G7 waipiga mkwara mzito CHINA kwa kuisaidia URUSI kijeshi, yaitwanga VIKWAZO vipya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 108

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 3 หลายเดือนก่อน +20

    G7 ndo mpinga kristo,mungu ibariki urusi ifunike kwa damu ya yesu, hawa mashoga wa ulaya wapukutike,

  • @MAHAN-SMART
    @MAHAN-SMART 3 หลายเดือนก่อน +20

    Brother Sky hemu ongelea kuhusu Hezbollah naoan huku wanakiwasha kinoma Israel tujue nini kinaendelea

  • @ALLYLUKONGE-ve2ci
    @ALLYLUKONGE-ve2ci 3 หลายเดือนก่อน +18

    Majambazi katika ubora wao
    Mr Putin huraaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @josephmabula9658
    @josephmabula9658 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nyie mbona mnasaidia

  • @ericmutalemwa8040
    @ericmutalemwa8040 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kaka G7 wakishashindwa vita muda tuu wanatafuta kichaka cha kujifichia maana Russia anazalisha silaha mara 3 ya Europe na USA kwa mwaka

  • @MustafaChinanda
    @MustafaChinanda 3 หลายเดือนก่อน +10

    Hapa wameferi mana hakuna cku nilioskia Ukraine imekomboa kijiji kimya 😂😂😂 wakat mrusi utaskia amechukua vijiji chapu

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 3 หลายเดือนก่อน

      HUFATILII VZR NCHI ZA ULAYA ZILIVYO NDOGO BASI MIAKA MIWILI HUYO MBABE WENU ANGESHAMALIZA VITA 😂

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa kazi tu - Putin & Shij pin.

  • @MasterVoltron
    @MasterVoltron 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona wao wanaisadia Ukraine Marekani sijui wanajiona wakina nani

  • @lucaspetromassawe2282
    @lucaspetromassawe2282 3 หลายเดือนก่อน +15

    Kama umegundua zelensky hana nguo nyingine gonga like hapa

    • @ramiamisanya9873
      @ramiamisanya9873 3 หลายเดือนก่อน

      Hahahahah.

    • @tekashisixtynin9threewithd727
      @tekashisixtynin9threewithd727 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwan mwanajeshi anakuwaga na nguo ngap!!!

    • @lucaspetromassawe2282
      @lucaspetromassawe2282 3 หลายเดือนก่อน +2

      Yeye ni mwanajesi au raisi hahahaha

    • @RaymondPaul-bs7su
      @RaymondPaul-bs7su 3 หลายเดือนก่อน +1

      Anavaa nguo hizoo kila siku kwasababu nchi yake ipo kwenye vita na Russia

    • @ramiamisanya9873
      @ramiamisanya9873 3 หลายเดือนก่อน

      @@tekashisixtynin9threewithd727 huyo sio mwanajeshi ni Ukranian Movie

  • @criminalminds7723
    @criminalminds7723 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kwaio wao wanaona Ukraine ndio inapigwa pekeake lakini sio palastine

  • @rajabuharuna6597
    @rajabuharuna6597 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hawa viongozi wajitathmini badala ya kuzuia ugaidi wa Israel,wanajifanya hawaoni hii double standard haitawasaidia sikio la kufa halisikii dawa

    • @fidellujo8362
      @fidellujo8362 3 หลายเดือนก่อน +1

      Usikalili fuatilia chanzo Israel Iko sahihi kujilinda kama taifa teule

    • @DifaRobelindo-cj2ij
      @DifaRobelindo-cj2ij 5 วันที่ผ่านมา

      Ww ni muislam tu nilazima uione Israel kuwa ni magaid wakat magaid wa dunia ni warabu wanauwa sana watu Mozambique AL shabby

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nyani haoni kundule wao wanavyomsaidia Ukraine nani anawawekea vikwazo

    • @MohamediOmari-nz4vv
      @MohamediOmari-nz4vv 3 หลายเดือนก่อน

      Marekani ni wajinga sana wao wanampa silaha Ukraine aipige urusi lakini urusi akijiami anawakosea upuuzi mtupu

  • @dominic4727
    @dominic4727 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mfa maji haishi kutapatapa

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona Israel mnamuwezesha Kila anachokitaka iwe silaha,pesa nk..... ???

  • @HanafiZayumba
    @HanafiZayumba 3 หลายเดือนก่อน +2

    Watakaa mpaka vikao vya ushoga uchumi wao umeshikwa pabaya wanatapa tapa

  • @MAHAN-SMART
    @MAHAN-SMART 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mkuki kwa nguruwe

  • @GraceMashinga-be9wb
    @GraceMashinga-be9wb 3 หลายเดือนก่อน +3

    Vikwazo vikwazo vikwazo this is to much

  • @ramiamisanya9873
    @ramiamisanya9873 3 หลายเดือนก่อน +15

    Mbona wenyewe wanamsaidia Ukraine!!!

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 3 หลายเดือนก่อน +5

      Hata mm nashangaa

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 3 หลายเดือนก่อน +1

      Naona uchumi wa Dunia unaenda kuparanganyika tena.Maana china kwa sasa kumuwekea vikwazo kama urusi ni ngumu sana na uchumi wa Dunia utashuka sana.

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@GeorgeAkasha-zx2rjkaka wewe ndiyo umeelewa huu mchezo Sasa 😂😂😂😂

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 3 หลายเดือนก่อน

      @@deogratiusyudatadei5658 Sema mkuu uchumi wa Dunia ukishuka ni faida sana Kwa Marekani na Serikali yake, kumbuka elfu 2008 uchumi uliposhuka wa Dunia na Marekani faida aliyoipata, maana Dollar ndo itazidi kuwa na nguvu na nguvu zaidi.

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nasikia Tanzania inataka kuiuzia Russia magari ya kivita aina ya Nyumbu😂😂😂😂😂

    • @SarhaSaid
      @SarhaSaid 3 หลายเดือนก่อน +3

      😂😂😂

    • @paulokitundu4961
      @paulokitundu4961 3 หลายเดือนก่อน +2

      Tungoje vikwazo😂😂

    • @faridhamad3678
      @faridhamad3678 3 หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣🤣

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 3 หลายเดือนก่อน +3

    G 7 SIO UN WAACHE UPUUZIWAO

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 3 หลายเดือนก่อน +1

    Vikwanzo avina nguvu.kwa sababu wenyewe wamekalia kuti kavu.

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wamekwisha enzi yao hao wanahangaika tu

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga 3 หลายเดือนก่อน +2

    Putin kiboko Jamaa zangu naona hawalali

  • @shabajims2966
    @shabajims2966 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wanajindaganya kama poutine sio kadafi walicinja kama mbuzi.yeye kajipanga kupigananawo myaka mingi sana

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dunia hii razima ushabikie upande mmoja sio kuchagulowa

  • @sharifuahmed8340
    @sharifuahmed8340 3 หลายเดือนก่อน

    URAAAAAAAAAAAAAAA RUSSIA 💪💪💪💪💪, WE ARE WITH YOU AFRICA

  • @SarhaSaid
    @SarhaSaid 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wanatapatapa tu nyau ao

  • @doubleymkuu4267
    @doubleymkuu4267 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wapumbavu Tu hawa

  • @RamadhanpMwakilasa-di5hc
    @RamadhanpMwakilasa-di5hc 3 หลายเดือนก่อน +2

    Na bado hawajasema mpaka waseme # Putin 🔥🔥🔥🔥

  • @Joshuajereman
    @Joshuajereman 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huraaaa ptini

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 3 หลายเดือนก่อน +1

    Zalesk ata haya hana tena ataomba mpaka shati maana habadili

  • @RaymondMuga
    @RaymondMuga 3 หลายเดือนก่อน

    Sky wewe ni mwanahabari bora sana kaka, nikupe maua yako

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wao wakimsaidia myahudi wa michongo michongo hakuna mtu anayesema 😂😂 hovyo kabisa too late now

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 3 หลายเดือนก่อน +2

    Majambazi wamekwama

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 3 หลายเดือนก่อน +2

    Putin uwa mashoga aaoo🗣🗣🗣

  • @IdrissuHassan
    @IdrissuHassan 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa mbona wao wanaisaidia Ukraine? Ila watu wanajipend kweli

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli nimeamini nchi za Magharibi ni zakishoga kweli wao wanvyomsaidia Ukren watu hawasemi watu wengine wakimsaidia Urusi nikosa kwa nini sasa kweli mmeisha amini nimashoga

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 3 หลายเดือนก่อน

    Ama kweli Marekani ni vichaa

  • @salimomar-n7s
    @salimomar-n7s 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona waowanasidia Ukraine

  • @MohamedHamis-x1k
    @MohamedHamis-x1k 3 หลายเดือนก่อน

    Hawo nchi za G7 wamechanganyikiwa hawajui wapi washike Uloo Umewatokea puwani

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 3 หลายเดือนก่อน

    Vikwazo vita hit back Kwao G7

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 3 หลายเดือนก่อน

    Hatutishwi

  • @majidukalokola7253
    @majidukalokola7253 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi BRICS nao hawawezi kuwa na umoja wao kwenye ulinzi kama ilivyo NATO?
    Ili nao wawe na lao moja ktk kumsaidia MRUS

  • @SumuuKijoka
    @SumuuKijoka 3 หลายเดือนก่อน

    picha ya pamoja mashoga

  • @abdinoorkamau9745
    @abdinoorkamau9745 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli hasidi hana sababu kuani gari za umeme pia zinasaidia Russia hahaa😂😂 respect to Russian 🇰🇪

  • @MohamediOmari-nz4vv
    @MohamediOmari-nz4vv 3 หลายเดือนก่อน

    Mkutano wanapanga upande mmoja ujinga mtupu yaani urusi kweli mwamba yaani wote wanamjadili mtu mmoja

  • @ngendakumanajeanmarrie7490
    @ngendakumanajeanmarrie7490 3 หลายเดือนก่อน

    Wameshindwa putin awanyoshe mpaka wapige magoti

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 3 หลายเดือนก่อน

    Machawa wa urusi mchina kaonywa tuu anajitetea nyie vilaza msiojua kitu mnashabikia et g7 hawamuwezichina na urusi

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 3 หลายเดือนก่อน

    Marekani Trump ndo anaiweza huyu Biden shuhuli yake imeisha ashindi tena uchaguzi

  • @salumkasongo7507
    @salumkasongo7507 3 หลายเดือนก่อน

    Nchi 32 na usa zinalalamika

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 3 หลายเดือนก่อน

    Nilisema Putin hayoko peke yake watu wanapanga kuungasha uchumi wawazungu mazima 😂😂😂

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 3 หลายเดือนก่อน

    Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺
    Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇰🇪

  • @ngendakumanajeanmarrie7490
    @ngendakumanajeanmarrie7490 3 หลายเดือนก่อน

    Wameishia wacha kwanza dolla walipige malufuku BRGS

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyani haoni kundule rafiki anamsaidia rafiki yake wao G7 na NATO rafiki yao ni Ukraine sasa watuache sisi na china rafiki yetu ni mrusi na yajayo ndio kifo cha NATO na ndio kifo cha G7 hata 2030 haifiki Amerika kwishine

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c 3 หลายเดือนก่อน

    Wanataka waimiliki dunia mkononi mwao

  • @mwenebatuetabo5515
    @mwenebatuetabo5515 3 หลายเดือนก่อน

    Kama wa shirika wengine hawakujumuika hivi hii ni G7 tena Hama!! Wala ni G vurugo tu

  • @SalumMasengwa-b9s
    @SalumMasengwa-b9s 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nipo hapa nimekaa Wacha nione uraaàaaaaaaaaaaa

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 3 หลายเดือนก่อน

    Bricks plus to big more than G7

  • @fadhilisule
    @fadhilisule 3 หลายเดือนก่อน

    marekani ye ni naaani hasa 😮

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 3 หลายเดือนก่อน +1

    China nayo vikwazo tumuwekee

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mkiwa na nani ,china kwa uchumi ilio nao wakimwekea vikwazo USA na Marekani watalala njaa kama wanavyo hangaika kwa Mrusi.

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 3 หลายเดือนก่อน

    Putin mmoja + G7😅 vita muraa😅

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 3 หลายเดือนก่อน +2

    Putin afe

    • @PUTINN365
      @PUTINN365 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kum wew

    • @Rakim-y2z
      @Rakim-y2z 3 หลายเดือนก่อน +2

      We utakuwa shoga

    • @mayombomajenga9778
      @mayombomajenga9778 3 หลายเดือนก่อน +2

      Labda wafe ndugu zako

    • @abbasisudi6899
      @abbasisudi6899 3 หลายเดือนก่อน +2

      We hujitambui

    • @PhillyAmbilikile
      @PhillyAmbilikile 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hujui lolote

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 3 หลายเดือนก่อน

    Na CHINA BILA G7 HATOBOI ATABAKI KUWAUZIA MALAPULAPU AFRIKA, PESA YA MAANA ANAYOINGIZA KUTOKA G7 ASAHAU 🤣JE ATAKUBALI ASHUKE KIUCHUMI? TUPO HAPA😂

    • @MujuniKamugisha
      @MujuniKamugisha 3 หลายเดือนก่อน

      Aliekudanganya alishakufa china inafanya biashara na nchi za Asia zaidi kuliko nchi yoyote za dunia export kubwa ya china ipo Asia kuliko uko ulaya na marekani

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 3 หลายเดือนก่อน

      @@MujuniKamugisha SAWA 🤣

    • @mustafamasudi8093
      @mustafamasudi8093 3 หลายเดือนก่อน

      Anawauzia nini hao mashoga unachokijua wewe? hao watu wako wamedandia mtumbwi wa vimbengo hapo Putin anawachezesha huku mchina akiendelea kupiga ela mpaka watakapokuja kukumbuka tayari wameishiwa mchina atawakopesha pesa hao watu wako kwa mashart mazito huo nd utakuwa mwisho wa marekan na nchi za ulaya, kiongoz wa dunia anachokifanya ni kumtengenezea njia mchina na baada ya vita kwisha Putin atakuwa anauza silaha kwa uwingi dunian kwa kuwa nchi nyingi watatamani silaha kutoka Urusi kwa kuwa ni Bora zaidi na za NATO huu ni mchezo wa kufilisiana na juzi tu Saudi Arabia amegoma kuuza mafuta yake kwa kutumia dola yajayo yanafurahisha sana unafuu wa marekan ni kumpitisha Trump tofaut na hapo anguko kubwa litawakabiri zaidi

    • @yonathanbanyikwa1813
      @yonathanbanyikwa1813 3 หลายเดือนก่อน

      Hawa G7 hawaweki wao wenyewe vikwazo wanawawekea mpaka wateja watakaonunua bidhaa za China, hapo ndipo Kuna anguko lake, maana wataungana na India, ufilipino, Singapore,n.k

    • @TeddyDickson-w5p
      @TeddyDickson-w5p 3 หลายเดือนก่อน

      Hivyo G7 watanunulia wapi ?wakimuwekea china vikwazo,wao ndio wanamtegemea kama walivyokuwa wanategemea ngano toka urusi