WAZEE WA IKUNGI WAONGEA MAZITO WAKATI WA KUMPOKEA TUNDU LISSU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 304

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 4 ปีที่แล้ว +17

    Inaniliza bado. Hongera sana mkuu, pole sana mkuu, na hongereni sana wazee wa Singida na watanzania wote mlioko hapo

  • @nasonchisota6241
    @nasonchisota6241 4 ปีที่แล้ว +8

    Nimefurahi sana japo me siyo mtu wa singida ila nimeenjoy., nimependa sana huyo Mzee wa kwanza busara nyingi sana na imani kubwa., Amina inshiallah🙏

  • @marcusraina3682
    @marcusraina3682 4 ปีที่แล้ว +10

    Akuna kitu ni kinacho nifurahisha kwenye maisha Yangu kama kumuona tundu Lissu hivi. Sina cha kukupa Mola wangu zaidi ya kusema asante

  • @lazaruschalomhola9035
    @lazaruschalomhola9035 4 ปีที่แล้ว +29

    Nafurahi kumwona Tundu anaongea kikwao. Inaonyesha alilelewa. Move foward!!!

  • @thomasnyahende188
    @thomasnyahende188 4 ปีที่แล้ว +4

    Ahsanteni sana wana Singida Mashariki kwa mapokezi mazuri na mapenzi yote kwa Mhe Tundu Lissu.

  • @janeenock2370
    @janeenock2370 4 ปีที่แล้ว +26

    Rais rais mungu akutunze

  • @kizakakozi4600
    @kizakakozi4600 4 ปีที่แล้ว +11

    Our president, no matter what, we behind you 100%, ccm sote tumehamamia kwako, Tunahofu, yakujihonesha, hii serikali yakidictecta tumechoma

  • @ambrosdavid4484
    @ambrosdavid4484 4 ปีที่แล้ว +30

    Tundu lissu unapenda sana wananchi wako safi sana mtani wangu

  • @barakawangao2258
    @barakawangao2258 4 ปีที่แล้ว +23

    Mungu wetu ni mwaminifu sana

  • @eliasfijabo945
    @eliasfijabo945 4 ปีที่แล้ว +8

    Hawa wazee kiboko yao,hongera mheshimiwa lisu kukanyaga ardhi yanyumbani. Mungu akuzidishie kuimarika.

  • @derickthobias6393
    @derickthobias6393 4 ปีที่แล้ว +19

    Tusitukanane jaman kila mtu achague anachotaka. #Niyeye lissu 2020---2025

  • @janeobure1859
    @janeobure1859 4 ปีที่แล้ว +36

    Serikali ilifanya kosa kubwa Sana kwa huyu jamaa. Yaan MUNGU hashindwi najambo hakuna magumu yanayomshinda.

    • @lindambilinyi6253
      @lindambilinyi6253 4 ปีที่แล้ว +3

      Hakika,na wanateseka Sana na lisuuu hahahaha

    • @gizakazeno1688
      @gizakazeno1688 4 ปีที่แล้ว

      Kawaida sana

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu Ana huruma na neema. Hakuna linaloshindikana kwake🙏

    • @janeobure1859
      @janeobure1859 4 ปีที่แล้ว +1

      @@adelinelyaruu3036 hakika hakuna linaloshindikana kwake muumbaji wetu.

    • @cosmaswilliam3805
      @cosmaswilliam3805 ปีที่แล้ว +1

      Ipo siku utakuja nyumban ntakupa jogoo

  • @georgepondelo4845
    @georgepondelo4845 4 ปีที่แล้ว +7

    Hongera wananchi kwa kumuunga mkono na kuonesha upendo kwa kamanda wetu

  • @fredrickmuganyizi9657
    @fredrickmuganyizi9657 4 ปีที่แล้ว +3

    Niyeyee kweli Raha Sana kipenzi chawatu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏✌️✌️✌️✌️

  • @amosgerald7763
    @amosgerald7763 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana rais wetu Tundulisu Mungu akutie nguvu

  • @hurumamboya3072
    @hurumamboya3072 4 ปีที่แล้ว +29

    Mzeee wa kwanza ni mwana siasa na ni mcha MUNGU wa pili ni Emc mzuri sana na mhamasishaji na mpambe mzuri sana

  • @brightnesstwins2998
    @brightnesstwins2998 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ana sababu na wew Mhs wetu, tusemenin juu yako Rais wetu 2020

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 4 ปีที่แล้ว +21

    Hapa mkiniambia huyu atakuwa Rais wa wanyonge ndo naweza kukubali. Kinyume na hapo ni mbwembwe tuu

    • @barackramathan4871
      @barackramathan4871 4 ปีที่แล้ว

      rais wa mashoga wezie

    • @annapeter4994
      @annapeter4994 4 ปีที่แล้ว +1

      @@barackramathan4871 maneno yako ndo utambulisho wako, kuwa we ni mtu wa aina gani. Pole zako

    • @barackramathan4871
      @barackramathan4871 4 ปีที่แล้ว

      hukuna rais apo jingailo

    • @issamunga9039
      @issamunga9039 4 ปีที่แล้ว

      @@barackramathan4871 wewe unaonesha ni mtu wa aina ile ya wale wa Hai huko Kilimanjaro , wasiokuwa na akili ambao wanapewa pesa ili kuja kutoa upuuzi humu.

    • @issamunga9039
      @issamunga9039 4 ปีที่แล้ว +1

      Hivi hadi leo kuna ambae hajaelewa tu kumhusu huyu Lisu ? Kama bado kwa kweli cha kuvumba hakina dawa kajitibu kwanza maradhi yako ya utahira.

  • @fabiolapanga8680
    @fabiolapanga8680 4 ปีที่แล้ว +5

    Ee mwenyezi mungu tunakushukur kwasababu umetuhakikishia shetan hana nafasi tena

  • @wezydullah2678
    @wezydullah2678 4 ปีที่แล้ว +32

    Wanyiramba hatupo nyumaaa tupo na wewe mnyanfaaaaaa

  • @lessingondaine1581
    @lessingondaine1581 4 ปีที่แล้ว +9

    Jamani lissu I love you

  • @heavenlymusicproduction4360
    @heavenlymusicproduction4360 4 ปีที่แล้ว +23

    Duuuuuu mzeee ana IMANI sana

  • @nururobert7172
    @nururobert7172 4 ปีที่แล้ว +4

    Ushauri wangu kama unapitia comment naomba andaa siku maalumu yaibada yakumshukuru Mungu ,wanaoweza kukuunga mkono watakuunga yaani wewe ukitazamwa nimuujiza wa Mungu unaweza fanya watu wengi wamwamini Mungu.

  • @charlesiwambura2508
    @charlesiwambura2508 4 ปีที่แล้ว +3

    hongera kwako Mhe lissu huu mwaka wetu

  • @ndootowilliam5453
    @ndootowilliam5453 4 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana Lissu ..Utashinda ndo maana ulishinda risasi 16

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 4 ปีที่แล้ว +10

    Jamani angalia wasimuue mzee wa watu .Mafisadi hawapendi kuelezwa ukweli

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 4 ปีที่แล้ว +31

    Daaa, nilizani uchaguzi Ni mwepesi ila sasa uchaguzi ni mgumu sn

    • @pascalstealthy8378
      @pascalstealthy8378 4 ปีที่แล้ว

      Ugumu wake nn..wakat wapinzan kura zap zinagawanyika hao....

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 4 ปีที่แล้ว +10

    Hawa wazee jamani, mbunge wa fursa... 😀 😀 😀 😀

  • @robertmwagala8280
    @robertmwagala8280 4 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana mzee wetu!

  • @joshuabanda8673
    @joshuabanda8673 4 ปีที่แล้ว +2

    panga siku ya kumshukuru mungu kwa uponyaji wa maadui waliokusudia ufe lakini mungu akabatilisha ni jambo jema ukifanya hivyo lakini pia songa mbele acha kusikiliza maneno ya wakatisha tamaa

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 4 ปีที่แล้ว +14

    Kweli tumshukuru Mungu kwa maajabu yake.

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 4 ปีที่แล้ว +11

    Tembo anapigwa risasi moja chali kafa lkn lissu lisasi16 anadunda

    • @jumabakari813
      @jumabakari813 4 ปีที่แล้ว

      So binaamu wakaiwada tundulissu

  • @evansm8802
    @evansm8802 4 ปีที่แล้ว +2

    To God be the glory, honour and adoration on the life of Tundu lissu.amen

  • @kinglabanziku9100
    @kinglabanziku9100 4 ปีที่แล้ว +39

    Naipenda chadema kutoka moyoni

    • @linkreuben5804
      @linkreuben5804 4 ปีที่แล้ว

      Atawaua huyo lisu tangu awembunge hajawajengea hata choo. Mwenzenu huko ulaya anashirikiana na mashoga, mnampigia makofi ya nini!

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 ปีที่แล้ว

      Mbunge gani aliwajengea vyoo wapiga kura wake?

    • @Dd-mu4fj
      @Dd-mu4fj ปีที่แล้ว

      @@linkreuben5804 wabunge waliopo wamejenga nini huko kwenu mhh

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 4 ปีที่แล้ว +19

    POMBE AJIANDAE MAANA WAZEE TAYARI WAMESHAPIGA KURA!😄😄😄

  • @sophiemsuya6507
    @sophiemsuya6507 4 ปีที่แล้ว +20

    Mimi nimeipenda tu hiyo sala.

  • @amossbuyamba3269
    @amossbuyamba3269 4 ปีที่แล้ว +1

    Naona mzee anatafta shangwe kwa nguvu.hadi anawalazimisha wapige makofi hahaha😁😁😁😁wajumbe cyo watu wazuri

  • @zawadikamwela6465
    @zawadikamwela6465 4 ปีที่แล้ว +4

    mzee mungu akubariki

  • @nickolassaimon7874
    @nickolassaimon7874 4 ปีที่แล้ว +21

    Wewe ni rais

  • @jeremiadaudi5780
    @jeremiadaudi5780 4 ปีที่แล้ว +14

    Napata raha sana kua na mtu makini kama lissu kwenye nchi yangu ila ccm hawajui umuhimu wako ipo day 1

    • @allybakari5917
      @allybakari5917 4 ปีที่แล้ว

      Mambo nionvyo Mimi kweli uchaguzi huu utakuwa mgumu tuombe mungu

  • @teddykanondo5753
    @teddykanondo5753 4 ปีที่แล้ว +17

    MUNGU NI MWEMA SANA TUMPE KURA ZA NDIO TUNDU LISSU IWE SHUKRANI YETU KWA MAPENZI YA NCHI YAKE MUNGU ATAMWAGA NEEMA NA MIBARAKA TANZANIA. TUNDU LISU NI JABALI. "SALA HIYO MUNGU AMEIPOKEA"

  • @noelbabuya
    @noelbabuya 4 ปีที่แล้ว +6

    Dah huyu mzee kanigusa moyo wangu

  • @juliethmtangoo6210
    @juliethmtangoo6210 4 ปีที่แล้ว +21

    Mzee wa pili ana mzuka😂😂

  • @philliminusmugereza8952
    @philliminusmugereza8952 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana Wazee.

  • @ruwailaomar6501
    @ruwailaomar6501 4 ปีที่แล้ว +1

    Lissu ww ni jembe mungu atakulipa urais kwa dhulma uliyofanyiwa

  • @eliasmathew8471
    @eliasmathew8471 ปีที่แล้ว

    Safi sana waodemoo Rais waghea

  • @georgekandonga6538
    @georgekandonga6538 4 ปีที่แล้ว +13

    Kaka gwamaka naona unavyo pambana mkuu

  • @hansmhalila9019
    @hansmhalila9019 4 ปีที่แล้ว +4

    Tumshukuru Mungu!

  • @brightnesstwins2998
    @brightnesstwins2998 4 ปีที่แล้ว

    Kipenz cha mioyo ya watanzania, Mungu akulinde dhidi ya ila za shetan Mh lissu

  • @ChristerKok
    @ChristerKok หลายเดือนก่อน

    Mungu hakika alionekana kwa matendo.Ahsante mungu kumponya .

  • @elimwemazacharia714
    @elimwemazacharia714 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ni mkuu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @amenyemwansile631
    @amenyemwansile631 4 ปีที่แล้ว +24

    Kama alivyopona na shambulizi la lisasi kimujiza hakika hata urais atashinda kimujiza

  • @adamumarwa8307
    @adamumarwa8307 4 ปีที่แล้ว +3

    Sema raisi wetu tunakuombea tuko kwenye mfungo kwa ajiri yako utarindwe na yesu kanyaga twende

  • @sudibabu8828
    @sudibabu8828 4 ปีที่แล้ว +24

    MUNGU NI MKUBWA

  • @johnisrael1968
    @johnisrael1968 4 ปีที่แล้ว +7

    Kwa kweli busara ni muhimu ni wazi na dhahiri hawa wananchi wa jimbo hili walipokwa mbunge wao na kupewa viti maalum ndg mtaturu.sasa oneni wenyewe.sasa tusubiri tuone kama ccm watashinda hapa yaani imekula kwao

  • @ngosimabwai322
    @ngosimabwai322 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu nimwema

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 ปีที่แล้ว

    Mwache Mungu aitwe Mungu, ni Kama muujiza kumwona Bwana huyu aitwaye Tundu Lissu akiwa amesimama buheri wa afya sijuhi waliopanga na kutekeleza jaribio la mauaji yake wanajisikiaje au wanajitafakari nini katika kumtumikia huyo shetani aliyewatuma kumuuwa Tundu Lissu.

  • @ismailhassan5662
    @ismailhassan5662 4 ปีที่แล้ว

    Jaman nduguzangu mnae muunga mkono lisu tujitaidi kuwajibu baadhi ya mafala wasiojitambua hawaoni atahali ilivyo mbaya sana kazi kusifiya madikteta.

  • @kudraahmad6003
    @kudraahmad6003 4 ปีที่แล้ว +7

    Maguful namba moja tz

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 4 ปีที่แล้ว +2

    Waliosema chadema imekufa cjui wanajionaje sahz na wana bahati waluzuwia mikutano lacvyo wangepata tabu sana,,,,, et upinzani umekwisha haaaaaa

  • @johnisrael1968
    @johnisrael1968 4 ปีที่แล้ว +8

    Ukimlaani aliyebarikiwa unajilaani mwenyewe. Huyu Lissu amebarikiwa kweli

  • @jumamnyambwa3490
    @jumamnyambwa3490 4 ปีที่แล้ว +22

    Mungumkubwa

  • @amosmoses7800
    @amosmoses7800 4 ปีที่แล้ว

    MTU ALIEKUFA KWA LISASI MUNGU AKAMFUFUA. ..
    UJUE HUYO NDIE MTU WA MUNGU ALIECHAGULIWA HUKO MBINGUNI.
    BWANA YESU ASIFIWE !
    HALELUJAH

  • @starniceofficial5492
    @starniceofficial5492 4 ปีที่แล้ว +2

    Ila Kuna wajumbe duuuuuuuu😂😂😂😂

  • @jonhsonminja1960
    @jonhsonminja1960 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nimwema.kwakweli

  • @pascalmstaarabu4372
    @pascalmstaarabu4372 4 ปีที่แล้ว +3

    Ama kweli wasukuma ni watu wapole hawapendi kujisifu. JPM forever

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 4 ปีที่แล้ว +7

    Jamani nyumbani raha sana

  • @tawfiqissa6123
    @tawfiqissa6123 4 ปีที่แล้ว +3

    Vzr Sana kua nawazee wakijj wakia wanaelewana na vjana

  • @fabianchitojo7406
    @fabianchitojo7406 4 ปีที่แล้ว +6

    Lisu unapendwa na watu lakin yakubid usimame kwa hoja ya kujenga ktk kampen zako ili utushawishi sisi wapiga kura achana na hoja za kumponda CCM

    • @victormneney8236
      @victormneney8236 4 ปีที่แล้ว

      kampeni Bado anatafuta wadhamini we inaelekea siyo mtz

    • @fabianchitojo7406
      @fabianchitojo7406 4 ปีที่แล้ว

      @@victormneney8236 nikwel lakn ngoja tuone mwishowe

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 8 หลายเดือนก่อน

    Mtu kwao❤❤❤❤❤❤❤

  • @johnsonmarick45
    @johnsonmarick45 4 ปีที่แล้ว +3

    Its difficult to win people's heart💖

  • @daudisamson8981
    @daudisamson8981 4 ปีที่แล้ว +5

    Pamoja Sana lisu

  • @mohamedmnjeja3271
    @mohamedmnjeja3271 4 ปีที่แล้ว +4

    Kipindi Lisu hayupo walisema wananchi wake hawamtaki wamechoka na pia hawez hata kutetea jimbo tena...😂😂😂😂😂

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว +1

      mm ndıo na sha ngaaa
      kumbe zilkuwa paparaaaa na waswas tu lkn amekubalka kwao na tz woteee

    • @plachidiusrenatus5834
      @plachidiusrenatus5834 4 ปีที่แล้ว +1

      Watesi wake walipo itakua wako hoi

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 4 ปีที่แล้ว +1

      @@twaibumikidadi7377 wale walikua ccm tu wanaaminisha watu hivo

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 4 ปีที่แล้ว +1

      Ndio maana ccm huwa wanaitwa nguruwe na aliewaita hakukosea

  • @rinovarthiliwi1314
    @rinovarthiliwi1314 4 ปีที่แล้ว

    Tundu Lissu Fanya kazi wewe ni Mtanzania. Wakati akina Musiba wakipiga
    umbea wewe fanya Siasa. Unazo kura nyingi sana Tanzania. Unazo kura
    15,008 za Wafanyakazi waliofukuzwa kazi. Unazo kura za Matajiri wa
    Tanzania waliofilisiwa na wafanyakazi wao. Unazo kura za Wafanya
    biashara wa Utalii Tanzania wanaolipishwa kodi hata kipindi cha COVID19.
    Unazo kura za Watanzania walionyimwa huduma za maendeleo na wanalipa
    kodi kisa wabunge wao ni wa upinzani. Unazo kura za wakwe wa wasichana
    Wakenya walioolewa Tanzania ambao wazazi wao wanazuiwa kupelekewa
    Mahindi na zawadi za shambani toka Tanzania.Piga kazi Tundu Lissu.

  • @rashidlighuda6014
    @rashidlighuda6014 4 ปีที่แล้ว +8

    ghunoneye ino, , inapendeza

  • @mussawilson6972
    @mussawilson6972 4 ปีที่แล้ว +1

    viva Lissu, all the best

  • @patricknamangoa6468
    @patricknamangoa6468 4 ปีที่แล้ว

    A man of the people, T.A.L.

  • @isimailimwawa2328
    @isimailimwawa2328 4 ปีที่แล้ว +3

    Wew nomaaaa lissu

  • @janeenock2370
    @janeenock2370 4 ปีที่แล้ว +4

    Babu wa kwanza kanitoa machoz....si kwa maombi hayooo jamanii

    • @benmwasakujonga3575
      @benmwasakujonga3575 4 ปีที่แล้ว +1

      Hadi mie machozi yamenitoka hakika inaumiza and very touching speech

    • @paulinamwahinda7223
      @paulinamwahinda7223 4 ปีที่แล้ว +1

      @@benmwasakujonga3575 mi pia chozi limetoka

  • @hamiskanama1945
    @hamiskanama1945 4 ปีที่แล้ว +8

    Kijiji hakina wa Islam hicho

  • @brobabuu3973
    @brobabuu3973 4 ปีที่แล้ว +14

    DAH HAYA NI MAPENZI.. Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!

    • @jacklinsoteli5232
      @jacklinsoteli5232 4 ปีที่แล้ว +1

      Babu hongera sana kwa kumpa MUNGU utukufu , ila usisahau kwamba mbeba maono hafi mpaka ndoto yake itimie

    • @brobabuu3973
      @brobabuu3973 4 ปีที่แล้ว +1

      @@jacklinsoteli5232 kweli kabisa Asante sana pia

    • @maida2710
      @maida2710 4 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli nyumbani raha mohaja wore hali na anyampaa vito vomela sayu na ogihema raa sayu

  • @zamdakimaro1940
    @zamdakimaro1940 4 ปีที่แล้ว +4

    Ongea kiswahili magufuli akuskie na wananchiwake

  • @ibrahimchediel4867
    @ibrahimchediel4867 4 ปีที่แล้ว +16

    Mzee wa kwanza ni mwanasiasa kwelikweli

  • @lucaskasonde648
    @lucaskasonde648 4 ปีที่แล้ว

    Mmmmmmh kudadek tulijua upinzani kwisha habari yao lkn huyu mwamba kaja kutufua chama tena from death to heal

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 4 ปีที่แล้ว +5

    Monyampaa wokhayaa wodemoo😃😃

  • @keiyalaitayo7903
    @keiyalaitayo7903 4 ปีที่แล้ว

    Chadem tuko pamoja ✌️✌️✌️

  • @kinglabanziku9100
    @kinglabanziku9100 4 ปีที่แล้ว +11

    Chadema

  • @emanuelelius3994
    @emanuelelius3994 4 ปีที่แล้ว +9

    Raha xn kuwa nyumban

  • @ibrahimchediel4867
    @ibrahimchediel4867 4 ปีที่แล้ว +5

    Mbunge wa viti maalum diwani wa viti maalum hii kali1

  • @godfreymagoso5334
    @godfreymagoso5334 4 ปีที่แล้ว

    Hakika huyu ndo mteule eeeh Mwenyezi Mungu mtume Samwel (wananchi) ili akampake Mafuta hiyo October,,,,,,,,
    Na Samwel (wananchi) wajue uteule wako hauangalie sura wala ujabali bali unamwitaji yule mchunga kondoo,,,, naaam huyu ndiye Daudi (lisu) mteule

  • @malingazeboss9351
    @malingazeboss9351 4 ปีที่แล้ว +3

    Tumekuelewa bos wetu

  • @nelsonmasolwa8343
    @nelsonmasolwa8343 4 ปีที่แล้ว

    Uchaguzi mgumu sana

  • @charlespaul721
    @charlespaul721 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akutangulie lissu

  • @samwelmgomba5214
    @samwelmgomba5214 4 ปีที่แล้ว +5

    MUNGU akubariki wewe na family yako.

  • @jjm4583
    @jjm4583 4 ปีที่แล้ว +4

    Waooooooo nafrah na mie

  • @endwardntandu3736
    @endwardntandu3736 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe tundu lisu acha kuwadanganya wanyaturu wenzako wewe huna maana Sana

  • @chazbhai9268
    @chazbhai9268 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana baba sema baba

  • @derickthobias6393
    @derickthobias6393 4 ปีที่แล้ว +3

    #niyeye tundu lissu 2020

  • @brightnesstwins2998
    @brightnesstwins2998 4 ปีที่แล้ว

    Mim sina rais mwingine zaid ya Lissu, ashinde asishinde atakuwa rais wang tu

  • @pogbabundala8758
    @pogbabundala8758 4 ปีที่แล้ว

    Ila sas kwenye kugha mmetuchenga aisee lakn so mbay M4c