MashaAllah Allahu Akbar ,may Allah rewards all of you and to the entire muslims we will be testified befor Allah so let start supporting our brothers and sisters for the good work they're doing in sha Allah
Mungu akulipe ka Rashid nakupenda kwa jili ya Allah kwa kazi unayo ifanya nikitaka kutoka na machozi imeniuma sana namuomba mwenyewe mungu anipe uweze ili nije niwasaidie na mm hawa wazee wetu nusra nikitaka kulia daa inaumaa sana yani
Alhamdullilah mwana Adam waeza kujiangalia una matatizo, lkn kupitia hii video kumshukuru Allah n jambo bora sana sababu kuna watu wahitaji msaaada kweli, Allah tuwezeshe utupe imani ya kutoa kuliko kupokea🤲🙏
Nakumbuka Sana ustadh Rashid Salim Muhammad Uliwahi kuja school yetu ya ole ulikuja kutoa daawa wakati nilikuwa nasoma from One second kipindi hiko nimefarijika kukuona nakaz nzur unayoifanya Allah azidi kukupa Afya njema Nakusaidia jamii Allah Awabarik na timu yako mzima japo imeniliza Sana 😭😭
Allah Atujalie khtuwa tuweze kushikamana waislam sote tuweze kuwajenhea waze hawa Amin na nyy Wakilishi wetu Alfatah Allah awape siha Afya na Iman muzidi kitumikia umma Amin yarabi
Ameen. Na msiwasikilize wenye kusema kuwa haifai mambo haya kuonyeshwa kwenye mitandao. Jibu ni kuwa inafaa SANA. Maanake, namna gani utanigusa mimi na mwislamu mwenzangu ? Nitajuaje hali ya mababu na mabibi zetu walioko vijijini? Nitajuaje mahitaji yao na namna ya kuwasaidia. Kwa hivyo hongereni sana sana Al-Fatah , endeleeni kufanya hivyo, mnayo support na dua zetu, na Allah Jalla wa Alaa, Subhanahu wa Taala anaona nia zenyu na atawalipa malipo makubwa duniani na kesho akhera. Ameen. Ameen. Ameen
Al fatah tv online hii kwel ni dira ya umma Allah kaumba maskin na matajir ili tupate kusaidiana kwa kwel watu wanaojitolea kuwasaidia maskini Allah ndo mwenye uwezo wa kuwalipa sis tunaomba duwa
Una moyo wakipekee sanaa kakangu Allah akuzidishie mafanikio na barkah akupenuru maishani mwako amiin 🤲 mashallah sio utazipata radhi zao tayari unazo walai 😭😭😭😭 unanigusa sana kwani na penda sana kusaidia maskini kama hao ilauwezo sina lkn ninapo ona watu km nyinyi munaji tolea najihisi furaha naamani nanaamini ipo siku py mm nitaeza inshallah 🤲 😭😭😭😭
Sheikh mtume SAW anasema haikupunguwa mali kwa sadaka. Mwenyezi mungu atawalipa wote waliotowa pesa, walifikisha sadaka na vyombo nilivyo wezesha jambo hilo.
Subhanallah Allahu akbar Namuomba Allah anijalie mume Mwenye dini ajitole kuwasaidia masikini kama huyu Kaka Allah atupe moyo kwa kile kidogo tulicho jaliwa basi tuwasaidie wazee 😭😭 Allah awalipe her alfata tivi wazee wetu ndio baba zetu aijalishi atukuzaliwa nao Lakn ni baba zetu Allah awajalie wapate msadaa na Makazi
😢😢dah Sie tunalal kwenye godoro Toka tunazaliwa Kuna wezetu hawajawah kulalia godoro had umr uwo dah inaskitisha xna xna wallah Allah awape mioyo wenye uwezo wa kuwasaidia ndug zetu etlist wapat sehem nzur ya kujistir😭😭😭
Ama kweli ukifanya kazi ya mungu uwe mkweli kwa kila unacho kifnya anakiri kuwa gari wameazimwa lkn ingekuwa unafnya kaz ya shetain angesema la kwake mungu tujalie tuwe wakweli
hivi nyinyi waislamu wa Zanzibar niwanafiki sana pia hamuna umoja Zanzibar mutapue mutatiwa moto na muungu kwa unafiki wenu. tulitegemea Zanzibar nikituo cha kiisilamu kumbe nikituo cha wanafiki mumewafunga mashehe wemu tanganyika ili mufanye yenu sio .wacheni unafiki wazamzibari
Maa shaa Allah , Alhamdulillah ,Allah awazidishie Kila lenye kheri In Shaa Allah
MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH JAZAKALLAH KHEIR INSHALLAH MUNGU AWAONGOZE INSHALLAH
Asalam aleikum naomba namba tafadhali
Masha Allah . Baraka Allah. Alhamdulillah Allah atujaalie imaan ya kutoa kwa ajili ya Allah.
Ameen, Ameen, Ameen ya Rabbil Alameen
MashaAllah Allahu Akbar ,may Allah rewards all of you and to the entire muslims we will be testified befor Allah so let start supporting our brothers and sisters for the good work they're doing in sha Allah
Ameen yaa Rabb
Amiin Thuma Amin
Maa shaa Allah, alfatah tv na sheikh Rashid Allah awalipe mema ya duniani na akhera kwa jitihada zenu
Mungu akulipe ka Rashid nakupenda kwa jili ya Allah kwa kazi unayo ifanya nikitaka kutoka na machozi imeniuma sana namuomba mwenyewe mungu anipe uweze ili nije niwasaidie na mm hawa wazee wetu nusra nikitaka kulia daa inaumaa sana yani
Mungu awajaalie musonge mbele Alfatah TV online kwakweli mubarikiwe wallah na mungu ndie atakaewalipa kz kubwa munayoifanya
Alhamdullilah mwana Adam waeza kujiangalia una matatizo, lkn kupitia hii video kumshukuru Allah n jambo bora sana sababu kuna watu wahitaji msaaada kweli, Allah tuwezeshe utupe imani ya kutoa kuliko kupokea🤲🙏
Subuhanna Allah 😭
Yaa Rabb mjaariye uwezo niweze kusaidia wasojiweza maskin 😭😭
Subhanallah halafu inatokea viongozi wanaiba Fedha za Umma wanafuja wananchi hali zao km hizo Allahu Akbar
Msshallah mashallah Rashid Allah atakulipa wewe na wenzako katika harakati izi zakusaidia umma wa kislam inshallah
Maasha,Allah
Inshaa,Allah mwenyezimungu aongeze baraka zake wajengewe japo nyumba ndogo insha,Allah.
Nakumbuka Sana ustadh Rashid Salim Muhammad Uliwahi kuja school yetu ya ole ulikuja kutoa daawa wakati nilikuwa nasoma from One second kipindi hiko nimefarijika kukuona nakaz nzur unayoifanya Allah azidi kukupa Afya njema Nakusaidia jamii Allah Awabarik na timu yako mzima japo imeniliza Sana 😭😭
Allah Atujalie khtuwa tuweze kushikamana waislam sote tuweze kuwajenhea waze hawa Amin na nyy Wakilishi wetu Alfatah Allah awape siha Afya na Iman muzidi kitumikia umma Amin yarabi
Alhamdulillah am 24 yrs but nimejifunza mengi kutokea kwa hii video
Mwenyezi mungu awabariki nyote mloguswa na jambo hili
Mashallha mungu azidi kukutiya nguvu kaka angu ili uwapambaniye wazee wetu kwa hakiki mola atakulipa ujira wako inshalla
Ameen. Na msiwasikilize wenye kusema kuwa haifai mambo haya kuonyeshwa kwenye mitandao. Jibu ni kuwa inafaa SANA. Maanake, namna gani utanigusa mimi na mwislamu mwenzangu ? Nitajuaje hali ya mababu na mabibi zetu walioko vijijini? Nitajuaje mahitaji yao na namna ya kuwasaidia. Kwa hivyo hongereni sana sana Al-Fatah , endeleeni kufanya hivyo, mnayo support na dua zetu, na Allah Jalla wa Alaa, Subhanahu wa Taala anaona nia zenyu na atawalipa malipo makubwa duniani na kesho akhera. Ameen. Ameen. Ameen
Alhamdulillah ishallah tutajitahidi kwa umojaa wetu waislamu wote tunalonacho na tusionachooo tuweze kusaidiana kwa ajili ya allah
Ameen
Maashaallah maashaallah allah aijalie hii jumuiya izidi kutembea vijijini
Subhanallah Allah awarudishiye muriko towa na awape mubahengeye nyumba
Baaraqallahu Fiikum. Amin
Al fatah tv online hii kwel ni dira ya umma Allah kaumba maskin na matajir ili tupate kusaidiana kwa kwel watu wanaojitolea kuwasaidia maskini Allah ndo mwenye uwezo wa kuwalipa sis tunaomba duwa
Mashaallah Allah akulipe pepo ya Firdaous l aalaa
ماشاءاللہ mungu atawalipa jumuiya ya alfatah tv
Masha a Allah, Rashid Allah akupe umri mrefu.
Jmni wenyeuwezo atanyumbayavyumba viwili wajengewe
Vizuri snaaaa my brother mwenyezi mungu akuzidishie inshaallah
😭😭😭 nnalia sana , viongozi wa serikali mjue mtaulizwa cku ya hukumu na m.mungu mmewasaidiaje watu wenu 😭😭😭
Allah ibaraki Alfatah wabariki viongozi wake
Una moyo wakipekee sanaa kakangu Allah akuzidishie mafanikio na barkah akupenuru maishani mwako amiin 🤲 mashallah sio utazipata radhi zao tayari unazo walai 😭😭😭😭 unanigusa sana kwani na penda sana kusaidia maskini kama hao ilauwezo sina lkn ninapo ona watu km nyinyi munaji tolea najihisi furaha naamani nanaamini ipo siku py mm nitaeza inshallah 🤲 😭😭😭😭
🤲
Alhamdullah maa shaa allah vizur sana lkn mnge wajengea jpo vyumba 2 vya miti na bati
Subhanaallah tuishukuru neema ya Allah watu wana shida duhhh alhamdulilah
Masha Allah allh atufanyie wepes tuwaze kusaidi jamii
Mashaallah Allah awaongoze na kuwa mioyo hiyo hiyo tuzidi kusaidiana in shaa Allah , malipo kwa mola wako
Sheikh mtume SAW anasema haikupunguwa mali kwa sadaka. Mwenyezi mungu atawalipa wote waliotowa pesa, walifikisha sadaka na vyombo nilivyo wezesha jambo hilo.
Mtaa gani huu zanzibar Asante
Matamwe
Mash Allah God bless
Subhanallah kuna watu wanahitaji msaada 😭😭
mashaAllah baraka Allah 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Mashallh kwauwezo wamuungu akuzidishie
Amina inshallha
Ameen
Subahanallah ma shaa ALLAH
Inshaallah Allah atawalipa pepo Amiyn
Mashaa llah mngu awajalie inshaallah shekhe wetu
Mashallah Alfatah TV online Allah awabarik sana kwa kile mnachokifanya Allah atawalipa kheri
Tushirikianeni tuchangieni jamani
Tuwajengeni jamani kwa hakika tunaweza kwa uwezo wa Allah
Amiin mungu atakujaalieni muende salama na murudi salama Ishaallah
Ameen yaa Rabbil Alameen
Mashalaah Allah akuzidie mno yani mpaka nimelia walah
MashaAllah jazakaAllah lkheir
Nyny watowaji mwenyezi mungu atazidi kumipa inshaallwaa
Subhanallah Allahu akbar
Namuomba Allah anijalie mume Mwenye dini ajitole kuwasaidia masikini kama huyu Kaka
Allah atupe moyo kwa kile kidogo tulicho jaliwa basi tuwasaidie wazee 😭😭
Allah awalipe her alfata tivi wazee wetu ndio baba zetu aijalishi atukuzaliwa nao Lakn ni baba zetu Allah awajalie wapate msadaa na Makazi
Inshaallah Allah atawafanyia wepesi katika shughuli zenu
Ameen yaa Rabbil Alameen
Ustadh Rashid Allah akulip pepo shiekh
Inshallah Allah atawajaalia kheir alfatah
Mashaallah mungu awazidishie na awaongezee kwa wale wanao toa
Masha Allah Allah awalipe kheir Insha Allah kwa kila alie toa Allah awazidishie
jazakallah kheir
subhnaAllah manen mazito ukisika nimekufa nakuomba uje kunizika 😭😭😭😭😭
Masha Allah tabaraka Allah
😢😢dah Sie tunalal kwenye godoro Toka tunazaliwa Kuna wezetu hawajawah kulalia godoro had umr uwo dah inaskitisha xna xna wallah Allah awape mioyo wenye uwezo wa kuwasaidia ndug zetu etlist wapat sehem nzur ya kujistir😭😭😭
Mashaallah Allah Awajalie moyo huo huo muzidi kuwasaidia na nyumba pia muwajengee
ALLAH AWALIPE KHYR KUBWA
Mungu nijalie kipato kwn ndoto yngu tangu mdogo nikusaidia wasiojiwezaa ili na Mimi nisaidie wtu wenye matatizo mbalimbali😭😭😭😭😭😭😭🕋🕌😭😭
🤲
Mansha Allah ❤️❤️❤️
Allah atawalipa kheir amin
Mashallah alfatah allah awazidishie imani
Alaah awalipeni nduguyangu🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Mashallah Allah atazidi kuwafanyiya wepesi inshallah
May Allah bless you bro
Yaa salam
good travel sheikh
Allah awalipe kila la kheri duniani na Akhera
Kijiji mandhari nzuri
Inshaallah yarabby
Allah akupe pepo
Allah akurip kheri
Ama kweli ukifanya kazi ya mungu uwe mkweli kwa kila unacho kifnya anakiri kuwa gari wameazimwa lkn ingekuwa unafnya kaz ya shetain angesema la kwake mungu tujalie tuwe wakweli
mashaallah Allah awalipe kila lakheri
Amina
Alhamdulillah
😭😭😭😭😭wajengeeni nyumba jmniii mpate swawabu kesho akhra mtaikuta 😭😭😭
Mungu awalipe ujira uco kwisha kwn kz mnayofanya co ndogo hapa duniani na kxho akhera
Ameen yaa Rabbil Alameen
Maashaallah Alhamdulillah
Wanunulieni hata vitanda jmniiiiiii😭😭😭😭😭😭
😥😢😭
🙏yarrab nijali kipato na mimi naweze kuwasaidia wasio jiweza 😭 yarrab natamani namimi niwe nakipato niwasaidie
Wajengeeni nyumba japo za mawe tu.nzuri kwa riali elfu moja ili wapate wahitaji wote.Allha awahifadhi waislamu wenzetu
NAAAAM
Mashallah ❤ barakallahu lakuma
Masha Allah Allah akulipe
hivi nyinyi waislamu wa Zanzibar niwanafiki sana pia hamuna umoja Zanzibar mutapue mutatiwa moto na muungu kwa unafiki wenu. tulitegemea Zanzibar nikituo cha kiisilamu kumbe nikituo cha wanafiki mumewafunga mashehe wemu tanganyika ili mufanye yenu sio .wacheni unafiki wazamzibari
Kwa kweli inasikitisha
Mansh'allah allah awalipe kila la kher 🙏🙏🙏
Subhanallah inasikitisha sana
Kwaiyo wanajengewa nyumba 1 wanagawanyishiwa nyumba?
Maashaallah
Nyie matajir mana milion mbili to bas unaweza kumjengea banda la matofali chumba kimoja ukumbi jiko choo. Da mtihani kweli
Allah Qareem.
Allah awabark walotoa sadaka zao na nyny pia mlihusik nyote
AMIIN YARAAB🤲🤲🤲🇰🇪
Inasikitisha hadi machozi yani tiririka mungu watolee njia wasitirike wazee kama hawq
Neema mashaallah
Mashaallah mungu atakulipen kila la kheri
hii ni sehemu gani
Dah nimelia wallah 😭😭