HUSNA SAJENTI AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA ALIVYOACHANA NA CHALZ BABA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 80

  • @jamilamadaraka5224
    @jamilamadaraka5224 3 ปีที่แล้ว +14

    Najionaga natendwa sana kwenye mahusiano lkn kwa hili pole sajent nakiri umepitia magum kuliko mimi👏👏👏

  • @sagilododomamedelipeter1893
    @sagilododomamedelipeter1893 3 ปีที่แล้ว +33

    Acha dada atoe sumu kweye moyo wake nani ambaye hajui changamoto za mausiano akuna mwingne anayeweza kumzungumzia gabo kwenye mausiano isipokuwa yeye amaye alikuwa nae kwenye mausiano

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 ปีที่แล้ว +18

    Usina wangu jamanini nampenda uyu dada kwanza ongeya yake2 ataki taabu❤❤😍

    • @shishbae6754
      @shishbae6754 3 ปีที่แล้ว +2

      Usijal my sister ndio challenges za dunian

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว +9

    Pole dia.kumbe uyu dada nimpole sana 💕💕💕💕

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 ปีที่แล้ว +6

    Pole. Dada husna kama. Usemayi ni sahihi wanawake tunapitia meng sna ndio Maan tunaonekana Malaya kumbe mtu unapitia majaribu meng ndio Maan una badil wanaume sio kwa kupenda
    Ila inshallah Dada pamban we ni shujaa kulea watot peke yako ni ujasir
    Inshallah
    Inshallah kipenz💖💖💖💖💖💖💖
    Weng tumepitaia huko

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 3 ปีที่แล้ว +16

    Daa!!dunia hii kila mtu ana pito lake ambalo akilikumbuka huwa ninachoma moyo Ila Mungu wetu Ni mwema hutupitisha fasta na kututoa na kuwa sawa pole sagent😭😭😭😭I know how u feel

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 3 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah she so beautiful

  • @fatma2496
    @fatma2496 3 ปีที่แล้ว +7

    Ndio ubaya wa kutokufata mwenendo wa maisha. Mwanamke subiri uolewe utolewe kwenu kwa heshima na ndoa

  • @aminaibrahim4148
    @aminaibrahim4148 3 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana my dear mungu ndio mfariji wako

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 3 ปีที่แล้ว +4

    Nahisi Kuna udhaifu unao Lakini pia nakuombea uje upate tulizo la moyo..Kila mtu ana mapungufu yke ukipata mtu anakuelewa utadumu nae pole husna pole sana

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 3 ปีที่แล้ว +6

    Mimi nashangaaa wadada waa mjini hawa maarufu wanang’ang’aniaga kuwa katika mahusiano au maisha ya ndoa kuolewa au kuowa na mastaaa wenzao ukiangalia mastaaa wenzao hawana maisha mazuri wana feki maisha wanabangaiza sanaa haijawalipa bado masikini Ila ukiwatoa Diamondplatnumz harmonize na alikiba sio wasaniii maskini hao ni matajili na wanamafanikio makubwa kimaisha na kisanaa wangekuwa wanadate na wanaanzisha mahusiano au ndoa maisha kuolewa na kuoa na watu wa kawaida mashabiki zao unakuta wengine wamefanikiwa sana kimaisha mashabiki zao mabilionea na mamilionea zaidi ya wasaniii wenyewe

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 3 ปีที่แล้ว +7

    Wasafi sauti zinazosikika kwetu zipo chini sana jaribuni kuchuja muongezee

  • @HarimahtheAnny
    @HarimahtheAnny ปีที่แล้ว +1

    Nimeumia nasio mimi 🥺🥺🥺😭😭😭😭😭😭

  • @esternolvin9501
    @esternolvin9501 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mpenz awa wanaume wanaushetan wahali ya juu awafikiliag wakiamua wao ufanya tyu

  • @ishakafaki3501
    @ishakafaki3501 3 ปีที่แล้ว +1

    NAWAKUMBUSHA NAKUKUMBUSHA NAHUYU DIVAAA MSIPO BADILIKA MTALIAA SANA SANAA KWASABABU MUNA KUA WAJEURI KISA MUNAJIONA MUSHANZA KUJIWEZA KIPATO AU UZURI MLIONAOO TENA MNAPO KUTWA NDIO MNAJILIZA KWA WATUU HUYU KAMA SIKU GABO AKIJA KUONGEA MABAYA YAKE TUTAZIBA MDOMOOO

  • @sailicekomba8075
    @sailicekomba8075 3 ปีที่แล้ว

    Pole Husna nakupenda sana hayo yote maisha tu

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana dada angu ndio dunia dada

  • @ItsHusna528
    @ItsHusna528 3 ปีที่แล้ว

    Pole majina yangu ❤️

  • @Ummi-i6c
    @Ummi-i6c หลายเดือนก่อน

    Uislam hakuna mambo ya upenzi lazima ndoa bila hapo ni ibilisi na km hakuna ndoa mtto ni wamama pekeake na msimzumzie gabo anafamilia sasa yalotokea ni udhaifu wa kibinadam.

  • @MtuSafi
    @MtuSafi 3 ปีที่แล้ว +1

    Wee dada acha uwongo kila mwanaume anakukosea wewe tu halafu kwako kuwe hakuna shida?..mbona gabo alikufumania husemi acha ufala wewe acha wanaume wakunyooshe tu.

  • @khadijahilal3016
    @khadijahilal3016 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa gabo ni jeuri sanaaa kiukweli ni yule mwanaume asiejishusha kwa mwanamke

    • @pettywilliam4492
      @pettywilliam4492 3 ปีที่แล้ว

      Mwanaume atakuwa anacheza michezo ya kuigiza hebu tuacheni bwanaa

    • @khadijahilal3016
      @khadijahilal3016 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pettywilliam4492 jiachie mwenyewe kwani umeshikwa!!!

  • @jacklinekanunu5390
    @jacklinekanunu5390 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole Aneth jamani

  • @karimabdoul7619
    @karimabdoul7619 3 ปีที่แล้ว +1

    Ki ukweli umepitiya mengi sana
    If una zungmza kweli.
    Ila vazi lako kuikweli ume tu angusha kama waislam.

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 4 หลายเดือนก่อน +1

    Loo gabo,hata hafananii🙌😥

  • @anastaziakituku3983
    @anastaziakituku3983 3 ปีที่แล้ว +2

    Yani wanaume,

  • @beatricethomas2083
    @beatricethomas2083 3 ปีที่แล้ว

    Shampoo wanaume mtupendao na kutuumiza sometimes dah

  • @dr.madevualcantara4775
    @dr.madevualcantara4775 3 ปีที่แล้ว +3

    Na ma actress wamezidi ukahaba mastaa wote watatembea nao

  • @salha6596
    @salha6596 3 ปีที่แล้ว +1

    innalilah wa innalilah rajiun

  • @mmn7480
    @mmn7480 3 ปีที่แล้ว +1

    pole sna

  • @mwanah3643
    @mwanah3643 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupend jmn

  • @ishakafaki3501
    @ishakafaki3501 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyuu anamatatizoo nasio. Kwamba anakosewa yeye tu kwanza waiteni nahao watu waje waseme naoo tabia zake 🤑🤑🤑🤑

  • @naomimwampondele3905
    @naomimwampondele3905 ปีที่แล้ว

    Usilie dada wanawake tunachangamoto sana kila mtu anayake

  • @GiftIddy-k2f
    @GiftIddy-k2f 2 หลายเดือนก่อน

    Asee polee ila nmekupenda ni jasiri nanimpolee sanaa kiukweli ila nimapito na nimdhurii

  • @zoab2699
    @zoab2699 3 ปีที่แล้ว

    Wanaume ni mbwa mbwa wa kutupiwa kabisa hakuna mwanamke alie nusurika kwa mwanaume

  • @ibrahimstrickersurvive6687
    @ibrahimstrickersurvive6687 3 ปีที่แล้ว +1

    Tusiwe tunajudge upande mmoja maana kwenye mahusiano kuna mengi yanatokeya ambayo wahusika peke na Mwenyezimungu ndiye wanajuwa🙏🙏

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa aise km haupo kwenye ndoa unaweza kutulaumu wanaume lkn wanawake sio mchezo aise mwanaume unavumilia mpaka unachoka

    • @ibrahimstrickersurvive6687
      @ibrahimstrickersurvive6687 3 ปีที่แล้ว

      safi sana wewe umeelewa point yangu kaka

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 3 ปีที่แล้ว

      @@ibrahimstrickersurvive6687 kaka mm nipo kwenye ndoa nayajua ndugu yangu, unajua ss wanaume sio wa kuongea sana unaweza kuwa unajua kabisa mkeo sio mwaminifu kwenye ndoa kwa kifupi unakaziwa na wwnzio lkn husemi na ww unajipanga sasa ukashakuwa tayari ndiyo hayo huwa yanatokea lkn wa kwanza kulalamika ni mwanamke lkn kama wanaume tunaongea mambo yetu hadharani ingekuwa hatari sana.

    • @ibrahimstrickersurvive6687
      @ibrahimstrickersurvive6687 3 ปีที่แล้ว

      dah kaka unanifurahisha sana na maneno unayo ongeya upo sahihi tumuachiye tu Mwenyezimungu piya tumuombe atupe watu sahihi ndugu yangu

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 3 ปีที่แล้ว

      @@ibrahimstrickersurvive6687 kabisa kabisa kaka kikubwa ni kumuomba Mungu tu

  • @azizaabeid2055
    @azizaabeid2055 3 ปีที่แล้ว +1

    Mhh huyu mwanamke ana matatizo buana kila mwanamke yeye kwake ana makosa inabidi ajitizame yeye kwanza iliajitibu tatizo lake la sivyo utatumika sana dada

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana
    Sa hiyo nguo kuacha maziwa nje ndo nn?
    Mmhh

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว +1

    Hee jamani😳😳

  • @ishakafaki3501
    @ishakafaki3501 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyinyii wanawake wakitanzani mna kua wajeurii sana na mna kua namamneno sana ila mnapo fikwa namattzo nawale watu mliokuanao hawajanguka basi munajifanya mmeumiaa mnajiliza UPUUUZII MSOPO BADILIKA MTAENDELEA KUMIAA IVO IVOO.

  • @mathewjohn8740
    @mathewjohn8740 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada kuna wanaume wengine hawajui vitu vizuri

  • @happinesskitali164
    @happinesskitali164 ปีที่แล้ว

    Inauma jamaan pole sana husna

  • @امينهعلي-ض5ث
    @امينهعلي-ض5ث 3 ปีที่แล้ว

    Pole nimitiani

  • @barutiabuu9492
    @barutiabuu9492 4 หลายเดือนก่อน

    Makahaba yakuona yameshindwa ndoa bas yakiona mtu katulia kwenye ndoa nyengine bas yanakosa amani acheni ukahaba ma mbwa nyie

  • @janebalozy2845
    @janebalozy2845 3 ปีที่แล้ว

    Nyie mynao ojuwa pia muwajinga ivi uyo diva hajawahi kumizwa kimapenzi mbna yy asemi yake

  • @doubleseven7750
    @doubleseven7750 ปีที่แล้ว

    Hiii ni kawaida sana kwa wanawake wakisha achana utasikia mazaifu ya mwanaume mengi na kutolewa utu
    Ila asilimia 70 ya wanaume wakiachana na wanawake zao huwez sikia akimzungumza kwa ubaya hapa kuna tatizo kubwa kuliko mnavyofikiri

    • @joycesamwely7896
      @joycesamwely7896 ปีที่แล้ว

      SI wanaume wa kileo haujawasikia wanaume wenzio au ndiyo mashoga?

  • @rachelmikey5493
    @rachelmikey5493 3 ปีที่แล้ว

    Jamani wanaume kwanini lakini

  • @rahelimuhehe7068
    @rahelimuhehe7068 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo nyonyo wazi mpaka mnakera wanawake khaaa😒

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 3 ปีที่แล้ว

    🤔🤔🤔

  • @dr.madevualcantara4775
    @dr.madevualcantara4775 3 ปีที่แล้ว +1

    Hili tangazaji baya ndomana halivuagi miwani

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 3 ปีที่แล้ว +1

      Jomon

    • @tatualmazrui5945
      @tatualmazrui5945 3 ปีที่แล้ว

      Acha wivu

    • @husnamfuko6136
      @husnamfuko6136 3 ปีที่แล้ว +1

      Hahaaaaa

    • @dr.madevualcantara4775
      @dr.madevualcantara4775 3 ปีที่แล้ว

      @@tatualmazrui5945 wivu kwa kahaba angekua demu anaejielewa sawa ningeona wivu..hiv ww unafikiri Gabo mjinga kiasi hicho aache kutafuta wife material akachukuwe kahaba.... mwanamke akifikia kuzaa na mtu kabla ya ndoa ujuwe hajielewi huyo kichwani kipa katoka ukimuowa bsi pia anaweza kubeba mimba sio yko akakuzalia mbegu nyengine

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 3 ปีที่แล้ว

    Nyie wanaume hawaaminiki jamani

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 3 ปีที่แล้ว

    Pore san. Dad. Wanauma

  • @VEVOTV-d1z
    @VEVOTV-d1z 3 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/DuZimIrcq6c/w-d-xo.html
    Wasikilize watani wa jadi
    Simba vc yanga ,,,, hhh

  • @florajames7558
    @florajames7558 3 ปีที่แล้ว

    Saut iko chini san aise au mm tyu

  • @athumaniabdu8903
    @athumaniabdu8903 3 ปีที่แล้ว

    Hyu dada ndo mpuuzi Sana haiwezekani wanaume wote Wana matatizo yeye ndo ana matatizo

  • @pascalsamson4721
    @pascalsamson4721 3 ปีที่แล้ว

    f

  • @anaclethkimoga2454
    @anaclethkimoga2454 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha mtumwa FUKO

  • @athumaniabdu8903
    @athumaniabdu8903 3 ปีที่แล้ว

    Mara Gabo mara Charles baba unahisi mkosa nani hapo

  • @allymwanjala9848
    @allymwanjala9848 3 ปีที่แล้ว

    Malaya