SHEIKH NYUNDO AFURAHI KABURINI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Kutoka AL FATAH CHARTABLE ASSOCIATION.
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline
    #AlfatahCharitableAssociation
    #ZANZIBAR

ความคิดเห็น • 201

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke หลายเดือนก่อน

    Mama yangu, ukweli haujakamilika, basi naapa kwa aliyekula kiapo kukupa haki yako iliyokamilika na isiyo na upungufu ndani yake Wajibu kwangu kukufikishieni mpaka nikutane na Mola wangu Mlezi nikiwa nimelala. sema.☝☝🤲🏼🤲🏼☝☝

  • @mariamhamad4171
    @mariamhamad4171 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mwenyezimungu awahifadhi awalipe kilalakher

  • @nguvuyafikramedia1202
    @nguvuyafikramedia1202 2 ปีที่แล้ว +1

    Naa'm Assalamu a'laykum warahmatullah wabarakatuh alfatah Allah atujaze kheri sote kwa pamoja ameen kutoka kagera Tanzania

  • @MohamedAli-qf6et
    @MohamedAli-qf6et ปีที่แล้ว

    Shukran Alfatah kwa misaada yenu kwa familia ya sk Nyundo ,lkini naomba musiishie hapo tu kwa pkt za mapembe na sukari bali muangalie mbele zaidi. Usimsaidie maskini samaki tu bali mpe mshipi na mtumbwi umfunze kuvua iliaondokane na umaskini. Iasaidieni familia ya sk Nyundo ipate mkaazi mazuri na muwapatie watoto wake msaada wa elimu ili waje wawe na uwezo huko mbele wa kujitegemea ili waepukane na ombaomba.

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 ปีที่แล้ว +15

    Mapenzi ya hali ya juu kwakweli Allah atawalipa.na Allah amrehem shekh nyundo😭😭

  • @musamaulid8352
    @musamaulid8352 4 ปีที่แล้ว +2

    Muung awalipe apa duniani nakesho ahera ameen

  • @maryammct3967
    @maryammct3967 4 ปีที่แล้ว +2

    Amin amin

  • @mariammohamed6762
    @mariammohamed6762 3 หลายเดือนก่อน

    Allah awawezeshe muende tena kuuenzi shekh Nyundo

  • @malcomx2376
    @malcomx2376 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi si MTz,Mkenya walla Mburundi lakini namfuata sana Sheikh Nyundo nampenda sana nime huzunika sana kusikia ame fariki Allah amrehemu

  • @bibasule7266
    @bibasule7266 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah jazakumullahi khairan

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 ปีที่แล้ว

    Allah Subhannahu Wata'ala amrahamu na kunweka mahali pema Peponi,Aamiin.

  • @mariamramadan6154
    @mariamramadan6154 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah basi muwatafutie waume jamani

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashallahu M / MUNGU AWAZDSHIYE KPATO MUTOWE DAIMA YARAB MLAZE MAHALA PEMA KTK PEPOZAKO TUKUFU ISHALLA TUNAUMIYA SANA WAUMIN WAKIISLAMU HAKIKA TUMEONDOKEWA 😭😭😭😭

  • @ahmedyramires6937
    @ahmedyramires6937 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah hakika huu ni upendo mkubwa sana

  • @fredmsele3504
    @fredmsele3504 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 4 ปีที่แล้ว +7

    اللهم اغفر له وارحمه وأسكنه فى الجنة

  • @mohdsap419
    @mohdsap419 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah mashallah Allah amjaalie kaburi lake liwe ni nyumba miongoni mwa nyumba za peponi . Na nyiny Allah akulipen kila la kher azidi kukupen nguvu ili muweze kupleka dini mbele

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 ปีที่แล้ว +2

    Inshaallah Allah atawalipa Alfatah

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah jambo zuri sana na jema wallah huko ndio kumuezi kwakumuendelezea mazuri kwaahli zake Mungu awajaze kheri Al-fatah TV online shukrani Mungu amrehemu huko kaburini na wote wema walotangulia inshaallah

  • @arifsaid8080
    @arifsaid8080 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah awarehem maiti zetu wa kiume na kike.
    Wakubwa na wadogo

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah awabariki amin

  • @anwarambar6141
    @anwarambar6141 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah amraham Shekhe Nyundo,mawaidha yake nayapenda Sana, sichoki kumsikiza Kila siku ndani ya TH-cam,amanielemisha Sana,

  • @abdul-faysalal-hassany5949
    @abdul-faysalal-hassany5949 4 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah... Al Fatah Allah Awajaaliye kheir

  • @katibatanzania3089
    @katibatanzania3089 4 ปีที่แล้ว +1

    Amiina yarbla alamina

  • @zurfasalimu9363
    @zurfasalimu9363 4 ปีที่แล้ว +2

    Walyikum salaam Allah awabariki Sana Al fatah tv hakika mnayo yafanya ni Allah awalipe kheri Amiin 🤲

  • @user-mu3cb8iy2h
    @user-mu3cb8iy2h 4 หลายเดือนก่อน

    Allah akuifazi shekhe nyondo

  • @suleimanislam7777
    @suleimanislam7777 4 ปีที่แล้ว +2

    Barakallahu feekum

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallah ama kweli ukiwaza mwengine anatenda Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar Mashaa Allah atubarik sote naam familia zake na wengine pia na naamini mtapata wa kukuungeni mkono

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa Allaah, Jazakum Allahu Khairaan Kathiraan.

  • @nihifadhiabdul5211
    @nihifadhiabdul5211 4 ปีที่แล้ว +1

    Amiina yarrabi

  • @awadhmohamed7668
    @awadhmohamed7668 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah awalipe ujira mkubwa yarrab awajaalie awape utajir wa duniani na wa kesho akhera inshaallah ameen 🙏

  • @khalidbalala7753
    @khalidbalala7753 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtume Mohammed (S.A.W) zama zake alikuwa haswa akiwaeka maswahaba kushindana kutowa kwa ajili ya Allah ki2 kinacho2 fuata ni niya ya mwenyekutowa na ukiangalia Qur'an tukufu Allah ashasema wa2 washindane kwa mambo ya khery

  • @mohdzotv2676
    @mohdzotv2676 4 ปีที่แล้ว +4

    Allah Hummah amiin Na Isha Allah Awalipe.Kila.Lenye Kheli Viongozi Na Wafanyakaz Wa al Fatah

  • @ismaelmarucha3000
    @ismaelmarucha3000 4 ปีที่แล้ว +2

    Marshall ah Allah ana kirimu wallah

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Allah azidi kumpa makazi mema uko alipo nasi tupo nyuma yake

  • @wahabimalaki2330
    @wahabimalaki2330 4 ปีที่แล้ว +1

    mwenyezi awajaze kheri

  • @camillas.edrees6155
    @camillas.edrees6155 4 ปีที่แล้ว +2

    Maasha'Allah Tabaarakallah,,,Mkono kwa mkono hadi peroni In sha Allah 😍

  • @user-os9ul5iu5y
    @user-os9ul5iu5y 4 ปีที่แล้ว +3

    WALIKUM Salam warahmatullah wabarakatuh mashekh wetu

  • @sprettysalim4659
    @sprettysalim4659 4 ปีที่แล้ว +2

    Ameen yarrab
    Allah akurahamu tunakukumbuka DAIMA Sheikh NYUNDO

  • @shakilayusuf7802
    @shakilayusuf7802 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah,Allah awahifadhi.

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 4 ปีที่แล้ว +2

    Inahuzuniasha kwakweli Allah yaallah warehem nduguzetu walio tanguli na walipe heri pia alfatah

  • @longjuly239
    @longjuly239 4 ปีที่แล้ว +2

    Allahummaghfirlahuu warr arhamhu waskinhu fii jannah.amin

  • @umikulthumhamisi8311
    @umikulthumhamisi8311 4 ปีที่แล้ว +3

    Walaikum msalam warhamatulahi wabaratu, maa Ashallaah mungu awape moyo uwo uwo AMIN 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 ปีที่แล้ว +5

    WA alaykum salam warahmaturah wabarakatuh ❤ ma sha Allah tabarka Allah 😢😢😢Mola amrahamu kipenzi chetu

  • @dubabaxakatv2993
    @dubabaxakatv2993 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah.....this is Islam.. ALLAHU AKBAR...alhmdulilah

  • @bnbnbnbbnvbn9006
    @bnbnbnbbnvbn9006 4 ปีที่แล้ว +3

    Manshaallah

  • @fatmafmly
    @fatmafmly 4 ปีที่แล้ว +3

    Ya mashallah kazi nzuri sheikh pia . Mzuri mtafute wajane wengine na mayatima.msaidie hivio allah atawalipa zaidi ya hio shukran allah

  • @aliarkam9548
    @aliarkam9548 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa allah shehe Rashid Salim mwenyez Mungu akupe ujira Kwa kaz yako mzur sana

    • @mamitomamita6284
      @mamitomamita6284 4 ปีที่แล้ว

      MASHAALLAH MUNGU AWAZIDISHIE YAARAB NIKIWA KENYA

  • @noraevers8868
    @noraevers8868 4 ปีที่แล้ว +3

    ManshaAllah Allah awajaze kheri 🤲🙏

  • @mamafiiwaziri7440
    @mamafiiwaziri7440 4 ปีที่แล้ว +1

    Bismillah mashaALLAH mumefanya jambo lakhairaat lakini kwa maoni yangu kwa nini katika kulifanya hilo musingewa munarikodi mpaka muhusika munaewapa. Ukitoa kulia kushoto usijue. Inshaallah ALLAH atuwafikishe katika kheri.

  • @salummkubwa
    @salummkubwa 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah awabarik zaidi Alfatah muzidi mafanikio kwa mfano wenu. Amin.

  • @daathuma7843
    @daathuma7843 4 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah Allah awazidishie Upendo daima

  • @jumaramadhan3881
    @jumaramadhan3881 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah awajaalie umoja na awalinde na hasadi na sheitwan rajim

  • @talhamansour9360
    @talhamansour9360 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah awazidishie Imani muzidi kuwafariji familia ya sheikhe nyundo kwani ametuachia pengo kubwa sheikhe wetu nyundo Allah amjaalie awe mja mwema huko aliko sheikhe wetu nyundo Allah amjaalie kaburi lake liwe miongoni mwa Bustani la peponi Ameen 🤲

  • @safiyaalrawahi7526
    @safiyaalrawahi7526 4 ปีที่แล้ว +1

    ni channel nzr sana inawakumbusha ndugu zetu ktk imani kuwa pamoja n wenzetu katika kuweza kujua hali n maisha yao. shkrn sana Al Fatah

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 ปีที่แล้ว +3

    Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah . Allah awazidishie Al fataha tv na timu wenu insha Allah

  • @maqboulal-barwani2506
    @maqboulal-barwani2506 4 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allah. Jazaakum llahu khaira wabaraka llahu fiykum. Amiyn amiyn thumma amiyn yaarabbal aalamiyna

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 ปีที่แล้ว

    Amina yaaraab

  • @arshiaissa9197
    @arshiaissa9197 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah amsamehe makosa yke aendelee kuwapa subra wafiwa

  • @allymbarok112
    @allymbarok112 4 ปีที่แล้ว +1

    Allaah awazidishie kwa kila munachotoa

  • @khalidkassim3986
    @khalidkassim3986 4 ปีที่แล้ว +5

    Mnaposaidia ni jambo jema tena Allah awajalia kwa hilo lakin imenihuzunisha sana kwa kutoa sadaka hyo kwakua piga picha walengwa co vizuri kabisa hyo ni ryaaa Allah hapendi jambo hilo..

    • @itzanzibar9536
      @itzanzibar9536 4 ปีที่แล้ว +1

      Nakuunga mkono si vyema kupeleka kitu uonekane kwa ma TV riyaa

    • @ahmedsalim6264
      @ahmedsalim6264 4 ปีที่แล้ว

      Kila mtu analipwa kwa nia , hyo ni njia moja yakufikisha daawa

    • @khalidkassim3986
      @khalidkassim3986 4 ปีที่แล้ว +5

      Hilo ni kosa kubali usibishane Allah hapendi kabisa kwan hamuwezi kumsaidia mpaka mmchukue video hyo njia ni kumdhalilisha mhusika...

    • @ashakassim4351
      @ashakassim4351 4 ปีที่แล้ว +1

      Hii ni charity organization sio individuals charity watu wanatoa misaada kutoka sehem mbali mbali dunian kuonesha ktk mtandao ni njia moja kuonesha kile watu wanachokitoa kinawafikia walengwa hayo ni maoni yng

    • @khalidkassim3986
      @khalidkassim3986 4 ปีที่แล้ว +2

      @@ashakassim4351 ingekua ni wewe unapewa msaada na kuchukuliwa na video ungejisikiaje hamna sadaka ya aina hyo mwenyezi mungu mtukufu amekataza kutoa kwa kupitia njia hyo na wala maneno ya Allah hayapitwi na wakati..

  • @rossamengo7211
    @rossamengo7211 4 ปีที่แล้ว +3

    Waaleykum salam warahmatullahi wabarakatu,ALLAH azidi kuwaterehemshia neema kwa yale mnayo fanya Amiin

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah atailinda familia yake pia nayeye Allah ampemafikio mema kaburini amin

  • @yahyasabil921
    @yahyasabil921 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah arham sheikh nyundo

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah Allah awalipe kheir Insha Allah kwa kila jema mnalo fanya na awazidishie imani na awazidishie rizki

  • @feimohach
    @feimohach 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipe fi dunya wal aakhira

  • @khalifa_wayy1979
    @khalifa_wayy1979 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah akuzidishieni imani

  • @maryammct3967
    @maryammct3967 4 ปีที่แล้ว

    Amin

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 ปีที่แล้ว +2

    Ameena YA Rabii thumma Ameena YA RabilAallameena Allah Mtukufu ajalie duwa iwe Makbul 😢🤲 🙏

    • @jabilishekusa2202
      @jabilishekusa2202 4 ปีที่แล้ว +2

      Ameen inshallaah mwenyezimungu atamlipa mema

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 4 ปีที่แล้ว

    Mmungu awape kheri amina

  • @ramadhaniamour4834
    @ramadhaniamour4834 4 ปีที่แล้ว +1

    Innalilah wainna illahi rajiun.maa shaa Allah mwenyezi mungu awalipe Kwa hili in shaa Allah

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah allaah awalipekilalakhery🇧🇮

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah mashallah mashallah 😭

  • @fatmaaly3056
    @fatmaaly3056 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah tabarak allah tupe husnul hatma na tuepushe na adhabu

  • @fatmakhatib8444
    @fatmakhatib8444 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah, Allah atakulipeni.Alfatah kwa michango yenu (Ameen)

  • @sleyumharoub6796
    @sleyumharoub6796 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah amulipeni ujira mkubwa inshallah

  • @husnahamees9141
    @husnahamees9141 4 ปีที่แล้ว +1

    allah kulipe kheri ishallah

  • @alsaarh239
    @alsaarh239 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awajaze kheri jamani

  • @asiansky4786
    @asiansky4786 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah alfatah mnajitahidi sana

  • @harerimanazainabu2142
    @harerimanazainabu2142 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @user-es9qs9vs8y
    @user-es9qs9vs8y 4 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah baarakallahu fiyq

  • @alinaim5453
    @alinaim5453 4 ปีที่แล้ว +1

    Ma sha Allah

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah Mungu awalipe kila la kheri

  • @abdallahamad1615
    @abdallahamad1615 4 ปีที่แล้ว +3

    allah amsaeh .....jaman iv kawambia kawambia nana kuhusu kua anfrahi mbona tuna vuka mipaka?

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu awazidishie palipo na upungufu insha allah

  • @rilkabuya6519
    @rilkabuya6519 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah tabarak allah

  • @asinatjuma8088
    @asinatjuma8088 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah MashaAllah jadha ka Allah kheir

  • @maryamahmedkhamis1713
    @maryamahmedkhamis1713 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah sheikh

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 4 ปีที่แล้ว +1

    Amini 🤲

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 ปีที่แล้ว

    AMIIN THUMAN AMIIN🇰🇪

  • @fatumahamis9206
    @fatumahamis9206 4 ปีที่แล้ว

    masha alah no yenu iwekeni Kwa kila anaeguswa atume ali chojaaliwa

  • @kingelkindy2920
    @kingelkindy2920 4 ปีที่แล้ว +5

    الله يرحمه

  • @abubakarzuberabubakar3998
    @abubakarzuberabubakar3998 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah hichi ndicho chakufanya

  • @abedamohamed2336
    @abedamohamed2336 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allha awabariki

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 4 ปีที่แล้ว +1

    Allahumma Aamiin yarabbi

  • @aligedi2869
    @aligedi2869 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah amweke pema

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah mashaallah

  • @othmanbakari2675
    @othmanbakari2675 4 ปีที่แล้ว +8

    Mwafanya jambo zuri lkn mnavyo chukuwa watu nikama mwawazalilisha mm binafsi sitaki swadaqa hz za matangazo xy vzr toeni kwa ajili ya Allah na wala musitoe kwa ajili ya watu wawaone muogopeni Allah Allah atakuja kuwauliza kwa xdk hz

    • @abdab8466
      @abdab8466 4 ปีที่แล้ว +1

      Allah asema tushindane kwenye mambo mema usipoona utamshinda vp mwenzako hamna makosa kupiga picha wala nini kwani watu wangapi huenda piga foleni kwa matajiri wakajidhalilisha wenyewe huyu mashallah amekufwata mwenyewe tuweni na shukrani ni Allah ndio amemtuma huyo mjumbe

    • @abdab8466
      @abdab8466 4 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo rizki wataka malaika ndio akuletee

    • @abdab8466
      @abdab8466 4 ปีที่แล้ว

      Mficha uchi hazai

    • @abdab8466
      @abdab8466 4 ปีที่แล้ว +1

      Mafukara ni wengi kwenye nchi lazima wenye kujiweza washirikiani na wajue ndio motisha ya watu kutoa itaongezeka

    • @abdab8466
      @abdab8466 4 ปีที่แล้ว +1

      Umaskini na ufaqiri si aibu

  • @saadahemedsaid3266
    @saadahemedsaid3266 4 ปีที่แล้ว

    Unaambiwa ukitoa mkono wa kulia wa kushoto usijue leo mnajionesha mpaka kwenye maTV subhanallah YAA ALLAH TUONGOZE WAJA WAKO.

    • @alf8177
      @alf8177 4 ปีที่แล้ว

      (إِن تُبۡدُوا۟ ٱلصَّدَقَـٰتِ فَنِعِمَّا هِیَۖ وَإِن تُخۡفُوهَا وَتُؤۡتُوهَا ٱلۡفُقَرَاۤءَ فَهُوَ خَیۡرࣱ لَّكُمۡۚ وَیُكَفِّرُ عَنكُم مِّن سَیِّـَٔاتِكُمۡۗ وَٱللَّهُ بِمَا تَعۡمَلُونَ خَبِیرࣱ)
      [Surat Al-Baqarah 271]
      Mkizidhihirisha sadaka ni vizuri; na mkizificha mkawapa mafakiri kwa siri basi hivyo ni kheri kwenu, na yatakuondoleeni baadhi ya maovu yenu. Na Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda.

    • @alf8177
      @alf8177 4 ปีที่แล้ว

      Ukitoa kwa Nia ya kuhamasisha wengine basi ni Bora utoe watu wakuone. Ukizingatia watu wengi wanatoa michango yao watahamasika wakiona michango yao inafanyiwa kazi.Soma dini yako vizuri ndugu yangu Allah akubarik

    • @saadahemedsaid3266
      @saadahemedsaid3266 4 ปีที่แล้ว

      Sijisifu ila mm nnaijua dini yangu kiasi alivyonijaalia Allah sio kama watu walivyosoma lakini kwa hili hii ni riyaa.Kwa njia nyengine mngetowa bila ya kuonesha vitu wala kutaja vitu au pesa kiasi fulani hizi hapa ingekua vizuri.lakini aa huku ni kujionesha.Na Allah alivyosema kuwa tudhihirishe sadaka sio kwa njia hii.

    • @saadahemedsaid3266
      @saadahemedsaid3266 4 ปีที่แล้ว

      @@alf8177 tusibishane ndugu yangu au kaka yangu.