Safi sana Asante kwa elimu Dct.ila Doctor umeshatoa code za wachezaji wanachukuliwa bila vipimo nakumbuka KUN AGUERO ameacha mpila sababu ya anasumbuliwa na moyo uko sahihi kbs
Kaka Janabi asante Sana kwa kuwajali Sana Watanzania wenzako. Akupae elimu/maarifa,,, amekupa nguvu/uzima. *Simple logic* If it is obligatory inspecting your car tires, brake etc before commencing a safari/voyage,,,,,, why should also be necrssary for the one wishing. to pursue the heavy duty_ work loads like running/jogging,,, gymnastics, footballing etc. in order to assure for the required resources in place before commencing??? *Note* Your heart is the most vital unit needed for mazoezi. Thank you kaka,,, and keep it going,,,, God will pay you back.
Mama Yangu Ana Miaka 92 Yaani Miaka 100 Kasoro 8 Na She Live Maisha Bila ya Cult Za Kula hiki Usile Hiki. Mimi Nafikiri Unless Umepimwa Ukakutwa Chakula Fulani Kinakudhuru, au Chakula Fulani eg Sukari (Ikizidishwa) Ni Mbaya Kwa Afya... Mengine ni Cult na Conspiracy theories
Shidailiyopo mswahili akeshafanya check up ukimpa majibuyake hususan yakiwa mabaya ndiyoanapopata ugonjwa wa moyo kwa hofu, coz anawaza ataanzaje kujitibu wakati pesa ya mkatetu inamshinda.
Huyu naye naona kafikia mahali ataua watu kwa ushauri wake - everything has to be done in moderation and that is all! Ndiyo Tindwa alikufa kwa mshituko wa moyo. Tatizo ni kwamba siyo tu wanaofanya michezo wafanye screening, inahitajika kila mtanzania apate fursa za kufanya annual check up ambayo pia itahusisha vitu kama hiyo unavyovisema daktari. Let us be realistic, ni wangapi wana access hiyo nchini?
usimtukane mtu anaekusaidia, anashauri halazimishi, na anaekushauri unamtukana kweli hivi wewe unajielewa ? tena anashauri bure, hebu kua muungwana bwana usitafute kufanya sisi wenye shida ya kupata ushauri wa kiprofesa kuhusu afya, kwa gharama ya bure, tukakosa, Profesa watu wa aina hii wapuuze tu
We jinga kabisa! Unachukua muda wako na bando lako kumtukana mtu kama huyu amechukua muda wake kukushauri angalia amefanya research ya miaka! We punguani mmoja keyboard worrior huna hata aibu kuthubutu kuandika upuuzi!
Nimsaidie, Marehemu Husein Tindwa alifariki, Taarifa za habari zikatangaza, Simba ikatangaza, Vipindi vya michezo pia vilitangaza, Maana Marehemu alipimwa na madaktari wa wakati ule wa Muhimbili
Safi sana Asante kwa elimu Dct.ila Doctor umeshatoa code za wachezaji wanachukuliwa bila vipimo nakumbuka KUN AGUERO ameacha mpila sababu ya anasumbuliwa na moyo uko sahihi kbs
Kaka Janabi asante Sana kwa kuwajali Sana Watanzania wenzako.
Akupae elimu/maarifa,,, amekupa nguvu/uzima.
*Simple logic*
If it is obligatory inspecting your car tires, brake etc before commencing a safari/voyage,,,,,, why should also be necrssary for the one wishing. to pursue the heavy duty_ work loads like running/jogging,,, gymnastics, footballing etc. in order to assure for the required resources in place before commencing???
*Note*
Your heart is the most vital unit needed for mazoezi.
Thank you kaka,,, and keep it going,,,, God will pay you back.
Congratulation to my dear professor and classmate.❤
I do respect you Dr Janabi.keep on helping our dear Tanzanians
Thanks 🎉alot
Asante doctor
Upo sawa prof
Ahsante kwa kutusaidia usichoke
Mama Yangu Ana Miaka 92 Yaani Miaka 100 Kasoro 8 Na She Live Maisha Bila ya Cult Za Kula hiki Usile Hiki. Mimi Nafikiri Unless Umepimwa Ukakutwa Chakula Fulani Kinakudhuru, au Chakula Fulani eg Sukari (Ikizidishwa) Ni Mbaya Kwa Afya... Mengine ni Cult na Conspiracy theories
Ushauri wa Dr uzingatiwe
Shidailiyopo mswahili akeshafanya check up ukimpa majibuyake hususan yakiwa mabaya ndiyoanapopata ugonjwa wa moyo kwa hofu, coz anawaza ataanzaje kujitibu wakati pesa ya mkatetu inamshinda.
Elimu ni lazima iendane na check-up!
Halafu utakuta majinga yanamtukana huyu baba
Inanipa shida mtaalamu kuleta mambo ya siasa au kujingiza mambo ya ovyo tuna fahamu tunakaa kimya staafu vizuri
Sema nafahamu, siyo tunafahamu... 🚶
Huyu naye naona kafikia mahali ataua watu kwa ushauri wake - everything has to be done in moderation and that is all! Ndiyo Tindwa alikufa kwa mshituko wa moyo. Tatizo ni kwamba siyo tu wanaofanya michezo wafanye screening, inahitajika kila mtanzania apate fursa za kufanya annual check up ambayo pia itahusisha vitu kama hiyo unavyovisema daktari. Let us be realistic, ni wangapi wana access hiyo nchini?
Hiyo ni kazi yake katoa advice kama Doctor it's either unaichukia au kuacha you don't have to acuse him as if is misleading people
Kupima moyo ni sh ngapi kwa pesa pesa ya tanzania
40000
Huyu prof. Ni kichaa kweli. Hivi watu wote walioko vijijini Wana access hiyo ya kupima moto au kwa vile yeye ana access hiyo
usimtukane mtu anaekusaidia, anashauri halazimishi, na anaekushauri unamtukana kweli hivi wewe unajielewa ? tena anashauri bure, hebu kua muungwana bwana usitafute kufanya sisi wenye shida ya kupata ushauri wa kiprofesa kuhusu afya, kwa gharama ya bure, tukakosa, Profesa watu wa aina hii wapuuze tu
Hivi unajua mpaka umpate pale Muhimbili au mloganzila unakaa kusubiri watu wangapi waingie ndio uingie wewe ? Hebu jiulize mara 3
We jinga kabisa! Unachukua muda wako na bando lako kumtukana mtu kama huyu amechukua muda wake kukushauri angalia amefanya research ya miaka! We punguani mmoja keyboard worrior huna hata aibu kuthubutu kuandika upuuzi!
Sio moto wew nanga, ni moyo
Jogging pia tuwache mmmmh bali na kula mlo mmoja
Wajua wengine wakisoma Sana wanakuwa vichaa
Lakini Professor, si ulikuwa mdogo? Au ulienda kupima kaburi la marehemu.