Janabi kutoka ndan ya moyo wangu nakushukuru sana sana umeokoa maisha yangu nilikua naumwa kichwa sana nina 37yrs nilipopima niliambiwa nina 107 kgs na presha ipo juu sana Mungu mwema kesho yake nikaona mahojiano yako kwenye prof jay foundation mwez wa 12 2023 nikaanza kula mara moja kwa siku kama ulivyoagiza jana nimepima nina kilo 97 nimetoa kilo 10🎉 miez 3 nimekua mwepes na presha haijanisumbua tena kund kubwa watakucheka na kukuletea utani lakin jua kuna kundi kubwa zaid tunaokusikiliza na umefanya tuwe wapya❤
Ahsante Dr,ulaji wa uji wa lishe na Ugali wa lishe tukiamini ni salama,kumbe ni shida,bora watoto waanze na mboga na matunda halafu protini,wanga na sukari ni kidogooo
DR. JANABI SHIKAMOO! MIMI NINAIPENDA ELIMU YAKO IMESHIBA UPENDO NA UTLIVU MKUBWA SANA UNAPOELEZA JAMBO MUHIMU KAMA UNENE ULIOPITILIZA KUMBE VIPIMO NI VINGI, CHAKULA BALANCED, WANGA KIDOGO! MUNGU AKUBARIKI SANA. NINAKUSHUKURU.
Doktar nashukuru sana kwa ushauri nachokuomba Mimi nimawasiliano yako tafadhari natamani kuongea na ww nashida ambayo tukizungumza naimani utanipa appointment nipo kigoma shida ni daijesheni system
Samahani doctor naitwa consalva naishi mkoa wa songwe, kiukweli tangu nianze kuzingatia matumizi sahihi ya vyakula imepungua vizuri,nilikuwa na kilo 115 kwa sasa nina 105,lakini nina changamoto je ninaweza kuonana nawewe ana kwa ana ili unishaur?samahani naomba appointment .
Watu wengi mnamuona hivyo kuwa hayupo vizuri kiafya,nikwamvie tu huyo anaonekana hivyo sababu anakula vizuri ndio maana unamuona kama amesinyaa lakini angekuwa anakula vibaya anakunywa juice,soda na kula vitu kama biscuit na white bread bas angekuwa ana mwili ambao mngesema yupo vizuri kiafya,kiufupi anakula clean hali junky food ndio maana yupo hivyo

Keep going and never look back
Mi pia nimekua modo mpk wananitaman vibonge
😂😂😂 mim nilikuwa 111kg saiz nina 99 najiona kama miss hata ngazi nikipanda saiv sitweti sana ila uzito bana sio mzuri kabisa
Mungu akulinde baba
Cograts sana.....unakula mara moja kwa muda maalum?naona kama kwangu ina delay nahisi nakosea muda🤷🏻♀️
Mungu akubarik sana Dr wetu maana mafundisho yako nayafuat vizuri na yamenisadia sana nimepungua kl kumi nzima Mungu akubarik mno
Niambie na mie unampata chanel gani na mimi nataka kupunguza uzito
Ahsante Dr,ulaji wa uji wa lishe na Ugali wa lishe tukiamini ni salama,kumbe ni shida,bora watoto waanze na mboga na matunda halafu protini,wanga na sukari ni kidogooo
Ahsante sana Dr.
Ubarikiwe profesa,endelea kutupatia elimu inatusaidia wengine kurekebisha tabia za jinsi ya kula
Dr hongera sana kwakweli,mm naomba diet ya kupunguza uzito.nina kilo nyingi mno,japo Sina presha Wala sukari
He is my roll model
Huyu baba nampenda sana anafundusha vizur sana
DR. JANABI SHIKAMOO! MIMI NINAIPENDA ELIMU YAKO IMESHIBA UPENDO NA UTLIVU MKUBWA SANA UNAPOELEZA JAMBO MUHIMU KAMA UNENE ULIOPITILIZA KUMBE VIPIMO NI VINGI, CHAKULA BALANCED, WANGA KIDOGO! MUNGU AKUBARIKI SANA. NINAKUSHUKURU.
Mimi Janabi linisaidia Sana, Mungu alimtumia Kwa ajili yangu
Mungu nimuaminifu atatenda
Wamama wengi huona fahari mtoto kuwa na uzito mkubwa,
Hudhani ni afya kwa watoto.
Asante sana Profesa🙏🏻
Nitapataje namba zako Dokta?
Nakukubali sana roll model waangu kwenye mlo umeninyoosha😂 nimepunguza kg 6 hadi sasa.. hadi mwaka huu uishe I wish takuwa kama wewe😂😂 # janabi
Dr.Apewe maua yake,amenisajdia sana kupitia mafunzo hake
Doktar nashukuru sana kwa ushauri nachokuomba Mimi nimawasiliano yako tafadhari natamani kuongea na ww nashida ambayo tukizungumza naimani utanipa appointment nipo kigoma shida ni daijesheni system
Upo kigoma sehemu gani ndugu?
Samahani doctor naitwa consalva naishi mkoa wa songwe, kiukweli tangu nianze kuzingatia matumizi sahihi ya vyakula imepungua vizuri,nilikuwa na kilo 115 kwa sasa nina 105,lakini nina changamoto je ninaweza kuonana nawewe ana kwa ana ili unishaur?samahani naomba appointment .
Prof janab alipendekeza kuwe na hospital ya Taifa ya watoto pale muhimbili
Janab apewe muhimbili kwa miaka 100 tena na wazo lake la kua na hospital ya Taifa ya watoto pale muhimbili ifanyiwe kazi
Kwa mara ya kwanza nimekaa wiki bila kula wanga afu nimegundua ni kitu rahisi na affordable sema hatuajaamua kufanya!
Ulikua unakula nini mpenz
Ni nini cakula ca wanga we don't know swahili as Sana please 😊
@@SibomanaSaidavyakula vya wanga ni carbohydrates food
Ila Dr Janabi mbona kama hayuko vizuri ki afya? Nini shida jamani dear wetu. Tunakupenda
Watu wengi mnamuona hivyo kuwa hayupo vizuri kiafya,nikwamvie tu huyo anaonekana hivyo sababu anakula vizuri ndio maana unamuona kama amesinyaa lakini angekuwa anakula vibaya anakunywa juice,soda na kula vitu kama biscuit na white bread bas angekuwa ana mwili ambao mngesema yupo vizuri kiafya,kiufupi anakula clean hali junky food ndio maana yupo hivyo
@@geofreysadok4823 weee ndo ababuke na midomo? Acha utani
Huyu ni mgonjwa sio bure
@@bolelambunda6554😂😂😂😂 waja mna mambo
Unaungua uso
Tena muheshiwa Rais naye amesisitiza tumsikilize Prof Janabi bila kumbeza. NIMEPOKEA kabisa mimi ni mnufaika na video zake.
These children are obess, my question to the doctor what activities also are they doing 🇰🇪
Huku tupo ukiwa mnono hupati kazi ngo pengine kazi za kuangalia wagonjwa