SIRI YA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA || 01/06/2023
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 พ.ค. 2023
- Gospel Teachings for soul winning Purpose.
#jrcchurch #Tanzania #jrctz
Gospel Teachings for soul winning Purpose.
Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa
Gospel Teachings for soul winning Purpose. - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Kusudi saba za maombi;
1.kumjua Mungu zaidi
2.ugundue kusudi la Mungu.
3.kugundua njia za Mungu.
4.kukubadilisha.
4.kukubadilisha.
5.kukomesha mbinu au matendo ya shetani.
6.kutaka ubiya na Mungu.
7.kwa ajili ya mahitaji yako.
Ubarikiwe sana mtumishi kwa ya hubiri hili umenisaidia sana
Ubarikiwe sana mtumishi kwa ajili ya hubiri hili umenisadia sana kuelewa maana ya kuomba asante sana
Ubarikiwe mtumishi wa bwana
No ya Mchungaji naombeni 😢
Amen Mchungaji nimebarikiwa sana
Huyu pastor 🙌🙌🙌 Mungu akubariki sana pastor. We are blessed to have you 🙏
Nimerudi kwa yesu kupitia hili neno lm saved from now in Jesus name amen
Wow.. Amen🙏🙏
Mungu akutie nguvu katika hili uzidi kumjua zaidi jina la Bwana libarikiwe. Amen 🙏 🙏
Ameeeni Limebadilisha jinsi ya kuomba
Jamani naombeni no ya kutolea sadaka yangu nikufatilia sana baba yangu Mungu akutunze sana
Mungu nisaindie nijue kuzudi lako mwokonzi Yesu
Amen Amen sana baba Mungu akubariki sana nakataa halizote mbaya
Mungu anisamee baba mchugaji nahitaji niwe mpya 🙏🙏🙏
Kupitia mtumishi huyu ametufungua wengi nn kusudi la kutaka kuwa mwana maombi,watu tunapenda sana miujiza kuliko uhalisia wa mungu,hakika sijatoka bure mungu azidi kukubariki mtumishi.
Thank you pst am much blessed
Mimi Niko Arabia,Huwa nasikiza maubiri yako na tangu siku hiyo nilipoanza kukusikiliza na sikia nina amani moyoni, Mungu akubariki mtumishi
Mungu ambariki huyu pastor amanisaidia sana
Same to momma,,,he has really powerful message 🙏
Am always blessed by yua preachings mchungaji
Thank you pasi nimeshukuru sana kwa hii neno ya mungu na mafunzo mazuri , umetumwa na mungu barikiwa sanah
Haitatokea tena kuzaa na kla mwanaume na niachike in jesus name amen 🙏🙏🙏
Mungu akupe ndoa ya madhabahuni.
Haitatokea in Jesus name 🙏
@@stelapeter9243Amen
Really this word is for me,,and due to weakness of praying,God has given me some talents I need to put more effort
This word came at the right time to me thank you servant of God
Amen 🙏💝
Mi nimejifunza vitu vingi Sana Jamani wenzetu mwanza wanafaidi,Ubarikiwe mtumishi
Amina kwa mafunzo mazuri
Amen
Amina nimepata jambo jema sana
Amen
Nashukuru sana pastor nimejifunza mengi mno haki wengi tunamkosea mungu.
Napataje namba yako. Nahitaji kuongea na wewe please
Mungu ameachia kipawa kikubwa ndani yako, Ubarikiwe mno na uzidi. Amen
Asante Mungu kwa kuniunganisha na pastor George.
Hallelujah powerful message MUNGU akubariki sana mutumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏
This is the word I was need in my life thank you man of GOD ❤
Powerful teaching ..Kusudi saba za Maombi!
Thank you God of pastor George I have been waiting mafundisho kama hii. And am starting praying now. Coz nataka kumjua huyu Mungu zaidi, namimi namwahidi Mungu baba yakuamba sitamwacha kama vile Elisha hakumwacha Elijah ...Hadi alichokipata kile alikua kusudi nalo🙏
SoMo la Leo limenitoa mahali furani😊
Mungu naomba akutunze Sana pastor maana umetuvusha kiroho Sana, na niombe unisaidie Sana mawasiliano kwa msaada maana ninatamani. Nimlingane mungu wangu nisaidie mchungaji,asnte nakushukur
Amen Amen barikiwa tena mutumishi wa Mungu
Mungu abariki mutumishi wake
Asante sana kwa kufafanuwa maana ya maombi na kanuni zake 7🎉🎉. Nimefaidi sana
MUNGU MLINDE HUYU MTUMISHI WAKO.. MAFUNDISHO YAKE YANATUSAIDIA SANA.
Praise God,mtu anitumie no.yenye naweza toa sadaka nayo juu yenye ntuma nayo haiendi.nko Kenya plz huyu pastor amekua baraka kwangu Sana.thanks
Tumia account ya bank imewekwa hapo,KCB Bank
I don't know this pst was just scrolling and i saw his teaches. i feel blessed with this topic jensi ya kuomba.
Pastor mungu akubariki umeikuza Imani yangu kupitia mafunzo yako
Uniombee not feeling good since,2007
Mateso niliyoyapitia hayatarudi tena mara ya pili in Jesus name 🙏🙏🙏 natarajia jambo jipya kutoka kwako kristo Yesu mwana wa mungu aliye hai🙏🙏🙏🙏
Kweli Kuna wakristo wanalishwa vilivyo hai vya kristo ,,ubarikiwe mtumishi
Asante mtumishi, neno ni uponyaji. Naamini kwa neno lako hili nimepona. May God bless you 🙏
Thank you pastor for the word, nimejifunza mengi saana na zaidi ya yote nimepata wakovu kwa haya mafunzo. You have gained a follower. May Almighty God continue to use
Thanķ man of God
Asante saana mtumishi kwa somo zuri, ambalo limenifundishà ili nianze upya kwenye maombi, ubarikiwe mnooo na Mungu
Hallelujah tutashinda zaidi ya kushinda katika yeye aliyetupenda, Ahsante Mungu kwa ajili ya Mtumishi wako nabarikiwa mnooo.
Mafundisho kama haya ni adimu Mungu azidi kukutumia.
Thank you Jesus kwa ajili ya neno hili la mtumishi wako kwa kusudi la mungu
Kwa kweli Mungu akubariki pasta geoge nimejifunza mambo mengi kutoka kwako.barikiwa.
Barikiwa sana mtumishi 🙏🙏🙏 kwa maana tunahitaji kujazwa kiroho🙏🙏🙏🤲🤲🤲
Asante sana mtumishi wa bwana.
Mungu akubariki pastor, and let the favor of the mighty Lord be upon you and your ministry
Thank you lord Jesus for talking with through spiritual life 🙏🙏
Nimejifunza kitu hapa 🙏🙏🙏 asante Sana mwalimu ❤❤
Asante mtumishi wa Mungu umenifungua pakubwa sana
Ahsante mtumishi Ubarikiwe!!! Kuanzia leo nalitafuta kusudi lako katika maisha yangu,,,,,Ameen
Ameni Ameni ubalikiwe sana mtumishi nime balikiwq pia na mafunzo yako
Nimejifunza mengi na tutabadilisha jinsi ya kuomba mungu akubariki sana mutumishi wa mungu
My first time listening to your teachings umenijenga naona nikibadilika
Man of God, you're a blessing to many, we've learnt a lot through your teaching concerning prayers may Almighty Jehovah give you more grace. Watching from Kenya Laikipia.
Asante mtumishi wa Mungu unanibariki sana
Natamani ningekuwa mwanza wachungaji km hawa wanaofundisha ni wachache sana wachungaji wengi sasa hivi wamebaki wapigaji kufundisha habari ya mafanikio kuliko kuwa na mungu mchungaji nakufatilia sana Ktk maisha yangu Mimi nipo daresaalam wachungaji wengi huku ni wa miujiza mafua maji na chumvi tu wamebaki kibiashara zaidi ubarikiwe sana mtumishi
Ni kweli anafundisha sana
Powerful teaching, God bless you man of God
Amen
Pasta hongeren ninapenda sana mahubir yako ninaelewa pamoja na kuwa Mimi ni muislam
Mwenyeezi Mungu akutangulie katika utumishi wako na akutie nguvu na Kila hitaji la moto wako akalitimize na Afya njema akujaalie.
Amina sana zaidi na zaidi uzidi kubarikiwa
Amen mtumishi nmesikia haya maubiri yako leo nmebarikiwa Bwana azidi kukuinua Amina
I was in a moment of prayer and this sermon just popped on my youtube. I was worshipping and I know this sermon didn't just show up. Its speaking to me.
Asante Mtumishi. You have touched a gal in Kenya going through divorce
Lloyd aw
Nimekosa Cha kusema,nimejikuta napata Amani Moyoni nikisikiliza masomo Yako Pastor,ubarikiwe sana
Amina Amina pastor nimepokea maarifa mpya
Pastor mungu akubariki sana kwa neno,,,,,naomba simama Nami kwa maombi ,,,,,ili mungu aongesekana maisa yangu saidi.
Mungu wa mbinguni Akuzidishie Great Man of God.. Napenda saaama Maubiri na Mafundisho yako yatokayo Kwa Baba Mungu .....Jina la Yesu Lihimidiwe Mile na milele Daima...Amen . Amina . Shallom❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nabarikiwa sana na mafundisho ya Pastor George
BABA MUNGU akubariki kabisa kwa somo zuri sana
Amen amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Wonderful man of God.
Amen Naomba sana nikuwe kiroho Ee. MUNGU nitumie 😢
Asante mtumishi nimebarikiwa sana
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu,ulifunza kuhusu kuomba usiku wa manane nikajipata naomba kufunuliwa vitu kwa ndoto nashukuru Mungu kwa ajali yako.kwa hili pia najua nitasoma mengi asante
Asante Mungu wangu kwaneno hili amen
Naomba Mungu wangu unisaidie nipote uvimbe wa Kwenye kizazi bila upasuwaji ktk jina la Yesu.Amen
Yaani huyu mt yuko vizuri kwa mafundisho yake ukiyasimamia lazima ufunguliwe
Thanks pastor be blessed
Asante pasta ibarikiwe
powerful teaching am blessed man of God
Amina mtumishi mungu azidi kukutumia tunahitaji watumishi kama hawa wanao tufundisha maandiko sio walewanao SEMA pokea watapokea visivyo pokeleka nimekupenda sana mtumishi nakuombea sana mungu azidi kukutumia uzidi kitufundisha 🙏🙏
Mtumishi safi saut safi yaan upako unakuja bila shida
Siyo kwingne makelele hata anacho ongea hakieleweki
Amen mafunzo hii ya rohoni imenisaidia na kuniweka latika viwango tofauti kimaombi.
This is really for me it's the true word of the Living Almighty God
I'm so much blessed.
Nimebarikiwa sana Asante mtumishi Mungu akutumie zaidi
Nashukuru Mungu kwa kukuleta Pastor katika maisha yangu umenifundisha Imani na neno
Mtumishi Mungu apanue mipaka yako na kuongeza hekma take juu yako Kwa ajili ya matu wake.
Pastor Mungu akubariki sana umenivusha mahali barikiwa sana
Huyu pastor ni noma GOD bless u sana😊
Hakika mtumishi wa Mungu maombi ni leseni, ninaomba uniombee , Kuna situation ninapitia kuhusu maombi
Thanks so much God bless
Powerful pastor be blessed nmejifunza kitu
Amen mtumishi wa mungu naamini yalio nifanyikia mwezi jana hayatarudiwa tena.NEVER AGAIN.ubarikiwe sana kwa neno lako lenye mafundisho.
Amen
Asante sana Babaku God bless you
Glory to be God ❤❤❤
Ahsante Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri Naamini nimepata nguvu ya kuomba zaidi.
Najiungamanisha na madhabahu hii kwa jina la yesu🙏🙏🙏
Asante sana pastor kwa kunisaidia
Ubarikiwe sana mtumishi wa mngu nilazima tupambane nakila njaribu tusi Kate tamaa bado mngu yupo Asante 🤲🏼🙏🏼🙏🙏🙏🏼🙏🙌🙌🏼🔥👏👏🔥👏
Am always blessed by words of God that reaches me here at Gigiri police westlands nairobi city
Mtumishi mungu akupe maisha marefuuuu amen❤
KIU kweri uyu muchungaji a anajuwa kufundisha nifunguriwa sana
Inaongeya kweli baba umebibariki
AMEN AMEN AMEN AMEN
Hakika nimejifunza siri kubwa sana, barikiwa mchungaji