KUOMBA NA KUTABIRI // EZEKIELI 37:1-15 // MIFUPA MIKAVU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 มิ.ย. 2024
  • MAOMBI MAALUM YA MWEZI WA SABA{7}
    Kwa Neema ya Mungu tumepata kibali cha kushiriki na kuwa na ratiba nzuri kabisa ya maombi ya mfungo kwa mwezi wa saba{Julai}.
    Kibiblia huu ni mwezi wa ukamilifu na utimilifu wa mambo, na Roho Mtakatifu ametupa nafasi ya kuingia katika maombi haya maalum kabisa yenye lengo la kuombea mahitaji yetu binafsi, hasa yale ambayo yamekosa majibu kwa muda mrefu na tunatamani kuona mabadiliko.
    Andiko kuu la kusimamia katika maombi yetu haya,linapatikana katika kitabu cha Ezekieli 37:1-15
    “Mifupa mikavu kuishi tena”
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/sirizabiblia
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 83

  • @PaskaziaVidastus
    @PaskaziaVidastus 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ee Mungu ukatutendee sawasaw na mapenzi yako❤ god

  • @GodfreySadiki
    @GodfreySadiki 9 วันที่ผ่านมา +1

    🙏

  • @Marianamariana181
    @Marianamariana181 10 วันที่ผ่านมา

    Amen NAJIUNGANISHA NA MFUNGO HUO kwa Jina la YESU kristo 🙏🏾🙏🏾🙏🏾ROHO wa mungu naomba UWEPO WAKO uenende nami 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾unipe nguvu za KUSHINDA MFUNGO huu naomba kupitia Jina lako takatifu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @JolleetNiaze
    @JolleetNiaze 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen❤❤❤❤❤❤

  • @HAPPYOSCAR-nj5xq
    @HAPPYOSCAR-nj5xq 10 วันที่ผ่านมา

    Amen Ameni Ameni

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 9 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @peterkarera6297
    @peterkarera6297 8 วันที่ผ่านมา

    Nami najiungamanisha na Madhabahu ya Siri za Biblia katika Jina la Yesu

  • @EsterMapesa-sq5xf
    @EsterMapesa-sq5xf 10 วันที่ผ่านมา

    Amina ❤

  • @user-ez5jf1un7g
    @user-ez5jf1un7g 10 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 10 วันที่ผ่านมา

    Bwana Yesu naomba neema yako Kwa mfungo ujao emeeeen

  • @Tinahtinash
    @Tinahtinash 10 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏 🙏

  • @user-vo9ck2vv2w
    @user-vo9ck2vv2w 7 วันที่ผ่านมา

    MUNGU NISAIDIE nimalize MFUNGO salama NIPONE magonjwa yote tufunguliwe kuromani na kiuchumi mimi na familia yangu.

  • @peterkarera6297
    @peterkarera6297 8 วันที่ผ่านมา

    Nami napokea Neema ya Mungu katika Jina la Yesu Kristo, kupokea baraka za kulipwa madeni,kupata kibali kwa watu.

  • @ChazkKasubi-le4dj
    @ChazkKasubi-le4dj 10 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @PolaChadi-wm8mk
    @PolaChadi-wm8mk 10 วันที่ผ่านมา

    Ameen.ubarikiwe.mutumishi.kwamaelezo.mungu.azidi.kukuinuwa.viwangovingine

  • @CesyMarious
    @CesyMarious 10 วันที่ผ่านมา

    Yes

  • @sophias3334
    @sophias3334 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu niwezeshe kwenye maombi yanayokuja ya mwez wa saba

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts 10 วันที่ผ่านมา

    Amen amen amen.

  • @EsterMapesa-sq5xf
    @EsterMapesa-sq5xf 10 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏🙏

  • @LilianKimambo-gg1do
    @LilianKimambo-gg1do 9 วันที่ผ่านมา

    Naomba kibali mungu na naweka mikononi mwako mfuungo huu shetan asinijaribu damu ya yesu inifunike ktk kipindi hiki Cha mfungo naomba mungu unisaidie niweze kufka mwisho wa mfungo

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 10 วันที่ผ่านมา

    Ndio bwana nikwaneema yako tuu si Kwa uwezo wangu pokea sifa Na utukufu baba Wa mbinguni🙏❤️

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 10 วันที่ผ่านมา

    Amen nahamini Nita pokeya kwa Jina la Yesu 🙏

  • @bhavinjani4415
    @bhavinjani4415 10 วันที่ผ่านมา

    Ee Mungu naomba usikie maombi yetu tunayokulilia usiku na mchana usinyamaze

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 10 วันที่ผ่านมา

    ameen

  • @ADAMGERARD-zb5kd
    @ADAMGERARD-zb5kd 8 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu naomba mwezi huu unisadie nikaganikishe mipango yangu ya kiuchumi na biashara nifungulie balaka zako naamini nitafanikiwa nakuamini bado nita amini

  • @user-nd3gi5px5r
    @user-nd3gi5px5r 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba kupitia maombi haya unikumbuke kumbuka mume wangu ,watoto wangu ,wazazi wangu,ndugu zangu,nikumbuke maisha yangu,yesu tukumbuke leo hii

  • @yusterlucass
    @yusterlucass 10 วันที่ผ่านมา

    Amina mtumishi wa Mungu tupo pamoja

  • @StevenJackson-wr6hi
    @StevenJackson-wr6hi 10 วันที่ผ่านมา

    Emwenyezy mungu❤naomba ubalikikaziyamikonoyangu

  • @reginalukumay5874
    @reginalukumay5874 9 วันที่ผ่านมา

    Ni kwa neema ya Mungu niko hapa nilipo.Unajua haja ya moyo wangu

  • @Esther-Bri
    @Esther-Bri 10 วันที่ผ่านมา

    HALLELUJAH HALLELUJAH GLORY TO OUR MOST HIGH GOD

  • @hdgHdhd-eu7vf
    @hdgHdhd-eu7vf 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu uliye umba bingu na ichi najiunganisha na madhabahu haya siku ya leo...kila kilichokuwa changu na kilipotea mikononi mwangu bila kujua siku za nyuma naomba kuadzia leo ukavirengesha kwa jina la yesu,mipango yangu ambayo nimepanga kuifanya huu mwenzi wa saba naomba bwana ukanifanikishe ninakataa kila nguvu za kunirengesha nyuma kila wakati naomba zishidwe kwa jina la yesu Christo katika maombi haya ninaamini mungu utatenda fanya jambo mungu wangu usinyamaze ulisema tuombe nawe utatupa Baba niko paha

  • @SmilingArcade-xj7zg
    @SmilingArcade-xj7zg 10 วันที่ผ่านมา

    Asante mungu kwa yotee 🙏

  • @Mommy4147
    @Mommy4147 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba mafanikio maisha mwangu baba 🙌 🙏🏽

  • @JONISIAMWILONGO
    @JONISIAMWILONGO 10 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen Amen mtumishi wa Mungu, Mungu akubariki sana

  • @shamsaabdalah7038
    @shamsaabdalah7038 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu nijalie kulingana na mapenzi yako kamili kutumia katika maisha yangu🙏 Amen Ameni Amen

  • @user-zg6ek5kk6z
    @user-zg6ek5kk6z 10 วันที่ผ่านมา

    Nakuahukuru MUNGU wangu kwa kunipigania hadi nkafika hatua hii.Olicia anaelekea kuyashihinda majaribu. Zidi kubiahindia MUNGU wangu bila kujali sauri za watesi wangu

  • @lusilusi8687
    @lusilusi8687 10 วันที่ผ่านมา

    Ameen❤

  • @NasraSaidi-dq7fh
    @NasraSaidi-dq7fh 10 วันที่ผ่านมา

    Eee Mungu naomba biashara yangu iyongezeke iwe campuni nifunge ndoa takatifu kwa jina la yesu

  • @SarahMbwali
    @SarahMbwali 10 วันที่ผ่านมา

    Ezekiel31:1_15

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 10 วันที่ผ่านมา

    Thank you God

  • @jadymshary2035
    @jadymshary2035 10 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏🙏 asante Kwa Kibaki chako Baba

  • @annahmutune4866
    @annahmutune4866 10 วันที่ผ่านมา

    Alleluyah 😊 naamini katika jina la yesu Kristo nitapokea kitu hapa🙏🙏

  • @user-oo2fx8nk5r
    @user-oo2fx8nk5r 10 วันที่ผ่านมา +1

    Eee Mwenyezi Mungu Napokea Ujauzito Mwezi wa saba hicho Ndo kilio changu Nimechoka Kuzarauliwa Mwenyeezi mungu Naamin Hili pia utajibu Kama Ulivyo Nivushakatika shimo la Umauti Mungu Nahitaji Rehema zako

    • @GodMushi-vm2bo
      @GodMushi-vm2bo 10 วันที่ผ่านมา

      Umeambiwa unashida gani hosptal

    • @user-ll7iz3pt3i
      @user-ll7iz3pt3i 10 วันที่ผ่านมา

      Mungu asikie kilio cha moyo wako hata mm kila siku naomba Mungu anijalie niwe na mtoto,tuenedelee kuomba haupo pekee yako Mungu atutendee kwa wakati wake.

  • @RenathaKatambala
    @RenathaKatambala 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba unipe mme kutoka kwa mungu nakuish ktk nyumba yangu nimechoka kwanyumba zakupanga

  • @Yesslarry
    @Yesslarry 10 วันที่ผ่านมา

    NITAFUNGA NAMINI NITAWEZA KATIKA JINA LA YESU

  • @joankalegi
    @joankalegi 10 วันที่ผ่านมา

    AMEN AMEN,, COUNT ME IN ✅📖🙏✝️

  • @HAPPYOSCAR-nj5xq
    @HAPPYOSCAR-nj5xq 10 วันที่ผ่านมา +1

    Eeee MUNGU wangu waponywe wazazi wangu magonjwa yao baba kidonda cha mguuni wakapone kwa Jina LA Yesu

  • @user-eq9ry7cd3q
    @user-eq9ry7cd3q 10 วันที่ผ่านมา

    Asante mungu kwa kunivusha

  • @SarahMbwali
    @SarahMbwali 10 วันที่ผ่านมา

    Mwezi wakukamilika kwa mambo ❤

  • @rebeccakibona
    @rebeccakibona 10 วันที่ผ่านมา

    Amen. Mungu nisaidie

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 10 วันที่ผ่านมา

    Sylvia amen amen amen,asante mungu Kwa Neema yako kubwa maana hata kufika masala Haya nikwa Neema yako🙏❤️

  • @roseogundo9323
    @roseogundo9323 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba ukombozi.

  • @RehemaMissinzo
    @RehemaMissinzo 10 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏 Nashua sana baba mungu akubaliki sna

  • @bennikitafitness7217
    @bennikitafitness7217 10 วันที่ผ่านมา

    Amen God give me faith and wisdom

  • @user-rl6pu5hi3d
    @user-rl6pu5hi3d 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu kwangu wewe ni Ebenezer,Wacha nikushukuru kwakua ulio yatenda kwangu ni mengi...nashuhuda zako hazielezeki, najua upo kazini utatimiza Kwa wakati 🙏🤲

  • @eveabasi2469
    @eveabasi2469 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu nisaidie kupitia mfungo huu nivuke kwenye changamoto nilizopitia Kwa miezi 6 iliyopita

  • @DelaneyWambui
    @DelaneyWambui 10 วันที่ผ่านมา

    Amen MUNGU nisaidie nisikose😢

  • @mauriciozecaakashimba5601
    @mauriciozecaakashimba5601 10 วันที่ผ่านมา

    Asante sana mtumishi ❤❤

  • @ArakazaEric
    @ArakazaEric 10 วันที่ผ่านมา

    Amen nitashirki na mfungo huyo

  • @DanielChaula-q6h
    @DanielChaula-q6h 8 วันที่ผ่านมา

    sion maso ya kusoma

  • @CesyMarious
    @CesyMarious 10 วันที่ผ่านมา

    Amen nimekupata pastor

  • @user-lu9yl5fv6h
    @user-lu9yl5fv6h 10 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe na bwana

  • @annahmutune4866
    @annahmutune4866 10 วันที่ผ่านมา

    Amina❤❤ nimebarikiwa Sana 🙏🙏

  • @HAPPYOSCAR-nj5xq
    @HAPPYOSCAR-nj5xq 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu nisaidie kuniondolea roho ya uziinzi mm sijitambui but watu ananiona kuwa ninamacho ya kikahaba eee mwenye Mungu nisaidie niwe ujasiri zaidi isiwe mlegevu kwa kuongea na kumtazama mtu nikupende e ww.

  • @user-wd1ey8vy5u
    @user-wd1ey8vy5u 5 วันที่ผ่านมา

    Ameen mm napenda kujiungamanisha na MAZABAHU YA SIRI ZA BIBLIA naomba Mungu anisaidie na Mimi nipate kazi

  • @hopennko4215
    @hopennko4215 10 วันที่ผ่านมา

    Amen baba

  • @WinfridaMakina
    @WinfridaMakina 10 วันที่ผ่านมา

    Amina❤

  • @Fatmasafe-jz8ij
    @Fatmasafe-jz8ij 10 วันที่ผ่านมา +1

    Emungu naomba nipate ndoa takatifu ndani ya mwaka huu

  • @WinfridaMakina
    @WinfridaMakina 10 วันที่ผ่านมา

    Wao naenda kufanikiwa Kwa jina LA YESU nitapakata mwakan Kwa jina LA YESU ❤

  • @Princesscareen
    @Princesscareen 10 วันที่ผ่านมา

    Asante yesu umesikia maombi yangu yamefika kwak maana nilijiandaa kufunga mwezi huu wangu wa kuzaliwa

  • @flaviacharles1348
    @flaviacharles1348 9 วันที่ผ่านมา

    So God help me nisikose

  • @user-gt9tg2ir3k
    @user-gt9tg2ir3k 10 วันที่ผ่านมา +1

    NAOMBA MUNGU ANISAIDIYE MAFANIKIYO NAMAISHA MAREFU😢 ASANTE MUNGU KWAYOTE UNAYO TUTENDEA UYUMWENZI MIMI NAMUTUMISHI WAKO INOSSA

  • @AnthonySindabaha-de3xb
    @AnthonySindabaha-de3xb 10 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi siku ya maombi ni lini?

  • @mumbijpearl5060
    @mumbijpearl5060 10 วันที่ผ่านมา +1

    Niko na swali hii sadaka nitaiachilia Kwa madhabahu gani ya Siri za biblia au kanisani ninaposhiriki?

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  10 วันที่ผ่านมา

      Amen.
      Achilia sadaka yako pale unapoongozwa na Roho Mtakatifu. Usitoe kimazoea

    • @JolleetNiaze
      @JolleetNiaze 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amen❤❤❤❤❤

  • @Phin_lyrics-dp6jy
    @Phin_lyrics-dp6jy 10 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏🏾

  • @bithwangi1008
    @bithwangi1008 10 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @user-bv6gh2ve2g
    @user-bv6gh2ve2g 10 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @KuvunaGonda
    @KuvunaGonda 10 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @user-lb9sl5nd9r
    @user-lb9sl5nd9r 10 วันที่ผ่านมา

    Amen