Mimi kiukweli nakukubali Waziri Wa Katiba na Sheria..Ni baba,Mwalimu,Unayemheshimu Mungu.Mungu akubariki na uenende hivyo hivyo bila kuburuzwa na siasa
Waziri kasema kweli. Wakurya talanta yao ukitoa hata huo ukeketaji, ni kipigo kwa wanawake. Ndo ushangae mbona hawaendi kupigana ndondi za kulipwa kama wao mahodari kiasi hicho? Kuzichapa na wanaume wenzao hawawezi, lakini kuchapa wanawake ni mahodari.
Mimi kiukweli nakukubali Waziri Wa Katiba na Sheria..Ni baba,Mwalimu,Unayemheshimu Mungu.Mungu akubariki na uenende hivyo hivyo bila kuburuzwa na siasa
class.... tumekuelewa. ...
kabudi alipaswa baada ya magufuli afuate yeye
Tumesikia
mi sielewi wanacheka cheka nini hapo tunadiscuss very crucial issue wabunge wanachekacheka, wanaharakati watanielewa naongelea nini!
Waziri kasema kweli. Wakurya talanta yao ukitoa hata huo ukeketaji, ni kipigo kwa wanawake.
Ndo ushangae mbona hawaendi kupigana ndondi za kulipwa kama wao mahodari kiasi hicho? Kuzichapa na wanaume wenzao hawawezi, lakini kuchapa wanawake ni mahodari.
Noma
Ok
Hahaha
Jamani Waitara kalewa hapo?
Umeona eeh. Yaani nikutudharau wananchi tuliomtuma huko, kuingia kazini na uso mzito kama kabeba kifusi.