Rais Magufuli aeleza sababu za kuwabadilisha Prof Kabudi na Dkt Mahiga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 5 ปีที่แล้ว +6

    kabud anaijua sheria kwahyo hata mwekezaj akitaka kuja anapewa mistar ya mana safi Sana hongera jpm

  • @issakabwende5083
    @issakabwende5083 5 ปีที่แล้ว +5

    Rais wangu kocha wa timu ya Maendeleo FC TZ panga tu kikosi muhimu tunashinda mechi nyingi za nje na ndani ya nchi

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 5 ปีที่แล้ว

    Bonyeza picha hii yangu kushoto kwako kisha bonyeza neno subscribe uone mwanzo mwisho Tundu Lisu alicho ongea kuhusu Lowasa kuhamia CCM

  • @salimmauly9575
    @salimmauly9575 5 ปีที่แล้ว

    Huu ni mchezo wa kuigiza tu hebu hoji na Yale makontena ya bashite magari bandarini mkasa wahivi karbuni kuhusu utoroshaji wa dhahabu kuhusu kupigwa risasi tundu lisu na mengine ama mkuu huyakumbuki hayo

  • @daruweshimohamed1906
    @daruweshimohamed1906 5 ปีที่แล้ว +2

    Nam mheshiwa panga tim yako

  • @manuelgonzalezz4193
    @manuelgonzalezz4193 5 ปีที่แล้ว

    Wakwanxa kucomment....likes zenu plx

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania 5 ปีที่แล้ว

    Jaji mkuu is not part of wizara ya sheria kimfumo.