ASKOFU MWANAMAPINDUZI AWAVAA VIONGOZI WA DINI NA UKIMYA WA RAIS, UTEKAJI, "HATA KENYA ILIKUWA HIVI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024
  • #TANZANIA: Askofu Mwanamapinduzi awavaa vikali Viongozi wa dini na ukimya wa Rais Samia kenye maovu yanayoendelea hasa matukio ya utekwaji Wananchi, "hata Kenya Rais Ruto alikuwa hivi hivi, aliwanyamazisha Viongozi wa dini leo Gen Z hawasikii lolote"
    Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

ความคิดเห็น • 6

  • @user-xi2mf4xh7r
    @user-xi2mf4xh7r 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mtumishi nimekusikiliza vizuri binafsi nimekuelewa kuna kitu nimejifunza kutoka kwako.Mungu wa mbingu na nchi akubariki kwa ujumbe wako mzuri.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 8 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi wa Mungu tunafarijiwa na maneno yako ya kweli kama Neno lake lilivyo kweli na amina, tunawaomba watumishi wengine Masheikh wa Misikiti na Wachungaji wa Makanisa wajitokeze kukemea maovu nchini kote wasikae kimya kuunga mkono ukimya wa serikali maana lazima watatoa hesabu zao mbele za Mwenyezi Mungu wanayemtumikia!...

  • @JohnChuwa-d3v
    @JohnChuwa-d3v 8 วันที่ผ่านมา

    Wape hukweli hao mafisadi

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 7 วันที่ผ่านมา

    kiukweli tulitakiwa tuwe na viongozi wa madhehebu wenye kujiamini kama wewe ila walijazwa hofu kipindi cha mwendazake

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 8 วันที่ผ่านมา

    We have religious leader have power behurf of tanzanian population but vary disupoint no unit country it has rich on vary tensive stuetuetion all resources hold by forenor we cant Riley on this call mp they have lost darection of late julias kambarege Nyerere left power to them today religious leader are fear people whale are vary close with the tanzania community religious leader you wait Antilles be slevering together with Tanzania population is where you will be see that is the Denger wekerup now voice of this ccm leadership let them we are in Denger position loan is not development any national to have good economy is the locel sayantist can achieve better economy not loan then seem money you buy foren carence all profile remain on foren carence no better economy did Tanzania prapar tanzania sayantist on development country if not how can we tet better economy how about farming technology do we prapar them locel sayantist anyway but religious leader wekerup voice to avoid been slevering kilichobaki ni kuuzana tukawe manamba ktk nchi zilizoendelea