NGUVU YA SHUKRANI || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 04/09/2022
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ก.ย. 2022
- Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa - บันเทิง
nimekuwa nikifatilia masomo yako yamenitoa mahali na kubarikiwa sana
Kabssaa❤
BABA NAPOKEA NEEMA WA KUA MTU WA SHUKRANI....amina
Mungu akupe Maisha marefu pastor
my mentor mungu akuinue zaidi hakika unanipa ufunuo wa kiroho
Amen and amen humble in Jesus mighty name, thank you pastor for the wonderful teachering 🙏🙏
Mungu akubariki sana pastor
Ubarikiwee sanaa Mtumishi wa Mungu nimejifunzaa mengi saana kupitia wewe
Amen 🙏🙏🙏🙏 shukurani ina mazuri sana sana imenifunguliya mazuri juyangu nitaendeleya kumushukuru mungu.
Nimepona leo pastor Mungu akutunze
Amen 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mungu akupe ulinzi
Ameni ubarikiwe
Hakika Mungu atukuzwe Mchungaji Munguakubarikisana
Amen wacha mungu ainuliwe na akubariki sana mtumishi kwa mafundisho unayo tufunza
Mtumishi ninamshukuru sanaYesu kwaajili yako. BWANA azidi kukutunza
Mungu ni mwema namshukuru kwa ajili ya mafuta yaliyoko ndani,Asante Yesu kwa kunipa hekima ya kushukurubarikiwa mtumishi
Mungu akuinue na akupe maisha marefu sana
My Pastor My Mentor Mungu Akutunze Kwa Ajiri Yetu
Ameen paster nimekuelewa sana Mungu akubariki sana
Na Mungu atupe moyo wa shukrani
Namshukuru MUNGU kwaajili yako, Maana uwepo wa MUNGU nauona kwangu
nakushukru Mchungaji kwa mafundisho yako yamenifanya kuwa mtu mwingine Mungu akubaliki sana
Amen. Amen❤❤
Mungu akubariki sana Mtumishi na aendelee kukutumiaa zaidi
Mchungaji umenibariki sana na Hilo SoMo la shukrani
Hakika mungu ameweka vitu ndani yako kwa ajili yetu mungu akupe afya njema
Mungu akubariki Baba
Asante kwa mahubiri mungu akubariki mtumishi wa mungu
Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Asante kwaneno la mungu
Mtumishi mungu akusidie neema maana unanibariki sana
Amen ❤❤
Mungu akuongezeee ck za kuishii
Mungu akuongezee siku za kuishi
Barikiwa mtumishi kwa hekima hii
wewe pia ni mmoja wa watumishi waliokuwa na msaada wa kiroho nauliza sadaka yangu naweza kuitoa aje kwa ajili ya kumshukru Mungu kwa mafundisho yako
❤❤❤ BABA asante kwa mafunzo mazuri
Mungu andelee kukupa maaalifa mchungaji
Amen 🎉
Ubarikiwe mtumishi🙏
Kweli nilikuwa sijuwi maana ya shukurani
Amen baba
Amen baba yangu
Hakika ndivyo hivyo
Amina!!
Amina
AMEN
amen amen❤❤
Amen Amen
🌷❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amennnn
Najifunza kushukuru walio waaminifu kwako
Amen
Ameen
Ameeeen
Jamani nahombeni mnisaidiye namba za huyu mchungaji tafadhali namuhitaji
George mukabwa uyu ana ubiri ukweli kabisa kuliko matapeli wengine
Amen baba