Mungu uturehemu sawasawa na wingi wa rehema zako haya yote yanayotokea ni kwasababu ya dhambi, tunakuomba Bwana utuangazie nuru ya uso wako tutoke kwenye giza hili la kikatili. Naam Bwana ninakushuru kwakuwa waweza kufanya mambo yote wala makusudi yako hayawezi kuzuilika, waweza kutusamehe, waweza ktuponya, waweza kutupa amani ktk nchi wala hakuna atakayeweza kututia hofu. Mungu ibariki Tanzania, na AFRICA kwa ujumla.
Zambi inalitafuna Taifa kwasababu ya kugushi uchaguzi hayo ndo madhara tunataka uchaguzi wa huru na haki.Katiba mpya ndio msingi pekee wa kuondoa viburi Kwa watawala ona majibu ya murilo ya kutumia nguvu furani ndio maana anazuia maandamano yupo chama Tawala huyo anafanya mambo ya kuagizwa na chama bila kufuata Sheria . Watu wanalinda vyeo vyao sio kufuata Sheria .mapolisi hatuna Imani nao kwasababu wamegeuka kuwa makada wa chama furani ndio maana wanaotekwa ni wa vyama vya upinzani .Tunawaelewa sana kuliko mnavyofikiria .mnapaswa kuchunguzwa na vyombo vya inje kwanini hamtaki kuchunguzwa? Mnajua mnayoyafanya.
Wewe siyo mjinga ila ni mpumbavu, mhalifu ni mhalifu tu!!!! Hata kama ni baba yako, sasa kama mmewajua ni wao wenyewe kwa nini wasichukuliwe hatua?????? Sasa hapo mzembe nani?
Daah bro uko vema sana mim n muhanga wa ndg yangu kutekwa kweli tunaumia san my brother kipnz chng hd saiv hatujui halipo na alichkliw buchani na watu lkn hd leo hjaonkn,
Hiki watu wanachokipanda leo watakuja kivuna siku ya kiama na apatakua na udhulu nilikua sijui nisamehe Allah atawajibu kwa maneno machache navilio avito saidia kuepukana na adhabu bali kila atua itakua ya kuzidishiwa adhabu
Mjadala huu ni mzuri lakini nilitaka wajumbe wasiwe wanasiasa. Jinsi mchangiaji anavyo changia yupo kwenye msimamo wa chama chake zaidi. Hapo ndipo Tz tunafeli kushabikia maswala ya kitaifa ni kosa. Mtu ana leta matatizo yake kwenye mjadala ya kitaifa nishukuru shehe ponda kwa wito wa viongozi wa dini pamoja na wastage na wanazuoni kukaa na kutafakari hili swala lakini muwe makini na watu wa vyama
Ninashangaa sa n a kwanini Chadema ndio wanapaaza sauti kwani watekwaji si ni watanzania.Awe chadema au CCM ni Mtanzania.Hivyo taifa zima lihusike n a siyo chama kimoja tu😮
Ni point tupu , kichwa kimejaa madini wenye akili nyingi hawako serikalini Sasa angalia waliopo huko serikalini ni machumia mitumbo yao tu kazi yao ni kupiga makofi upumbavu mtupu
@@SurprisedFullMoon-gg9vu Hapana mtu akiwa mjinga basi mueleweshe huo ujinga umtoke siyo kumtuma ndiyo maana shuleni ukiwa awali mwalimu anatumia akili sana ili uelewe a e i o u unaziandika chini kabla ya kupewa daftali
TATIZO LA CHADEMA NDO HILO, KWANN MNAG'ANG'ANIA VYOMBO VYA NJE KUJA KUCHUNGUZA MAMBO YETU YA NDANI MNAHOFIA NN!! SUBIRINI UCHUNGUZI UKAMILIKE NDIO MUHOJI!!!!
Nawaambia hizo mbwembwe za akina pambalu hao ndyo watekaji wenyewe kwa manufaa yao kisiasa huyu Pambalu akiminywa vizuri anaweza kusema waliotekwa wako wap na wameshirikiana na nan? Yaan umesimama hapo kumdhihaki Mulilo! Kamlete baba yako aje awe IGP. Hawo wachunguzi waje wachunguze mambo yako na kundi lako la utekaji.
Du machoz yamenitoka
INSHA ALLAH ALLAH Atabayanisha Kwa uwezo wake Amin Amin ❤️❤️,Dua mzidishi Kwa Imani yajuu Na ALLAH hatusahau Amin yarabiil Alamin Amin Amin ❤️❤️❤️🌹
Honger sana kaka kwa kujitoa muhanga kwa kuyazungumzia haya mtukio kweli mungu asikie kilio chetu wa tz
Safi sanaa pambano upo vzr
Upo vzr sana hongera
Pambalu uko vizuri wambie hao wizara ya mambo ya ndani hawafai kabisaa hawafai
Chadema ina watu makini sana nawapenda mno na naamini na mungu anawapenda sana kwa sababu mnatetea haki na uhai wa watu wake
Big yes
Moja ya vijana bora kabisa ktk medan za KISIASA kk wewe ni zaidi ya binaadam unajua unacho kiongea mungu akupe afya njema na umri mrefu zaidi kk
Fear has its end, no time to fear we're stronger now and tomorrow
Mungu 🙏🙏
Mungu yupo mkono wake utadhihiri ka punde roho na damu zaraia zitawalilia milele na malipo ni hapahapa dunian ameni
Umeongea point sana kaka Niko Zambia nakupata vzr
You are smart my dear, keep it up,unaongea facts but mama Samia hawezi kukusikiliza.
Haya madini kama wahusika wanayasikia na bado wanakaza fuzu basi siyo bure
Mungu uturehemu sawasawa na wingi wa rehema zako haya yote yanayotokea ni kwasababu ya dhambi, tunakuomba Bwana utuangazie nuru ya uso wako tutoke kwenye giza hili la kikatili. Naam Bwana ninakushuru kwakuwa waweza kufanya mambo yote wala makusudi yako hayawezi kuzuilika, waweza kutusamehe, waweza ktuponya, waweza kutupa amani ktk nchi wala hakuna atakayeweza kututia hofu. Mungu ibariki Tanzania, na AFRICA kwa ujumla.
💪🙏pambaru
Kamanda kama kamandaaaa!
Pambalu mwanangu mungu akupe maisha marefu mamaako nakuombea
Mungu Gani huyo anatetea upumbavu kama wa CHADEMA. Mbona mtekaji ni Mbowe na Mnyika. Na yule mama wa kushikwa ugoni . Mjinga wewe.
Inauma sana ten san kaka angu kachkliw saa tano asbh really sio watu ambao hawap kwny mfum il mungu yupo ipo sk
Pambalu MUNGU Akutunze Uncle Wangu 🎉🎉🎉🎉🎉
Very touching speech, sema maneno siyo Sheria na kama yangekuwa ni Sheria, basi mpaka Sasa wawajibikaji wangeshawajibika.
duuuuh maneno machungu sana
Inauma sana
Asante sana kamanda pambalukwa musimamo mzuri mungu akubaliki
Dah inaumiza sana
Tunauchungu sana tz wenzetu kupotea polis hawatusaidii kodi zetu wanachikua kutulinda hawawezi mungu tusaidie
Wewe uko vizuri sn
Umeongea Point Sanawajiulu
Zambi inalitafuna Taifa kwasababu ya kugushi uchaguzi hayo ndo madhara tunataka uchaguzi wa huru na haki.Katiba mpya ndio msingi pekee wa kuondoa viburi Kwa watawala ona majibu ya murilo ya kutumia nguvu furani ndio maana anazuia maandamano yupo chama Tawala huyo anafanya mambo ya kuagizwa na chama bila kufuata Sheria . Watu wanalinda vyeo vyao sio kufuata Sheria .mapolisi hatuna Imani nao kwasababu wamegeuka kuwa makada wa chama furani ndio maana wanaotekwa ni wa vyama vya upinzani .Tunawaelewa sana kuliko mnavyofikiria .mnapaswa kuchunguzwa na vyombo vya inje kwanini hamtaki kuchunguzwa? Mnajua mnayoyafanya.
mungu yupo 🙏🙏🙏
We huogopi %ukwel unauma washasikia ujumbe umefika%
Ujumbe umfikie nan wakati watekaji ni wao wenyewe?
Wewe siyo mjinga ila ni mpumbavu, mhalifu ni mhalifu tu!!!! Hata kama ni baba yako, sasa kama mmewajua ni wao wenyewe kwa nini wasichukuliwe hatua?????? Sasa hapo mzembe nani?
Bro Pambalu Mungu akulinde na haya manyang'au......
💯
Sana dogo Samia, magufuri, kikwete,mkapa,,,,,,,,,, Nyerere wataulizwa
Una ongea point saaaana pambaluu"ila wangetekwa watot waoo Leo cjui ingekuajee
Inauma jamani hivi hawasikii hawa watekaji na viongozi
Poleni sana ndugu wana chadema ila watawala wanaona wataishi milele ila wajue Mungu tu anamiliki mbinguni na duniani cheo ni cha muda tu
nimeupenda msimamo mungu akulinde
Dogo umeongea mpaka moyo wangu umesikia uchungu😢😢Mungu aisikie kilio chetu
Mungu gan mnayemsema wakati mteka wenyewe
Daaa aseee nimepata uchungu sana kwakweli pambalu umeongea jambo limegusa
Nikweri kabisa kaka pambaru nikama ulikua kwenye ubongo wangu
😂😂😂😂😂 Ni Atari sana
Unacheka usenge
Sahihi kaka yaani unastahirl
Mungu atahukumu tu
Hogera pambalu
Na mimi nipaze sauti apa apa kua, uhai ni wa msingi sana kwa kila mtu. Tusiruhusu utekaji kuendelea kwa sababu yeyote ile.
Kaka unaongea mi machozi yananitoka😢 Mungu tusaidie watanzania
Pole usilie
Kwel kabisa
😭😭😭😭😭😭
Hawa vijana wanaroho ya Simba, wengine ni kupakwa mafuta tu
😂😂😂😂😂 Muriro ni atari Sana ni CCM uyo
Hii nchi imejaliwa kuwa na wandishi maqumer kweli et bila uoga kwaiyo ulitaka aogope nini kwani kuna matusibkaongea hapo mpaka useme bila uoga 😮
Acha tu me nicheke bas maana sio kwa maswali haya😂😂😂😂😂
We cheka tu ila yakikukuta ndo utajua vizuri
We cheka tu ila yakikukuta ndo utajua vizuri
Daah bro uko vema sana mim n muhanga wa ndg yangu kutekwa kweli tunaumia san my brother kipnz chng hd saiv hatujui halipo na alichkliw buchani na watu lkn hd leo hjaonkn,
Chadema iko kuteea inchi ila ccm inaangamiza tz
Shida siyo CCM tatizo ni Watawala wanaopewa nafasi
@@MashakaMagesakwani watawala si ndiyo hao ccm. Shtuka kama uko upande wao kimbia
Tutamkumbuka sana tu
Inauma sana
Hiki watu wanachokipanda leo watakuja kivuna siku ya kiama na apatakua na udhulu nilikua sijui nisamehe Allah atawajibu kwa maneno machache navilio avito saidia kuepukana na adhabu bali kila atua itakua ya kuzidishiwa adhabu
Imeniuma sana
Kuna kenge zinakonti ujinga hazin uchungu n hii nchi
Mjadala huu ni mzuri lakini nilitaka wajumbe wasiwe wanasiasa. Jinsi mchangiaji anavyo changia yupo kwenye msimamo wa chama chake zaidi. Hapo ndipo Tz tunafeli kushabikia maswala ya kitaifa ni kosa. Mtu ana leta matatizo yake kwenye mjadala ya kitaifa nishukuru shehe ponda kwa wito wa viongozi wa dini pamoja na wastage na wanazuoni kukaa na kutafakari hili swala lakini muwe makini na watu wa vyama
Umetumwa au ujipendi
Hv kauli hizi wahusika wanasikilizaga kweli
Wapo hapo hapo ndugu
Mungu mmoja tulia so mzuli kabisa allha amnyime afraid duniani aumwe miaka kumi mpaka mauti imchukue
Pambalu njoo geita Jimbo la busada utusaidie tukupe ubunge
nazani IGP NA WAZILI NA HUYO WAUPELELEZI KIKAO KINAISHA NAWAO WAMEONDOKA OFISI ZA UMA
Safi sana
Kama Kuna spika ambae walibugi ni Tulia, bunge sio mhimili unaojitegemea tena
Dogo unaongea kweri hadi machozi😢yamenitoka
Pambalu yuko vizur lkn uyu mama alie kaa nyuma yake anavomuangalia vbaya mwalimu jonh pambalu
Kijana umetisha mbo
Hao wachunguzi mnao wataka waije hatuwataki wenye hitaji LA Amani bado jeshi letu tunaiamin naro
Hao tusha wazoea wenyewe wanajijua na wayoyafanya
Yaani Mbowe na Mnyika wanawazidi akili? Na fedha za Mashoga zitawatesa., We anzisha unachotaka.
Mbona hamumjibu dkt slaa amesema watekaji ni ninyi wenyewe
kaka uNaakili kuliko kila kitu
Safi atolewe
Kaka umezunguza kitu ambacho kimegusa moyo wangu hivi raisi Yuko wapi?
Mriro hakunakitu
Binadamu na watawala awajui lengo la kuletwa duniani kuna hesabu uko mwisho wa dunia
Pambalu umeongea kisiasa tu Wala hujajenga hoja....
Mmh
Ukweri unalinda japo unaumiza
Ninashangaa sa n a kwanini Chadema ndio wanapaaza sauti kwani watekwaji si ni watanzania.Awe chadema au CCM ni Mtanzania.Hivyo taifa zima lihusike n a siyo chama kimoja tu😮
Jamani
Upo sasahihi kabisaa
Duh!
Pameanza kuchangamka
True
Machungu sana
Ana balaa gan huyu mjinga tu? Kila kitu kiki tu. Huyu naye ni sehemu ya genge la watekaji
Ni point tupu , kichwa kimejaa madini wenye akili nyingi hawako serikalini
Sasa angalia waliopo huko serikalini ni machumia mitumbo yao tu kazi yao ni kupiga makofi upumbavu mtupu
Kuna vitu vinauma sana eti wametekwa nane tuu hivi wangekuwa watoto wake au watoto Wa mama yake angesema hivyo kwelii?
Ivi chadema ni chama cha Wachungaji au? Yani kila mtu huwa ananukuu injili tu.
Injili ni kitabu cha nan?acha usengeee fala wew""
kuonesha uhalisia wa Iman juu ya wanachokizungumza!
@@SurprisedFullMoon-gg9vuMatusi ya Nini tena jibu hoja Kwa hoja siyo kutukana watanzania hatuko hivyo kutukana ovyo nchi ni yetu sote
@@MashakaMagesa ukiulza ujinga una jibiwa kama ulivyo ulizaa"
@@SurprisedFullMoon-gg9vu Hapana mtu akiwa mjinga basi mueleweshe huo ujinga umtoke siyo kumtuma ndiyo maana shuleni ukiwa awali mwalimu anatumia akili sana ili uelewe a e i o u unaziandika chini kabla ya kupewa daftali
Samia ndio wakwanza ilitakiwa akemee lakini yeye anaongea pumba
TATIZO LA CHADEMA NDO HILO, KWANN MNAG'ANG'ANIA VYOMBO VYA NJE KUJA KUCHUNGUZA MAMBO YETU YA NDANI MNAHOFIA NN!! SUBIRINI UCHUNGUZI UKAMILIKE NDIO MUHOJI!!!!
Vyombo vyetu havina uwezo
Chadema wanatengeneza game wenyewe tusha wajua hata slaa alishasema
Nawaambia hizo mbwembwe za akina pambalu hao ndyo watekaji wenyewe kwa manufaa yao kisiasa huyu Pambalu akiminywa vizuri anaweza kusema waliotekwa wako wap na wameshirikiana na nan? Yaan umesimama hapo kumdhihaki Mulilo! Kamlete baba yako aje awe IGP. Hawo wachunguzi waje wachunguze mambo yako na kundi lako la utekaji.
Mlingoti. Wa mbeya uko huko kinanunua watu kwa gharama kubwa kiendelee kutawala
Mambo ya drama drama
Endeleen kunukuu biblia tu hamna namna cdm