Subhana Allah ,Alhamdulillah ,yatupasa tushkuru kwa neema tulizopewa na daima usimuangalie aliye juu ,Allah atupe wepes wa kusaidia wenzetu wenye maisha duni kma haya .
Waonesheni hao makumbaro wajue kama kutoa ni moyo sio mpaka zifike siku za karibu na uchaguzi wawatundike watu kwa tonge yao Alfatah ni mfano pekee hapo nyumbani na ishaallah mwenyezi mungu akuongozeni ktk njia aitakayo Amin
Macho yanalia moyo unaumia ya Allah mwingi wa rehma wazidishie kila watoaji wallahi inaumiza inaumiza sana nashkuru nnachopa kicho hicho kidogo na kula na wenzangu Alhamdulilah natamani nipate niwasaidie kila wenye uhitaji ila sijakataa tamaa insha allah Allah nirazzak naumia mno
Allahu akbar Allahu Akbar tustiri yarabi utusamehe utufungulie riksi tuweze kuwasaidia wenzetu inshaallalla moyo unaniuma sana lakini sina chakuwasilisha kwa wenzangu shukran AlFatah TV
Mashallah mungu akupe huohuo moyo inshallah na akufanyie wepesi inshallah katika kila hatua unayoifanya ameen inshallah mwenyezimngu akupe afya na umri na swiha njema inshallah ameen thuma ameen inshallah
Nijambo la kuhuzunisha sana,ya ALLAH tupe mioyo yakutoa na utukinahishe na anasa za dunia,utuongoze tuweze kununua pepo yako kwa neema zako unazo tujalia IN SHA ALLAH Amiin
Naam kabisa wanawake kuna Group la Wanawake wema kuna Group la aljanah hands kuna mengi tu jiungeni haba na haba tujaze kibaba kuna hao Alfath tuchaguweni wapi na hii isiwe Ramadhan tu 😰😰😰😰😰😰
Mimi nikitoa naona bado haitoshi natamani nitoe tena na tena ila uwezo ndio kidogo, ALLAH atujalie tugawane hichi kidogo alicho tujalia na wenzetu ambao hawana,kwani kutoa nimoyo wallahi,hakika imenitoa machozi kabisa
Allahuakbar kaka Rashid allah atakulipa kutokana na juhudi zako katika uislam na waislam kwa jumla hakika nimfano wakuigwa kaka allah akujaze nguvu juu ya kuwasaidia waislam wengine amin ya rabbi
Wallah cna uwezo wakutoa ila kaka Rashid kama unahitaji msaidiz wakusabaza izo sadakat katika jamii wallah nipo mm nitakuja kukusaidia kwa ajili yaallah na din yetu sitohitaji lolote kutoka kwako ila nitatumia nguvu zangu alizo nipa allah kukisaidia insha allah allah akbar
Seif Khatib Jamani wko wapi watoaji wale ambao wanajinasibu kuwa niwaislam mbona waislam wenzetu tunawaacha wanadhalilika tunaendeleza kutoa sehemu ambazo hazina manfa Jamani hebu tutafuteni radhi za Allah tupate mafanikio kwa allah
😭😭😭y'rabby najikuta nalia tu na kushkuru alhamdulilah alhamdulilah allah ndio mueza watu wanakula na kutupa na kufanya kila aina ya starehe ukiwakumbusha wanasema tunaenda na wakat 😭😭😭😭😭😭
Fatma kwani uko wapi tuweze kutafuta mfadhili au Wazanzibar sote tukachangishana kila pembe tulipo tukishiriana tutawezeshwa na Allah tukaacha kufanya maarusi ya kifhari yalio hayana mpango wa faida yoyete
A'alaykoum akhawaty fii llah yaani hata tukaungana kidogo chetu tunaweza biidhnillah😭😭it's heart touching story.... Je, tunaweza patana vipi mm am from Kenya
😭😭😭😭😭😭alfatah is the all foundation that inspared me nipo n imani nami siku itwayo moja atanijalie nami niwe mionginoni mwa kujitolea kwa ajili ya Allah kaka mungu akuzidishie kher n akuneemeshee nema kubwa n za kher ndani yake kila siku ninapotazama alfatah machozi unitoka usichoke kaka upo n makao mema kesho jasho n macho unayo yamwaga leo kesho mble ya Allah itakua nuru kwako ameen ameen ameen. Ya Allah nami nipee muongozo na huruma wa kujali wenzangu wa tabaka langu . Na uwape ufumbuzi wale walo navyo wajali wasokua navyo ameen
Alhamdulillah alhamdulillah thumma alhamsulillah ndio mana mim sipend kumwaga chakula kikibakia naweka kwenye fridge sik yapil tunapasha moto tu. Jmn jmn mola wetu tufanyie wepes waj wako utuwezesh tuwez kutoa kwa ajil yako👐👐👐
Dahh Allah azidi kuwatiya nuru na uwezo muzidi kufanya kazi kwa ajili ya Allah...na sisi Allah atuwe uwezo na nguvu wakusaidiya kwa kidog atakachotujaaliya 🙏🏻🙏🏻😥😥
Subhannallah, Namuomba Allah ajaalie kupatikana zaidi wasamaria wema na kuweza kuwapa (kutoa) michango kw familia (wazee w icho kijiji uko Pemba) inasikitisha sana wazee ni watu wazima sana na wengine wagonjwa hawawez tena hata kuenda shamban kulima na ukiangalia kama icho kipindi cha ramadhan na wanakwmbia hawajui hata watafutari nini manake hawana hata uwezo w kujinunulia chakula. Na nina swali kwa AL FATAH TV ONLINE kuusu izo namba za sim na majina ya watu waliokuwepo sehem tofauti kama UK, MAREKANI, CANADA, DUBAI, OMAN, N.K ni wasimamizi w kushughulikia michango/misaada ya watu watakaoguswa na kutaka kuchangia chochote walichojaalia, naomba mnijuze manake ss wengin tunataka kuchangia ila tuko mbali na nchi yetu tuliozaliwa Zanzibar na jee ninaweza kutumia njia ya Money Gram.?
Mashaallah allah awalipe kila lakher mana allah ndio mlipa wa yote allah awalipe ujira mwema amin waallah inauma sana mimi kama kijana allah atujalie rizki halal tuje kujumuika nanyi kwa kile tulicho kipata kwa uwezo wa allah
في ميزان حسناتك أخي كل هذا العمل عند الله غير غافل عنه يرحم الله موتاكم و يشفي مرضاكم وبارك الله فيك لنا زيارة أن شاء الله والله انك ابكيتا بما شاهدناه فنحن في عمان نشعر بكم ونسأل الله ان يسهل لنا المجئ ثانية لزنجبار عامة و بيمبا خاصة .
Dahh kwa kweli nawapongeza sana Allah atawalipa natamn na ss wenye mioyo ya kuchangia tuchangie kupitia kwenu tunaimn na nyinyi sadaka zetu zitafika kwa walengwa
Wallah Allah ndo anajua jinsi nnavoumia nawaza kama wanapata swadaka kwa ramadhan jee sku za kawaida wanaish vipi wawakilishi Madiwan wabunge wako wapi ?? Allah atawahukumu kwa kila chozi la mnyonge
Mtangazaji walia cc tufanye nn 😭😭😭wallh machoz yamenitoka kwa mm nasema Familiya yangu Ina shida kumbe Kuna watu wanashida kuliko Familiya yangu wallh 😭😭😭Daah ht cjui niseme nn kwa kweli ila mungu ndio anajua 😭😭
Jamani hawa jamani mpaka njia muwatengeze ndio.kuwe rahisi watu kuja fabzeni bidi njia barabara itengezwe ndio watu rahisi kuwafikia na misaada zao mungu awaonekanie yarabb
Subhana Allah ,Alhamdulillah ,yatupasa tushkuru kwa neema tulizopewa na daima usimuangalie aliye juu ,Allah atupe wepes wa kusaidia wenzetu wenye maisha duni kma haya .
Waonesheni hao makumbaro wajue kama kutoa ni moyo sio mpaka zifike siku za karibu na uchaguzi wawatundike watu kwa tonge yao Alfatah ni mfano pekee hapo nyumbani na ishaallah mwenyezi mungu akuongozeni ktk njia aitakayo Amin
Allah huakbar yarabi tujaalie subra katka maisha yetu utujaalie mioyo yenye huruma ktk maisha yetu na utujaalie mwisho mwem😢😭😭🤲🤲
YaaRabb mjaalie Sheikh Rashid kwa kazi hii anayoifanya umlipe mema ya Dunia na Akhira ALLAHUMMA AAMIIN
Allah akufanyien wepes alfatah
Macho yanalia moyo unaumia ya Allah mwingi wa rehma wazidishie kila watoaji wallahi inaumiza inaumiza sana nashkuru nnachopa kicho hicho kidogo na kula na wenzangu Alhamdulilah natamani nipate niwasaidie kila wenye uhitaji ila sijakataa tamaa insha allah Allah nirazzak naumia mno
Pole mungu akufanyie wepesi allha atakulipa nawewe
Mashaallah Alfatah Allah awazidishe imani muje muwajengee hawa wazee hizo nyumba zao
Allahu akbar Allahu Akbar tustiri yarabi utusamehe utufungulie riksi tuweze kuwasaidia wenzetu inshaallalla moyo unaniuma sana lakini sina chakuwasilisha kwa wenzangu shukran AlFatah TV
Mtihani sana. Allah atufanyie wepesi duniani na akhera آمين يارب العالمين.
اللهم ارزقنا رزقا واسعا حلالا طيب مباركاً فيه.
Amin
mnavofanya nivizuri namungu awabariq ila mnajisahau pale mungu alivosema mtowe kwamkono wakulia nawkushoto usijue jee?hamkuifaham nn maana yke?
Waallah mwil umesismka kuona hli allah walipe kila la kheri muliofikisha ujumbe huu AMIIN
Mashallah mungu akupe huohuo moyo inshallah na akufanyie wepesi inshallah katika kila hatua unayoifanya ameen inshallah mwenyezimngu akupe afya na umri na swiha njema inshallah ameen thuma ameen inshallah
Allah Subhannahu Wata'ala awajaalie Alfatah kila la kheyr fil Dduniyyah wal Akhiyra, Aamiin.
Nijambo la kuhuzunisha sana,ya ALLAH tupe mioyo yakutoa na utukinahishe na anasa za dunia,utuongoze tuweze kununua pepo yako kwa neema zako unazo tujalia IN SHA ALLAH Amiin
Naam kabisa wanawake kuna Group la Wanawake wema kuna Group la aljanah hands kuna mengi tu jiungeni haba na haba tujaze kibaba kuna hao Alfath tuchaguweni wapi na hii isiwe Ramadhan tu 😰😰😰😰😰😰
Allah tupe nguvu tuwasimamie hawa waja wako 😰😰
Tunalia unatamani utowe pesa zako zote
Mimi nikitoa naona bado haitoshi natamani nitoe tena na tena ila uwezo ndio kidogo, ALLAH atujalie tugawane hichi kidogo alicho tujalia na wenzetu ambao hawana,kwani kutoa nimoyo wallahi,hakika imenitoa machozi kabisa
😭😭😭
Allahuakbar kaka Rashid allah atakulipa kutokana na juhudi zako katika uislam na waislam kwa jumla hakika nimfano wakuigwa kaka allah akujaze nguvu juu ya kuwasaidia waislam wengine amin ya rabbi
Wallah cna uwezo wakutoa ila kaka Rashid kama unahitaji msaidiz wakusabaza izo sadakat katika jamii wallah nipo mm nitakuja kukusaidia kwa ajili yaallah na din yetu sitohitaji lolote kutoka kwako ila nitatumia nguvu zangu alizo nipa allah kukisaidia insha allah
allah akbar
Seif Khatib Jamani wko wapi watoaji wale ambao wanajinasibu kuwa niwaislam mbona waislam wenzetu tunawaacha wanadhalilika tunaendeleza kutoa sehemu ambazo hazina manfa Jamani hebu tutafuteni radhi za Allah tupate mafanikio kwa allah
Hongera Mkurugenzi wa Alfatah Allah akupe umri na afya njema kaka yng
Allah azidi kukupa moyowaiman tuombee nass tupate tuwasaidie wasojiweza
Wallahi mumevunja record.ulimwenguni tumeshuhudia wenyewe walimwengu na timetafakari .allahu Akbar God blessu
Subhanah Allah Allah! Allah Akbarr! Allahuma Amina ya Raab ya Mujib duwah 🤲🏻
😭😭😭y'rabby najikuta nalia tu na kushkuru alhamdulilah alhamdulilah allah ndio mueza watu wanakula na kutupa na kufanya kila aina ya starehe ukiwakumbusha wanasema tunaenda na wakat 😭😭😭😭😭😭
😭 wallah nigelikua na uwezo mimi binafsi chakwanza ningelijenga nyumba kwa ajili ya wazee hawa km gorofa 😭😭😭
Fatma kwani uko wapi tuweze kutafuta mfadhili au Wazanzibar sote tukachangishana kila pembe tulipo tukishiriana tutawezeshwa na Allah tukaacha kufanya maarusi ya kifhari yalio hayana mpango wa faida yoyete
@@ukhtyalpha1344 tungekuwa na huruma walahi hakuna muislam angelipata shida,Bali tuko wabinafsi sana,walahi sijui tutajibu nini kesho.
Wallah hata na mm pia ningekua mmoja wapo wakuchangia
@@ukhtyalpha1344 ww uko wp
A'alaykoum akhawaty fii llah yaani hata tukaungana kidogo chetu tunaweza biidhnillah😭😭it's heart touching story.... Je, tunaweza patana vipi mm am from Kenya
alfatah hakika ni chaguo langu Allah ibaraki Alfatah wabariki viongozi na wafanya kazi wake
SubhnaAllah. Imenitouch Sana Sana. Allah akulipeni kwa kila step. Na sie atupe moyo wakutoa
Subhanallah nalia kwa uchungu yarabi mola wangu
video hii imenigusa na nimetokwa n machozi kwa huzuni nliyoina ya wazee maskini. shkrn sana
Allah awabarik alfath kwa jitihada yenu na wasiotoa allah awape moyo wa kutoa inshaallah
😭😭😭😭😭😭alfatah is the all foundation that inspared me nipo n imani nami siku itwayo moja atanijalie nami niwe mionginoni mwa kujitolea kwa ajili ya Allah kaka mungu akuzidishie kher n akuneemeshee nema kubwa n za kher ndani yake kila siku ninapotazama alfatah machozi unitoka usichoke kaka upo n makao mema kesho jasho n macho unayo yamwaga leo kesho mble ya Allah itakua nuru kwako ameen ameen ameen. Ya Allah nami nipee muongozo na huruma wa kujali wenzangu wa tabaka langu . Na uwape ufumbuzi wale walo navyo wajali wasokua navyo ameen
Amin inshallah
Subhannawallah Allah atujaalie tuwe miongoni mwa tunaosaidiana
Mashallah Allah akuzidishiye imani na azidi kukubariki na akulipe pepo
Allahuakbar kuna watu wapo chini sana kimaisha wanahitaj misaada kwakwl Allah tupe wepes
Inauma sana wallah.Shekh Hii inasaidia umetuhamasisha
Allah tupe khidaya ummat Muhammad swalallahu alaihi wasalaam
Alhamdulillah alhamdulillah thumma alhamsulillah ndio mana mim sipend kumwaga chakula kikibakia naweka kwenye fridge sik yapil tunapasha moto tu. Jmn jmn mola wetu tufanyie wepes waj wako utuwezesh tuwez kutoa kwa ajil yako👐👐👐
Allah awazidishie kheri wana alfatah
😭😭😭😭
Subha Allah
Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah 🙏🙏🙏🙏
Dahh Allah azidi kuwatiya nuru na uwezo muzidi kufanya kazi kwa ajili ya Allah...na sisi Allah atuwe uwezo na nguvu wakusaidiya kwa kidog atakachotujaaliya 🙏🏻🙏🏻😥😥
Alfatah Allah awaajaalie kila kher wallahi inaumiza hasa sisi tunachopata tusemeni Alhamdulillah wazee wetu wanapata tabu .
JazakaAllah lkheir
Shekh rashid twaombea mupate nguvu na uwezo muwajenge hizo nyumba zao yasikitisha sana cc letu ni kuwaombwa kwa allah 😭😭
Tuchangieni ili wape nyumba sisi tunaweza kwa Kila Atakae ona
Natokwa na machozi😭😭Allah atawalip kwa kila hatua yenu.mashallah
Wahida Shabaz kama kweli una imani hasa na ndugu zako waislamu lazma machoz yatoke
Mimi naomba namba zenu na wapi Unguja au Pemba mnapatikana
Laa ilaha ilallah. Allah awalipe mema duniani na kesho Akhera
Allah akuzidishien iman ya kutoa na cc pia roho zetu zenye kutu azisafishe tuwe na moyo wa kua insha Allah kuto ni moyo wala sio utajir wabilah taufq
Allah akupeni nguvu kwa kuwakumbuka Waze wetu Amin
yallah walipe kheir na Baraka zaid kutowa sadaka zao katika njema iliyo nzuri
Subahaana llah allah awape kila kheri inshaallah
Alhamdhulilah. Allahumma Barik😭😭😭
Wallah mung akulipeni kheri kwa mnachokifanya awape moyo na wengne wa kuwasaidia inaskitisha sana
Allaha awalipe kheri kwa mazito mnayo pitia.
yaallah wape imani iliyonzuri wenye kutowa katika njia ya allah ili kuingia ktika firdaus ya allah
Allaahulmus'taan,Alllaaah akulipeni kher, Ila viongozi wamche Allaah
May Allah guide this channel in its daily endeavours insha'Allah.
Subhana llah jamani matajiri wa kiislamu tutakwenda kuulizwa jamani wenzetu wana Hali mbaya na ngumu wanahitaji kusaidiwa
sio matajiri tu hata maskini aliejuu ya hawao anapaswa kusaidia alio chini yake
Allah tupe uwezo na iman yakutoa misaada kwa ajili yko
Subhannallah, Namuomba Allah ajaalie kupatikana zaidi wasamaria wema na kuweza kuwapa (kutoa) michango kw familia (wazee w icho kijiji uko Pemba) inasikitisha sana wazee ni watu wazima sana na wengine wagonjwa hawawez tena hata kuenda shamban kulima na ukiangalia kama icho kipindi cha ramadhan na wanakwmbia hawajui hata watafutari nini manake hawana hata uwezo w kujinunulia chakula.
Na nina swali kwa AL FATAH TV ONLINE kuusu izo namba za sim na majina ya watu waliokuwepo sehem tofauti kama UK, MAREKANI, CANADA, DUBAI, OMAN, N.K ni wasimamizi w kushughulikia michango/misaada ya watu watakaoguswa na kutaka kuchangia chochote walichojaalia, naomba mnijuze manake ss wengin tunataka kuchangia ila tuko mbali na nchi yetu tuliozaliwa Zanzibar na jee ninaweza kutumia njia ya Money Gram.?
Mashaallah allah awalipe kila lakher mana allah ndio mlipa wa yote allah awalipe ujira mwema amin waallah inauma sana mimi kama kijana allah atujalie rizki halal tuje kujumuika nanyi kwa kile tulicho kipata kwa uwezo wa allah
Amin,my Allah bless you
alhamdulillah Allah awalipe kher inshaallah
ALLAHIM seni ozun komey ol butun mezlum qullarina.Amin
في ميزان حسناتك أخي كل هذا العمل عند الله غير غافل عنه
يرحم الله موتاكم و يشفي مرضاكم وبارك الله فيك
لنا زيارة أن شاء الله
والله انك ابكيتا بما شاهدناه فنحن في عمان نشعر بكم ونسأل الله ان يسهل لنا المجئ ثانية لزنجبار عامة و بيمبا خاصة .
Yaa ALLAH TUNAKUOMBA YAARABIH WAAJALIE WAZEE WETU YAARABIH
Alhamdulillah. ...yarabi atupe wepesi sisi sote nshaaAllah. .katika maisha yetu. .
Kwa kweli kabisa mwenyezi mungu awalipe mema alfatah t v
Subhannallah! Allah amijaze kheri inshaalla,
Shekh Rashid wewe mola kashakuona jitihada zako wewe nimtumish waumma sisi 😢😢😢😢ndo wakulia zaidi😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Kweli
Mashaallah Allah akubariki sheik 🙏🙏🙏
Allah akupe zaidi na zaidi shekh kiukwwli Unajitahidi sana
ALLAH TUPE WINGI WA IMANI KWA WENZETU WALIO WANYONGE🤲🤲🤲🇰🇪
Allah akuzidishieni inshaallah .yarabi tustrii duniani na akhera ameen.
Dahh kwa kweli nawapongeza sana Allah atawalipa natamn na ss wenye mioyo ya kuchangia tuchangie kupitia kwenu tunaimn na nyinyi sadaka zetu zitafika kwa walengwa
Nimelia kweli 😭😭😭😭😭😭
Wallah Allah ndo anajua jinsi nnavoumia nawaza kama wanapata swadaka kwa ramadhan jee sku za kawaida wanaish vipi wawakilishi Madiwan wabunge wako wapi ?? Allah atawahukumu kwa kila chozi la mnyonge
Uongozi ni dhima kubwa Sana Kwa huu umasikini wa hawa wazee hakuna kiongozi kuona pepo
SubhanaAllah 😭😭😭😭 Alhamdulillah
Mtangazaji walia cc tufanye nn 😭😭😭wallh machoz yamenitoka kwa mm nasema Familiya yangu Ina shida kumbe Kuna watu wanashida kuliko Familiya yangu wallh 😭😭😭Daah ht cjui niseme nn kwa kweli ila mungu ndio anajua 😭😭
Maashalah tabarakallah
Allah azidishe nguvu zenu
Kweli hali ni ngumu mno mumekutana nazo
Maasha Allah..... mngu akumaarikini...insha Allah
Subhanallah 🇰🇪
Subuhanallah nimetokwa na chozi waalah kaka Rashid nakutakia kila lenye Kher INNSHAALLAH
Allah awape subra na akufanyieni wepesí katika shughuli zenu
Alhamdulillah alla kul neemah
Yaa Allah sahal yaa rabb
Allah huakbar Mungu awapeheri mzidi kutoa
IshaAllah mwenyezmungu atulipe heri kwa sote
Wallah inaliza ukitowa unakuwa unafuraha
In shaa Allah al-fatah tv keep on
Allah awawekeye wepesi mwe woteeee
Allah atawalipa ujira mwema in shaa Allah
Jamani hawa jamani mpaka njia muwatengeze ndio.kuwe rahisi watu kuja fabzeni bidi njia barabara itengezwe ndio watu rahisi kuwafikia na misaada zao mungu awaonekanie yarabb
Mashaallah yaan km kwelii tungekuwaa tunatowa zk naa sadakaa basii naamini ufukaraa usingekuwepo
Ni kweli
Baarakallah fiyk
Allah name anajakie kher Niya fanye haya
Subhanallah
mungu awazidishie alfatah
Allah akupen zaid
Allah atawalipa mema yenu na baraka na allah awape umri na uzima na mwakani muwakumbuke tena ndugu zetu yaraaaab 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Allah atupe riziki na tuwe miongoni mwa wenye kutoa inshaallah
Aamin
Aamin
Alfatahi naomba na mm niwe miongoni mwa sapoto yenu na mm naomba niwe mkono Kwa mkono na nyinyi hata kama masikin ILA naamini kutoa ni moyo
Allah Yuko pamoja na alfatah ishaallah
Mashaaallh
Hakika machozi yananitoka Allah tudumishe katika ibada
Yarab Yarab yarab
Mashaallah Allah atawapa kila la kheri
May Allah reward you brother
Mungu awalipe jama ni
Alaah awalipeni nduguyangu🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲