CHINA ina BALAA! Yapeleka CHOMBO mwezini - CHANG'E-6, haijawahi kutokea SAFARI kama hii

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 208

  • @abushaddad989
    @abushaddad989 4 หลายเดือนก่อน +6

    SnS imepata mchambuzi makini sana jamaa Hana vijembe kabisa Mtu Makini na Msomi,Congrats SnS.

  • @kelvinkitego8471
    @kelvinkitego8471 4 หลายเดือนก่อน +19

    Huyu jamaaa ana NONDO sanaa ... anamwaga vituu , yuko vizurii sana kuelezea

  • @abdallahlugendo3221
    @abdallahlugendo3221 4 หลายเดือนก่อน +22

    Congratulations China 🇨🇳 ❤

  • @FerdinandCharles-ko7de
    @FerdinandCharles-ko7de 4 หลายเดือนก่อน +15

    Wako vizur china nawakubari sana

  • @J_Pabloescobar0806
    @J_Pabloescobar0806 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nakubali information zako ziko in details safi sana
    Nakusikilizaga kila mara niko africa ya kusini ila tz arusha ndio home
    One love❤

    • @mayunga..777
      @mayunga..777 4 หลายเดือนก่อน

      Mwanangu nataman Nije afrika kusin kutafuta maish

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 4 หลายเดือนก่อน +14

    Tz tunasom lkn mwish wake tunakuw wanasias,honger chins

    • @jofreykilangila4118
      @jofreykilangila4118 4 หลายเดือนก่อน +3

      Umesahau wizi

    • @jamalimussa4928
      @jamalimussa4928 4 หลายเดือนก่อน +1

      Labda nadharia Tz nado sana

    • @rpynoel566
      @rpynoel566 4 หลายเดือนก่อน

      Wizi wenyewe hatuwezi Teja anakuibia kitu Cha aftatu ni udokozi na ukibaka ​@@jofreykilangila4118

    • @hassanmangale2323
      @hassanmangale2323 4 หลายเดือนก่อน

      Mjifunze kingereza kwanza

    • @jamalimussa4928
      @jamalimussa4928 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@hassanmangale2323
      Aliekwambia kingereza ndio elimu nan
      China anajua kingereza??

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 4 หลายเดือนก่อน +16

    Wakat miak 60 ya CCM hata barabar bado hazijakamilik

    • @goodluckmsoka3660
      @goodluckmsoka3660 4 หลายเดือนก่อน +1

      Comment Bora ya mwenzi huu

    • @issamuhammedi
      @issamuhammedi 4 หลายเดือนก่อน

      Mmh kweli et

    • @HamzaMbasha
      @HamzaMbasha 4 หลายเดือนก่อน

      Tumelaaniwa akija wa kuboresha anaishia kutukanwa na kusemwa vibaya

    • @aminielkombe66
      @aminielkombe66 4 หลายเดือนก่อน

      Leadership is evrrything

    • @BakoPoultry
      @BakoPoultry 4 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha

  • @PetPeter-no6xi
    @PetPeter-no6xi 4 หลายเดือนก่อน +13

    Katika bala la Asia china ilikua inadhalaulika sana kama sisi Africa tunavo dhalaulika lakini Leo hii china imekua ni taifa moja kubwa na lamfano Kwa mataifa yanayo jikakamua kutokana na umaskini 😢 wamarekani mda wao umeisha..

    • @rayyanothumanmohammed8261
      @rayyanothumanmohammed8261 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli waliteseka sana wachina ndiyo matunda lkn cc hapa Tanzania hatuna amani na nchi Yetu so hamna tegemeo tutafika huko

  • @godfreykarata3710
    @godfreykarata3710 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sns mko juuu nawafatilia sanaaa

  • @AmosKasebele
    @AmosKasebele หลายเดือนก่อน

    Good bless SnS

  • @RayMakini
    @RayMakini 4 หลายเดือนก่อน +2

    wangapi walikuwaa wanajuaaa ako ka nyiimbooo mwishoooni apo kumbe ni kakwetuuu wan SNS 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊 wangap

  • @gervasonvenansi9204
    @gervasonvenansi9204 4 หลายเดือนก่อน

    Acha waichokonoe miamba ya mungu badae mara oooh mara hivi mungu atuhurumie

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 4 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo ally masud ni hatar sanaaaa🎉🎉🎉😂

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 4 หลายเดือนก่อน +38

    😂😂😂😂yani marekani saivi ukizuia uku uku panavuja safi we need a Multipolar world ushoga wao wabaki nao uko

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 4 หลายเดือนก่อน +2

      Umewahi kumuona Mmarekani anafanya umachinga? Mmarekani ukimuona nje ya Amerika ni mtalii au yuko kazini. China ingekuwa vile inasifiwa na SNS wachina wasingekuwa wanakimbia kwao. Asilimia kubwa ya wachina wanamaisha ya shida sana.

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 4 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@zuricakes6817maisha ya shida hata America yapo 😂 machinga new York wapo kibao wapange ambao hawajafika

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 4 หลายเดือนก่อน

      E​@@zuricakes6817endelea kuganda Akili dada

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 4 หลายเดือนก่อน

      @@sosbrayantbenjamin9701 Shida nazo zina viwango. Swali ni umewahi kumuona Mmarekani mmachinnga, nje ya Amerika? Kama wachina wa Kariakoo ?😅

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@zuricakes6817 nn maana ya umachinga kwanza nadhan hata hujui ? Shida Zina viwango vp wale maskin wa Merryland wanao lala nje hapa marekan majobless kibaoa uchum wa marekan kwa asilimia kubwa unajengwa na sisi Foreigner au hujui Hilo Military Industry unaijua ww😂

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 4 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana ndg mtangazaji asante sana ndg mchambuzi yangu ni hayo tu

  • @BakoPoultry
    @BakoPoultry 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani kwani MUNGU amewapatia akili wazungu na wachina tu? Mbona kwetu Tanzania hakuna hata dalili za kufanya mambo makubwa kama wenzetu?

    • @ShabaniSudi-d1x
      @ShabaniSudi-d1x 4 หลายเดือนก่อน

      Mambo makubwa hapa Tanzania ni upigaji,rushwa, dhuluma na elimu yenye michango mingi. Tanzania mwanasiasa analipwa pesa nyingi Sana kuliko mwanataaluma. Hebu jiulize mbunge analipwa Milioni 16 kwa mwezi kwa kazi gani anayofanya? TAFAKARI
      Tanzania bado Kuna wanafunzi wanakaa chini Sasa utapata lini mainjinia na wanasayansi?

    • @ShabaniSudi-d1x
      @ShabaniSudi-d1x 4 หลายเดือนก่อน

      Tanzania mwanasiasa anasikilizwa kuliko mwanataaluma. Tanzania up to now ni failure njiti za meno tunaagiza China, ni aibu kubwa!!

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nikama chadema zaidi ya miaka 20 mwenyekiti ni yuleyule pamoja na mabilioni ya kodi za wanachi wanazopata kupitia luzuku hawajawahi kutoa kwa jamii

  • @HansChuma
    @HansChuma 4 หลายเดือนก่อน +5

    Wakati wenzetuwanapigana kwamaendeleo sisi huku vyama na waongozi wao kula kunya upumbavu mtupu maendeleo hafifu uchafu tuu myoyoni mwao

  • @christophermbenna5235
    @christophermbenna5235 4 หลายเดือนก่อน +14

    Sisi bado tunatengeneza tu barabara zisizo isha kila mwaka miaka 60😂

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 4 หลายเดือนก่อน +2

      Yah nakujenga vyoo vya shule za msingi .

    • @magretangel5242
      @magretangel5242 4 หลายเดือนก่อน +2

      Siuhame

    • @VictorDominick
      @VictorDominick 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani nchi gani Africa imepeleka chombo angani

    • @rajcasa7101
      @rajcasa7101 4 หลายเดือนก่อน

      😂 how about Burundi?

    • @Daniel-g2f6v
      @Daniel-g2f6v 4 หลายเดือนก่อน

      Barabara Ina viraka kama suruali ya babu yangu

  • @fredsanga9461
    @fredsanga9461 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana, sasa mchambuzi tueleze na namna hicho chombo kinavyorudi duniani

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani emungu tu saidie sasa ni kutafu kumchokoza mungu jamani ya hapa duniyani ya metushinda sasa tuna kwenda kutafuta ya siyo tuhusu emungu tu saidi 🤲🏻🤲🏻😭😭😭

    • @agreymbwilo5874
      @agreymbwilo5874 4 หลายเดือนก่อน +2

      Mungu ametuumba na akatuongezea utashi ambao haupo kwenye viumbe wengine. Kazi ya huo utashi ni kuhakikisha unautumia na hiki ndicho wanachofanya Chini. Tulivyoumbwa hatukupewa simu, magari, ndege wala Rocket. Tulipewa dunia tuitawale na akili za kuitawala. Haya ni matumizi mazuri ya akili alozotupa mwenyezi Mungu. Karibu 👋

    • @agreymbwilo5874
      @agreymbwilo5874 4 หลายเดือนก่อน

      Kila kilichopo duniani kinatuhusu.....Huko juu ndio kuna satelite zinazofanya hata tunaweza kutabiri hali ya hewa. Mtu anayetumia akili alizopewa na Mungu kufanya mambo yatokee anadhihirisha utukufu wa Mungu kuliko yule anayeketi kusali siku nzima nzima akiamini Maombi ndio yatamsaidia. We shuld use this brain effectively.

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mama

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 4 หลายเดือนก่อน

    Urusi kumbe ndio namba moja kwenye technology dah, mbona wanasbushwa sana thamani

  • @chax255
    @chax255 4 หลายเดือนก่อน +1

    mchambuzi ana uelewa wa hali ya juu na anaufikisha katika lugha ya taifa

  • @officialwinaboy
    @officialwinaboy 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 tunia itaripuka 😂😂😂 tunataka kuona gisi itakuwa😅😅😅😅😅😅

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 4 หลายเดือนก่อน

    Uyo anaupendereo wakijinga sn

  • @ShabaniSudi-d1x
    @ShabaniSudi-d1x 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania umeme shida, maji shida, barabara shida, elimu mbaya serikali mmh. Ndo maana JPM alikuwa siriazi kufufua shule za vipaji ambazo iliziua makusudi ili shule binafsi zianzishwe kwa wingi. Yaani Tanzania kuna viongozi walitakiwa wafungwe gerezani kwa kuiua elimu yetu. Elimu ndio kila kitu

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 4 หลายเดือนก่อน

      Kwel kabisaa

    • @ShabaniSudi-d1x
      @ShabaniSudi-d1x 4 หลายเดือนก่อน

      Mwalimu Nyerere kuhusu elimu alitengeneza mfumo mzuri Sana ambao mwanafunzi mwenye akili hata akiwa shule ya msingi olmotonyi au sambasha serikali inaanza tu kumfuatilia kuanzia sekondari, sekondari ya juu, chuo Hadi ajira. Ndio sababu alianzisha shule za vipaji za sekondari yote haya ni kuwapata wasomi wenye akili Sana iliserikali iwatumie kwa maendeleo ya nchi. Lakini baada ya Nyerere kuondoka waliyefuata walifanya ni kuhusu elimu? Fuatilia mwenyewe utapata jibu. Wenzetu Mambo yao muhimu yanachimbwa na wasomi wenye akili nyingi kwasababu kipau mbele Cha Kwanza ni nchi yao. Lakini Tanzania kipaumbele Cha Kwanza ni nini? TAFAKARI.

  • @godfreyally-ps3fo
    @godfreyally-ps3fo 4 หลายเดือนก่อน

    Sns forever 🎉🎉

  • @kingpunzy194
    @kingpunzy194 4 หลายเดือนก่อน

    "Tafuteni elimu hata kama ni uchina"
    haya ni maneno ya Mtume Mohammad (s.a.w) alipokuwa anawaambia masahaba wake, lilipokuja swala la Elimu.

  • @GeorgeMagadula
    @GeorgeMagadula 4 หลายเดือนก่อน +6

    Masoud yuko vzr xna br sky sio sma dj

    • @MackDizo
      @MackDizo 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ayo nimapenzi you ww ss22nampendA smaa dj

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 4 หลายเดือนก่อน

      Dj sma yuko pow cana antenna dip

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 4 หลายเดือนก่อน

    Yani marekani sahiv akajitafute zile zama za power kwa taifa moja zimekwisha kila taifa sahiv linakuja na technology yake

  • @HusseinHaule-pr5ov
    @HusseinHaule-pr5ov 4 หลายเดือนก่อน +2

    China ipo on fire

  • @josephkiwale374
    @josephkiwale374 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wakati nchi nyingne inarusha vyombo angani,bongo wanarusha nyungo kwenda kuwanga😟😟

  • @lameckraphael3743
    @lameckraphael3743 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ndo maana naona mwezi toka juz unatobo kumbe washatoboa wachina yaan watatuletea vitu vya ajabu hawa

  • @daviddeus6437
    @daviddeus6437 4 หลายเดือนก่อน

    Yan china awezi kua anasifa kama nchi za ulaya na america kiufupi tu Music, Football,moves yan mzungu alimaliza kwo mchina ajipange

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 4 หลายเดือนก่อน

    Atapata vikwazo hy kutoka kwa marekani na 🇬🇧 uk

  • @HassanBakari-v2s
    @HassanBakari-v2s 4 หลายเดือนก่อน

    Ukisoma San unakuw mwehu wallah yaan hd unakufuru

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sky wakati ujao tuletee makala ya chombo kikienda angani na kurudi

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 4 หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania tutarusha chombo chin ya aridhi😂

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 4 หลายเดือนก่อน

    China kila cku ina jambo jipya, unstoppable

  • @TheChapakazi
    @TheChapakazi 4 หลายเดือนก่อน

    Hata sisis tukipewa nafasi na serikali tukawezeshwa tukaangaliwa kwa jicho lingine kuna mengi sana tutafanya ila tunapuuzwa watu wanawekeza kwenye siasa sisi tunazeeka na science yetu

  • @Msumbwa23
    @Msumbwa23 4 หลายเดือนก่อน

    hongera sana china! kwetu tuna vituo vingi vya utafiti wa dawa za asili natarajia miaka 1000 mbele tunaweza kurusha roket ya ungo kwenda kuchunguza dawa hukohuko mwezini tangulieni tutakutana pamoja

    • @BakoPoultry
      @BakoPoultry 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani sisi MUNGU ametunyima hizo akili mbona wenzetu kila siku wanafanya mambo makubwa.

  • @johnsonlekashu7901
    @johnsonlekashu7901 4 หลายเดือนก่อน

    Ccm mbele kwa mbele watot wetu wana poteza vipaji tuendele na phd zetu ila wasomi wengi ni maskini kuliko wale ambao awaja soma

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 หลายเดือนก่อน

    👊✌️👍.

  • @johnlongoy7952
    @johnlongoy7952 4 หลายเดือนก่อน +2

    Bado tunachora panzi hiyo ndo sayansi yetu na kukaririshwa effect of WW2 hatuna mikakati ya kujikwamua kazi ni kutembeza bakuli kila kona ya dunia eti atujiwezi sisi ni maskini asee tunalaani vizazi vyetu kwa mitaala mibuvu kisha tunarudi kusema kizazi hiki kimekosa malezi ni cha hovyo hovyo, duh Mwenyezi Mungu utusaidie kwa nguvu zetu hapa ni kama tunagonga mwamba tunahitaji kutoka hapa ase

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bado tunaendelea kutengemeza magari ya kipanya😂

  • @ndakindaki2333
    @ndakindaki2333 8 วันที่ผ่านมา

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
    Jamn mrus na mchina ni nyoko asee

  • @ibrahimshabani3544
    @ibrahimshabani3544 4 หลายเดือนก่อน +1

    wachina wanatisha Balaa jmni hii nichi Ambayo nishida

  • @Chw_Kdmn83
    @Chw_Kdmn83 4 หลายเดือนก่อน

    Tuambieni faida ya kuchukua sample za kwenyemwezi. Biaadamu watafaidikaje n tafiti za aina hii?

    • @jogechi2105
      @jogechi2105 4 หลายเดือนก่อน

      Kutafuta madini ambayo huenda yakasaidia kuendeleza technology ijayo

  • @tolbartkishamba3772
    @tolbartkishamba3772 9 วันที่ผ่านมา

    Mbona hamtuambii hezbollah wanalipuka Huko au hamna habari mpaka Israel ikishambuliwa au Ukrain ishambuliwe ndo inakuwa habari wapi dj asma

  • @HamzaMbasha
    @HamzaMbasha 4 หลายเดือนก่อน

    china iko mbali sana..

  • @kisingastanford4521
    @kisingastanford4521 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo wanaenda kuutoboa mwezi wapate sample hii hatar sasa

    • @lameckraphael3743
      @lameckraphael3743 4 หลายเดือนก่อน +1

      😢 ndo maana naona mwezi unatobo sasa toka juz

  • @meckcassius3983
    @meckcassius3983 4 หลายเดือนก่อน

    Sijaelewa kitu kama mmarekani aliwatuma watu na wakatua salama Sasa mbona unasema urusi ndio watu wa kwanza kureta sample duniani kutoka mwezini

  • @zamoyonimaulidmangile7016
    @zamoyonimaulidmangile7016 4 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ufaransa,uingeleza na ujerumaluni bado hawajafikia levo hizo

  • @meckcassius3983
    @meckcassius3983 4 หลายเดือนก่อน

    Km 200,000 jamani kha sio 300,000

  • @DANTAGRAPHICS
    @DANTAGRAPHICS 4 หลายเดือนก่อน

    Hii haitarudi, the dark side of the moon kuna vitu vya ajabu huko

  • @IvanBenjamin-fy9lg
    @IvanBenjamin-fy9lg 4 หลายเดือนก่อน

    Nchi za Africa n ngumu kufika huko kutokana na fikra zetu finyu

  • @MwangaWilliam
    @MwangaWilliam 4 หลายเดือนก่อน

    Tutamkumboka sana Magu

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 4 หลายเดือนก่อน

    Uyu mtangazija wakuitwa bundara nihatari

  • @MasomeAbell-cr1um
    @MasomeAbell-cr1um 4 หลายเดือนก่อน

    Duh wenzetu wanafanya ugunduzi sisi wabongo tunakalishiana elimu ya ugali tu

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 4 หลายเดือนก่อน

    Babu we jaribu kesho uite wenye vyeti vya degree za uinjinia bongo utapata mpk harmonise anayo,,ila angalau kinu na mtwangio tunaweza kutengeneza

  • @husseinsaid8021
    @husseinsaid8021 4 หลายเดือนก่อน

    Story ya kina Amstrong Iko very complicated ni Waongo waongo maelezo yao inasemekana ni video ilotengenezwa na wataalamu wa Hali ya Juu Angalia bendera yao Ile Angalia vivuli vinatia mashaka

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 4 หลายเดือนก่อน

    Congratulations china

  • @joelmilendo4705
    @joelmilendo4705 4 หลายเดือนก่อน

    Imezunguluka 😅 ikazungulukaaa 😂

    • @joelmilendo4705
      @joelmilendo4705 4 หลายเดือนก่อน

      Kitaenda kwakutumia njia ya mzunguluko

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 4 หลายเดือนก่อน

    China na Russia. Russia ni boss.

  • @KarangwaGerard-l1p
    @KarangwaGerard-l1p 4 หลายเดือนก่อน

    hawa wajama watatulipua

  • @pyzzocatto1829
    @pyzzocatto1829 4 หลายเดือนก่อน

    Wanasayansi wetu wa Tanzania lini nasisi tutarusha chombochetu?

  • @elidadinyalemaelidadinyale3686
    @elidadinyalemaelidadinyale3686 4 หลายเดือนก่อน

    Mwezi huu huu unao Waka usiku au Kuna kitu kinaitwa mwezini

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 4 หลายเดือนก่อน +1

    Apewae hujiongeza cng 🇨🇳

  • @edisonbayona-rz9ed
    @edisonbayona-rz9ed 4 หลายเดือนก่อน +1

    Endeleeeni kujifunza Nan alingundua mulima kilimajalo

    • @MauaLucas-st6be
      @MauaLucas-st6be 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hiyo kungundua n wana sayansu wakigundua kitu wana ita jina wanalotaka ss kama kimbunga kinaitwa idaya ww unaamini kinaitwa idaya

  • @kalamamuller-qe1yd
    @kalamamuller-qe1yd 4 หลายเดือนก่อน

    Tuliambiwa na Allah ndani ya Qur'an tukufu yakwamba tutafute elimu mbaka China, kwa nn Allah aliitaja China kielimu ndan ya Qur'an,

    • @honeykhaska5372
      @honeykhaska5372 4 หลายเดือนก่อน

      Ni Hadith shekh maneno ya mtu yalikua na maana kubwa sana

    • @kalamamuller-qe1yd
      @kalamamuller-qe1yd 4 หลายเดือนก่อน

      @@honeykhaska5372 hadith ya nani

    • @kalamamuller-qe1yd
      @kalamamuller-qe1yd 4 หลายเดือนก่อน

      @@honeykhaska5372 ndio nyny mnao jalibu kupotosha watu wapuuz nyie

    • @ShabaniSudi-d1x
      @ShabaniSudi-d1x 4 หลายเดือนก่อน

      Qur'aan imetaja Mambo Sana.
      Umma huu wa Muhammad umebarikiwa Sana kuliko ummati mwingine wowote uliotangulia. Tunachokosa hapa Tanzania ni mifumo thabiti iliyoandikwa kwa vitabu na kupigwa ringforce ili Kila raia na viongozi wote wafuate mifumo hiyo. Na hakuna wa kuiboa. Unajua wenzetu walioendelea wanafanya kazi na watu wenye akili Sana kwasababu kwao kipaumbele ni elimu na ndio sababu mifumo yao imenyooka.

  • @allykomsonde7813
    @allykomsonde7813 4 หลายเดือนก่อน

    Tanzania tunawaza kubunya nakubunyana yaani

  • @kevohotcomedy
    @kevohotcomedy 4 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kitu inaitwa moon landing. Wacheni kudanganywa na hizi inchi.

  • @suleim505
    @suleim505 4 หลายเดือนก่อน

    Asee jamaa wanakua kwa kasi kiuchumi, sasa ni zamu yao wale wezi washaozoea kutuibia huku mataifa ya Afrika saizi wanakula zapua,,wnyeji wamefanya mapinduzi ya kijeshi🤔kila mtu kwao😅,, na hawa nao wanafanya mapinduzi ya sayansi ya anga mbona patamuasee👍

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 4 หลายเดือนก่อน

    Huku duniani hawalali huku kwetu Ni kubeti na kulala

  • @mokitaa8750
    @mokitaa8750 4 หลายเดือนก่อน +2

    Watakipata wanacho kitaka na haya maendeleo ya technology ndio Yana tumaliza

    • @stephenndagalla8183
      @stephenndagalla8183 4 หลายเดือนก่อน +1

      Yanakumaliza kivipi? Wee laa na akili yako mgando.

    • @veterinarytips8059
      @veterinarytips8059 4 หลายเดือนก่อน

      Acha ushamba wewe tembea uone wenzako walivyo mbali

  • @shabanmasoud9102
    @shabanmasoud9102 4 หลายเดือนก่อน

    Bado tupo kwenye maj na barabara umeme had leo

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 4 หลายเดือนก่อน

    China ni nchi ya kupigiwa mfano sana.

  • @allymohamed5328
    @allymohamed5328 4 หลายเดือนก่อน

    Inamaana wanachukua sampo ya mwezi yani wanavunja mwezi au? Kama ndio hivyo tafadhali msije kuleta majanga diniani mwezi tunahitaji kujua ramadhani imefika au sikukuuu ya idi. Tafadhali wa china

  • @KAMTUPE
    @KAMTUPE 4 หลายเดือนก่อน

    💥💥

  • @shabanmasoud9102
    @shabanmasoud9102 4 หลายเดือนก่อน

    Cc tutatuma changali na 60

  • @directorimmah_vfx3043
    @directorimmah_vfx3043 4 หลายเดือนก่อน

    Djsmah kapotlea wap wazeee

    • @erickmillanei4346
      @erickmillanei4346 3 หลายเดือนก่อน

      Mbna Yupo Rudi video Mbili Za Mwisho Za Fyuz yupo Ila Pia Anaumwa Mshikaji

  • @Badvoice707
    @Badvoice707 4 หลายเดือนก่อน

    Kila siku mwenzini hadi tumechoka siwaende kwingine

    • @issamuhammedi
      @issamuhammedi 4 หลายเดือนก่อน

      Wapi Sasa

    • @Badvoice707
      @Badvoice707 4 หลายเดือนก่อน

      @@issamuhammedi sayari sizipo nyingi au nini ukijui sasa

    • @ISSACKRICHARD
      @ISSACKRICHARD 4 หลายเดือนก่อน

      Kama wao wajuaji waende kwenye jua😂😂😂😂😂

    • @Badvoice707
      @Badvoice707 4 หลายเดือนก่อน

      @@ISSACKRICHARD hata kusogelea hawawezi 😀😀😀😀😀😀😀

  • @JanvierNtakirutimana-fx7id
    @JanvierNtakirutimana-fx7id 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @KeyzBeatsglobal
    @KeyzBeatsglobal 4 หลายเดือนก่อน

    India wametua karibu sana na south pole juzi tu

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 4 หลายเดือนก่อน

      Ndugu kwahiyo we peke yako ndo unasema ivyo china ndio wa mwanzo kwenda darkest side of the moon india akenda tua south pole Huyu anakwenda further sasa sjui unatuambia nini.

  • @musaabbinumeir7718
    @musaabbinumeir7718 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hawezi kufika mtu katika mwezi wasitudanganyee hata marekani hawajawahi kufika ktk mwezi

  • @Official-bataboy
    @Official-bataboy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yani kunawatu wanaichukia marekani kama wehu 😂😂😂

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa marekani si mashoga lazima tuwachukieee

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 4 หลายเดือนก่อน +1

    Marekani ana kitu ila propaganda

  • @nathanaelshombana645
    @nathanaelshombana645 4 หลายเดือนก่อน

    Apolo 11 ilikuwa uongo!

  • @idrisadalluc4498
    @idrisadalluc4498 4 หลายเดือนก่อน

    Wachina walikua washamba sana Karne izo ila sasaiv wamekua wanasayansi wakubwa duh! Sijui elimu ii wameipata wapi ila🤔 awa jamaa wanajiongeza sana🙏

    • @ShabaniSudi-d1x
      @ShabaniSudi-d1x 4 หลายเดือนก่อน

      Wachina wamewekeza Sana kwenye elimu. Wako siriazi kwenye elimu sio hapa Tanzania serikali inasema elimu bure lakini ukifika shuleni michango mingi balaa. Waalimu wanafanya wanavyotaka na sio serikali inavyotaka

  • @alexanderhaule7667
    @alexanderhaule7667 4 หลายเดือนก่อน +2

    Last apollo mission ni 17 , walienda gene cernan , Harrison schmitt , na Michael Collins.

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 4 หลายเดือนก่อน

      Last was 1972 after there apollo missions zilikuwa aborted.though kuna mpaka apollo 20.

    • @charackally8846
      @charackally8846 4 หลายเดือนก่อน +2

      Tafuta platform yako na ww uwelezee izo 17 za kwako

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@charackally8846😂😂😂😂

  • @HabibuMohamedlujuo
    @HabibuMohamedlujuo 4 หลายเดือนก่อน

    Sky ukielezea we ni vzur Zaid huyo mwana kama haskiki vzur