Mwenyezi Mungu akupe Afya njema dada ama kwa hakika sauti yako itabaki milele na Mungu atakupa ulinzi wake juu ya maisha yako wewe ni mama haswa HONGERA SANA
Huyu mama apewe cheo kikubwa hapo Zanzibar wallah anaipambania mpaka raha wallah 😘 Allah amjaalie thawabu nyingi ...na amlinde na wabaya maana Tanzania ukisema ukweli unakuwa adui .😭
Nakuomba Mh Raisi huyu mama mpe cheo cha ukuu wa wilaya ya mjini Maguarib ili tuende Sawa anafaaa saaaanaa maana aliwekwa Mh Ayub aliondoshwa watu walinyooka lkn Kwa sasa serekali yako ya wachapa kazi huyu mama anaweza . Ahsante Sana mama wewe ni mkombozi Mungu akupe ulinzi zidi ya maadui watakaokuzunguka ubaya uwarejee wale wote madhalim wa nchi na mahafighina 😘😘😘😘👍
Inasikitisha sana.jamani kuna muumba ambaye ametuumba.tumuogopeni Mh.Rais fanya kazi kwa haki mungu akupe nguvu Mama hongera Allaj akupe.afya wepesi na.nguvu
Mhe. Rais kazi kubwa sanasana unayo na huyu mama wa kufikiriwa sana na aliyo eleza yafuatiliwe kikamilifu. Mungu akupe busara na hekima ktk kutekeleza majukumu yako. Pia tunaomba maelezo yetu tuliyatuma angalau yawe acknowledge bado tuna mengi ya kukueleza Mhe. Amina Mungu akuhifadhi akulipe ajra kubwa kwa kazi yako.
Ma Sha Allah mumefanya kazi nzuri. Na shauri msiwapeleke polisi wasagaji na makhanisi bali wape daawa. Si kisa ao bali walifundishwa wakiwa wadogo. In Sha Allah Allah atasaidia.
Machozi yananitoka siwezi kujizuia. Wallahi mama wewe ni mtu mwema na mtu mwema jaza yake ni pepo ya daraja la kwanza. Allah awe pamoja nawe na wote wanaokuunga mkono kwa namna moja na nyengine. Yaa Allah mlinde Amina na watu wake wema, mpe nguvu na busara zaidi ya alivyo, msimamishie ushindi katika dhamira zake njema. Amina🤲
Asante sanaa dada una uchungu kweli na nchii yakoo tujitahidini kurudii katika maadili yetuu ya zamanii ya kizanzibari allah azidi kukutia nguvu kwa hilo na pia akulindee
Ma shaa Allah Ma shaa Allah Ma shaa Allah .........Allah (sw) atakulinda na atakuepusha na Kila balaaa mana hapo wapo wanaoumizwa na ukweli uliousema na Kila kitu ulichokiongea ni sahihi kabisa Mama angu .....Hongera sanaa 🥰
Pepo iwe ndio maakazi yako ya milele na Allah akujalie husnil hatma jituhada yako Allah anaiona kwa kweli Allah akubarik akufungulie khr na barka Amin ya rabb
Assalaamugh-alaykum, pamoja na kazi kubwa ya wana harakati, pongezi kubwa kwa Rais Mwinyi kuweza kujiweka karibu na raia bila ya wasiwasi wakaongea mbele yake na wakiwa na uhakika na usalama wao MASHALAAH.
Asante mama,Allah atakulipa fungu lako kwa kutekeleza wajibu wako. Serikali haina mpango wa kukomesha haya maovu kwani hayajaanza leo nao wanajua lakini hatujaona hatua za makusudi kukomesha maovu hayo
Hongera mama kusema kweli tunaomba raisi amuekee ulinzi kwa usalama wake na Allah atamuhifadhi na awahidi wanaodhalilisha watu .Zanzibar iwe salama na balaa hilo.
Umeongea ukweli ambao siku za nyuma ulikuwa ukifichwa na kufunikwa. Ww ni jasiri. Hongera sana mama. ALLAH akulinde. Hongera pia kwa Rais wetu Dr Mwinyi kwa nia ya dhati ya kuhakikisha zanzibar yetu inapiga hatua za kimaendeleo na inakuwa salama kwa kila mmoja wetu.
"Its logic". Allah atakulinda kwa kueleza ukweli na kuficha unafiki ambao wengi kati ya waislamu wengu tumejivesha. Allah akupe kila la kheri duniani na akhera. Never give up. Mama Amina allah akuzidishie afya, siha njema na akili timamu kwani Dk. Mwinyi anakuhitaji.
Shukran Sana bi Amina haya masuala yapo sawa sawa na tunamuomba . muheshimiwa RAIS ayafuatilie kwa makini na hususani mabaa mitaani, makaka poa na madada poa , pía hapo ccm maisara kunafanywa ukahaba dhahiri shahiri na pía madawa ya kulevya ndio kichocheo chá haya yote na wahusika wote wanajulikana na police ila wanawalinda kwa maslahi yao binafsi ya kinyume na maadili ya nchi
Najiuliza asilimia yetu 99% ya uislamu iko wpi na nini kinashindikana kufata sheria ya kiislamu. Kisha tunalalamika mmomonyoko wa maadili. Asante kwa kusema ukweli unao ujua.
Maneno ya maana sana na yenye kuskitisha sana aloyasema dada etu huyu. Msiba mkubwa uliopo kwani huyo alokaa pembeni mwa Dr Mwinyi (Simai) ni mmoja wa hao wanoimarisha biashara za mabaa, club za pombe pamoja na hayo matamasha yaitwayo Busara. Yuko mstari wa mbele katika uharibifu wa maadili yetu. Ama dada etu huyu ametuwakilisha vizuri sana na ametusemea yanotuumiza nyoyoni mwetu, mashaAllah huyu ni mtu wa kupigiwa mfano.
Mashaa Allah mama kasema maneno mazito mtihani sana huu rais mwinyi tunakuomba utusaidie kuyaondoa haya na Allah ataleta wepes dr shein utakwenda kujibu kwa Allah uongoz wako uliutumia vip mambo machafu yote yamefanyika Katika serekal yako na wewe hukufanya lolote
Fantastic dada etu, mchango wako ni mkubwa na Allah atakupa nguvu na mchango wako usipotee bure
allahuma amiin
uko vizuri dada
Pppòlpĺ
Mwenyezi Mungu akupe Afya njema dada ama kwa hakika sauti yako itabaki milele na Mungu atakupa ulinzi wake juu ya maisha yako wewe ni mama haswa HONGERA SANA
Ahsante sana ukhty Allah akulipe na akulinde
Sub'hanaLlah!!
Pole MH Mwinyi kwa majanga ulioyakuta..!! Allah akusaidie uyaweze maana kila kona kuna mapungufu mengi tu😐
Jazaaka llahu khayra mama Allah akulipe firdausi na akulinde na maadui Aamin
Asante dada kwa kusema ukweli allah akuzidishie kila la kheir
Hongera sana mama umeongea maneno mazito sanaaa allah atakulipa heri tupu inshaallah
Ameen
Aamin
Huyu mama apewe cheo kikubwa hapo Zanzibar wallah anaipambania mpaka raha wallah 😘 Allah amjaalie thawabu nyingi ...na amlinde na wabaya maana Tanzania ukisema ukweli unakuwa adui .😭
Dada hongera sana hayo ndio mambo ya kusema Zanzibar inameharibika sana Allah atakulipa kwa moyo huo wazkujitolea
Mashallah Furaha yangu kuona Ktv imepata nafasi kwenye list ya Trending mnatakiwa kuwa wabunifu
Nakuomba Mh Raisi huyu mama mpe cheo cha ukuu wa wilaya ya mjini Maguarib ili tuende Sawa anafaaa saaaanaa maana aliwekwa Mh Ayub aliondoshwa watu walinyooka lkn Kwa sasa serekali yako ya wachapa kazi huyu mama anaweza . Ahsante Sana mama wewe ni mkombozi Mungu akupe ulinzi zidi ya maadui watakaokuzunguka ubaya uwarejee wale wote madhalim wa nchi na mahafighina 😘😘😘😘👍
Mashaallah mashaallah mama angu.M.Mungu atakuhifadhi na wasiomjua Allah .Umezungumza vizuri sana Ahsant😘
Inasikitisha sana.jamani kuna muumba ambaye ametuumba.tumuogopeni
Mh.Rais fanya kazi kwa haki mungu akupe nguvu Mama hongera Allaj akupe.afya wepesi na.nguvu
Mashaalah mashaalah mashaalah Allah akujaalie kila kheri akupe ujasiria zaidi usirudi nyuma mamaaa
Ina sikitisha nchi iliokua inaelekea kubaya viongozi muogopeni mungu kila kilicho hai kitakufa wanaharakati fanyeni kazi yenu mungu atawalipa
Allah amjaalie kheri zote za duniani na akhera huyu mama na watu wake .
Na ajaalie harakati zao zilete mafanikio ya hali ya juu.Ameen
Amina Yaarabbi
Mashaallah dada allah akulipe kheri ....allah azidi kuilinda zanzibar yetu
Apewe cheo uyu mama atasaidia sanaa##🙏🙏🙏
Sema dada Allah akuhifadhi, kwa vile unasikilizwa semaaa
Mhe. Rais kazi kubwa sanasana unayo na huyu mama wa kufikiriwa sana na aliyo eleza yafuatiliwe kikamilifu. Mungu akupe busara na hekima ktk kutekeleza majukumu yako. Pia tunaomba maelezo yetu tuliyatuma angalau yawe acknowledge bado tuna mengi ya kukueleza Mhe. Amina Mungu akuhifadhi akulipe ajra kubwa kwa kazi yako.
Ma Sha Allah mumefanya kazi nzuri. Na shauri msiwapeleke polisi wasagaji na makhanisi bali wape daawa. Si kisa ao bali walifundishwa wakiwa wadogo. In Sha Allah Allah atasaidia.
MashaaAllah mama angu Allah ndie mlipaji atakulipa naamin unasema kwa hisia kali pole mama yang. Tuombe dua Allah ampe moyo huyu kiongozi we2
Masha Allah alhamdulillah Allah ampe Nguvu mama yetu huyu na amhifadhi
Aamiin...aamiin
Na RC Ayub pia Allah ampe kila la heri inshallah
Hongera cn Mam yng Allah akupe umr mrefu na ujasiri wa hal y juuu
Maasha Allah Mungu akulinde mama wangu.
Alhmdullah Yarrab mpenguvu huyu Dada🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌
Machozi yananitoka siwezi kujizuia. Wallahi mama wewe ni mtu mwema na mtu mwema jaza yake ni pepo ya daraja la kwanza. Allah awe pamoja nawe na wote wanaokuunga mkono kwa namna moja na nyengine. Yaa Allah mlinde Amina na watu wake wema, mpe nguvu na busara zaidi ya alivyo, msimamishie ushindi katika dhamira zake njema. Amina🤲
Mashaallah mama upo vizuri wanawake tu jiheshimu tuvae mavazi mazuri hasa mbele ya mkusanyiko wa watu ili tuheshimike
Asante mama kwa maneno yako mazima inshaallah Allah akupe msimamo mzuri
Wallah sina lakusema isipokua. HasbiyaAllah Wannima Alwakil. 😭😭😭. Serikali gani hio ilopita. Mungu atawaona kama walikua wanafanya haya kwakujua.
Mashaallah Allah Akuhifadhi Yarabiy
Mwenyezi Mungu akupe hekima na Busara maishani mwako na hata kesho mbele za mwenyezi Mungu 🙏🏼
Uko parfect 🤲🏽
Allah akulipe kwan umeongea kwa niaba ya watu wengi Allah akupe ujasiri wa kufichua madudu..Allah akulipe kila la kheir na akupe mwisho mwema
Asante sanaa dada una uchungu kweli na nchii yakoo tujitahidini kurudii katika maadili yetuu ya zamanii ya kizanzibari allah azidi kukutia nguvu kwa hilo na pia akulindee
Bi Amina anaamini Allah yuko juu Alhamdulillah,1:50 -2:10
Kuliko jamaa flani hivi wanazunguka mjini mzima kupinga hili na hawatoweza
Ma shaa Allah Ma shaa Allah Ma shaa Allah .........Allah (sw) atakulinda na atakuepusha na Kila balaaa mana hapo wapo wanaoumizwa na ukweli uliousema na Kila kitu ulichokiongea ni sahihi kabisa Mama angu .....Hongera sanaa 🥰
Uhakika viongoz na ukweli viongoz wa awamu ya Saba imeongoza
Walimuondosha ayubu kwa kulinda ushoga
Hongerani kwa kazi nzuri na endeleeni ivyo ivyo kuilinda jamii na hawa wasio wajali jamii .wanaharakati mnafanya kazi nzuri sana
Umeongea point Allah akubariki kwa fursa ulio ipata
Wallahi wallahi wallahi huyu nimama wakiislam mungu akulinde
Mashaaallah mama mungu akusimamiee
Hatimae amepatikana wa kumfunga paka kengere! Allaahu akbar! Allah akuhifadhi mama katika dunia na akhera!Kilichobaki tuone utendaji wa raisi tu!
Yes yes, nmependaaaa snaa comfidence ya mama mwanaharakat👍
MashaAllah mwanamke jasiri mungu akuzidishie kila kheri kusimamia haki
Love you mum angalau Zanzibar yetu itarudi back insha Allah 💓💓💓💓
Daaah allah amlipe huyu mama anasema kwa hisia kubwa na imaan kubwa kwa kweli na muheshimiwa nilivo muona yamemgusa sanna
Mama mashallah nakuomba usichoke natamani nikuletee binti yangu umlee
Serikali chukueni jukumu la kumhifadhi huyu mama. Akijikwaa tu hampo salama.
Pepo iwe ndio maakazi yako ya milele na Allah akujalie husnil hatma jituhada yako Allah anaiona kwa kweli Allah akubarik akufungulie khr na barka Amin ya rabb
Allah akuhifadhi dada yetu dunia na akhera aamiin
Sawa sawa sasa pako pakukimbilia jiripue kwa ajiri ya Allah!
Mashaallah Allah akujaalie maisha maref yeny mafanikio ndani yke
Mamaa munguuu akupeee nguvuuuu yaaa uteeteee umaah ungujaaa yaa hiiii daaaah inalilah wainailah rajiiiunii
Mwenyez Mungu akupe kila kher . Mashaa allah mama
DUH ! MWENYEZI MUNGU AJA'LIE NUSRA 🤲!
Subhana llah huu nimtihani kwahakika Allah atakulipa kila la kheri Inshaa Allah mama yetu
Assalaamugh-alaykum, pamoja na kazi kubwa ya wana harakati, pongezi kubwa kwa Rais Mwinyi kuweza kujiweka karibu na raia bila ya wasiwasi wakaongea mbele yake na wakiwa na uhakika na usalama wao MASHALAAH.
Mashallah msema kweli ni kipenzi cha mungu umetililika mama mungu akulinde
Allahu Akbar! Allah akuhifadhi dada yangu, akunusur na kila balaah wa belwa za walanifu.
Mungu akuhifadhi na akuzidishie kupambana kwako.
Allah akulinde ktk hili nimekulia Znz naijua vzr sn bila kuipigania asili ya Znz inaenda kupotea, ongezeni mapambano inshaAllah tutashinda
Ahsante sana,nashukuru Mungu kwa kazi yako njema.
Asante mama,Allah atakulipa fungu lako kwa kutekeleza wajibu wako.
Serikali haina mpango wa kukomesha haya maovu kwani hayajaanza leo nao wanajua lakini hatujaona hatua za makusudi kukomesha maovu hayo
Ewe mola mpe mama huyu pepo pamoja nasi
Ameen
amiin ya rabbi
Aamin yaa rabbi
Amin inshaAllah
aaamiiin
Allah muhifadhi huyu dada
Wallah Zanzibar yeti imeharibika! Nakumbuka mawaidha ya maruhum shekhe Omari Bashiri
Hii ni kweli kabisa Zanzibar mambo ya liwati yameenea na wengi wao wanalindwa na watu wa juuu
Hongera mama kusema kweli tunaomba raisi amuekee ulinzi kwa usalama wake na Allah atamuhifadhi na awahidi wanaodhalilisha watu .Zanzibar iwe salama na balaa hilo.
Umeongea ukweli ambao siku za nyuma ulikuwa ukifichwa na kufunikwa. Ww ni jasiri. Hongera sana mama. ALLAH akulinde. Hongera pia kwa Rais wetu Dr Mwinyi kwa nia ya dhati ya kuhakikisha zanzibar yetu inapiga hatua za kimaendeleo na inakuwa salama kwa kila mmoja wetu.
"Its logic". Allah atakulinda kwa kueleza ukweli na kuficha unafiki ambao wengi kati ya waislamu wengu tumejivesha. Allah akupe kila la kheri duniani na akhera. Never give up. Mama Amina allah akuzidishie afya, siha njema na akili timamu kwani Dk. Mwinyi anakuhitaji.
Maashallah
Raisi MSIKIVU na WANANCHI wasemaji kero zao. Mungu awekwe TAWFEEQ ktk kupambana na HILI janga. Hali sio shuwari KWA kweli ya udhalilishaji.
Asante mama
Allah akulipe kila la kheir
Hongera sana mama hakika mungu atakulipa ujira wako nikweli unguja ya jana sio unguja ya leo imebakia stori tu
Asanta ndugu yangu mungu akupe maisha marefu ila
Tukiyaacha haya tutaangamia mama hongera tutasema maisha magumu kumbe Allah anatupiga kwa matendo yetu
Yarabi tulindie watoto wetu wote duniani
Mueshiimiwaaaaa daaaah kazy kweliikweliiiii munguu ibarikiiii zanzibar
Mashaallah mama hongera sana Allah atakulinda zaidi
Shukran Sana bi Amina haya masuala yapo sawa sawa na tunamuomba . muheshimiwa RAIS ayafuatilie kwa makini na hususani mabaa mitaani, makaka poa na madada poa , pía hapo ccm maisara kunafanywa ukahaba dhahiri shahiri na pía madawa ya kulevya ndio kichocheo chá haya yote na wahusika wote wanajulikana na police ila wanawalinda kwa maslahi yao binafsi ya kinyume na maadili ya nchi
MashaAllah Allah atusaidie ktk hili
Allah akubark dada angu, Rais yafanyie kazi.
hongera mama dooooooh umetishaaa wallah nitakutafuta in shaa Allah is
Najiuliza asilimia yetu 99% ya uislamu iko wpi na nini kinashindikana kufata sheria ya kiislamu. Kisha tunalalamika mmomonyoko wa maadili. Asante kwa kusema ukweli unao ujua.
Allah akulinde mama uchafu umezidi. Zanzibar na tunataka zanzibar yetu kama ya zamani tuishi kwa heshima na amani .
Maa Shaa Allah, Allah atawalipa ktk hili
Maneno ya maana sana na yenye kuskitisha sana aloyasema dada etu huyu. Msiba mkubwa uliopo kwani huyo alokaa pembeni mwa Dr Mwinyi (Simai) ni mmoja wa hao wanoimarisha biashara za mabaa, club za pombe pamoja na hayo matamasha yaitwayo Busara. Yuko mstari wa mbele katika uharibifu wa maadili yetu. Ama dada etu huyu ametuwakilisha vizuri sana na ametusemea yanotuumiza nyoyoni mwetu, mashaAllah huyu ni mtu wa kupigiwa mfano.
Kumbe Huyo IBLISI Mwenyewe Yupo Hapo🤣🤣🤣
M.mungu awashinde
yaani mpk nimehic baridi wallah
Mashaa Allah mama kasema maneno mazito mtihani sana huu rais mwinyi tunakuomba utusaidie kuyaondoa haya na Allah ataleta wepes dr shein utakwenda kujibu kwa Allah uongoz wako uliutumia vip mambo machafu yote yamefanyika Katika serekal yako na wewe hukufanya lolote
Subhanallah inna lillah wainna ilayhi raajiun ya rabb stara
Mamayangu hongera sanaa pia TUSIKATE TAMAA KUSAIDIA JAMII.
Hongera mama watu wanaumia hapo lakn umeongea vitu sahib Zanzibar inapotea
Mama umejitahi vya kutosha inshaallah Allah atakulipa kwa ilo na namuomba Allah akuhifadhi na naahidi sito acha kukuombea dua inshallah
mashaAllah...wakitokea wanawake 2 km hawa tu bas znz itarud km mwanzo
Allah akulinde inshaalah❤❤❤
Allah akulipe kheri inshaallah mama kwa kusema ukweli na hiyo ndio imani.
Innalilah wainnailahi rajiun 😢 dah watoto wetu ndugu zetu Allah awalinde na balaa
Mama hongera sana allah akufanyie wepesi majukumu yako inshallah atamulinda
😊Allah amhifadhi MaMa huyu wa Maaana
Mama hongera sana ni wachache wenye ujasiri wa kusema ukweli.
safi sanna mama yangu Bi Amina mapambano na in shaa Allah Allah ajaalie kheir kwa kila khat-wa uipigayo na tupo pa1 sannaa dhidi ya hilo
Jazaqa llahu Khaira
Umepatia sana dada
Allah amuhifadhi huyu mama 😭😭😭😭
Allah mtukufu akulipe kheri Dada yetu