WANAUME WANALOGA WAPATE WANAWAKE MATAJIRI / WANAAMBULIA U T I / WAFANYE KAZI - AMINA MAKABILA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 ปีที่แล้ว +2

    Mengine Yanazid jaman
    Sema kuomba mungu tu tupate nusra

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว +3

    Sana mwanangu uvumilivu ndiyo kitu kizuri lea watoto wako wanaume wote wanafanana kitu kikubwa uvumilivu wewe kweli unaijua ndoa mama watoto wako watateseka wanakosa mapenzi ya mama na baba ahasante sana binti

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 ปีที่แล้ว +1

    Siwa nakupenda dada saana wajua kufutaisha bhana🇹🇿🇴🇲❤❤❤❤💃

  • @mwantumjuma5339
    @mwantumjuma5339 2 ปีที่แล้ว

    Nimecheka wallah

  • @jenifamtima9325
    @jenifamtima9325 2 หลายเดือนก่อน

    Sio vijana tu hata wazee ...wauni pia baadhii..

  • @swabiaa1489
    @swabiaa1489 3 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sqna

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว +3

    Siwa mjengoni jamani💕💕💕

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 3 ปีที่แล้ว

    Jamani akuna mwanamke anaependa kuangaika ila sasa utakuta uwachiwi pesa kipigo mazarau kusalitiwa ukitoka kidogo anaingizwa wanawake wengine na umezaa nae umejenga nae kashfa kama zoto mtaani unachekwa unakuwa kama mtumwa je utavumiria apo

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 3 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥

  • @seifsungura6936
    @seifsungura6936 3 ปีที่แล้ว +1

    Mjadala wenu mzuri lakini duh hata nyie nao ni hatari...

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 3 ปีที่แล้ว +1

    HUYU DADA NA MPENDA BURE

  • @faridajuma7075
    @faridajuma7075 3 ปีที่แล้ว +1

    Siwaaaaa😂😂😂😂😂

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 3 ปีที่แล้ว

    Kweli wanaume tufanye kazi maana hawa wavulana wa ndala na soksi mtikhan

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 3 ปีที่แล้ว

    Miwani ya nn Diva au hujiamini

  • @yasintangimba5277
    @yasintangimba5277 3 ปีที่แล้ว +1

    Dada anaongea Hadi Raha wakofia

  • @ashumohd2192
    @ashumohd2192 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂