JINSI YA KUPANGUA MIPANGO YA ADUI ZAKO // Efeso

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Ujumbe: AMKA USINGIZINI
    Andiko: Efeso 5:14
    Pastor: Innocent Mashauri
    Efe 5:14
    Hivyo husema, Amka, wewe usinziaye, Ufufuke katika wafu, Na Kristo atakuangaza.
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/siri...
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 85

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @JackFrank-bo9oj
    @JackFrank-bo9oj 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu naomba nisaidie kutoka kwenye usingizi wa kiroho

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 3 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN

  • @flegonvictor7033
    @flegonvictor7033 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen mtumishi

  • @neemangatunga5253
    @neemangatunga5253 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ame

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏

  • @joanesFelixFelix-cb1vb
    @joanesFelixFelix-cb1vb 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amém Amém 🇲🇿🇲🇿

  • @AsteriaGabriel
    @AsteriaGabriel 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni mtumishi nimebarikiwa sana

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 3 หลายเดือนก่อน +1

    Eemeeeen

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nisaidie nimshinde adui

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba Mungu anipe nguvu ya kushinda niwe shujaa .

  • @OliveAmuri
    @OliveAmuri 3 หลายเดือนก่อน +1

    Washa moto ya maombi ndani yangu baba wa binguni🤲🙏🙏

  • @HappinessPhilipo
    @HappinessPhilipo 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe san mtumishi najifunza maarifa mengi san MUNGU azidi kukupa ufunuo zaidi

  • @veronicajohn7645
    @veronicajohn7645 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakataa Usingizi wa Kiroho katika jina la Yesu

  • @EstherMulekania
    @EstherMulekania 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu anisaidie kutambua adui

  • @MaryNickson-z3q
    @MaryNickson-z3q 3 หลายเดือนก่อน +7

    Nakataa usinginzi wa kiroho, nakataa uvivu wa kiroho kwa jina la YESU, napangua kila mipango mibaya ya adui kwa jìna la YESU amen 🙏

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen amen, asante yesu.

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakataaa mipango mibaya juu yangu na familia yangu kwa jina la yesu

  • @maseaJoe8676
    @maseaJoe8676 3 หลายเดือนก่อน +2

    Usingizi wa kiroho nakataa katika Jina La Yesu Amen Amen 🙌🙌

  • @NuriatRecho
    @NuriatRecho 3 หลายเดือนก่อน

    Nakataa kila roho yakurudisha maisha yangu nyuma.maranyigi naloteswa ndoto niko kwenye Shule nanimetoka uko kitambo.nafahamu izo ni roho zakurudisha maisha yangu nyuma
    Nanimekutabua leo Wewe adui
    Nakutoa katika maisha yangu kwa jina la Yesu kristo
    Amen

  • @MamaShanga
    @MamaShanga 3 หลายเดือนก่อน

    Baba Mungu akubariki kuna sehemu kubwa sana nakuelewa sana sana

  • @BsyisengeBailo
    @BsyisengeBailo 3 หลายเดือนก่อน

    Nakata usingizi wakiloho nakata uvivu wakiloho napangua mipangoyote ya adui mipango yac shetaniyote kwajinala Yesu kristo aliyehayi amen amen

  • @MueniJudy-n9c
    @MueniJudy-n9c 3 หลายเดือนก่อน

    Asande mungu nimwema bariki mtumishi wa mungu nakuombea Mungu akulinde umenitoa mbali Sana amen

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ee mungu wangu nahomba unihone

  • @SYDEYLINET
    @SYDEYLINET 3 หลายเดือนก่อน +1

    HALLELUJAH nakataa kila roho za usingizi kusinzia kusiwe kwangu BABA nisaidie barikiwa sana pastor kwa kutufumbua macho

  • @hidayababu9477
    @hidayababu9477 3 หลายเดือนก่อน

    Nakataaa, napangua ,nabomoa kila roho za kichawi, mipango yao manuizo yao juu ya maisha yangu na familia yangu watoto wangu na ndg zangu ktk jina la yesu christo amen.

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 3 หลายเดือนก่อน +1

    I received

  • @EmanuelaIssa
    @EmanuelaIssa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuuu

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 3 หลายเดือนก่อน +1

    Natenguwa kila mitego Na kupanua kila mipango YA moovu shetani Kwa Jina la yesu🙌🙏

  • @nonveroniquejohn
    @nonveroniquejohn 3 หลายเดือนก่อน

    Ee Jéhovah rafa niamushe tena kwa mara ingine baba 😭

  • @kapamevenas79
    @kapamevenas79 3 หลายเดือนก่อน

    Amen amen !

  • @annahmutune4866
    @annahmutune4866 3 หลายเดือนก่อน

    Amina 🙏 tangu nianze kuwafuatilia maisha yangu yamebadilika kabisa 🙏🙏 asanteni

  • @MinzaMadilo-zf5yl
    @MinzaMadilo-zf5yl 3 หลายเดือนก่อน +3

    Roho Mtakatifu nisaidie kuzifahamu mipango na malengo ya adui kwenye maisha yangu.Bwana nisaidie niweze kumshinda adui katika kila njia zake anazopanga kunidhuru asipate kibari kwa jina la Yesu Kristo.Amen🙏🙏

  • @zamoyonandrew7239
    @zamoyonandrew7239 3 หลายเดือนก่อน +2

    Loho mtakatifu nipo nguvu ya kuvula roho za kukataliwa roho za kurudishwa nyuma nakataa kupambana na Adui wa kiroho ewe Yesu nisaidie🙏🙏

  • @robertmasele417
    @robertmasele417 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakataa usingizi wa kiroho kwa jina la YESU

  • @ngukuukoromo4241
    @ngukuukoromo4241 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki San 🙏🙏🙏

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 3 หลายเดือนก่อน +1

    😢Mungu wangu nisadie mm kushinda Hali ya usingizi wa kiroho

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante yesu,baba naomba uniwezeshe nisilalake kiroho ,niondoleee uvivu Wa kiroho nahitaji kukuwa kiroho.mungu nisaidie🙌🙌🙏

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen napangua kila mipango ya adui kwenye maisha yangu

  • @Lena-q5t
    @Lena-q5t 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nikumbuke nisaindie nitoki kwa uzinkisi n Jesus name amen

  • @cathymlay2916
    @cathymlay2916 3 หลายเดือนก่อน +1

    Roho mtakatifu nisaidie pekeyangu siwezi vita nivikali

  • @JosephinaLeonard
    @JosephinaLeonard 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante YESU WANGU bila wewe siwezi, naomba unikumbuke.

  • @faustamumbee9160
    @faustamumbee9160 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee Mungu kwa ukuu wako ulontendea wa kimjua adui yang ,naomba unifanye kua imara miweze kushinda hii vita mbele yangu

  • @AgnesMgina-ud6ho
    @AgnesMgina-ud6ho 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @yustermdegella-ex9ho
    @yustermdegella-ex9ho 3 หลายเดือนก่อน +1

    Roho mtakatifu nisaidie

  • @joankalegi
    @joankalegi 3 หลายเดือนก่อน +1

    NAKATAA, NAPANGUA, NABOMOA, NATEGUA MIPANGO NA MITEGO YOTE YA ADUI NA MUOVU SHETANI KWA JINA LA YESU NA KWA DAMU YA MWANA KONDOO,, MM NA FAMILIA YANGU TUMELINDWA NA YESU HAKUNA SILAHA ILIYOWEKWA KWANGU NA KWA FAMILIA YANGU ITAFAULU KTK JINA LA YESU KRISTO,, AMEN AMEN 🙏🙏🙏✝️♥️

  • @SophiaNdilito
    @SophiaNdilito 3 หลายเดือนก่อน

    Eeeh Mungu Niokoe Katika magonjwaa Afya yangu Ikaimalike Sasa Tumbo Langu la Uzazi Nalisafishakwa Damu ya Yesu huu uvimbe Kwenye Yai Naamuru Ukayeyushwe na Damu ya Yesu Natangaza Uzima Kwenye Maisha Yangu na familia yangu Mungu Ukanipganie Na hunipe Ushuhuda mbele ya Adui zangu Mfalme Wa Aman

  • @mariahabokea2085
    @mariahabokea2085 3 หลายเดือนก่อน

    Jesus we need you! Thank you Holy spirit for the message. Mtumishi be blessed 🙌

  • @KALUNDAELIE
    @KALUNDAELIE 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nashukuru mungu kwakila jambo 🙏 nineema yamungu tuuu ✍️

  • @JoaquimdriveMicher
    @JoaquimdriveMicher 3 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu ,i am from Moçambique

  • @SophiaThadei-hx4wd
    @SophiaThadei-hx4wd 3 หลายเดือนก่อน

    Amen asante

  • @nonveroniquejohn
    @nonveroniquejohn 3 หลายเดือนก่อน

    Amein

  • @KisisiManda
    @KisisiManda 3 หลายเดือนก่อน

    Asante mutumishi

  • @JacklineKwamboka-j9j
    @JacklineKwamboka-j9j 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nisaidie nimsinde adui yangu nipangue mpango yao kwa jina la yesu Amen

  • @AntonyManeno
    @AntonyManeno 3 หลายเดือนก่อน

    Emfalume Wa Mbingu Na nchi Achilia Uwezo Na Mamlaka Ndali Yangu Wa Kuharibu Mipango Ya Nguvu Za Giza Kwa Jina La Mwanao YESU Nimeomba Niki Amin Amen❤❤❤

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 3 หลายเดือนก่อน

    Hayo usemayo Mutumishi nkweli kbc maan sai vita n vingi katika ulimwengu wa Roho at maisha bila kuongozwa n Roho mtakatifu tutashidwa😢😢

  • @SophiaNdilito
    @SophiaNdilito 3 หลายเดือนก่อน

    Nakataaa Uchovu wa kiroho Nakataa Usingizi wa kiroho Napangua Kila Mipango Ya Adui zangu Eeeh Mungu Kupitia Damu ya Yesu Ukanipganie hii Vitaa

  • @JosepherHerman
    @JosepherHerman 3 หลายเดือนก่อน

    Roho mtakatifu naomba niongoze zaidi kukua Kiroho namaarifa zaid

  • @aliaaliamint8545
    @aliaaliamint8545 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen mm Hua nko macho ktk ulimwengu wa Roho lkn mchana Hua sikumbuki chochote

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 3 หลายเดือนก่อน

    Nakataa roho ya usingizi rohoni MUNGU naomba unipe macho ya rohoni

  • @MinzaMadilo-zf5yl
    @MinzaMadilo-zf5yl 3 หลายเดือนก่อน

    Napangua mipango ya adui katika ulimwengu wa Roho katika jina la Yesu na damu ya Yesu kristo.Amen

  • @OliveAmuri
    @OliveAmuri 3 หลายเดือนก่อน

    Na kataa usingizi wa kiroho Kwa Jina la Yesu, na panguwa mipango mibaya ya adui zangu na leta ushindi kwenye maisha yangu ya kimwili kama vile yakiroho Kwa Jina la Yesu Ameena

  • @lydiacyrus-pl9mw
    @lydiacyrus-pl9mw 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu nisaindie kutoka kwa uzingizi na Pia nakataa kushindwa katika damu ya yesu,nitengeneze upya mungu wangu

  • @teresiaemmanuelmswamwajuma2464
    @teresiaemmanuelmswamwajuma2464 3 หลายเดือนก่อน

    My situation right now 😢

  • @doreenkanje9839
    @doreenkanje9839 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mafunzo mazur Lakin Jaribuni kutoa sauti Yani music kuingiliana unasumbua kuelewa nini unafundisha

  • @AbasTalimba-le7do
    @AbasTalimba-le7do 3 หลายเดือนก่อน

    Napangua mipango ya maadui zangu

  • @ValentinaMashaka-nr1jv
    @ValentinaMashaka-nr1jv 3 หลายเดือนก่อน

    Mm ninashida nisinge penda kutaja jina langu muchungaji mm kila siku naota ndot za kukuta na watu ambao hat kunawengine nisha wasahau kweny maisha sijui ni kwann

  • @JaphetJuma-i9m
    @JaphetJuma-i9m 3 หลายเดือนก่อน

    Kama mimi nimejoka

  • @GloriaMillinga
    @GloriaMillinga 3 หลายเดือนก่อน

    Pastor unaongea sanaa, tufundishe namna ya kuisha maneno ya Mungu,

    • @neemakawogo5479
      @neemakawogo5479 3 หลายเดือนก่อน

      Hata anachoongea ni namna ya kuishi maneno ya Mungu

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  3 หลายเดือนก่อน

      Tunaongozwa na Roho Mtakatifu na hatuongei kwa matakwa yetu kama watumishi, jifunze hekima

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @victormkello9575
    @victormkello9575 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @MariamNyamwelu-bz1ny
    @MariamNyamwelu-bz1ny 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen🙏

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 3 หลายเดือนก่อน +1

    I received

  • @SailisMsuha
    @SailisMsuha 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @cathelinemadembwe5561
    @cathelinemadembwe5561 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @LeahHaule-m6b
    @LeahHaule-m6b 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @lusilusi8687
    @lusilusi8687 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @florencenshimi9353
    @florencenshimi9353 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen.