PART 3: BAHATI BUKUKU Afunguka KWANINI WATU WANAANGUKA KANISANI, WANAWAKE WANA MAPEPO? | HARD TALK

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • PART 3: BAHATI BUKUKU Afunguka KWANINI WATU WANAANGUKA KANISANI, WANAWAKE WANA MAPEPO? | HARD TALK
    HII ni sehemu ya tatu ya mahojiano ya Mtumishi wa Mungu Lilian Mwasha na mwimbaji wa injili, Bahati Bukuku, kwenye kipindi cha Hard Talk..
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 194

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +1

    Global App ni ya kwanza kwa BREAKING NEWS🗞, MICHEZO⚽ na BURUDANI🎷 *DOWNLOAD sasa👍
    iOS 👉 apple.co/38HjiCx
    Android 👉 bit.ly/38Lluc8

  • @user-mi5pf2ip1m
    @user-mi5pf2ip1m ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki Dada kwa huduma yako, pia napendaga unavyo sitiri mwili wako sio kama wahimbaji wengine ubarikiwe Sana.

  • @salomekombo215
    @salomekombo215 ปีที่แล้ว +6

    Asante mtumishi wa Mungu Bahati bukuku nakupendaga sanaaa maneno yako yameniingia asante mtumishi mbarikiwe sanaaaa❤🙏

  • @lindsaymocheche5970
    @lindsaymocheche5970 ปีที่แล้ว +6

    I love Bahati Bukuku so much

  • @wilkadaniel9135
    @wilkadaniel9135 ปีที่แล้ว +12

    🤣😂🤣😂fuga mbuzi kuliko mwanaume,u are right

  • @dianamachange1675
    @dianamachange1675 ปีที่แล้ว +6

    Dah.. umenifungua sana dada bahati.. Mungu akubariki sana..

  • @mariamkasongo1906
    @mariamkasongo1906 ปีที่แล้ว +4

    Asante dada Bahati umenisaidiya sana kiroho piya kimwili zaidi umeongeya ukweli wamaisha ya wanawake wengi ndani ya ndoa zenye migogoro

  • @neemachami9269
    @neemachami9269 ปีที่แล้ว +7

    Asanteni watumishi wa Mungu 🙏🙏Leo mmesema na moyo wangu

  • @marthaochieng1340
    @marthaochieng1340 ปีที่แล้ว +1

    This is real hard talk in deed. Marriage is no child play. Oh Lord help us

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awasaidie wanandoa wote.

  • @malikumumbi2948
    @malikumumbi2948 ปีที่แล้ว +7

    So encouraging words from you sister bahati..I've learnt alot blessings.

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 ปีที่แล้ว +5

    Sister B .K ❤️❤️❤️❤️

  • @grasherchavala2732
    @grasherchavala2732 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante mtumishi hiyo ni kweli kabsaa ubarikiwe kwa mafunuo haya

  • @norahwere9603
    @norahwere9603 ปีที่แล้ว +2

    This show is God sent , I have learnt alot yet it's my first day . May God bless Bahati Bukuku and Lilian for wise words

  • @khadijadama7537
    @khadijadama7537 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli dada umesema ukweli,mungu akuzidishie

  • @inongee1141
    @inongee1141 ปีที่แล้ว +11

    Ndio maana unaambiwa usihukumu sije ukahukumiwa. E Mungu nisamehe popote pale nilipo kosa iwe kwamawazo au vitendo 🙏🙏

    • @solsimaniakanam7843
      @solsimaniakanam7843 ปีที่แล้ว

      Mimi nilisahau nikonamaisha yangutu na mungu maana isiwekama bilamwanaume huishi watoto ninao nabwana akaenazake yesu ananitoshe leza

    • @namsifuwadeya497
      @namsifuwadeya497 ปีที่แล้ว

      Asante sana dada lilian huyu dada Bukuku umlete tena, ananondo sana

  • @janethstephen7869
    @janethstephen7869 ปีที่แล้ว +1

    Nataman kuonana na dada Bahati Buluku Jaman nimebarikiwa sana

  • @berthamunkhondyag1430
    @berthamunkhondyag1430 ปีที่แล้ว +2

    So powerful I have learnt alot from this program. Thanks Bahati and Lilian, this is so amazing. May God continue blessing you. Watching from Lilongwe,Malawi.

  • @janethstephen7869
    @janethstephen7869 ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu asifiwe Mtumishi, nahitaji maombi Mama yangu anaumwa 🙏🙏

  • @marykiwoi7821
    @marykiwoi7821 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana mtumishi

  • @annevilembwa4950
    @annevilembwa4950 3 หลายเดือนก่อน

    Amiiina.Mtetezi yupo ni Yesu

  • @evvajohn9613
    @evvajohn9613 ปีที่แล้ว +3

    Amina Dada, mungu akutie nguvu

  • @taucseif851
    @taucseif851 ปีที่แล้ว +2

    Mbona unaongelea maisha yangu

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 ปีที่แล้ว +4

    Bahati Bukuku Dada angu nakupenda Sana Maneno yako yananijenga Sana, yananipa moyo, Mume amenirudisha nyuma Sana kimaisha, na maumivu juu, hivi Sasa Nimesimama Mwenyewe.

  • @josephinajosephu6859
    @josephinajosephu6859 ปีที่แล้ว +2

    Maswali mazuri majibu majibu👏👏penda Sana ❤️❤️❤️🙏🙏🙏

  • @inongee1141
    @inongee1141 ปีที่แล้ว +3

    Thanks Lillian kwakipindi kizuri

  • @fortunendyamukama3906
    @fortunendyamukama3906 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi bahati bukuku

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 ปีที่แล้ว +7

    🤣🤣 khadja rudisha mume wangu 🤣🤣 kwakweli hilo si pepo ni stress ya uchungu wa mahusiano 😉❤

    • @LadouceurTony
      @LadouceurTony ปีที่แล้ว +1

      Hahahhaha kweli kabisa sio pepo stress za mume

    • @sarahomary3615
      @sarahomary3615 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah

  • @chancellefubekikingwe407
    @chancellefubekikingwe407 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atusaidiye maman

  • @jacklinelaizer3500
    @jacklinelaizer3500 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie San.....n mungu wetu n mwema

  • @shalletnguma3375
    @shalletnguma3375 ปีที่แล้ว +2

    Wow! mm binafsi umenifungua.umeongea point.asante

  • @JoyceLuvale
    @JoyceLuvale 3 หลายเดือนก่อน

    Mafudisho mszuri kweli,wacha Mungu akubariki Mchungaji.

  • @BahatiSunga-yk9qf
    @BahatiSunga-yk9qf ปีที่แล้ว

    Aminaaa Mchungaji Bahati ni kweli Mtu Kila siku anaanguka mapepo kanisani hayaondoki shida ni Nini

  • @NeemaMinja-dm4wz
    @NeemaMinja-dm4wz ปีที่แล้ว +1

    Asante dada kwa ushauri Mungu akubariki

  • @12ctransportsacco39
    @12ctransportsacco39 ปีที่แล้ว +1

    Ni baraka kubwa kupata ushauri wa ajaabu kutoka kwa dada Bukuku. Nashukuru

  • @ELIZABETH-uz6dv
    @ELIZABETH-uz6dv 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki wote

  • @tobiaslutowo4963
    @tobiaslutowo4963 ปีที่แล้ว

    Aisee Dada Bahati hapo kwenye Pepo uchungu nimekuelewa vizuri Sana

  • @aliciahope2208
    @aliciahope2208 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu nmesoma alot Mungu npee hekima nkaweze kukujua na kufuata jia zako...🙏🙏🙏

  • @DAZIZUbeàutysalon
    @DAZIZUbeàutysalon ปีที่แล้ว +1

    Mungu na anisamehe jaman

  • @Neemahwago
    @Neemahwago 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera bahatibukuku,, mungu akuinuwe said I,, hogera Sana kwamaono yako

  • @nahashonmueke9143
    @nahashonmueke9143 ปีที่แล้ว +2

    Maneno na Mashauri mazuri..... Mama! Bahati..

  • @annwangui8601
    @annwangui8601 หลายเดือนก่อน

    Amen dada barikiwa sna ❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏

  • @user-wz3jh1zj7v
    @user-wz3jh1zj7v 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana Kamari yako ❤❤

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 ปีที่แล้ว

    Asante kwa ushauri wako nimebarikiwa sana wewe pia Mungu ubarikiwa naomba no yako

  • @pilipili7273
    @pilipili7273 ปีที่แล้ว +1

    Dada bahati nakupenda sana naomba kujua kama umetoa nyimbo mpya

  • @user-wz3jh1zj7v
    @user-wz3jh1zj7v 2 หลายเดือนก่อน

    Mubarikiwe

  • @jackypaul6853
    @jackypaul6853 ปีที่แล้ว +1

    God bless you pastor Bukuku. ❤️

  • @leajujsinigana5502
    @leajujsinigana5502 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mama yetu Bahati Bukuku

  • @christiinasekinolo4026
    @christiinasekinolo4026 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana dada Bahati kwa ushauri MUNGU akubariki

  • @sikujuahamisi7252
    @sikujuahamisi7252 ปีที่แล้ว +2

    Nakufatilia sana Dada bahati

  • @DAZIZUbeàutysalon
    @DAZIZUbeàutysalon ปีที่แล้ว

    Mungu anisamehe kwa nilipokosea iwe kwa kufikiri au kwa matendo

  • @jeannzambeazali3026
    @jeannzambeazali3026 ปีที่แล้ว

    Kwakweli MUBARIKIWE SANA.
    Mumenipanua Tena KIROHO.

  • @annmercy1254
    @annmercy1254 ปีที่แล้ว +1

    Blessed with your encouraging words dear sister, Thanks for uploading the show.More love from Kenya ❤️

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 ปีที่แล้ว +2

    Na kupenda San bahati bukuku

  • @elizabethwandera1819
    @elizabethwandera1819 ปีที่แล้ว +1

    Thank you so much,may God continue granting you with more wisdom to teach us

  • @janethchepngetich437
    @janethchepngetich437 ปีที่แล้ว +1

    very encouraging.feeling blessed

  • @rashealmwikali2424
    @rashealmwikali2424 ปีที่แล้ว

    Hallelujah wonderful me huwa naweka gospel the whole day WAKATI nina stressed

  • @bephineouma3629
    @bephineouma3629 ปีที่แล้ว

    Bahati mm nimefika mwisho mmenisadie Kwa mfundisho yako Asante

  • @magdalenakibinga8102
    @magdalenakibinga8102 ปีที่แล้ว

    Nakupenda mnoo Pastor Bukuku uishi San na sister Lilian

  • @tusajigwejansa9080
    @tusajigwejansa9080 ปีที่แล้ว

    Ameen Ameen Dada Bahati mimi sina ndoa ila umenijenga sana

  • @joshuaalsel5828
    @joshuaalsel5828 ปีที่แล้ว +1

    bahati, Mungu akubariki sana

  • @billysamson3094
    @billysamson3094 ปีที่แล้ว

    Amina mama ingawa na mwamke hajaruhusiwa rakini unakitu kizuri

  • @elizabety3871
    @elizabety3871 ปีที่แล้ว

    Amina Sana mama kweli umenigusa ukaniona mungu atende 3:31

  • @user-pv3nt6wd3y
    @user-pv3nt6wd3y 6 หลายเดือนก่อน

    asante dada kunawkt nlkua ktka hyo hawli nashkr mungu

  • @nurumwangoka5924
    @nurumwangoka5924 ปีที่แล้ว +5

    Uko vizuri sana dada Bahati

  • @rhodahbranice3379
    @rhodahbranice3379 ปีที่แล้ว +1

    Teaching full of wisdom 🙌 🙏 👏

  • @deborahkahindo1208
    @deborahkahindo1208 ปีที่แล้ว

    Asante kwa maonyo iyo ni kweli

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuhurumie Mpendwa,Siyo kweli kuwa wanaoanguka Pepo ni maskini na Stress

  • @pheonerjanet6066
    @pheonerjanet6066 ปีที่แล้ว

    Am so blessed with your work sister Bahati. May God bless you all in the Mighty name of Jesus Christ

  • @josephinemichael6191
    @josephinemichael6191 ปีที่แล้ว +1

    You are good bahati be blessed so much

  • @aoman5214
    @aoman5214 ปีที่แล้ว +6

    Haki da bahati 😂🤣🤣🤣🤣eti mahusiano na mikopo nyumba inauzwa utaachaj kuwa na Pepo la uchungu 😂😂😂😂😂

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂ila sasa kwann Khadija arushe mme wako jamani dada Bahati, umetishaaa.
    Kula 5👊👊👊👊

  • @aureliayuktankabebwa5066
    @aureliayuktankabebwa5066 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa tunaona tunahaki yakupingana na watumishi wa MUNGU

  • @greeneraston6102
    @greeneraston6102 ปีที่แล้ว

    Amina mama etu bahati bukuku

  • @lilianmwaviswa4684
    @lilianmwaviswa4684 ปีที่แล้ว

    Mungu. akubariki. Dada sana??

  • @matildasulle9303
    @matildasulle9303 ปีที่แล้ว

    Jamani nyie wadada mnanibariki sana Mungu awabariki

  • @janetthuku8112
    @janetthuku8112 ปีที่แล้ว +1

    Niko tayari kwa maombi

    • @janetthuku8112
      @janetthuku8112 ปีที่แล้ว

      Hello nakama wazazi walikufa MTU anaweza saindika aje??

  • @irenedumba3327
    @irenedumba3327 ปีที่แล้ว

    Bahati anaongea ukweli mtupuu ❤❤ nimempenda mnoo

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 ปีที่แล้ว +3

    Yaani Leo ndio umenifumbua macho kweli uchungu ndio unasababisha watu wengi kuanguka kwenye maombi nimeelewa

    • @vickydan2869
      @vickydan2869 ปีที่แล้ว

      Alaf watu wanabisha akati mm ishanitokea

    • @gracekasambala4712
      @gracekasambala4712 ปีที่แล้ว

      Barikiwa Sana Bahati nakupenda Sana

  • @elizabety3871
    @elizabety3871 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @hopeelimasha3535
    @hopeelimasha3535 10 หลายเดือนก่อน

    Acha nifrah kabxa kabxa dadaangu Amina kubwa sanaaa

  • @bridgetmmbone8039
    @bridgetmmbone8039 ปีที่แล้ว

    Napenda Sanaa umesema jambo la maana Sanaa. Nakupenda Sanaa bahati

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 ปีที่แล้ว

    Amen ww ni mchungaji Bahati ubarikiwe sana

  • @hopemaneno152
    @hopemaneno152 ปีที่แล้ว

    Thank you so much . Nimetoka happy. Halo thank you

  • @happybaridi5987
    @happybaridi5987 ปีที่แล้ว +1

    Namba zako za cm

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 ปีที่แล้ว

    Nakukubali dabahatu kweli simapepo uchungu

  • @mariamramadhani3860
    @mariamramadhani3860 ปีที่แล้ว +4

    Ila Libahati lizuriiii

  • @EvelynOdouri
    @EvelynOdouri ปีที่แล้ว +1

    I love this sister bahati

  • @user-vk3nw2fx7q
    @user-vk3nw2fx7q 2 หลายเดือนก่อน

    Aminaaa

  • @marykiwoi7821
    @marykiwoi7821 ปีที่แล้ว +2

    Mafundisho mazuri mnooo

  • @gladyskerubo6075
    @gladyskerubo6075 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @gracenamwiba2417
    @gracenamwiba2417 ปีที่แล้ว

    barikiwa sasa na wewe muchunganji bahati I wish to meet you one day 🙏

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 ปีที่แล้ว +2

    😭 inaumaa sana hii part 3 ,

  • @hellennthambi8379
    @hellennthambi8379 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanamke hufa akiwa amekumbatia watoto wake...

  • @sds7831
    @sds7831 ปีที่แล้ว

    Wooow great advice, watching from Kenya

  • @everlineowando4023
    @everlineowando4023 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana kuwama fundisho

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 ปีที่แล้ว +1

    Bahati bubu akuna kama wewe nimejifunza vitu vingi asante

  • @ErizabethToyi-bb8mb
    @ErizabethToyi-bb8mb ปีที่แล้ว

    Nakuamuni mama unasemakweri

  • @marrymakoi1588
    @marrymakoi1588 3 หลายเดือนก่อน

    Ninyi waimbaji mna mawazo ya kuachana. Hatuachani nao mpaka kifo kitutenganishe hayo ni maagizo toka kwa Mungu. Waimbaji sijui mnatufunfisha nini. Kiburi cha fedha kinawasumbua. Mi sikuungi mkono.

    • @DorisZephania-ci8ym
      @DorisZephania-ci8ym 2 หลายเดือนก่อน

      Chunguza maneno yako kabla hujaongea.
      Bahati amesema mtu akiona hatari ya kufa, kimbilia kwa mchungaji, nabii ,mtume, yaani watumishi wa Mungu , ili waombee hiyo ndoa.
      Kwani umeambiwa uache ndoa yako? Mjifunze kuelewa kabla ya kuongea.
      Na hao waimbaji unaowahukumu, waombee, kumbuka na wewe Hujafika mbinguni, safari inaendelea

  • @hyancinthairakoze2035
    @hyancinthairakoze2035 ปีที่แล้ว

    We're waiting part 4