WAZIRI KABUDI AWATAJA MARAIS na VIONGOZI wa KIMATAIFA Waliohudhuria MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 มี.ค. 2021
  • WAZIRI KABUDI AWATAJA MARAIS na VIONGOZI wa KIMATAIFA Waliohudhuria MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI
    MWILI wa Hayati John Pombe Magufuli, umewasili Dodoma ambapo leo Machi 22 utaagwa kitaifa jijini humo, ambapo Marais na Viongozi wa kutoka nchi mbalimbali watashiriki zoezi la kutoa heshima zao za mwisho kwa shujaa huyo wa Afrika...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 19

  • @ericavram9448
    @ericavram9448 3 ปีที่แล้ว +1

    This guy can be also a good president

  • @jumamavind7713
    @jumamavind7713 3 ปีที่แล้ว

    Asante waziri Kabudi kwakuonyesha ushujaa na ukakamavu kuwatambulisha viongozi wa nchi nawakimataifa

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ndio kilakitu mungu ni Mwema

  • @user-uv2uo2ic2y
    @user-uv2uo2ic2y ปีที่แล้ว

    hakika umetuumiza baba yetu mungu akulide baba yetu bwana ametwa bwana ametowa bay baba

  • @elrachum3866
    @elrachum3866 3 ปีที่แล้ว +2

    Rip JPM

  • @AmaniPFungo
    @AmaniPFungo 3 ปีที่แล้ว +2

    dakika ya 2:30 kwa ajili ya utambulisho wa majina

  • @nelsonngowi3950
    @nelsonngowi3950 3 ปีที่แล้ว

    Inauma sana kwakwel. Kazi zako zitakushughudia hata wakat haupo

  • @revocatusmpemba4237
    @revocatusmpemba4237 3 ปีที่แล้ว

    Bulian shujaa wetu

  • @juliuslangat9148
    @juliuslangat9148 3 ปีที่แล้ว

    Next Vice president

  • @luzigakapande6921
    @luzigakapande6921 3 ปีที่แล้ว +1

    Mh Kabudi unafaa kuwa makamo wa raisi wa Tanzania

  • @luzigakapande6921
    @luzigakapande6921 3 ปีที่แล้ว

    Waziri Mh Kabudi anafaa kwa makamo wa Raisi

    • @cdealvic4400
      @cdealvic4400 3 ปีที่แล้ว

      Nakuombea uwe makamu wa rais tz

  • @manuraurent7910
    @manuraurent7910 3 ปีที่แล้ว

    Palamagamba kabud unafaa kuwa makamu wa rais kwa kwa ukakamavu unaoonyesha

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 ปีที่แล้ว

    Kauwa sana alidiriki kujiona yeye ndio kila kitu alisahau kama yeye alituomba kazi kutoka kwetu kua mtumishi wetu, baadae akaazakugeuka na kuuwa, kutesa,kunajis,kubambikia watu kesi za kutakatisha, kuweka mashehe wa bara na wa visiwani ndani kwa kesi ugaid Allah hazihakiwi kampulizia Corona hivisasa chali haamki tena hata Bishop Gwajima akizikiri uchi na hata Wilson Mahera akimtangaza tena na tena hatoamka tena kwisha zulma.

    • @davivancee9991
      @davivancee9991 3 ปีที่แล้ว

      Wee fara kweli hujielewi

    • @filbertmwanyika6823
      @filbertmwanyika6823 3 ปีที่แล้ว

      Duh umekosa hekim nyau wewe

    • @lughanojohn4211
      @lughanojohn4211 3 ปีที่แล้ว

      Una laana sana wewe sio bure,, MUNGU Akusamehe bure kwa kukosa hekima na malezi bora utotoni mwako......

    • @joycekelvin5434
      @joycekelvin5434 3 ปีที่แล้ว +2

      Ni bora mama yko angetoa mimba yko kuliko kuleta laan katika ktk nchi yetu

    • @rukayyawendo1268
      @rukayyawendo1268 3 ปีที่แล้ว

      Pole dada kwa kumsema maiti kwa mabaya