BUNGE LAZIZIMA, NONDO ZA PROF. KABUDI, "ILIKUWA INAITWA MALAYA", ATOA USHAURI HUU KWA RAIS SAMIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ค. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 15

  • @ernestkaji9640
    @ernestkaji9640 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ibariki Tanzania na watu wake waadilifu ka Palamahamba kabudi prof.😊

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mmoja ya watu wachache wanaofahamu mambo ya dunia na hata ya historia.

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hivyo hivyo bwawa la maji MABATANI Muheza. Hili lichimbwa na Wajerumani likawa launywesha maji mji mzima wa Muheza, kuwapa samaki na kufanya mazingira yawe mild. Lilipoporomoka hakuna tena mtu wa kulishughulikia.
    Kama Tanzania haitajipanga katika 'water management' hakutakuwa na maendeleo.

  • @shekhaahmed3961
    @shekhaahmed3961 2 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah..huyu kweli Profesa, ndio tunataka mawazo n plan kama hz zinazo ona Mbali.

  • @willymwakasweswe2959
    @willymwakasweswe2959 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe siku nyingi za kuishi kiongozi wetu hiyo ni sauti ya watu

  • @theobartkingamkono5087
    @theobartkingamkono5087 2 หลายเดือนก่อน

    Hizo ni hadithi viongozi wa kufanya hayo wako wapi ww wambie kushindana na lisu hapo utaeleweka

  • @philipjoseph5931
    @philipjoseph5931 2 หลายเดือนก่อน

    Palamagamba kwa kisukuma maana yake ni mkwangua magamba. Kweli unastahili ku kwangua magamba yaliyoganda kwenye bongo za watu yanayozuia fikra za Maendeleo. Kabudi Kisukuma ni Koti kubwa. Akili zako ni kubwa sana (Zamani nilidhani wewe msukuma sasa sijui haya majina kwa Kigogo maana yake)

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 2 หลายเดือนก่อน

    Shida tunaanza Vizuri alafu miladi tunashindwa kuindesha ..Tazara hoi..BRT mwendokasi hoi..Shirika la Ndege Hoi..na hasara kuna wakati Serikali inafanya kazi nzuri lakini Watendaji hovyo Watanzania tuwe Wazalando na Mali zetu tuache uchotaji.

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 2 หลายเดือนก่อน

    Upande wa Reli ni vema waangaliwe wahishimiwa wanaomiliki malori!

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 2 หลายเดือนก่อน

    Level of tundundulisu who can trying to answe tundundulisu is professor kabudi l said he can trying but not easy because reality underground will remain reality underground although on ccm to be voice on Tanzania population is the bug challenge

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu ndo msomi wa kweli ❤❤

    • @NDEWARA
      @NDEWARA 2 หลายเดือนก่อน

      Si uandike kiswahili 😂😂

    • @franaelisumari5108
      @franaelisumari5108 2 หลายเดือนก่อน

      Ohoo my lovely country Tanzania 😢😢😢 nina mda sasa hivi watengeneza reli ya SGR hawaonekani site Shinyanga.Kumechimbwa but kwa sasa sijui kilichowasibu hadi wasionekane tena.Huku hakujaisha,wajenzi hawaonekani site,huku mipango mingine ya reli,hii haijakaa sawa wapendwa.KWELI MAMBO YANAYOFANYIKA YASIYO SAWA YANATUUMIZA SANA WANANCHI.I LOVE YOU TANZANIA.MUNGU AKULINDE TANZANIA 🇹🇿 NCHI YANGU.

  • @DamasNakei-bb7le
    @DamasNakei-bb7le 2 หลายเดือนก่อน

    Nashauri serikali iwekeze zaidi kwenye reli katika mpango wa muda mrefu, miaka 20 Hadi 50. Kwa kuanzia, kuunganisha Arusha na Dodoma; na Iringa na Dodoma, hatimaye makao makuu ya mikoa. Ni miundombinu muhimu kwa maendeleo ya nchi.