaby
    @ShazeenBaby 4 ปีที่แล้ว +2

    Maashallah 👌🔥

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 ปีที่แล้ว +4

    🙏🙏🙏🙏mashaAllah

  • @amourmohd3032
    @amourmohd3032 4 ปีที่แล้ว

    Vizuri

  • @rehemamzee3611
    @rehemamzee3611 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Gabi

  • @maulidhamis729
    @maulidhamis729 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awaeke muishi muzeeke

  • @jacobsanka4424
    @jacobsanka4424 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana gabo

  • @dogoally2336
    @dogoally2336 4 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka

  • @mwanamisp0fu760
    @mwanamisp0fu760 4 ปีที่แล้ว

    Hongera kwao maharusi

  • @fatmaathuman6706
    @fatmaathuman6706 4 ปีที่แล้ว

    Mabrook gabo zigamba

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 ปีที่แล้ว

    Kila la kheir Gabo

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah jambo la heri wallah sunna hiyo kkangu bora uadilifu tu pande zote mbili...

  • @abdulabdallah9688
    @abdulabdallah9688 3 ปีที่แล้ว

    Kwa hyo huu ujumbe alio utuma kwa kiba ina maana kiba nae ana wake wawili

  • @shipaadam2655
    @shipaadam2655 4 ปีที่แล้ว

    Masah Allah ameen ameen ameen ameen ameen ameen 🌃 happy Ramadan to you

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 4 ปีที่แล้ว +1

    Alfu mabruko ❤❤❤

  • @Lazaro_kibukira
    @Lazaro_kibukira 4 ปีที่แล้ว

    Ongera

  • @preatyarhaan1190
    @preatyarhaan1190 4 ปีที่แล้ว

    Gabo kapendeza sanna mashallah

    • @shinunajuma2393
      @shinunajuma2393 4 ปีที่แล้ว

      Mashaalah mungu awadumishe mmepedeza sanaaa

  • @suleimankhamis3053
    @suleimankhamis3053 3 ปีที่แล้ว

    Bado wema amuoe

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 ปีที่แล้ว +3

    Inshallah mume wngu mtalajiwa nataka avaee km ivi napenda 😜😜😜😜🔥🔥🔥🔥🔥

  • @princessramihakim3828
    @princessramihakim3828 4 ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅😅Nipe nafasi niwe mke wa tatu😅😅😅😅😅😅

  • @dottnatt7110
    @dottnatt7110 4 ปีที่แล้ว

    Nafasi 3 nifanyie nusrah mimi jaman

  • @muhamedwardah5144
    @muhamedwardah5144 4 ปีที่แล้ว +1

    🥰🥰🥰🥰

  • @deboramrema2861
    @deboramrema2861 4 ปีที่แล้ว +4

    Duuuu mm siwezi jamani uke wenza naogopa haswaaaa

    • @radhiaawadh2463
      @radhiaawadh2463 4 ปีที่แล้ว

      Kama tumezaliwa mama mmja wallah

    • @nagmynamahin2463
      @nagmynamahin2463 4 ปีที่แล้ว +1

      Chongeni mwanaume wa kwenu basiiii

    • @salmajuma4015
      @salmajuma4015 4 ปีที่แล้ว

      Ukiwa NA mkwanja lazima uchague kizur 😂😂

    • @mwakahassan8742
      @mwakahassan8742 4 ปีที่แล้ว +1

      @@nagmynamahin2463 asant kwa majib

    • @nasradule4634
      @nasradule4634 4 ปีที่แล้ว

      Hongera

  • @huseinmaulid9851
    @huseinmaulid9851 4 ปีที่แล้ว

    riama ali the dream

  • @khelfinmohammedy6221
    @khelfinmohammedy6221 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah awajaalie maskizano inshaallah

  • @mwanaidramadhani9960
    @mwanaidramadhani9960 4 ปีที่แล้ว

    Alfu mabrook Gabo subra itawale katika Maisha yako ya ndoa kwani Ndoa hasa za Mathna nakuendelea zinachangamoto zake zishinde upate raha kila lakheriiii

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwasababu ya ramadhani ndoa zitafungwa sana

  • @ibrahimmnamba1047
    @ibrahimmnamba1047 4 ปีที่แล้ว

    B

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 4 ปีที่แล้ว +2

    Kuowa wake wengi sio big deal, angalia watu wenye heshima zao tena waislamu wameoa mke mmoja, Dini ina ruhusu lakini wapeni watoto waujanani AMANI.

    • @asyakhamis903
      @asyakhamis903 4 ปีที่แล้ว

      Hakika kaka 👍

    • @khatibbakhresa7615
      @khatibbakhresa7615 2 ปีที่แล้ว

      That is Word Sheytwanib 2 say u are not like and it is not good deal
      Gabo to mary one more Yf this is rules of Islam
      God u bless u Br Gabo

  • @khadijajuma3887
    @khadijajuma3887 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah 👏👏👏 ila na mimi naomba nafasi ya tatu

    • @khalfanfahd7613
      @khalfanfahd7613 4 ปีที่แล้ว +1

      Njoo kwang mm sina hata mmoja we utakua wakwanza inshallah

    • @faizamohamed6993
      @faizamohamed6993 4 ปีที่แล้ว

      @@khalfanfahd7613 mashallah asante

    • @bimkubwaali1605
      @bimkubwaali1605 4 ปีที่แล้ว

      @@khalfanfahd7613 ujuwe atakuwa wa pili huyo kila anaosema anataka nafasi ya tatu unasema huna mke.sijui itakuwaje

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 4 ปีที่แล้ว +1

      Mashallah

    • @khalfanfahd7613
      @khalfanfahd7613 4 ปีที่แล้ว

      @@bimkubwaali1605 hahahaha

  • @tumatuma6478
    @tumatuma6478 4 ปีที่แล้ว

    sio komya kimya ndo imetolewa kuwa hakuna ruhusa ya sherehe

  • @frorenceetoile3016
    @frorenceetoile3016 4 ปีที่แล้ว +1

    Ongereni ndoa indumu inshaallah

  • @zainabomar8343
    @zainabomar8343 4 ปีที่แล้ว

    Alf mabruk

  • @shamsaalrahbi5573
    @shamsaalrahbi5573 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah pendez mno

  • @janatahmad7048
    @janatahmad7048 4 ปีที่แล้ว +6

    ivi ni harusi juu yaharusi si mumesema bongo movie hawaowi acha wawa itikiche mimi natak worper ja wema waolew

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 4 ปีที่แล้ว

    Nimependa hizo pic paka nimeweka kwa stutas zangu asubuhi. HONGERA KWAKE

  • @emilywanje9256
    @emilywanje9256 4 ปีที่แล้ว +3

    Hii kufata dini kufunga ndoa mara 4 pesa zina wasumbua hazina mlaji

    • @mariammichael9773
      @mariammichael9773 4 ปีที่แล้ว +1

      Emily wanje Hahaha

    • @hasnaabduly4945
      @hasnaabduly4945 4 ปีที่แล้ว +1

      😀😀😀😀😀😀😀umenichekesha

    • @emilywanje9256
      @emilywanje9256 4 ปีที่แล้ว

      @@mariammichael9773 kwl m sitaki mume wa pesa

    • @emilywanje9256
      @emilywanje9256 4 ปีที่แล้ว

      @@hasnaabduly4945 natakapi wake wenza mm ati dini

    • @mariammichael9773
      @mariammichael9773 4 ปีที่แล้ว +1

      Emily wanje Hahaha hata mimi aiseee